BIBI HARUSI AZUA GUMZO KUVAA SHELA YA RANGI NYEUSI KWENYE HARUSI YAKE...

  Рет қаралды 2,615

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

BIBI HARUSI AZUA GUMZO KUVAA SHELA YA RANGI NYEUSI KWENYE HARUSI YAKE...
Kama kawaida, mchawi wa mtu kwenye ulimwengu wa sasa ni kukosa bando na kuwa mbali na mitandao ya kijamii.
Taarifa inayozua gumzo kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kutoka nchini Nigeria ambapo kuna bibi harusi ametoa kali ya mwaka.
Hii ni baada ya kusambaa kwa picha zake akiwa amevaa kinyume na utamaduni wa kufunga ndoa za Kikristo.
Katika picha hizo, bibi harusi huyo aliyetambulika kwa jina la Dasplang Rinset Lisa ameamua kubadilisha utamaduni wa kuvalia gauni jeupe kwenye harusi na kuvaa gauni jeusi, lakini bado akaonekana kupendeza ndani yake.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Lisa anafunguka kwamba watu wengi walimuuliza maswali mengi kuhusu kwa nini aliamua kuvaa nguo nyeusi siku ya harusi yake?
Nukuu: “Nimepata maswali mengi kuhusu kwa nini nilichagua kuvaa gauni jeusi kwenye harusi yangu?
“Sawa nina majibu mengi ya maswali yao, hili nitaandika baadaye, lakini kwa sasa naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote anaweza kuniambia kwa nini atapendelea gauni jeupe na kwa nini asipende rangi nyingine yoyote ya mavazi?”
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 6
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 Жыл бұрын
Yuko sawa shela jeupe ni kwa ajiri ya mwanamke bikra ila sisi ndio tunavunja utaratibu wengine wamezaa watoto watano lakini akiolewa anavaa shela jeupe
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Basi tu iman ya watu mbona siku ya misiba wanavaa nyeupe
@amanitv4468
@amanitv4468 Жыл бұрын
Lakn shela nyeupe siinatakiwa kuvaliwa na bikra tu au inakueje?
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Yuko sahihi
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Nyeupe ni alama ya usafi, means malisafi kny box
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
NANDY AMWAGA MACHOZI MADHABAHUNI AKILA KIAPO CHA NDOA NA BILLNASS...
7:34
Hakika Utawapenda Maharusi hawa walivyocheza kwa Madoido' ELIAH & REGINA
9:49
Njia rahisi  ya Kubana Nywele BI HARUSI | Easly Bridal Hairstyle
7:06