Watu wanavomsema huyu mama muongo unadhani walikuwepo ..... Mungu atulindie wanetu Pole Sana mama Abby na familia
@eunicenjeri61794 жыл бұрын
Kk kill
@MrishoWillson-z9gАй бұрын
Ndida 0:00
@yshamwilima33014 жыл бұрын
Innalilah wainailah rajuun,bibi mtu sijakuelewa sioni uchungu ndani yako ,pole sana mama wa mtoto mshukuru mungu kwa kila jambo
@faithpanga35914 жыл бұрын
Msipende kujudge, uchungu wa mtu siyo usoni ni moyoni.
@IssaMussa-g3f15 күн бұрын
Jamani tumuombe mwenyezi Mungu sana atulinde kwa kila hali mana hatujui wabaya wetu wapo wapi pole sana mama wa mtoto
@eshynassor56664 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ndie Mlinzi wa watoto na Wajukuu zetu
@vedastinakamgisha15452 жыл бұрын
Pole sana mungu amlaze mtoto wamalaika maala pema peponi amina
@giftkisika60254 жыл бұрын
Watu mnapenda kukoment hata mjamaliza kusikiliza bibi alimrekodi yule binti mabinti wa kazi ni shida tena msiwatetee nikuomba mungu atulindie familia zetu
@juliethewald32114 жыл бұрын
Ni kwel kbsa
@NantaikaMaufi4 ай бұрын
@@juliethewald3211😅
@FatumaJambia-m8q7 күн бұрын
Na hao mabosi mda mwingine wanawanyanyasa sana wadada wa kazi ndio maana nawao wanalipa
@salomengalya38222 жыл бұрын
Pole dada pia muombee malaika mungu ampumzshe salama amina
@kwimanizyampemba20444 жыл бұрын
Hakika.mungu akumbuke watoto wetu ,pollen sana
@rehemakabali93274 жыл бұрын
kah!!! machozi yananitoka hapa yaan nimechoka had akili, poleni sana wafiwa,mungu awatie nguvu make peke yenu hamuwez, apumzke kwa amani mtoto jaman,
@phelistusmbna8772 жыл бұрын
Poleni sana
@alqershrent24392 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭@@phelistusmbna877 from Uganda
@annayohana33104 жыл бұрын
Duh! Iko kazi inauma sana, sana, mungu atusaidie.
@AdelinaJoseph-v3f52 минут бұрын
Jamani maelezo ya bb sijayaelewa Mungu pekee ndo anajua
@tushemerirwevanisi81564 жыл бұрын
Huyu mama hata macho yake yana oneshauongo ya mwanzo hayafanani na yamwisho na yana iya inasema usimuhukumu mwenziyo kabura haujahukumiwa acha mungu afanye kazi zake
@marrybonephacy52454 жыл бұрын
Kwanza hy mama anaonekana mchawi kabixaa mwone kwanza macho yk yalivo makavu
@MeckrinaAlfeo2 ай бұрын
Pole san mam w mtot mung utakup mtot mwing ni mipang t y shetan🎉🎉
@wahidabogoyo89094 жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pem pepon amin
@joannembaja60534 жыл бұрын
Mungu ndiye ajuaye ukweli..tumuombee huyo dada asaidiwe.Mungu atamkoboa
@gaudensiamganga16954 жыл бұрын
Pole sana ndg na jamaa, imeniuma sn jamani daah watu wamekuwa wakatili mno
@priscabagaza82104 жыл бұрын
A
@asiaissa69134 жыл бұрын
P
@joysorewitindi85424 жыл бұрын
Pole Sana mamy Mungu awe nawe na hakufariji
@mwanahamisiadinani4333 жыл бұрын
Mungu simama mwenyewe kwa nguvu zetu hatuwezi. Ubaki kuwa mlinzi wa Watoto wetu
@yehovaniceeliamringi37143 жыл бұрын
Pole wanawake wafanyakazi . Mungu atusaidie luwalinda watoto wetu
@lailahasan22004 жыл бұрын
Yaani imeniuma kuliko.. Mungu tu ndo mlizi kwa wtt wetu, maana navuta picha itakuwaje na hy maisha bila wadada wa kz na cc tunahangaika na haya maisha 😭😭😭😭😭
@ashwramashallah72424 жыл бұрын
Mtihan walah mngu tusimamie
@rehemaheri54614 жыл бұрын
Uyo afungwe ikiwezekana anyongwe na yeye
@elizakadege52534 жыл бұрын
@@rehemaheri5461 P
@monicahmwkali12094 жыл бұрын
Uongo mutupu kumbuka ww pia mzazi
@rehemamakwendo77434 жыл бұрын
@@rehemaheri5461 uwonqo mtupu kumbuka kila mtu atakufa na kifo chake kwann alivyo rudi asimpeleke hospital ujui mtoto alikuwa anaumwa nini wakat alilia sana
@FelistaMatembo3 ай бұрын
Pole sana mama wa mtoto mungu akutie nguvu
@imaryvitandavizurisanaimar79204 жыл бұрын
Kwa maelezo ya Bibi mtot anaonekana,siku zake tu zilifika,na mungu alimpenda zaid
@deboramichael24452 жыл бұрын
Jamani pole sana mama mungu atakujalia
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Mie nataman nijue ukwel kutok kwa madakitar ndio watoaj majib ya mwisho ya vpimo, kwan mwil Wa mtt haukupimw, ukute kafa kwel kwa uwezo Wa Mungu au vyyte vile, ila naumia kazaliw cku moja na mie trh, mwezi jmn 😭😭😭mtangazaj utupe mrejesho Wa hil tukio tujue imekuwaje kifo chake
@cuteme48704 жыл бұрын
Hawawezi kuzka bila kufanya postmortem
@carolkandere56964 жыл бұрын
Hu
@carolkandere56964 жыл бұрын
Hj
@victortesha76313 жыл бұрын
Apuzike kwamani
@danfordjackline94264 жыл бұрын
Mama katoka kazin kakuta mtt mzima amelala na anapumua,Mara katoka kazin kakuta mtt kafa,na mtu akipandisha mashetan yy hawez kujijua mpk mtu aliyepemben yake aeleze,Ila ukwel wa hili ni mungu analijua,ingawa inauma sana!pole kwa familia!
@msafiribakari59414 жыл бұрын
Jinsi ilivyo hii story huyu mama ndio anamashetani pole kwa mfanyi kazi Mungu atakulinda kwenye siri iliofichika
@jaylessjoseph36364 жыл бұрын
Duh kwhy hy mama ndo ana mashetan🤣🤣🤣🤣
@teresiahkogi19514 жыл бұрын
Kabisa huyu mama si mzuri
@MariaKarato10 ай бұрын
Polen sana mungu awatangulie ktk maish
@josephinemumbua1594 жыл бұрын
Wewe mama wacha maswali mengi uji uhuwa watoto mungu ndiye ajuaye kifo cha mtoto
@emanuelysaigura84254 жыл бұрын
Na fhdjdmcmdk
@AbbasAli-rk8yf4 жыл бұрын
.
@mulikamartin42423 жыл бұрын
Inahuzunisha xana mungu saidia watoto Wetu😎😎😎
@mariamumilaji8423 жыл бұрын
Kwakweli inabidi tuwe wangalifu na wafanyakazi japo ni sehemu kubwa ya maisha yetu.lnasikitisha sana
@NewtonMugango9 ай бұрын
Poleeni sana,let's pray without ceasing.
@jamil15474 жыл бұрын
Tanzania ziwekwe daycare kila mtaa na bei nafuu na serikali isaidie kuwawezesha watakao anzisha hizo daycare za mitaani
@shabaniguma86964 жыл бұрын
Thubutu mambo ya maana haya wahusu watoto wao wana uangalizi mzuri
@jumazuber21013 жыл бұрын
@@shabaniguma8696 ukweli anaujuwa mungu pekeeake
@alphonsinesingirankabo62744 жыл бұрын
Musikuwe na patiya bafanya kazi ba cunge watoto wenu mama mufanye angalisho pole sana dada
@hamidamnyika52874 жыл бұрын
Mama kamkuta kalala na anahema Sasa imekuwaje amemuua jaman tumuogope mungu..hapo Kuna uongo mungu yupo na atampigania huyo binti.....
@naimaalkiyumi22734 жыл бұрын
Umeona eeh kwa maelezo ya huyu mama watamfunga mdada wa kazi bure sababu mama mtoto kamkuta mtot mapigo ya moyo yanapiga inakuwaje dada kamnyonga?Mungu atatenda haki kati yao
@mwajumahalinga18084 жыл бұрын
Mama huyo nimwongo Mara ya kwanza kauliza mama wa mtoto alikua anahema, tumwigope mungu,
@danimaiko67154 жыл бұрын
Watapata zambi awa hiyo nimipango ya mungu uyo kamkuta mwanae anaheam sasa kamnyonga saangap
@nestertz96774 жыл бұрын
@@naimaalkiyumi2273 a
@joachimrichard30873 жыл бұрын
Acha unafiki je angekua wako
@hgcbj6353 жыл бұрын
Mwenyezi mungu aturindiy watoto
@tianitinnytiano41434 жыл бұрын
May the baby soul rest in peace but uyo mama anakaa asemi ukweli Mungu tuh ndie ajua yalietokea
@VioletAnyango-ei8vy8 ай бұрын
❤poie Kwa hiyo msiba ya Mtoto mudogo kweii inauma Sana poien sana
@sergekakule94923 жыл бұрын
Mungu asaidiye watoto wetu
@monysanga751611 ай бұрын
Ayo maelezo tungesikia toka kwa mhusika alieshinda na mtoto mungu tulindie watoto wetu
@joymgawe65353 жыл бұрын
Mungu achilia ulinzi kwa watoto wetu
@richardelifuraha9182 жыл бұрын
Amen
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Jmn tuwaombeen sana wadada wa kazi maan hii ni kweli maan wengi ni ajent wa kuzm na mda anauwa hajielewagi
@homeboytv82334 жыл бұрын
Hii story mama unae toa maelezo mbna huelewek yaaan mtu amezibw pumz alaf akafa..alaf baada ya dkk 45 anampelek kumlaz kitandani anapumua kwa mbali.. HUYO HOUSEGIRL APATIWE UTETEZI... hii story kam ya kutengenezw ivii...
@mariamkitundu44064 жыл бұрын
labda haelewi anasema nn
@lyslinejepchirchir75594 жыл бұрын
Mimi pia naona hii story si kweli
@gracekangethe80344 жыл бұрын
Amesema alipofika kutoka kazini alipata mtoto anapumua vizuri sasa imekuwa aje alienda kumwangalia akapata amefariki? Naona kama vile huyu mama amepanga hii stori... Mfanya kazi apewe haki!!!!!
@SheltergeorgeAndreaАй бұрын
Poleni mungu awatie nguvu
@saymonguga14714 жыл бұрын
Daaaaaaah inaumaaa sana mungu amuweke huyu MTT mahal pema pepon
Poleni sana mama mungu akituie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@doreenandrew30634 жыл бұрын
Mmmh hayo maelezo siamini hata kidogo khaaaaa 😭😭😭 Mungu atafanya jambo.. hebu tusikie hiyo record
@luciahomwono41484 жыл бұрын
Huyu mama mie ananichanganya, sipendi uongo kabisa, amefanya nisisubscribe. Mara mama ya mtoto alikuja akapata mtoto anapumua huo muda wote, mara mama akaja akaambia msichana beba mtoto... nkt. I hate uongo kabisaaaa, God knows if the lady killed that kid.
@zariaayoub4 ай бұрын
😮poleni Sana mungu atulindie watt wetu Hawa wadada wakazi jamani mh
@ZainabuHemedy-m1f27 күн бұрын
Hy nikaz ya mungu aina makosa msiwahukumu wa dada wakati mabos ndy mnaongoza kwa roho mby unapomnyanyasa mfanyakaz jua unamjengea chuki kwa watoto mpende dada wa Kaz vzr ili kuwatengenezea mazingira mazuri watoto wako kwahy msiukumu dada wa kazi
@annapeter49944 жыл бұрын
Mungu wangu dunia ndo ishaisha
@RosePaulo-w1r Жыл бұрын
Pole sana mama mung yup pamoja na ww. Atamlipwa tu
@monicagabriel43884 жыл бұрын
Jamani Huyo binti anahitaji maombezi kumbe ni mashetani yalimua mtoto siyo Dada wa kazi wewe mama usimsingizie roho wa mungu. ukweli ataongea nani?jamani maombi maombi ni muhimu sana tuwe karibu na wadada wa kazi tusiwaache wenyewe tuwachunguze kabla ya kuwa ajri. Sawa jamani.R.I.P.
@zoeyzozo61814 жыл бұрын
Kasema ni mashetani km kujitetea tuu
@iddyjory70462 жыл бұрын
Hee ww Dada huyo ni muuhaji hakuna cha shetani ,,angekua wako ungesema hivo??
@TinahRashidi2 ай бұрын
Polen san wan familia mungu awatie nguvu
@upendokereti50274 жыл бұрын
Ee Mungu ukawe mlinzi wawatoto wetu
@fatumakaniki41354 жыл бұрын
Mungu atavisaidia vizazi vyetu
@magdalenamrugala7493 жыл бұрын
Jaman mungu akupe nguvu madame kwa msiba uyo malia ukumu yake nikubwa mbele ya mungu
@dianamasaka91294 жыл бұрын
Wadada wa kazitunakazi kwelkwel kilakitu ni sisi mungu tuangalie
@faymahamisi57263 жыл бұрын
Kweli mungu awalinde kila kitu nyiye namabos Wana loo mbaya wengine wanawake yada wadada wakazi ishi nao vizuri yeye unamtesa unategemeya nini kinacho fata kisasi cha kukuumiza na wewe
@DainesSugar4 ай бұрын
Kwakwer tunapitia kipind kigum san
@maryachieng885 Жыл бұрын
Poleni sana kwa familia wenye walipata mkasa..
@mellaniabruno93394 жыл бұрын
Tobahh that's why niliamua kuacha kazi nilee mtoto angu mwenyewe kwa kweli inauma sana
@wisebless53024 жыл бұрын
Yani mwenyewe niliachaga kazi kabisa nileee watoto na nimefanikiwa Bora kujiajiri sitaki kabisa hao wadada
@hajramiraji46784 жыл бұрын
Safi sana maana hiyo ndio kazi zetu wamama basi tu tunataka makubwa lakini ni vyema mama siku zote kuwa na watoto wetu karibu
@johnignas1794 жыл бұрын
Sawa kabisa dada maana mtoto wa miezi hata mwaka bado unamuachiaje mdada na hapo labda mdada alitoka nakumuacha mtoto peke yake mzazi mwenye uchungu awezi muacha mtoto kichanga mungu awape nguvu
@hakikapharmacyltd13532 жыл бұрын
Heeh Mungu walindehaw🧕🧕🧕🧕a watot wetu jaman daah
@daishajumanne59904 жыл бұрын
Kwanza uyu bibi kasema mama wa mtoto kaludi kamkuta kalala na alimtazama kama anavyo mtazamaga yupo sawa sasa uyo mfanya kazi kazi kmnyonga mda gani mbona ma mtu alivyo ludi kazini alikua amelala na anapumua vzr kama alivyo sema uyu bibi mdogo
@Zabibu-v7v Жыл бұрын
Ata mm nmeelewa hivyo ambavyo umeelewa ww huyu dada wa kazi alimnyonga saa ngap
@AminaBakari-gy8wz Жыл бұрын
Inaonekana mama hamjui malehemu
@JamilaMansoor-kk4mr Жыл бұрын
Mmmmmmmh mungu amtetee huyu dada wa kazi 🤔🤔🤔🤔🤔
@JOHNCENA-lc2ju11 ай бұрын
@@AminaBakari-gy8wz wazo lako nilakweli
@JOHNCENA-lc2ju11 ай бұрын
Essa velha está nós estressar porquê a empregada que matou a criança como que ela mata e depois contar?
@GloryElardy5 ай бұрын
Mungu amlaze mahala pema peponi mtoto mzury
@maureenruto55003 жыл бұрын
May God comfort you ...may the innocent soul continue resting peace
@monicahkatana476 Жыл бұрын
Poleni sanaaaa
@HappinessJohn-e4h5 ай бұрын
Aaaaaa jamani atamimi jimdada siwezi Fanya ivo daaaaa pore mdogowangu apumzike sarama jamani 😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭 daaa pore mama angu 😭😭😭inaumasana
@asmarashid7434 жыл бұрын
Mungu ndo ajuaye Kilakitu
@pascolukas24904 жыл бұрын
Ila kweli kanyongwa,fanyeni uchunguzi kiundani zaidi
@tarahjangassa47702 жыл бұрын
mungu amlaze Mahali Pema peponi
@franciscahmasai97034 жыл бұрын
Jamani inasikitisha sana mwenyezi Mungu atusaidie.
@teresiahwatetu44473 жыл бұрын
Woooow aki dunia kuisha abi rip byeer
@doreenmasinde94522 жыл бұрын
May God protect our children
@richardelifuraha9182 жыл бұрын
Amen
@ibrahimyohanalusana59973 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana
@mariamukajiru23024 жыл бұрын
Munguu wanguu najisikia kuumwa, Mungu tusaidie.
@ReginaEvelest10 ай бұрын
Ila jamani Mambo mengine yanasababishwa n mabosi kunyanyasa wafanya kzi ndiy maana watu awtaki kufanya kazi za ndani mupunguze midomo uyo dada mungu amlinde
@fatumamkuzi14754 жыл бұрын
Hata sielewi mm Mama mtoto ali kuja muona mzima jamani Mungu atusamehe madhambi yetu
@edinaboss18353 жыл бұрын
Kwel bana maana mama mtoto alisema alimkuta mtoto mzima akamsilizia vizr akaona yuko vzr sasa imekuwaje!! Duh
@joycekialo16263 жыл бұрын
Poleni sana
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Jamani tumwabudu mungu kwa roho na kweli ili mungu alinde familia zetu
@magrethmanintveld24864 жыл бұрын
Mungu wangu Ni malaika wa Mungu jamani, ungemrekod ingekuwa vizuri Ni ushaidi tosha
@reginakitungulu88304 жыл бұрын
Poleni saaana jaman tujuwe tuko siku za mwisho tuombe sana maana inatisha hii!!!.
@evamlay89974 жыл бұрын
Mama muongo jamani mwachie mungu utapata zambi bureeee
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
Kweli huyu mama nimuongo kbsa cz ameseme kua mama alikuja mkuta anapumua mara abadilishe alikuja mkuta amekufa hajielewi huyu mama
@judithmelvinealuchio89684 жыл бұрын
yakikupata ndio utajuwa unaweza changanyikiwa my friend don't joke
@fabiolafabulauwimana40204 жыл бұрын
@@shifaazawadi4438 kasikilize vizuri hajabadirisha maneno sema wewe ndo unataka kuabadilisha alisema mwanzo mama anafika alikuta mtoto kalala akamusikiliza akasikia anapimiwa baada ya mda ndo akashituka akajiuza mbona mtoto analala sana kurundi kumwangaria akakuta amefariki
@happybakari6434 жыл бұрын
Angekuwa muongo asinge jua kama aliwah kumkabanwa na recod isinge sikika
@homeboytv82334 жыл бұрын
Kabis ni muongo..eti anasema alimziba pumzi mtot akafa alaf baada ya dkk 45 anampelek kumlaz mtot kitandani eti anapumua kwa mbal kwa shidaa.... HUYOO HOUSEGIRL APEWE UTETEZI
@ShukuruMihange4 ай бұрын
Poleni jaman mungu ailaze loho yake mahali pema peponi
@justinashayo37434 жыл бұрын
Uuuuuu !!!! Dunia imeisha
@tatunasoro8382 жыл бұрын
Mungu amlaze pema mungu ametoa namungu ametwaa
@patriciaboniphace71414 жыл бұрын
Mungu tumaomba utulindie watoto wetu jamani pekeyetu hatuwezi kwakweli watoto wetu wanawakat mgumu sana Roho mtakatifu atulindie watoto wetu jaman nawaza nafika mbali
@venanceyohana3513 ай бұрын
Pole. Sana❤
@zumratyshabani79472 жыл бұрын
Poleni wafiwa mungu nae amepanga
@cockshublakisoma36554 жыл бұрын
Mungu nisaidie nikomae na wanangu mwenyewe
@rumininsiarichard19734 жыл бұрын
Mungu tulindie watoto wetu
@FabyGunza5 ай бұрын
Daaa inatakiwa mchunguze hapo maana huyo house geri hawezi kumnyonga tu bila sababu ila poleni sana wanafamilia😢😢😢
@priscamasanga88564 жыл бұрын
Mmmhhh pole sana mama abby umepitia wakati mgumu sana
@shidabundala89844 жыл бұрын
Poleni sana kwamsiba uliowakuta 😭😭 Allah atakulipia 2 nahuyo mfanya kazi Allah amuhuku kuanzia dunian nakesho akhera
@ematuku70134 жыл бұрын
Huyu bibi aangaliwe vizul anachanganya maneno mwazo amemkuta anapumua mala kamkuta kafa daaa wafanyakazi kazi wanaya
@MariaJoseph-v7z2 ай бұрын
😭😭😭😭poleni sana atakama nimakosa yaboss wako haikufa nyi kumuu lia mtoto wake 😢daah inauma sana
@madamekomba78994 жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu,wape nguvu wafiwa
@zulfaissa78144 жыл бұрын
Huyu mm analeta comed kwenye hakuna
@genovevalaurent63934 жыл бұрын
Mwenyez mungu anilinde nalea mtt mdogo miez 5
@emmamwende82663 жыл бұрын
Mungu uweka ukweli wanzi
@edithashirima72784 жыл бұрын
😭😭😭dah!! Inauma sanaaa ety ata kama ameongea ukweli lakini ukweli huo hauwezi ukamrudisha mtotoo uhai wake bloodfull huyo dadaa😞
@NeemaDenja11 ай бұрын
Nduuuuuu jaman inauma sana jaman poleni jaman😭😭😭😭😭😭😭
@erastofrancis6844 жыл бұрын
Wallah ningekua Mimi nae angekufa , maana hata maandiko yanasema anae UA kwa upanga nae afe kwa upanga
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Jmn j yani munge muombea mtto tu wala msingempeleka polis
@fadhilarashid63964 жыл бұрын
Pole mama kwa kufiwa mungu akujaze matumain ktk kipindi hiki kigumu lkn wewe mama maelezo yako yanatuchanganya hayana ukweli wowote
@jumaali28884 жыл бұрын
Huyu bibi muongo ,eti mkristo,ushindwe kwa jina la Yesu
@johnignas1794 жыл бұрын
Anaonekana muongo kweli maneno ya kupangwa maana mama alimkuta anapumua ila mungu afichwi ao wanasiri hao
@dukesonorori17074 жыл бұрын
Huyu mkiristo bandia hangesema na amehaidi kutosema mama shetani