Beautiful muweke ufahamu kwamungu. shetani asiingilie ndoa yenu kwajina la Jesu. Maana shetani hupenda kuvunja ndoa zamungu Ili msiwe mwili mmoja. anawivu na ndoa za binadamu kwakuwa yeye Hana ndoa. hukasirika watu wakioana. Naifinika ndoa yenu kwadamu ya yesu. Amen.
@moureen90762 жыл бұрын
I will get the money from the ATM on
@deemaytsino7881 Жыл бұрын
Ndoa nzuri can Mungu awape maixh maref
@lizzykay13213 жыл бұрын
Ambao mnasema vibaya kuhusu Bibi harusi hiyo Ni wivu kabisaaa.. mnadjani kuwa kwenye ndoa Ni Kitu cha kawaida.. Mungu akawa kiongozi wenu .. vibaya viwe mbali Nanyi
@HI-cd9fp2 жыл бұрын
Bibi harusi, bona umekasirika sanaaa. Its your big day b smily
Huyo bibi amenuna nini ama she was forced to get married.
@nancyabuga79442 жыл бұрын
Ata kama huyu bibi harusi amekasirika sana
@jacksonnduna44192 жыл бұрын
Village wedding are so sweet ,& love
@ciarmnyone7383 жыл бұрын
Ndoa nyingi za makanisa ya kilopitiii niza kulazimishwaaa😋 ....unajikuta tu unaitwa ofcn na mchungaji
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
😁😁😁😂Wewe muongo😂😂😂😀🤣🤪
@lizzybahati37392 жыл бұрын
Uwiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣
@victorianchimbi86402 ай бұрын
Lkn una uwezo wa kukataa
@tammyblessing63673 жыл бұрын
Hii ime lazimishwa ama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 eeeish Bibi harusi facial expressions tells it all
@philesgesare51443 жыл бұрын
Nashangaa sana😂😂😂
@brendyjosephs72193 жыл бұрын
@@philesgesare5144 yaani hata tabasamu hamna kwake 😂😂🤔
@faithmuisyo7583 жыл бұрын
She is shy anaina soni
@siamnyone84032 жыл бұрын
Ndo inavyo takiwaaaa sio maarusii wa mchongo ...
@winelameck42812 жыл бұрын
😃😃😃😃
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Binti kafundika haswa, hongera kwa Wazazi wake sana
@jumathabit38242 жыл бұрын
Em mfanye m comment kiswahili khaa wengine atujui kizungu afu tunataka kujua mmesema nn
@arifyusuph68242 жыл бұрын
Mmependeza maharisi jamani nimependa haupo magoti ya bibi harusi mungu awatangulie ktk ndoa yenu kwa kweli ibirisi awe mbali nanyi
@SarafinaKajiji-um3mm2 ай бұрын
Ndoa sio kitu rahisi bi harusi kajitahidi mi narusha tarehe kila leo😅😅
@hellendiana6253 жыл бұрын
Love is soooooo sweet,may God bless ur marriage
@irenemoraa91362 жыл бұрын
I love this wedding Beautiful The lady is a virgin She is loving ❤ to his family dilemma to leave them. She is shy and mean. Congratulations 🎊 👏 blessed family
@salakajia5802 жыл бұрын
Mungu.awatangurie
@joanmakokha23742 жыл бұрын
The wife looks like she was forced in this marriage,amenuna kununa
@hildahamulavu54392 жыл бұрын
Hawa sio wakenya aki....a very simple but beautiful wedding
@mamalao85742 жыл бұрын
Mkenya gani ainame akivalisha bwana pete🤣🤣🤣 Kenya vichwa ngumu
@hannahthuku23552 жыл бұрын
@@mamalao8574 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@miriamushabani91332 жыл бұрын
Mmependeza sana
@florencenjama16842 жыл бұрын
God Bless you Aizack andRebecca
@shiroalice37542 жыл бұрын
The guests are happier than the weds
@entertainmentfree3953 жыл бұрын
Kabikra kabinti kawatu lazima karinge,uñazani mchezo kutunza bikra miaka hii.. wacha karinge tu ,afu ndo maadili yetu haya
@asnethjosephat41462 жыл бұрын
Kigoma yanguu I love you.mwanamke ndio Iko ivyo.
@elizamponzi72722 жыл бұрын
Yaani we bibi harusi hata mbel huangalii mda ote unaangalia chini 🙄🙄
@yvonnejoyce2 жыл бұрын
Wow so beautiful 🥰🥰
@aishaian86252 жыл бұрын
May God protect your marriage
@nikkioh75842 жыл бұрын
Everyone looked happy BUT the NEW BRIDE !🤷🏽♀️ no one should be forced to get married
@shiimarine69132 жыл бұрын
Love is a beautiful thing when it's true
@happinesstesha70613 жыл бұрын
Duh bibi harusi sio kwa mnuno huo jamani sijaelewa labda kalazimishwa.
@emes6023 жыл бұрын
Hii nzur ila bibi harus kuna mambo hakuyapenda
@loisewaithiru56812 жыл бұрын
Nawaombe mazuri
@fidesinimahye74453 жыл бұрын
Mungu Ibariki ndowa yenu🙏😢❤❤❤❤❤
@anastaziajohn63082 жыл бұрын
Angalau mwanaume ana kaushirikiano jap c sana ila bi Dada umekaza sana
@jacklinejacklinejonh65302 жыл бұрын
Hawa kabila gani na nimkoa gani jamani
@mathewdeus99782 жыл бұрын
Raha sana Mungu awajalie mfike mbali
@sophiakinyua64152 жыл бұрын
Congratulations,, it was a nice one
@ricksonlyimo55943 жыл бұрын
Ndoa ya kibabe mamaeeeeee bi harusi mwanzo mwisho mnuno tu ila uko kuoshana miguu akutokuepo tena uko mbeleni yaan bi harusi aoneshi ushilikiano kama jamaa yuko na furha kinoma
@tumainimwanyonga57533 жыл бұрын
Hugo ndio mwanamke na wamtunza ujana Mungu Atawatukuza
@sylviatesha46633 жыл бұрын
Hahaha ahahhahah nimecheka jmn. Huyo kalazimishwa ati
@ricksonlyimo55943 жыл бұрын
@@tumainimwanyonga5753 hiyo ndoa ya kibabe mwanamke anaonesha ukimzingua nae atakuzingua ndani
Because she was not happy that made me to watch this clip .wish you well in life mungu mbele
@elizabethnaom25492 жыл бұрын
😢😢True
@surendereka59823 жыл бұрын
Nyie mnamnong'oneza bi harusi nini hadi analia Kigoma oyeeee
@lucyrajabu40813 жыл бұрын
I like it, wonderful, Mungu awatunze
@avilamsigwa1682 жыл бұрын
Nimependa
@rehemakomba63762 жыл бұрын
Biharusi kanuna Hana hata tabasamu au kalazimishwa
@sultana4412 жыл бұрын
Mungu awajazie heri
@joycekasangila60713 жыл бұрын
Mhh alianzaje hadi kufika hapo si angekataa mapema
@charitykamau47853 жыл бұрын
The bride is so sad she can't even give a smile
@lucymuthoni97192 жыл бұрын
Ako serious ni kama hakutaka kuolewa aki
@sylviatesha46633 жыл бұрын
Bibi harusi mbona km amelazimishwa kuolewa na mshkaji?? Maana mskaji ako na tabasamu km loote Ila Bibi harusi kanunaaaaa
@easterurio77883 жыл бұрын
Kumbe na wewe umeonaee
@sylviatesha46633 жыл бұрын
@@easterurio7788 Ndiyo jmn ndugu yanguuuu.
@ireenlembrice53972 жыл бұрын
Good wedding god bless both u
@elieshishamy96222 жыл бұрын
Sasa mtu akianguka mtoni ataendaje ukumbini
@neemamasseta99942 жыл бұрын
Mi nazanj bb harusi anakaushamba kidogo.
@hillanmutuma18232 жыл бұрын
Mungu away bariki
@catherinesifa13332 жыл бұрын
If it was me I would run away because no one can force anything to me ✌️ Something was not okay to the bride.
@teresianjeri61772 жыл бұрын
Exactly 👍
@olameclarkjoseph86312 жыл бұрын
Bibi harusi ananuna sana aiseee, nikama kalazimishwa kuolewa😃😃
@aishamusumba84693 жыл бұрын
Bb Arusi ataki hii ndoa
@tammyblessing63673 жыл бұрын
Kweli kabisa amefura kama mandazi ya 10bob 😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
@marthaouma83342 жыл бұрын
Congratulations to both of you. I love the way everything was being done❤❤❤❤
@joycasternzisa6672 жыл бұрын
Congratulation
@amosmutuvi Жыл бұрын
Wah ni ya kipekee
@samuelmuteti54472 жыл бұрын
My God hiyo iko poa
@janetbarasa27772 жыл бұрын
Have a blessed marriage
@neemameshacknyato2272 жыл бұрын
Hongelen Sana mlidamshi
@christabelimonje49643 жыл бұрын
Congratulations may God protects ur marriage
@Liz-pc2sp2 жыл бұрын
God bless your wedding
@meliceemmanuel63573 жыл бұрын
Nmeipenda xn Mungu awape maixha maref
@josephrubanda2822 жыл бұрын
Bwana arus alipitia jeshi kdogo
@josephineilaya68153 жыл бұрын
What is happening here? I need interpretation.
@marykibwana94132 жыл бұрын
Wajina TV nawakubali sana
@shiruvictorious59612 жыл бұрын
What's happening with the bride, was she forced to marry the man, she's not happy at all
@WinWilly41622 жыл бұрын
Kwetu kigoma bi harusi hatakiwa kucheka wakati wa harusi ataonekana malaya😀
@mecktildatushabe78982 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@janethfelix94112 жыл бұрын
🤣😂😂😂
@عمرر-ف1غ3 жыл бұрын
Mwanadada anafikiria tu vile atakavyo fanyiwa usiku furaha inapotea😁😁
@addo09693 жыл бұрын
Bora wewe umelitambua hilo watu wanakoment bila kuchunguza mazingira bint sio kwamba hajapenda ila unajua kwa msichana ambaye hajafanya hilo jambo lazma mawazo yake hayako hapo kwa hyo hilo tabasam mnalotaka hamuwezi kuliona hapo hata huyo bwana harusi pia anawaza badae atamuanzaje na Huenda anajua kuwa bint hajawahi fanya huku mjin ndio utakuta biharusi hdi anaimba anaruka kama mc
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
😂😂😂
@lizzybahati37392 жыл бұрын
😂😂😂
@jeniphermassawe30373 жыл бұрын
Hahaa arusi za kijijini ndo zilivo lazima ulie lazima uwe na uoga wa uko unakokwenda unafikiria kweli ndo nawaacha wazazi wangu,ila mjini mabibi arusi tunajiachia ata umuogopi ba mkwe hahaaaa
@lydiaemmanuel78933 жыл бұрын
Vijijin wanaolewa Kwa kulazimishwa Yaan kijana anakuja TU nyumban anaongea na wazee then Wewe unaitwa na ukikitaa unalazimishwa
@jeniphermassawe30373 жыл бұрын
@@lydiaemmanuel7893 du kwan zile enzi mpaka leo zipo
@eshyndibalema15293 жыл бұрын
Unaona sifa gani kwa kujiachia hata ba mkwe humuogopi huna haya ndio maana mnaolewa mwaka na kuachika mshipa wa aibu umeisha katika
@enizetv51963 жыл бұрын
Nisipofulai siku yaharusi nitafukaiini sasa mhh najiachia maana nibahati
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Upo sahihi ninavyo juwa mimi siku ya kuolewa lazima utajihsi tofauti na hao muonao wajiachia ndo maana hawachukui second 2 washachana hii siku sio mchezo japo watu huichukulia kama sifa
@dionisiakitambwa82752 жыл бұрын
Waha bwana nawapenda Kasuru moja
@mcnyato57752 жыл бұрын
Hongera San brother naomba no yako
@catherinenakato41502 жыл бұрын
Our Africa. But she was Not smiling at all. Are we sure she wanted to get married 🤔 I hope it wasn't arranged marriage.
@gibsonjosephat63522 жыл бұрын
Kwa ufupi tu WAJINA TV wanatengeneza matukio kama haya. Hakuna kilichotokea kama hiki.
@lilianeerica33183 жыл бұрын
Hawa wanasema kirundi mi nimesikiya kirundi ca kwetu huu baba ameongeya
@musokedios81623 жыл бұрын
Aliyeona bwana harusi mnara unasoma 3G atoe like
@mwajumsleman90702 жыл бұрын
Uyo biharuc anamuhma na woga na so km kalazimishwa pia kajikaza sna hasaa
@lucykcira21893 жыл бұрын
Wenye harusi hawafurahi kama walioshuhudia,ama kwanini wanakaakushtuka?
@salamaalihamadi47302 жыл бұрын
Itakuwa amelazimishwa huyo
@renatusmtinangi55522 жыл бұрын
Ila kulia kwa wanawake ni kawaida tu?
@linetnekesa80193 жыл бұрын
Huyu dada n mwoka mweleweni jamani demu wa bara huyu
@empressraj24183 жыл бұрын
Hii harusi ni ya kulazimishwa alaa she's so dull🤣
@shiroalice37542 жыл бұрын
Nkttest 😏😏😏😏hata smile and it's your day shuaary???
@helenmaina37893 жыл бұрын
Hii DOA kwani niya ku lazimiswa.wa ongeleswe sana na watu wazee kuwa liko.