No video

Biashara ya Ardhi ilivyomtoa kimaisha Witnesz na Ochu, hufunga hadi siku 5 bila kula chochote

  Рет қаралды 17,842

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Sky anazungumza na Witnesz Kibonge Mwepesi pamoja na Ochu Sheggy kuhusu muziki na wamewezaje kudumu katika uhusiano kwa zaidi ya miaka 10, kuwekeza kwenye ardhi biashara ambayo imewatoa kimaisha. Wanaeleza pia jinsi walivyoweza kuishi maisha ya afya bora (healthy lifestyle)
Witnesz ameachia video mpya ya wimbo wake #WITIRIALDO, itazame hapa
• WITNESZ KIBONGE MWEPEC...

Пікірлер: 43
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 Жыл бұрын
Witness nakukubari sana ningekuwa na pesa ninge invest kwako una imba una chana una dance
@amytullah2175
@amytullah2175 Жыл бұрын
Moja ya interview bora sana aiseee
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Жыл бұрын
Ngoja nukaichek hyo video Witiliardo
@saidijuma9386
@saidijuma9386 Жыл бұрын
Dada akili nyingi hawa ndy wakufnya nao maisha
@ayrunyjtayruny279
@ayrunyjtayruny279 Жыл бұрын
Gostei a entrevista parabéns sky, conheço ochu desde kingereza
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Daah very good interview 👏
@gracesheggy
@gracesheggy Жыл бұрын
good work mamy keep it up.
@masagama3771
@masagama3771 Жыл бұрын
Hongereni sana mko vizuri
@rehemamdoe7896
@rehemamdoe7896 Жыл бұрын
Great interview. Mmeniimpress na eating styles zenu
@rhma6073
@rhma6073 Жыл бұрын
Ochu umependeza mashaallah
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ Жыл бұрын
Mhhh😂
@rhma6073
@rhma6073 Жыл бұрын
@@OchoaHomeDecor_ sindo alikua atak kupign vikimbo sio uyu
@yassinlisa6168
@yassinlisa6168 Жыл бұрын
i Love the couple ❤
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongereni sana 😍🔥
@emeldanicholaus6944
@emeldanicholaus6944 Жыл бұрын
I love them
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Dada yuko pisi sana huy
@Lucy_ikupa
@Lucy_ikupa 4 ай бұрын
Ochu ni mimi yani ukinizingua hata uwe nakitu changu cha ukubwa gani nakuachia sipendi mashindano Mungu anisaidie 😀😀
@nesielias9493
@nesielias9493 Жыл бұрын
Wamenawili balaa😂 hongereni
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Saaana🤣🤣
@salomerobert3583
@salomerobert3583 Жыл бұрын
Mdogo gt55eqww21k
@salomerobert3583
@salomerobert3583 Жыл бұрын
Happy birthday @@salomewandya7257
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Wit ni kama mimi nahamaga na ronaldo kila alipo naishi naye
@simulizi2632
@simulizi2632 Жыл бұрын
Ochu ni msanii mzuri sana sema tu HALOGI kama wenzake 😩😩🙋🏾‍♂️..ndio maana hapati nafasi
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Жыл бұрын
Weeee hatulogwi hadharani. Ochu mtu wa Tanga huyu!!
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Жыл бұрын
Safisanaaa wamekaamudamref asee
@azizakitele9165
@azizakitele9165 Жыл бұрын
Daah,ningekuwa demu ningejidate kweli?🤣🤣
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
Niliwamisi awa watu
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Жыл бұрын
Wako Sawa ila kula siwezii kuacha kula kvs khaaaa
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 Жыл бұрын
Kwani Hawa no wapenzi ama
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
Mke na mume kabis ten wa muda mrefu san
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 Жыл бұрын
@@marrypius576 ok Asante sana nilikuwa sijui kipenzi🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@arnoldlusambo3921
@arnoldlusambo3921 Жыл бұрын
brother sky uyo Ochu vip mbon anashangaa studio😂😂
@redeemed5380
@redeemed5380 Жыл бұрын
😀😀
@Misskavalau
@Misskavalau Жыл бұрын
😂😂😂😂😭😭😭
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 Жыл бұрын
Mwenzenu anachukua ideas anacombine na za kwake, hapo kashapata ideas za finishing huko kwake site
@beatricefrankngalubutu1448
@beatricefrankngalubutu1448 Жыл бұрын
Nimecheka kichiz 🤣🤣🤣
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
Limbwata hilo Mwanaume kawa saa mbovu zamwamwa😂😂😂😂😂
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Kwa amepaka make up ama ni manjano hayo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Naona makeup
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 24 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 101 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 45 МЛН
DADA JACK : UWAKALA WA HUDUMA ZA KIFEDHA CHANGAMOTO,MATAPELI NI WENGI
13:41
Mtanzania Milionea Mtarajiwa alieacha kazi ya mshahara wa milioni 1
29:05
MTAJI WA KUTOSHA KUFUNGUA DUKA LA DAWA PHARMACY
24:26
PDK Generation
Рет қаралды 4,6 М.