GAUNI LA BIBI HARUSI LAWAKA MOTO UKUMBINI DAR, GARI LAO HUMMER LAGONGA

  Рет қаралды 428,410

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Siku ya harusi kikawaida wengi wetu huwa ni siku ya furaha lakini inapotokea visa vyenye mshikemshike huwa inatibua kabisa furaha hiyo, AyoTV leo inakuletea hizi dakika 7 za simulizi ya harusi ambayo moto ulishika kwenye gauni la Bibi Harusi wakati wakiingia ukumbini ambapo pamoja na kwamba pia siku hiyo ilionekana kuwa na vimikosi baada ya gari la Maharusi hao kuligonga gari jingine kabla ya kuingia ukumbini, haikuwapunguzia Maharusi hao furaha yao kwa namna yoyote ile....

Пікірлер: 430
@evankya1955
@evankya1955 2 жыл бұрын
It's scary Ila GaraB speaks about it Kama Ni kitu kidogo kabisa; hii Ni attitude nzuri Sana ya ku-face changamoto yoyote in life.
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 2 жыл бұрын
Unapo kua na shughuli muwe mnatoa sadaka. Sadaka inakinga shari nyingi zinazo tokea.
@johannesishengoma1232
@johannesishengoma1232 2 жыл бұрын
We umejuaje kuwa hawakutoa sadaka?
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 жыл бұрын
Sadaka gani unaisemea wewe? 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
@mariamhavile8849
@mariamhavile8849 2 жыл бұрын
Huwezi andaa sherehe bila kutoa sadaka kanisani au Kuna sadaka nyingine?
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 жыл бұрын
👍🏻👍🏻
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 жыл бұрын
@@johannesishengoma1232 yeye katoa ushauri..tu. Sisi waislamu tunaamini sadaka ni muhim sana
@dianajoseph6673
@dianajoseph6673 2 жыл бұрын
Du hongera sana dada kwa ndoa nzuri na pole kwa misukosuko
@alexlyamsema4984
@alexlyamsema4984 2 жыл бұрын
Pole sana Dada Mshukuru Mungu wenda furaha yako ingegeuka kuwa majonz makubwa,, Mungu mwemaaa
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 2 жыл бұрын
Mbwembwe hizi, mtaja ua watoto wa watu, hakuna cha shetani wala nini, hivo vimoto mloweka hapo cjui mnaviitaje alivipitia karibu vikanasa kwenye shela.
@neemamohammed7359
@neemamohammed7359 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@user-ms8kn6xo9q
@user-ms8kn6xo9q 2 жыл бұрын
@@neemamohammed7359 🤣🤣🤣🤣
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 жыл бұрын
Ndio
@virendavictoria5174
@virendavictoria5174 2 жыл бұрын
Wewe ndio umenena yaan kitu kikitokea waafrika sie tunakimbiliaga kwenye imani za ajabu wkt hapo its obvious
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
Kweli kabisa dada nilitaka kuandika hivo wabongo ushamba umetuzid sijui hivo vimoto vya nini kwenye harusi daaahhh
@clarajapheth8804
@clarajapheth8804 2 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu Kwa kuwaepusha na hayo mabaya yoye
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Amiin
@shufaahassan3122
@shufaahassan3122 2 жыл бұрын
Amin
@annastaziajohn8295
@annastaziajohn8295 2 жыл бұрын
Amen🙏
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
huyo bi harusi mungu anampenda sana unapo muomba mungu akupe kitu fulani naye anakuja anakuonyesha upendo kuliko kile unamuitisha ahsante sana muumba wetu Amen🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@aoman5214
@aoman5214 2 жыл бұрын
Ishar mbaya kabisaaa daaah pole Sana jaman hmmm
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
Kwa jinsi watz tulivyo teyari wamehusisha na imani za kishirikina.tuaitoke nje ya simulizi tuliyopewa na washiriki wa hiyo sherehe.
@oliviaambrose2907
@oliviaambrose2907 2 жыл бұрын
wanatakiwa waombe sn hii ndoa
@ammyt9952
@ammyt9952 2 жыл бұрын
Pitia nyimbo kali hapa Ammy t ft addah ni noma sana
@dorcasfaith5050
@dorcasfaith5050 2 жыл бұрын
Mungu akuinue sana mc nowachache sana wanaojua kuwa hizi ni hila za shetani
@NimuFx
@NimuFx 2 жыл бұрын
MC Mtu wa Mungu sana. Abalikiwe sana. Shetani ni mjinga sana ujuwe
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Mungu anakupenda dada shukuru sana Mungu,kwakukuepusha nahuo moto
@paulebby1552
@paulebby1552 2 жыл бұрын
Bibi harusi alipelekewa Moto 😂😂😂
@grolyminja8433
@grolyminja8433 2 жыл бұрын
@emmanuel majo mpelekee moto 😂
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Mhmmm ndiyo Tanzania bhana hatari saana
@monicaalute3143
@monicaalute3143 2 жыл бұрын
X wa huyu bwana harusi anahusika wallah. Khaaaaaaaaa 🙌🙌🙌 yaan gari lipate ajali, mara gauni lishike Moto ukumbuni loh🙌 uchawi upo
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂nimecheka
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu akuungua m2 na shetani alishindwa ila uchawi tuu
@victorkivuyo6126
@victorkivuyo6126 2 жыл бұрын
DUU HIYO NI NGUMU SANA, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 2 жыл бұрын
Harusi za mbwembwe nyingi Nakujionesha kua Hela zipo Zina nuksi sana utakuta kakodi ilo gauni na Gari pia, Pole Yao wamejifunza kitu apo
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 жыл бұрын
Hizi ni Hila Hujazipata tuu hizo hela, Kwan ww ukiwa nazo huwezi Kodi gauni hela hiyo🤣 Tz mna chuki za ajabu
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 жыл бұрын
@@elviraramadhan3900 Tulioolewa bila shughuli yoyote kimya kimya na bado tukapigwa majuju tukaugua nusu ya kufa chuki tu zinakuwaga kwann aolewe fulani!! huwa hawaionei wivu ile sherehe bali ni ile ndoa inayopitishwa ndiyo wanayoifanyia hila kibao binaadam ss wengine hatar sana
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 жыл бұрын
@@nasrahassanabioll6559 yaan sijui inakaaje hii kwa watanzania 🤣 mtu mwenyewe hamjui Ila Sasa chuki kama za mama wa kambo🙌
@fusotanzania8174
@fusotanzania8174 2 жыл бұрын
acha wivu wew
@shabanandrea9131
@shabanandrea9131 2 жыл бұрын
Roho mbaya tu ukizeeka nahisi utakuwa mchawi wewe ,
@neemadickson9526
@neemadickson9526 2 жыл бұрын
Nyieeeeeee 🙌😭uchawi huu khaaaa 🙏
@fettyabiola1389
@fettyabiola1389 2 жыл бұрын
Mmmmmmmm acha uswahili kitu kawaida unaona apo na macho yako, uchawi uwo kwio😁😁
@neemadickson9526
@neemadickson9526 2 жыл бұрын
@@fettyabiola1389 🙆🙆🙆🙆ndo nimeangalia mwanzo mwisho ushwahili gani sasa unasema
@fettyabiola1389
@fettyabiola1389 2 жыл бұрын
@@neemadickson9526 kwakuwa uyo mc kasema walipata ajali , we ajali ya uchawi unaujua, hashuo walizonazo kwenye gari umegonga tu gari la mtu , na uyo fire works ni fire kama jina lake moto unawaka na nguo tena shela neti na satin tupu ile unataka isiwake, kavaa mahmeli au nayo pia si mbele ya moto , firework za birth day cake humuunguza mtu sikwambii zile za sherehe, hakuna uchawi pale punguza imani izo
@neemadickson9526
@neemadickson9526 2 жыл бұрын
@@fettyabiola1389 sawa nilikuwa sijawatch vzr dear ndomaana ila nimeshaelewa🤝
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 2 жыл бұрын
@@neemadickson9526 😂
@sithymohammed3191
@sithymohammed3191 2 жыл бұрын
Dalili za kiama hizo ajali za moto zimekuwa nyingi Sana huu mwaka Allah atujalie mwisho mwema inshaallah
@joanngatulile4687
@joanngatulile4687 2 жыл бұрын
This is very dangerous uwii fireworks🙆‍♀️🙆‍♀️Ningeliaaaaa
@joramkimario6174
@joramkimario6174 2 жыл бұрын
Halaf nilikodisha sasa. Na mwenyewe hataki lingine anataka lilelike
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 жыл бұрын
Kama kaweza kulikod bas hela anazo
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@gkely2618
@gkely2618 2 жыл бұрын
Banda la wakala linauzwa Ukubwa futi 5 kwa 6 Nila chuma (hard metal) Limepigwa red oxide plus rangi Lipo daresalaam kigamboni Bei 600,000/= Maongezi yapo
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 жыл бұрын
Ingelikuwa Arusha nalihitaji
@frederickloongableu-goude
@frederickloongableu-goude 2 жыл бұрын
Sio vizuri wakati wa sherehe ukubini bi arusi kuvaa shela au gahuni. Shela ni ya kanisani tu.
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 жыл бұрын
Kabisaaa
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
kanisa letu popote unavaa
@chapter2719
@chapter2719 2 жыл бұрын
Wabongo mnapenda harusi adi gauni linawaka moto
@Dina-py8js
@Dina-py8js 2 жыл бұрын
pole sana kwa maharusi
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 2 жыл бұрын
Mmeyataka wenyewe huo moto wanini humo ndani fundisho hata kwa wengine ila poleni
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 жыл бұрын
Hii n roho mbaya Huo moto ni sehem ya sherehe tuu
@hamadiselemani1110
@hamadiselemani1110 2 жыл бұрын
Mmh sio ishara nzuri hiyo,
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Poleni sana jamani
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 2 жыл бұрын
Kila siku nasema hii sio nzuri. Hata birthday za watoto mue makini. Mimi niko ulaya lakini vitu kama hivi wanaangalia safety kwanza ila kwetu wanaiga tuu hawafikiri
@ruuh5149
@ruuh5149 2 жыл бұрын
Sn yn wanapend sn kuiga hw
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 жыл бұрын
Ilikua bahati mbaya
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Yashaunguza wengi sana
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 жыл бұрын
Kwahiyo ungetoa ushauri tu bila kusema kama upo ulaya tusingeelewa 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
@fridamapunda5079
@fridamapunda5079 2 жыл бұрын
Niunganishe nije ulaya mwaya maana uku Tanzania hakueleweki
@druumarley2159
@druumarley2159 2 жыл бұрын
Dah! Hii ajar niliiona mbez beach ya chinii hummer nyeupe... Dah! Nowmaaa
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 жыл бұрын
Makubwaaaa 🤔🤔🤔
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 2 жыл бұрын
Eh mshakuwa mastar
@enickosanga4921
@enickosanga4921 2 жыл бұрын
Hapo mwanamke alieahidiwa kuolewa kafanya yake baada ya kuona katoswa hataree sana
@elinahjoseph3085
@elinahjoseph3085 2 жыл бұрын
Imeisha iyoooo na ndo isha fungu na shereee kimenukiswa x pole hahahahhahahaa
@rebeccajeremiah4883
@rebeccajeremiah4883 2 жыл бұрын
Hujatoa wee bhnaaa mbona tunamuona mshikaji mwingine
@naamohamed1042
@naamohamed1042 2 жыл бұрын
Duhhhh pole
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 жыл бұрын
Hizo ni dalili mbaya,Kuna wanadamu wabaya washafanya Mambo yao hapo
@mwanamisakulembwa1147
@mwanamisakulembwa1147 2 жыл бұрын
Ni hasad na ayni ....
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
mambo.haya yapo tz pekee
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
kama mlikodi ilo gauni mriripe sasa
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 2 жыл бұрын
mh
@adamfundikira1620
@adamfundikira1620 2 жыл бұрын
@@kiehbhzh7044 hahahaha angeungua tako bwana harusi asingeonja tunda
@jacklineurassa6006
@jacklineurassa6006 2 жыл бұрын
Mungu bariki nakusimamia ndoa maana shetani yupo kazini
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 2 жыл бұрын
Mmmh........yatakayo Jiri baada ya miaka miwl MTUJuze
@tamimtours6934
@tamimtours6934 2 жыл бұрын
MAMOTO HAYO SASA YANINI KUMBINI!!!!!?? JIFUNZENI.
@jumamayunga5853
@jumamayunga5853 2 жыл бұрын
🤣🤣😂😂😂 cjui ya nn mi nawashangaa sana
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 жыл бұрын
Huyo mpambaj atakuwa na lake jambooooo asa moto og ukumbin wa nn angeungua je
@naimaofficial33
@naimaofficial33 2 жыл бұрын
Mashaalah
@tamimtours6934
@tamimtours6934 2 жыл бұрын
@@naimaofficial33 Naima Hujambo?
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Haswa hizo ni cheche ni hatari alafu wameweka karibu uku wanajua shela ni pana na refu wameyataka wenyewe
@hilalikiba2214
@hilalikiba2214 2 жыл бұрын
Nice
@camillahamis1069
@camillahamis1069 2 жыл бұрын
Haibu Naona mm😀😀😀😀😀
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Hizo ni ishara mbaya wasali sana
@vivianvivian8585
@vivianvivian8585 2 жыл бұрын
Jaman
@mweyoms5548
@mweyoms5548 2 жыл бұрын
Duh!!:Anasa vs Husda
@marytemba883
@marytemba883 2 жыл бұрын
Nimecheka huyo aliyelewa kabla ya sendoff 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@siasteven135
@siasteven135 2 жыл бұрын
Dah asee 😪
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 2 жыл бұрын
Hahahahaaha hao waliolewa ndo wamenichekeshaaa
@rahmanassoro1759
@rahmanassoro1759 2 жыл бұрын
Na shera Kama imekodiwa mmmh italipwa,, polen
@polytarimo324
@polytarimo324 2 жыл бұрын
Gara B wewe ni nomaaa
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
Wabongo washamba sana hivo vimoto vya party mnaweka kwenye harusi daaahhh mbwembwee vimezidi matokeo ndio hayo
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 2 жыл бұрын
Haya ndoo umeazima sasa sijui inakuwaje.
@tramyspinkiebee3536
@tramyspinkiebee3536 2 жыл бұрын
Hizi decorations ziwe zinaangalia aina ya nguo anayovaa maharusi jaman.sa fire works zinawekwa karibu karibu wakat bi harusi kavaa gauni la cinderela??hapa hakuna cha uchawi ni kosa la event planner au mpambaji.Alitakiwa alipe fidia kwa hili
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Kweli kosa ni lao wenyewe
@azizawadh5973
@azizawadh5973 2 жыл бұрын
Magaidi
@beancamsuya1493
@beancamsuya1493 2 жыл бұрын
Daah polee ilaa mungu yupoo na wew
@mariachuri7123
@mariachuri7123 2 жыл бұрын
Mmmh! Jamani...pole bi harusi
@barakatrassi3903
@barakatrassi3903 2 жыл бұрын
Hatariiii sanaaaa
@tatubadi9010
@tatubadi9010 2 жыл бұрын
Polen sana
@larickmtui2852
@larickmtui2852 2 жыл бұрын
Maombi yanini wakati nyie mlijichanganya kwan hamjui maana ya fire works? Yan kila kitu shetan na uchaw africa amken achen fikra pitofu
@tatubadi9010
@tatubadi9010 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 жыл бұрын
Maombi Nimuhimu Wakati wote
@brigidmua2548
@brigidmua2548 2 жыл бұрын
Fire works bomb zenyewe
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Tatizo mbwembwe nyingi punguzeni ria mungu hapendi
@peninakilanga4349
@peninakilanga4349 2 жыл бұрын
Dah!
@treshazgodfather9219
@treshazgodfather9219 2 жыл бұрын
😂😂😂😂Usikute X wake ndo alitoa wazo la moto😂😂
@dufandaqueen1617
@dufandaqueen1617 2 жыл бұрын
Wallah 🤣 🤣 🤣 🤣
@pauloregina2878
@pauloregina2878 2 жыл бұрын
Hagahaaaaaaaaaa
@ngoshathedon2215
@ngoshathedon2215 2 жыл бұрын
🤣😂😂itakuwa
@liliankessy1255
@liliankessy1255 2 жыл бұрын
Hahahaha..itakua kweli afu ukizngatia wafipa hataree...
@barakanyoka5482
@barakanyoka5482 2 жыл бұрын
C wanakulaga ela za wanaume alfu wanawaacha ingetakiwa alipuke kabs
@shebbynzengula6993
@shebbynzengula6993 2 жыл бұрын
Huyo bibi harusi kuna kitu alifanya 😂😂😂😂 🏃‍♂️
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 жыл бұрын
😂kitu gani hicho tuambie na ss jaman tukijue
@shebbynzengula6993
@shebbynzengula6993 2 жыл бұрын
@@nasrahassanabioll6559 itakuwa kaiba mwanaume wa mtu huyo 😂😂😂
@sumamwaipopo8598
@sumamwaipopo8598 2 жыл бұрын
Pole jamani daaah
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Hahaha aiseee yaduniani ahera hayapo
@ruthwatson3057
@ruthwatson3057 2 жыл бұрын
Anachomeka na bado anapiga disco tu? Ni ulevi au nini???
@kwampalangetv5511
@kwampalangetv5511 2 жыл бұрын
Mhhh dalili mbaya Sana hiyo wanatakiwa waombe Sana Sana . inaonesha ndoa yao mhhhhhhhh
@ephraziachristopher1271
@ephraziachristopher1271 2 жыл бұрын
Hao inabid wasali sana kama mwanzo tu accident kabla ya haruc mmh
@juniormgema2524
@juniormgema2524 2 жыл бұрын
😂😂😂 kaz ipo unasherekea uku unanuka moshi😂😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Duuuh pole yk
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 жыл бұрын
Yamungu mengi
@fatmafarijala1498
@fatmafarijala1498 2 жыл бұрын
Mmh kunguni weusi yani maombi mnakumbuka mkiwa na matatizo
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 2 жыл бұрын
Mc GaraB garakubwaaaaaa❤❤❤❤👌
@abdallahamir9234
@abdallahamir9234 2 жыл бұрын
Kwahiyo na hiyo habari?
@HairatyAliy
@HairatyAliy 3 ай бұрын
Mmm kivumbii
@fredricksamson8095
@fredricksamson8095 2 жыл бұрын
Duuuh hiyo kali.
@doreenkahunde3186
@doreenkahunde3186 2 жыл бұрын
God was in control
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Sasa bibi harusi unalewa ukumbini jamani 🤣🤣
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 жыл бұрын
Ma MC wanaona mambo nyieeee😀😀
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
@@nasrahassanabioll6559 mm naona ningekauka kucheka 🤣
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 жыл бұрын
Hakulewa bana
@evancetilya5140
@evancetilya5140 2 жыл бұрын
Da
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 2 жыл бұрын
Huyu MC mashaa Allah Yuko vizur kweli
@restutamjuni4739
@restutamjuni4739 2 жыл бұрын
Jamani mtoto wawatu ange ungua bule
@baizoboy1719
@baizoboy1719 2 жыл бұрын
Hiyo ndoa ama ndoano, kudumu ni vigumu maana shetani yupo Kati yao
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 жыл бұрын
Shindwa wewe
@annkim2690
@annkim2690 2 жыл бұрын
Watanzania mmezidi jamani
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 жыл бұрын
🙆🙆🙆 tobaaaa
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Dah
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 жыл бұрын
Meno ya gara😋😋😋
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 жыл бұрын
Ndoa yao sasa itang'aa kama Dhahabu kwa maana wamekwishapita kwenye Moto tayari,,,hakuna tabu tena kwenye ndoa yao ni furaha milele na milele😅😅😅
@africanproudly4004
@africanproudly4004 2 жыл бұрын
😂
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 жыл бұрын
@@africanproudly4004 😁😁😁💞💞💞Nakupenda Moni Dedu Wangu naomba nasi tufunge Ndoa na ipitie kwenye moto pia ili hapo baadae tun'gae kama dhahabu,,,Kama hutojali lakini Binti Moni!!!
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 жыл бұрын
@@africanproudly4004 😁😁😁💞💞💞Nakupenda Moni Dedu Wangu naomba nasi tufunge Ndoa na ipitie kwenye moto pia ili hapo baadae tun'gae kama dhahabu,,,Kama hutojali lakini Binti Moni!!!
@mylessmswelo7497
@mylessmswelo7497 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@africanproudly4004
@africanproudly4004 2 жыл бұрын
@@reubenkissinga5802 🙄🙄🙄🙄
@mustaphareua2370
@mustaphareua2370 2 жыл бұрын
Oyooo
@piusphilip307
@piusphilip307 2 жыл бұрын
Mmmh au kuna dem alihaidiwa sasa alipoona kazinguliwa nae akawazingua
@makitandungu2604
@makitandungu2604 2 жыл бұрын
Wahenga hawakukosea waliposema kuchamba kwingi lazima uondoke na kipande cha nnya!!!
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Subhannallah, mtihani kwakweli very bad 😢😏
@mariahyera3737
@mariahyera3737 2 жыл бұрын
Shetani alijiinua alitaka kufanya uharibifu. Tunamshukuru sana Mungu kwa uweza wake.
@hadijaabdrahamani5089
@hadijaabdrahamani5089 2 жыл бұрын
Mm naomb kuuliza hiv huyu gara B analipwa bei gani jamani maana nampenda anajua kunogesha
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
Kuna rafiki yangu mmoja siku ya harusi yake alikunywa mzinga mmoja wa whisky lakini yeye ni mlevi toka zamani
@selinamwikali4181
@selinamwikali4181 2 жыл бұрын
Hahaha 😂😀
@user-ms8kn6xo9q
@user-ms8kn6xo9q 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
@@user-ms8kn6xo9q na mimi nakunywa pombe lakini ni bia tu tena hapa kwetu weekend ndiyo inaanza leo nimekunywa bia kazaa naogopa kunywa bia nyingi sababu huwa nikinywa sana nawapigia simu polisi nawaambia kuna mtu anagonga mlangoni na polisi wamekuja nyumbani mara nyingi hawajaona mtu hapa naishi Ulaya
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 2 жыл бұрын
Sasa unatakaje km alikunywa?yy ni mlev wa pombe.wewe je ni mlevi wa nini??
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
@@bahatiagape7121 mimi ni mnywaji wa pombe lakini sio mlevi na nakunywa bia tu sigusi pombe kali pia nakunywa nyumbani tu sio kwenye baa wala sehemu yenye watu wengi na sijawahi kupata ajali yeyote nikiwa nimekunywa bia na bia inanifanya niwe na hamu ya kula vyakula vitamu
@claudiajames2003
@claudiajames2003 2 жыл бұрын
Hahaaaha X ashiñdwe Kwa jina la Yesu
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 2 жыл бұрын
Uyo atakua ex wake kasababisha hayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aminayusuph2627
@aminayusuph2627 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂✌👐
@asfarsham9037
@asfarsham9037 2 жыл бұрын
Lol umenchekesha kama mazuri
@tatubadi9010
@tatubadi9010 2 жыл бұрын
🤣🤣
@alicenice1711
@alicenice1711 2 жыл бұрын
Aya ni majanga jamani
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Ndoa hiyo gundu tupu 😅😅😅🤣
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 904 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 43 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 61 МЛН
DULVAN AVAMIWA STUDIO NA MWANAMKE ALIYEMPA UJAUZITO
5:00
Wasafi Media
Рет қаралды 494 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 160 М.
🔴 BIBI HARUSI MTARAJIWA AWATETEMESHA UKUMBI MZIMA
4:53
Johnjo Brand
Рет қаралды 99 М.
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 904 М.