BIASHARA YA MANUKATO YALIMFANYA MATIES AACHE KAZI YA KENYE NDEGE

  Рет қаралды 31,135

Dina Marios tv

Dina Marios tv

2 жыл бұрын

Пікірлер: 65
@samiramahmud406
@samiramahmud406 2 жыл бұрын
MashaAllah Dada Anazungumzia Vizuri sana Asante kwa muongozo Mungu Aijaze Baraka Biashara yako zaidi na zaidi, Amiin
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Ni raha kumuona mwanamke anamaendeleo
@ajuayekihwelo1355
@ajuayekihwelo1355 2 жыл бұрын
Hongera sana dada yangu na bosi wangu mwenyezi Mungu akuimarishe zaidi na zaidi katika kazi zako
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
MashaAllah 😍
@suzanjonathan1672
@suzanjonathan1672 Жыл бұрын
Uko vizuri dada sna je mtaji unaohitajika ni kiasi gani
@nigananurunjema
@nigananurunjema 4 ай бұрын
Nimependa jinsi unavyojieleza. Unaelimisha vizuri sana. Una tawi Mwanza au Dar?
@ramadhannjaite8326
@ramadhannjaite8326 2 жыл бұрын
Sawa dada upendo nakukubali tangu upo qatar air ways
@JacklinaMtei
@JacklinaMtei Ай бұрын
Arusha sehemu gani jmn nije dada angu
@user-zj9pr2kh3j
@user-zj9pr2kh3j 5 ай бұрын
Nimeipenda niunge basi nami nifanye dear
@dorismichael3392
@dorismichael3392 Жыл бұрын
Kazi zuri sana umeniamasisha kwakeli
@zaytonuiibrahim791
@zaytonuiibrahim791 2 жыл бұрын
Mashallh
@johasaeed391
@johasaeed391 2 жыл бұрын
asante sana dada mungu akubariki kunifungua akili
@muhammehusna3384
@muhammehusna3384 2 жыл бұрын
Mashallah ,,,
@happykundael7706
@happykundael7706 Жыл бұрын
Arusha upo sehem gan tafadhali
@denicefelix1763
@denicefelix1763 2 жыл бұрын
👍👍👌👌💪💪
@ajuayekihwelo1355
@ajuayekihwelo1355 2 жыл бұрын
Msalimu na huyo Matha
@rosembuya8761
@rosembuya8761 2 жыл бұрын
Dada nimekupenda uko vizuri sana naomba no yako my dear
@bikilamngashabani3263
@bikilamngashabani3263 2 жыл бұрын
Ndo mtihani nilionao Mungu nisaidie
@salmakiyabosiriyamachoziha8756
@salmakiyabosiriyamachoziha8756 2 жыл бұрын
Hongra kwa juhud hizo Mam
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 2 жыл бұрын
Mashaallah
@hegiselkok9888
@hegiselkok9888 Жыл бұрын
Huyu dada n dada kweli, hana wivu na mfanikio ya mwanamke mwingnie, anakupa njia
@lissamsalu12345
@lissamsalu12345 2 жыл бұрын
Napenda Sana business ya pafm
@iboibo2989
@iboibo2989 2 жыл бұрын
Kama upo.sirias tufanye
@halimaabdulaza2345
@halimaabdulaza2345 2 жыл бұрын
Nimependa sana iyo biashara
@johasaeed391
@johasaeed391 2 жыл бұрын
twende kazi mpenzi nasi tujumuike tujuwe tu mtaji tunaanza na ngapi
@happymarksimwita5244
@happymarksimwita5244 7 ай бұрын
Vip mnajumulisha
@user-ie5xs4nm4m
@user-ie5xs4nm4m 8 ай бұрын
Namba ya simu tafathali
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@evodiusrugakingira88
@evodiusrugakingira88 2 жыл бұрын
Absolutely🤣🤣🤣
@rosemarymare8435
@rosemarymare8435 Жыл бұрын
Mungu hakubariki tena nate naomba dada yangu ata mimi nataka kujifuza naomba utufuze online thafadali mm ni mukenya nakugoja mafuzo yoko sister
@fatumamashombo7152
@fatumamashombo7152 5 ай бұрын
Hapa Arusha unapatikana eneo gani tuje kukungisha
@maryam-lt2lo
@maryam-lt2lo Жыл бұрын
Mamb dada
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 Жыл бұрын
Dada anajielezea vzur mpka raha
@rosembuya8761
@rosembuya8761 2 жыл бұрын
Naomba no yako my na mm nijikwamue kiuchumi
@humudseif7462
@humudseif7462 Ай бұрын
Inawezekana kupata number za uyu mama mimi sipo tzd
@happykundael7706
@happykundael7706 Жыл бұрын
Au kwa anaejua anawez akanijib
@petermuganda7322
@petermuganda7322 5 ай бұрын
Dada hutoi mafunzo huna groups za watsup???
@fatmadevd8072
@fatmadevd8072 Жыл бұрын
Nahitaji number ya huyu Dada jmn naipataje.. Nataka kuwa mteja wake please kwa alie na number yk😢😢😢
@timehassan5678
@timehassan5678 2 жыл бұрын
lakini hakuweka namba ya bishara kama mtu anahitaji atapataje
@salmauae2261
@salmauae2261 2 жыл бұрын
Vizuli
@timahproducts001
@timahproducts001 2 жыл бұрын
Nilichojifunza mafanikio yanaitaji uvumilivu najuhud cjackia mtu kafanikiwa na kusimama kwa wakat mfupi tu
@halimaabdulaza2345
@halimaabdulaza2345 2 жыл бұрын
Samahani dada angu napenda nifanye biashara kama yako so naomba contact yako ili tufanye mawasiliano piya nishauri katk iyo biashara
@lissamsalu12345
@lissamsalu12345 2 жыл бұрын
Lakini sijui mtaji shingapi
@virendavictoria5174
@virendavictoria5174 2 жыл бұрын
Mojawapo ya sababu watu wanashindwa kuanzisha biashara au wanafeli hata wakianza ni hili swali lako...
@zamdakimaro2973
@zamdakimaro2973 2 жыл бұрын
JAMANI NATAMANI SANA UJASIRIAMALI ILA KILA NIKIJARIBU NAFELI
@maguga
@maguga 2 жыл бұрын
Sio wewe tuu Mie nipo Dubai lakin nimejalibu zinafell kwakwel
@rachelfrancis9440
@rachelfrancis9440 2 жыл бұрын
Mungu kwanza jamon.. Kila jambo mshirikish mungu
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe Жыл бұрын
anza kupitia uwezo wako
@emmychitunga8304
@emmychitunga8304 2 жыл бұрын
Dada misijuagi kabisaa kuchagua pafyumu inayoweza kunifanya kuwa na harufu nzuri je waweza kunisaidia kupata pafyumu nzuri nipo mlandizi na je ntaipataje
@samiramahmud406
@samiramahmud406 2 жыл бұрын
Kuchagua perfume Inakuwa inategemea Unapenda harufu za Maua mfano Yasmin,Rose, Ylanglang,Patchouli etc Sana haya mauwa yanatumika kwenye Perfume, Au kuna perfume Harufu Ya Fruits kama Peach fruits,Rasbery etc Sana zinatumiaka kwenye Perfume Harufu hizo Na Pia kuna Harufu Ya Sweets Na Harufu ya Oud Inakuwa na Harufu ya udi Imechanganywa Kwa hiyo una Ponunua Perfume Unaweza kuulizwa unapenda Harufu Za Aina Gani Mauwa? Matunda? Sweet? Or Udi ? Na kadhalika
@emmychitunga8304
@emmychitunga8304 2 жыл бұрын
@@samiramahmud406 napenda yasmin ila sasa nikiingia dukani pafyumu zote huwa naona zina harufu moja ndomaana nikaomba msaada napenda sana manukato ila ndohivyo dd
@iboibo2989
@iboibo2989 2 жыл бұрын
Da dina nipefursa nionganishe na huyo dada wa pafyum,niwe nafanya nae buashara,nimletee pafyumu,mimi pia mwanamke wa shoka nipo dubai please nionganishie tufanyenae biashara
@josephineittika7738
@josephineittika7738 2 жыл бұрын
Unaweza toa contacts zako kuwa faida ya wengi
@iboibo2989
@iboibo2989 2 жыл бұрын
@@josephineittika7738 kama upo siriasi weka no tuchat wtsap
@maishayetukilasiku7365
@maishayetukilasiku7365 2 жыл бұрын
Helow naweza kukupataje ndugu
@husnaabdarasuly4370
@husnaabdarasuly4370 2 жыл бұрын
Mashaa Allah Tabaraka Rah'man dada nakupataje namba zako unisaidie nimependa sana maongozi yako nisaidie dada na una ushaur mzr sanaaa
@floramusira4612
@floramusira4612 2 жыл бұрын
@@josephineittika7738 nakuona
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA BIASHARA
16:16
Jenifer Jovin
Рет қаралды 17 М.
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 10 М.
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 26 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 37 МЛН
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 28 М.