Master j kashika show mpaka watangazaji wamejisahau. Huyu jamaa ni noma. Legend walifanya na bado kali hadi leo
@kiatu5 ай бұрын
Master ame-give up wakati ambapo ndio anatakiwa. Elimu na experience ya muziki pamoja na biashara ya muziki sasa viko kwenye shelves. Hopefully something nice will come out of this interview. Tunataka identity kimuziki
@CoachHafidh4 ай бұрын
There are many languages in the world but Masta decided to Speak FACTS ❤
@selemanisaidiahmadisaadi14565 ай бұрын
master ni master anazungumza FACT tupu
@Lassostationery5 ай бұрын
Ninachokupendea master you are so honest.
@NewGenTV5 ай бұрын
Something about this media bila unafiki hii media inavifaa very quality Video iko very clear
@dynamoowamajukwaa17585 ай бұрын
Clab zinapigwa nyimbo tofaut tofauti na wadau wanazipokea vizuri bila kujali na ndio maana huwa tunaenjoy na magoma ya kina Kusah, Jaymelod, Aslay, Yammi, B2k, Kayumba na wengine kibao ambao wanafanya muziki tofaut na amapiano achilia mbali kiba, barnaba, Mr blue, na wakongwe wengi tu, tofauti ni ukubwa wa msanii na watu wake wa karibu wanaomsapot kwa mawazo na kupush na wafuatiliaji wa mirejesho ya mtaani kwenye masikio ya watu natoa mfano kwa marioo ni msanii mzuri lakini amekua bingwa wa amapiano na amejisahau kwamba ni sound nyingine lakini naamini ubunifu ukiongezeka kuna uwezekano wa kutoa muziki wenye tempo kama piano au zaid na bado ikawa pendwa na ikapendeza zaidi ya amapiano Bongo fleva ni mziki mkubwa sana
@kadito-music5 ай бұрын
Point ya master ni sahihi asilimia 100% ju before niende studio huwa najuwa my song inaenda namna gani because i have instrumental beat ❤
@MasoudSultan-ks6kc5 ай бұрын
Perfect STUDIO #100% NO STRESS
@onemicmedia51535 ай бұрын
Master J wewe ni Master kweli kweli sanaaaa...! Unaufahamu Music haswaaa
@habibnjowele77514 ай бұрын
KUSOMA RAHA SANA! ANAONGEA KISOMI ZAIDI HADI RAHA NA YUKO VERY KNOWLEDGEABLE!
@ChoroTesla4 ай бұрын
Afu mjinga mmoja anajiita siju chawa sijui muuza magari anakwambia kusoma kupoteza mda ndo wanfanya vizaz vyetu wasione elimu haina tija kuna tofauti aliyesoma na aliyeeelimka na mjinga msomi na mpumbavu kuliko
@MtessaAlly-rd4hf5 ай бұрын
Legendary umeongea kwakweli. Nilikuwa nakuelewa nusu nusu ila leo nime kuelewa mazimaaa
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k5 ай бұрын
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@NtiruchagulaNichorausАй бұрын
Nilipokuwa mdogo nkienda disco walkuwa wanaweka nymbo za Congo nakereka nataka za bongofleva but hali iyo ya kuplay izo nyimbo imenfanya now nkiziskia nazmiss ,, so MaDJ na Media zkiPlay bongofleva lazma tutazpenda automatically
@gloryswai3119Ай бұрын
It's enjoyable na learning ukiwa unasikiliza interview ya master J
@Tariq_Tryagain5 ай бұрын
Master J is the only hero of this generation.. Akifa tumekwisha🙌🙌
@dr_gainstz5 ай бұрын
Facts za master ur always a legend bro❤❤❤❤❤
@YOSHUAMWAMPETA5 ай бұрын
NIMEMUELEWA SANA MASTER J
@askofu_muziki59925 ай бұрын
Every tone Kenya produces goes int from genge,gengetone n abatone
@PeterSamo-g7j5 ай бұрын
Master ni master tu
@valerianchilawe31625 ай бұрын
Umefunika MJ
@mtulivu-ir1nq4 ай бұрын
Huyu jamaa sio anaujua tu mziki ila ni mwalimu pia apewe chuo tu afundishe🔥🔥🔥
@benjaminikazi5 ай бұрын
Master ageuka mtabiri inaniuma sana
@Kingstonbagamoyo5 ай бұрын
😂Big up crown media na masta j,mkongwe nguli,nakumbuka pale masaki niliwahi kuingia ktk studio yake ya containers ambapo alikuwa bize sana nikampa gwala nikasepa,tunawapata kwa chenga chenga Hadi antenna ya jiti juuuu,kwa ni crown hamnaga vingamuzi vya fm,,,,,kutoka mtaa wa makani ,jambiani,aksantum kikeke maana crown sk hz hata BBC siwasikilizi sababu mzeee wa wajna Salim,big up na ally, I
@willyjohn84885 ай бұрын
The guy is more knowledgeable than the entire TV hosts plus and the music industries in Tanzania
@PaschalGerad-xq4lw5 ай бұрын
Master alikuwa noma sana sio awa wasikuiz mapiano imewajaa ludivkazin baba tumekums
@Allyhujjat2 ай бұрын
Nakuunga mkono kaka hiyo amapiano yenyewe wanaiga na hawaiwezi ni mziki sio wetu
@djbarser5 ай бұрын
BEST INTERVIEW EVERRRR!!!!!!!
@lubungaetienealmasi10595 ай бұрын
Achilia mbali DJ nimependa wanao hoji wanampa mwalikwa sehemu nyingi yakujiheleza na kumsikiliza
@akilipeter16605 ай бұрын
the guy seems to be very proffessional
@JOSEPHPETERMACHOTA3 ай бұрын
Daaa safi sana
@askofu_muziki59925 ай бұрын
Master tz wametuzidi showbiz sio music business Kenya iko far. Check the stats on music revenue Kenya iko mbele ya tz
@allysudi44295 ай бұрын
Masta achana kabisa na habar za kukataa kufanya interview. We need you kufikisha game kwenye vein. Baba hakimbii familia hata kama watoto wakiwa wakabaji
@mckobatz58615 ай бұрын
Msanii na Deejay haswa deejays such a huge point
@jamilaathumani54815 ай бұрын
Mim nakuelewa Sana masta jay...
@vdjeddie5 ай бұрын
Mi nakuelewa sana Master👊👊
@HusseinChai-234 ай бұрын
Watukutu uuuuh Master master tu
@mussaabdallah87455 ай бұрын
Masta ni masta tuuu.
@josephkazaro34255 ай бұрын
❤❤ I want the news from over the world 🌎
@RamadhaniDimwe5 ай бұрын
Mastaa uko sw
@sharifaomenda15355 ай бұрын
Yaani mnafanya vitu vya kitofauti sana na nimependa hii tupo pamoja sana pia hongereni sanna
@benjaminikazi5 ай бұрын
Master Jay ana maanisha tunajitukanisha huko kimataifa
@samwelkimario81265 ай бұрын
Respect to a legend.self awareness
@yonamakeleleilenge25453 ай бұрын
Master j baba yetu ukweli njo ina kufanya uishi sana
@djvincytz4 ай бұрын
Watanzania wengi tunasadiki outsider sana na tunaona hivyo ndio vitu vya dunia. Kutokana na uvivu na kutojituma. Sisi dj hatutumi wasanii kuleta nyimbo ila wasanii wanaleta vyakwao sisi tunasupport. Na pia tunasadiki umaarufu wa mtu na si kazi ya mtu. Basata ijitahidi kuweka misingi na hata program nzuri ya kuwaongoza wasanii kwenye kutoa maudhui ya nyimbo. Na kitu kikubwa nilichokiona kwenye industry yetu wengi wao tuna ile ya kusema who is MasterJ hatutaki kukubali na kuamini kuna msingi na hustles ziliwekwa kwenye kuanzisha mziki. Mimi namshauri mkubwa master J. Kuacha sio sawa umekosea harakati zako. Embu rudi na umalizie ulichokianzisha
@LizenMaker5 ай бұрын
Kweli sisi nima music maker
@buberwajohn13125 ай бұрын
Kinanda bhana alipiga Master J humo ni hatarii.
@JescaMmary-k5z3 ай бұрын
Nakukubali mwamba wachache tunakuelewa
@deejayvlctz5 ай бұрын
Kama hujaelewa basii ila brother kaongea fact🎉
@alexoswald17255 ай бұрын
It was fantastic song
@bongetimwa49485 ай бұрын
Hicho anachosema ni asilimia 100 na mfano ni ngoma ya Malaika iliyo pigwa Dunia nzima na inatokea kenya
@franciscaswai29805 ай бұрын
Kaka umeongea Vizuriii mno.. Tujifunze kujivunia vya kwetu
@fauziasultanikilewa76025 ай бұрын
Kumbe p funk mdachi😂😂 wabahili haoo wapale waqasome
@danielmllay83325 ай бұрын
Master
@kinjekitilew5 ай бұрын
Master kasema ukweri nando ukweri
@adow9musictz9315 ай бұрын
Wapi yupo Joslin
@tumainiamani1115 ай бұрын
@Mastern J , Kaongea jambo zuri sana tunaitajika kuwa na chakwetu ambacho mtu hata ukitoka unaweza kujivunia au kutamba nacho (TANZANIA)
@josephinemtili5 ай бұрын
Very true brother
@eliadaniel2165 ай бұрын
Tru tru mastar
@yonamakeleleilenge25453 ай бұрын
Vizuri sana kumu leta muze wetu apa na mupendaka sana yani ana kuwa na tosha maneno ya ukweli
@mlamytz5 ай бұрын
Tunaomba urudi kua produzer plz
@allykota83555 ай бұрын
Bongo frever ni miziki ya nyumbani we imba tu kiswahili Tanzania basi iyo ni Bongo frever. Taarabu hip-hop singeli zote Bongo frever
@georgemathew93265 ай бұрын
Master tunaomba urudi tena ili utoe darasa asee I feel good ukiwa unatoa darasa
@HamisiMwazikeni5 ай бұрын
Nomaa
@Brunotarimo105 ай бұрын
Dj kaongoa ukweli big up
@issazalala49075 ай бұрын
Hata Mimi sipendi kuona wasanii wetu wanaimba amapiano Ina zingua banaaa
@kinjekitilew5 ай бұрын
Salim kikeke baba wa habari africa asante. Temy dayo wewe ndio ujaye endelea kujifunza kwa baba wa habari africa salim kikeke
@sozigwarahim3 ай бұрын
People we are starting bored with bongo flavour tukifanya music 🎶 mzuri tutashinda izo tuzo ata lucky dube alikuwa apigi iyo music ya kwao south Africa akipiga reggae ambao asili yake ni Jamaica 🇯🇲 lakini anachukua tuzo ata akiwa kaburini juzi mwanae apewa ktk American got talent
@emilioadremaneadremane27065 ай бұрын
Mambo ayo
@arkishpromusic33954 ай бұрын
Wabongo..wanaimba..bongoyano..
@charleskilian5 ай бұрын
Masta j kaongea ukweli
@benjaminikazi5 ай бұрын
Hivi Master huko mwanzo mlikuwa na jumuiya labda ya producers mlikuwa mnakutana kuyajenga
@francismillinga45915 ай бұрын
Master J akili kubwa sana
@ayoubluizpizzaro87355 ай бұрын
Master j asipuuzwe
@djrobie244 ай бұрын
Kwa haraka huwezi muelewa master j kunakitu kikubwa sana cha kujifunze hapo
@YumnaBurhan-q6h5 ай бұрын
Good
@kikoadventures69335 ай бұрын
nadhani access ya internet kwa sasa pia imechangia, DJ ana uwezo wa kupata wimbo mpya muda wowote tofauti na zamani
@elinamilyatuu73375 ай бұрын
Watz na ukwel ni mafuta na maji..Master we tueleweshe tulioamua kuelewa
@denismdem33555 ай бұрын
Hii interview nzima Master anamsema S2kizy 😂
@mussaabdallah87455 ай бұрын
Mziki anaujua Sanaa...masterr
@MtuSafi5 ай бұрын
masta una utangotango au mana kujikuna tu😂
@BMT20235 ай бұрын
Imekuwaje ile mdundo wa Taifa kama Master Jay ataona hii.
@Rashidmaganga65 ай бұрын
Mimi naona master j anaongea ukweli wangemfata huyu mziki wetu ungefika mbali huyu jamaa ni kichwa namkubali sana
@AmusedNaturalRock-gt9rx5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@eaglebeko5 ай бұрын
Wajina i already take note, Nwakati wa kufanyia kazi BONGOFLAVA
@nduwimana6695 ай бұрын
Mr j
@empafricatv5 ай бұрын
Mastar
@benjaminikazi5 ай бұрын
Master Jay unamaanisha ndoa ya bongo fleva imeshakufa mama ana watoto 4 lakini baba tofauti
@N.T.KDigitalCreation4 ай бұрын
Bongoflavour imesimama na yeye ameshirika.
@dtv67345 ай бұрын
Watu sikuizi hawaangalii uzalendo, Wanaangalia Pesa... it's just Ni Mziki upi una Pesa kwa sasa,, As long as Pesa inaingia....
@Kulindwa5 ай бұрын
Miziki hiyo inaishi kwakuwa watunzi wake na wasikilizaji wake bado wspo hai, watu wasiokuwepo ndio watanena wakibakia wenyewe
@PeterAssenga-r1d5 ай бұрын
Boooonge la Interview
@mwlrobinson4 ай бұрын
😅😊😅😅master j mbona anajikunakuna sana ?
@hamidawamba3 ай бұрын
Anakuhus nin mwanaume mwenzio au unatak ukukune wew?
@Kulindwa5 ай бұрын
Unacheza kile ambacho walaji wanataka maana biashara endelevu ipo hapo, lakini pia unacheza kile ambacho walaji hawajui lakini mchezeshaji anaamini kinachochezwa kitapendwa na walaji
@piuskusenge-jf2ob5 ай бұрын
Hamtaweza kufanikiwa. Kuirudiaha bongo flavour Kwa sababu Tanzania siyo nchi Tanzania ni bara la Africa ndo maana tunamiliki Lugha ya Kiswahili. Na Kiswahili inajulikana kama African Language
@ChoroTesla4 ай бұрын
😂😂😂😂 umeandika nn kaka kiswahili kigumu
@joesplatnumz5 ай бұрын
Master J umeongea madini kabisaaa yaani tatizo ni msaani coz anaenda na upepo
@King_Of_Everything5 ай бұрын
✌️👊👍.
@benjaminikazi5 ай бұрын
Master Jay unamaanisha kwamba siku hizi msanii ndio producer sometimes
@hassanchuji89655 ай бұрын
Uo mziki ulio pigwa hapo ni ishi kwa miyaka Mingi sanaa na Bila kupepesa macho masitr j kwakumia wewe uko poa sanaa
@YunussefuNagawa5 ай бұрын
J nimekusoma waache mapiano
@benjaminikazi5 ай бұрын
Ana maanisha tunajitukanisha huko mambele na kitu pesa 😢😢