No video

"NIMEANZA KWA KUUZA DAGAA SASA NAMILIKI HOTELI" ,MWANA MAMA ANAE UANZA VIZURI MWAKA 2022

  Рет қаралды 43,648

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

AyoTV, millaradayo.com inakukutanisha na Mwana mama alipambana kwa kuuza dagaa kwa kuanza na mtaji mdogo hadi kufikia kumiliki Hoteli mwenyewe mwaka mwaka 2022 na ilikuwa ni ndoto yake kwa miaka 10

Пікірлер: 104
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Comment nyingi utaona kwanini sisi hufa masikini. Watu hawaamini katima kufanya kazi, wanaamini katika kupewa pesa nyingi za zali la mantali na pia hawaamini katika kuanzia chini. Mtu anaona kufanikiwa ni mpaka uanze na mtaji wa mamilioni. Kama huwezi kuiheshimu na kuitumia vizuri elf 10, hata ukipewa mamilioni hutotoka. Wengi wametoka kwa kuanzia mbali na wana nidhamu ya pesa ndio maana wengi anafanikiwa kuanzia miaka ya 30 mwishoni na kuendelea..anakuwa maestruggle sana nyuma. Labda hela iwe ya kurithi. Ila ukizaliwa familia ya chini ukafanya kazi kwa bidii na bila kuamini kwenye ndoto za aliinacha utafanikiwa tu
@fatianasibu5923
@fatianasibu5923 Жыл бұрын
Mfano mzuri wa kuigwa hata mimi natakani siku moja nimiliki nyumba za kupangisha hapa mwanza ama dar niombeeni dua ndugu zanguni
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
Jamanii hongera dadaa nilikuwepo siku ya uzinduzi hapo na shoga angu Diana Kabogo!
@halimamis4236
@halimamis4236 2 жыл бұрын
Mwanamke Akiamua anaweza, mwanamke mpango mzima
@Neemakilimba
@Neemakilimba 2 жыл бұрын
Kabisa umeongea Ila Kuna watu wakishindwa huwa wanawaza kuwa wote tumeshindwa Pole yao
@joelkulwa707
@joelkulwa707 2 жыл бұрын
Acheni kuwa na mawazo etiiii kirahisi ivyoo fanyeni kazi kama unaona haviwezekani wengine wanaweza unadhani dagaa hazilipi??lets be motivated guy's....
@joycekikome383
@joycekikome383 2 жыл бұрын
Kabisa kakaangu
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p Ай бұрын
Bro unajua sana achana na hawa wabongo wenye fikra finyu na za kipuuzi
@IreneAbduly
@IreneAbduly 4 ай бұрын
Mfani mzuli sana dada me natamani nimiliki nyumba za kupanga mungu saidia kazi za mikono yetu🙏🙏🙏
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Unanipa ujasiri Sana, nami napambana kiukweli. Japo hotel sijawahi kuifikiria, ila gari la abiria Nina ndoto nalo kwelikweli🤣. Niombeeni dua jamani.
@ashuramussa2011
@ashuramussa2011 2 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi inshaallah
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
@@ashuramussa2011 Amina Yarrabilalamina 🤲
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 2 жыл бұрын
kwakweli kama hauna nyumba usinunue gari sasa huyu mama hino hotel haitafanya vizuri aweza pangisjaa lakini gari likingowa viafaa vyake ni gali na mara nyingi huishia hivyoo tuu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
@@fauziaabdullah3733 Nina nyumba mbili Sasa, Alhamdullillah. Na Nina kazi yenye kipato kizuri, ndiyo maana nawaza gari la abiria kipenzi
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 2 жыл бұрын
ok vizuri kama ni hivyoo
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 жыл бұрын
Ahsant Sana milard ayo tv kujitoa kusuport kazi za wenzako MUNGU akubaliki kuna Media hawana mambo kama aya yakwako kazi zao ni kampain tu..
@robbysam4828
@robbysam4828 2 жыл бұрын
Big up sister! Ur a fighter
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 2 жыл бұрын
Hahahaha jidanganye2 kauze na ww dagaa uone maisha yanasilikubwa sana ackuambie MTU tulio wengi huwa tuna adisia ile jujuu2 ila kiundani inabaki sili ya MTU bnafsi hawez kusema alifanya nn na nn hadi kafika hapo ulipo kikubwa atakuambia nimepambana mala mungu kanisaidia ila vingine vitabaki sehemu ya maisha yake kwahyo jifanye kukopi uone
@lissacosmas6978
@lissacosmas6978 2 жыл бұрын
kweli sio dagaa tu watu wasimamishe masikio eti ni dagaa
@penuelmichael1240
@penuelmichael1240 2 жыл бұрын
Uko sahihi sana hakuna mtu anaehadisia ukweli halisi wanahadisia juujuu
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 2 жыл бұрын
@@penuelmichael1240 wanafki hao unakuta wengine wana misukule wengine wana mahilizi kicngizio dagaa mala Karanga mala pipi weee kila mtu apambane tu na maisha yake
@penuelmichael1240
@penuelmichael1240 2 жыл бұрын
@@shabanikamsawa181 yani mninguni watu watafika wamechoka sana! 😂😂
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 2 жыл бұрын
@@penuelmichael1240 wanazingua hao wanatuongezea stress za maisha tu
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Uyu mama ata kuwa ana BWANA mwenye minoti kamchuna uko sio mchezo jaman kufanikiwa mbaka apende mungu sio dawa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯noma mademu noma
@cmsa1r
@cmsa1r 2 жыл бұрын
Tafuta na wewe bwana
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 жыл бұрын
Endelea kulala ukiamini wenzio wanahongwa. Mwanaume mzima wivuuuu. Puuuuuuu!
@baiaaa2809
@baiaaa2809 2 жыл бұрын
Hakuna cha bwana hapo ni mipango ya mungu 2
@shukuruyunosy8066
@shukuruyunosy8066 2 жыл бұрын
Huyo dada ni mwoongo hiyo hotel sio yake najua mmiliki wa hotel hiyo tena sio hiyo tu mwenye hotel hiyo anaishi mbeya huyo ni kibaraka tu hana hata mia mbovu
@Neemakilimba
@Neemakilimba 2 жыл бұрын
Wivu
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 2 жыл бұрын
Ukwel wa maisha anayo mtu mwenyew bhanaa,itabid tukubaliane tu..
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 жыл бұрын
Very good Dada .Dreamteam big hata me Zary namuelewa anarchistischen Real sio hawa wauza sura alafu pakulala hawana picha nzuri wanapigia hotelini
@shedy_marie
@shedy_marie 2 жыл бұрын
Jmn daah nimependa hii mungu aniongoze na mimi
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 2 жыл бұрын
Hongera sana mwaya.we ni super woman.
@idanyahmed8701
@idanyahmed8701 2 жыл бұрын
Hahahaha kirahis hivyooooo😀😀😀😀😀aseme ukweliii tu
@karmytv5917
@karmytv5917 2 жыл бұрын
Nice..
@theresiapastory9637
@theresiapastory9637 2 жыл бұрын
Hamna kityu hapo tucdanganyane hiyo cyo dagaa, nyuma yake kuna nguvu kubwa ya sponser
@amanimtasha2584
@amanimtasha2584 2 жыл бұрын
👏🏿👏🏿😂😂
@neemaelias1323
@neemaelias1323 2 жыл бұрын
Watu wanamalengo wew
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Kadange na wewe uwone kama ni rahisi
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 2 жыл бұрын
Kadange na wwe
@bakarikiavia5759
@bakarikiavia5759 2 жыл бұрын
Safi sana dada uwapa ujasiri wengine
@katotopesaofficial
@katotopesaofficial 2 жыл бұрын
Hahaha Tunaijua hiyoo 😂 eti unakuta nimeanza na kuku wawil Saiv na mabanda 30
@maulidkipanya9930
@maulidkipanya9930 2 жыл бұрын
Danga la boss wangu.. 🤣🤣🤣 ila watu.. kwenye muvi hapo nakubali ila huo mjengo ametupiga zongo
@jannethygibson686
@jannethygibson686 2 жыл бұрын
Hahaha😁😁😁😁
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 Жыл бұрын
Mashaalah
@leonardmisalaba7946
@leonardmisalaba7946 Жыл бұрын
Hongera saana dada
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 2 жыл бұрын
Milady Ayo naomba waambieni operations officers wenu wa mikoani, wataje majina ya wamiliki, that's it
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Acha tupambane ndoto yangu siku moja nije kuwa namiliki hotel yangu kwa ajili ya kuuza chakula sababu ndo kitu napenda
@kevinmary7129
@kevinmary7129 7 ай бұрын
Kiwanja hapo ni zaid 200M waache uongo labda kudaga
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 2 жыл бұрын
Eti Zari!😀 haki Zari kivyangu hanivutii kumuiga 😩
@shedy_marie
@shedy_marie 2 жыл бұрын
Zari wa diamond au
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Hongera sana
@samiamagaye5832
@samiamagaye5832 2 жыл бұрын
Ongera dada angu , enhee hotel yako inatwaje? Plz nambie
@justinemaganga7734
@justinemaganga7734 2 жыл бұрын
Aise nachukia story za uongo hiyo dagaa acheni
@lemathomas2862
@lemathomas2862 2 жыл бұрын
Hongera zake ila nahisi kuna vingi tumefichwa
@fatianasibu5923
@fatianasibu5923 Жыл бұрын
Kwa akili ya harakaharaka kasema amekua akiigiza pia na kuuza dagaa na pia kupika kwenye maharishi izo zote zimechangia sio dagaa pekee
@aminahahlubayt7399
@aminahahlubayt7399 2 жыл бұрын
My dream inshaallah
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 2 жыл бұрын
Hushpuppy alitupiga Chenga kama hizo kuwa alikuwa anafanya real estate...kumbe fraudster
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 2 жыл бұрын
Mmmmh endeleeni na hizo kauli
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 2 жыл бұрын
Uza nawewe uone kama utaweza kujenga nananiii inambeba masponsa
@onesmoretz2785
@onesmoretz2785 2 жыл бұрын
Hapa kuna mfanya biasha mkubwa tu ambae ana hela zake kaamua kuitangaza hotel yake kwa njia hio. Huyo dada hapo sio yake, hakuna kitu km hicho eti kaanza kuuza dagaa miaka minne iliopita ndo kafikia hapo. Hicho kiwanja tu milion 100 na zaidi inamaana hio miaka minne kwa kila mwaka alikua anatengeza zaid ya milioni 150 ????😃😃😃 Sema hio ni promotion na huyo mtangazaji anajua kila kitu
@josephurupia4653
@josephurupia4653 2 жыл бұрын
Hakuna kiwanja cha milioni mia na hapo hata hiyo nyumba haizidi milioni 80.
@onesmoretz2785
@onesmoretz2785 2 жыл бұрын
@@josephurupia4653 ushawahi kujenga boss km hujawahi kujenga huez jua gharama za ujenzi, iyo nyumba kwa jins tulivooneshwa mpa ndani inazidi 400M
@evenlightpatrick7225
@evenlightpatrick7225 2 жыл бұрын
Ukweli anaujua yeye ....Ila mi naamini kafanya kazi na dagaa zinalipa Kama alitia juhudi naimani Ni pesa yake...
@patrinussanga3081
@patrinussanga3081 2 жыл бұрын
Jamani biashara Ina Siri nzito acheni
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 жыл бұрын
Izi ndoto huotwa mchana au usiku jmn nisaidieni
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 2 жыл бұрын
Hongera mama angalia magari anayo miliki 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/pH-Yn4Juhqqfjqs
@ashahassan2120
@ashahassan2120 Жыл бұрын
Wanawake tupo
@bahatiteti9599
@bahatiteti9599 2 жыл бұрын
Tunadanganyana sana
@raymonddaud543
@raymonddaud543 2 жыл бұрын
Njee ya box anajua yeyeee.
@paulthomas2748
@paulthomas2748 2 жыл бұрын
Huyu katudanganyaa sana
@fetyalmas698
@fetyalmas698 2 жыл бұрын
@shabani kamsawa,kaka uneongea kweli kbs maisha Yana Siri kubwa Sana tena saaaaa,asikudanganye mtu
@kevinmary7129
@kevinmary7129 7 ай бұрын
Biashara au kudaga
@imanho_tza9895
@imanho_tza9895 2 жыл бұрын
Eti ndoo moja la dagaa😂😂
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 2 жыл бұрын
Lakini siumeelewa punguza ushamba
@ezyjob5083
@ezyjob5083 Жыл бұрын
Mbona bakhresa alianza kushona viatu leo hii bonge la Tajiri, amka kijana. Sasa kilichokuchekesha hapa ni wivu tu na mawazo yako finyu.
@godlackdahae6547
@godlackdahae6547 2 жыл бұрын
Dagaa kwa kilo bei gani
@bamurwakana5452
@bamurwakana5452 Жыл бұрын
Acha uongo ww ni daga 2
@MZEEWA255
@MZEEWA255 2 жыл бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🇹🇿🇹🇿
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Weng wanasemaga hivyohivyo baada ya siku kadhaa unaskia wamekatwa na dona
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Dada waongo hao
@mahrooqsuleiman7216
@mahrooqsuleiman7216 2 жыл бұрын
Uongo mtupu
@kaayakitomary1233
@kaayakitomary1233 2 жыл бұрын
Weeeeeee subutu yako ety watu tuna haso miaka nenda rud we unanyota gan ya miaka 4 upate hv
@evenlightpatrick7225
@evenlightpatrick7225 2 жыл бұрын
Kila mtu na bahati yake mpenz....huenda wewe Ni Kati kati ya mwaka huu ....endelea kufanya kazi na kusali mpenz
@gracegrace2561
@gracegrace2561 9 ай бұрын
​@@evenlightpatrick7225watu Huwa hawaamini lakin inawezekana sana
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p Ай бұрын
We ni mpuuzi
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 13 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
MTANZANIA ABUNI JIKO LINALOTUMIA MAWE BADALA YA MKAA.
4:19
HANDSOME AFUNGUKA ANAVYOPIGA PESA KWA KUUZA UJI MTAANI!
14:30
Global TV Online
Рет қаралды 9 М.