BIG BOSS |6|

  Рет қаралды 1,295,088

CLAM VEVO

CLAM VEVO

Күн бұрын

Пікірлер: 2 000
@youngtynna4748
@youngtynna4748 Жыл бұрын
Sema uyu mchaw mwenye sauti kukwaluza Ana xhekesha Sana eti ntampekea moto zuchu tu ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
@NadineIngabire-h7x
@NadineIngabire-h7x Жыл бұрын
😂😂😂 sauti yke imenimaliza mimi hapa jama anajuw sana❤ much love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@mrishombise-wd9sp
@mrishombise-wd9sp Жыл бұрын
Uyu jamaa kajua kuibeba movie ischoshe machine 😂😂😂
@Da_Only_Veeee
@Da_Only_Veeee Жыл бұрын
Mimi ni wakwanza kuhona big Boss part 6 nipeni like zangu
@idrisadjuma9322
@idrisadjuma9322 Жыл бұрын
Na mimi wa pili
@reubenmuimi197
@reubenmuimi197 Жыл бұрын
@Bilichadieudonne1
@Bilichadieudonne1 Жыл бұрын
Mimi sikupi like Bali nakupa mauwa yako
@mudykebeshe
@mudykebeshe Жыл бұрын
kuhona❌ kuona✅
@ethankilupa-xr1gx
@ethankilupa-xr1gx Жыл бұрын
Dooohh cjawahi pata likes kwa clam
@YelemiyaSipi
@YelemiyaSipi Жыл бұрын
Wakwanza kutoka congo🇨🇩 munipe likes ata mbili tunampenda sana clam
@danielmafara7168
@danielmafara7168 Жыл бұрын
Kwetu hukoo karibu mon freure ❤
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
natangaza rasmi ya kuwa baadhi ya watu waache kusema ya kwamba marehemu kaka yetu Steven Kanumba kafa na bongo movie.💯🙌🏽 clam vevo sasa amekuja kufanya mageuzi kwenye hili GAME hatari tupu🇹🇿💫✌🏽
@jumannekahunie8153
@jumannekahunie8153 Жыл бұрын
clam ni miongon mwa waigizaji ambao wanafata njia za marehem kanumba uko vizur sana clam kama kweli clam ni miongon wa waigizaji wanaomfata kanumba gonga like za kutosha hapa
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 3 ай бұрын
Wabongo bhana kila kitu Kanumba tu ebu tumpe maua yake Clam kama Clam tuachane na habari za Kanumba.
@Kamoste
@Kamoste Жыл бұрын
My love for Clam is on another level... Watching from Mombasa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ila nataka kuona shadow kwa hii movie...
@shaniceshan4945
@shaniceshan4945 Жыл бұрын
Same😂
@milungaapeshijerome
@milungaapeshijerome Жыл бұрын
@@shaniceshan4945 usijali wote ni familia Moja ✌️✌️✌️
@thomasmtoni4832
@thomasmtoni4832 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@mrright678kisotuson9
@mrright678kisotuson9 Жыл бұрын
Hi
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Hatari sn 🔥🔥🔥 Unyama nimwingi sana humu ndani 🫶 Karibuni sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa ndani Kwa bei nzuri kabisa 🫶🏝️🔥
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
Natamani mamilioni ya watu waone kazi zako ili utambue ukubwa wako kwenye tasnia hii ya uigizaji na stori nzuri zenye kusisimua well done clam!
@saidfadhil399
@saidfadhil399 Жыл бұрын
Kaka clam wewe ni respect kabisa ommy guy from 🇨🇩🇨🇩🇧🇮🇧🇮
@emmanuelshashi9805
@emmanuelshashi9805 Жыл бұрын
Kazi nzuri tofauti na Bongo Movie za kawaida unajua mwisho utakuaje pkn hii hujui itaisha vp keep it up bro
@Comedytv802
@Comedytv802 Жыл бұрын
Kama una mkubali clam , piga like hap❤❤❤🎉😅
@peterchipumbuka6341
@peterchipumbuka6341 Жыл бұрын
❤❤
@elizabethndahani8793
@elizabethndahani8793 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@ZayAlmans
@ZayAlmans Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@yeyaboy8045
@yeyaboy8045 Жыл бұрын
jaman mtuwahishie
@HAMIADAUD
@HAMIADAUD Жыл бұрын
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf Жыл бұрын
Tulio kuwepo toka episode ya kwanza adi leo bado tupo piga like 🔥🔥🔥
@jeankaulomayola541
@jeankaulomayola541 Жыл бұрын
Napenda sana filamu ya Big Boss musi dumu Sana kutowa 7 nimifata Tangu 🇨🇩
@mustafatsomba6178
@mustafatsomba6178 Жыл бұрын
Clam is bringing back respect 🔥 to the bongo movie 🎥 industry.
@edsongosberth8441
@edsongosberth8441 Жыл бұрын
Shida ni kwamba unachelewa kutoa
@muna1165
@muna1165 Жыл бұрын
Like a stiven KANUMBA
@Joj29
@Joj29 Жыл бұрын
@@edsongosberth8441anatengeneza vitu vizuri
@abdullahtsuma-yl9qc
@abdullahtsuma-yl9qc Жыл бұрын
Big boss tupeee ya saba haraka please mobb love from Kenya 🇰🇪
@fidesvenancemshanga5492
@fidesvenancemshanga5492 Жыл бұрын
Hakika
@husseindjumida6568
@husseindjumida6568 Жыл бұрын
Uyo mchawi wakisauti kafanya vizuri sanaaaaa...anafaaa bonus!
@gloriacherotich8456
@gloriacherotich8456 Жыл бұрын
Clam, vailam, mbwela....Vijana just like simba Diamond mtaenda mbali sana Kwa vipindi vyenu. Nasubiri part 7😂😂
@mrsam2282
@mrsam2282 Жыл бұрын
Wow wow wow wow... Flamu nzuri hii ajabu 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@josephswana7286
@josephswana7286 Жыл бұрын
Clam wewe ni king wa Tanzanie, naomba endelea ivyo utakuwa kama kanumba mimi Niko Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@saidmadizi9152
@saidmadizi9152 Жыл бұрын
Sasa hpo comedy iko wap
@josephswana7286
@josephswana7286 Жыл бұрын
@@saidmadizi9152 Big Boss ni film muzuri sana
@sharonchemutai7375
@sharonchemutai7375 Жыл бұрын
Clam my favorite ...icant stop watching him ,he always makes my days.. nipeeni kiss...
@hosea8051
@hosea8051 Жыл бұрын
Hi
@ryankoech
@ryankoech Жыл бұрын
😊
@shamyalley2091
@shamyalley2091 Жыл бұрын
💋💋💋💋💋💋💋💋💋
@samuelbibu2450
@samuelbibu2450 Жыл бұрын
Mwaah
@kamotasalumu7378
@kamotasalumu7378 11 ай бұрын
Ok
@audifaxkabura1360
@audifaxkabura1360 Жыл бұрын
I'm watching nikiwa zangu Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮. Thanks a lot Mr #Clam, Kwa elimu Yako kuhusu Chama cha Freemason, I'm learning a lot kupitia wewe. Keep going, Vamooooos @Clam_vevo
@nushymulobelwa6208
@nushymulobelwa6208 Жыл бұрын
I'm watching from zambia. Can't wait for part 7😊❤❤. You guys are the best.
@bosshapendi
@bosshapendi Жыл бұрын
Wakwanza ni mimi kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipeni likes 👍👍👍👍👍👍👍👍👇👇👇👇 zangu 🙏
@stelasianga9468
@stelasianga9468 Жыл бұрын
Mkipewa like inakuaje sasa..mnaboa..nipe like..kila kona
@jamesmokua7260
@jamesmokua7260 Жыл бұрын
Clamo hongera kw kazi nzuri naenjoy sana nikiwatch hizi movie zako
@Miss_Zia95
@Miss_Zia95 Жыл бұрын
Love from Kenya 🇰🇪. Clam our favorite 😻
@zainabjembe8205
@zainabjembe8205 Жыл бұрын
Ook
@zainabjembe8205
@zainabjembe8205 Жыл бұрын
I'm!
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
Big boss is number one series!! Plz Clam VEVO can we get 2 series per week? Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮!!
@toto.baddest
@toto.baddest Жыл бұрын
Nice suggestion buh as you know ain't that easy to release 2 episodes in a week... Just imagine even in Netflix, you just get one per week...buh, Good suggestion
@marcelinemwaro266
@marcelinemwaro266 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Clam ambia Hawa magoryomwe waache kutumia jina lako kwa video zao
@sirngetich1815
@sirngetich1815 Жыл бұрын
Am following from kenya 🇰🇪 🎉much love Clam I love Tanzania clips followed by Nigeria 🇳🇬 kenya hatuko zuri kwa uigizaji
@milungaapeshijerome
@milungaapeshijerome Жыл бұрын
my life has changed a lot because of you CLAM VEVO I like to see you in your work, your honor as STEVEN KANUMBA👑
@Anzelim_254
@Anzelim_254 Жыл бұрын
kwa kweli❤
@BenardKarisa-xj1bm
@BenardKarisa-xj1bm Жыл бұрын
Nataman sana nikuone clam
@BenardKarisa-xj1bm
@BenardKarisa-xj1bm Жыл бұрын
So nitakuon wap
@dancekenya3839
@dancekenya3839 Жыл бұрын
Mimi msinipe likes lkni ninafurahia Big boss 6..from Kenya
@mariethajoseph6538
@mariethajoseph6538 Жыл бұрын
Tulio Anglia tangu Mwanzon tumpe tu maua yake clam amewezaa🔥🔥
@mtangewamtange2413
@mtangewamtange2413 Жыл бұрын
This movie is awesome Nina jifunza mengi kwenye hii movie tangu sehemu ya kwanza mpaka ya Sita ila jambo kubwa nililo jifunza ni kwamba "rizika na ulicho nacho usitamani vya wenziyo ujuwi ame vipata ktk Hali gani" thx for this fantastic message claim🫡🫡🫡
@bumbagoz
@bumbagoz Жыл бұрын
kaka clam una exceed expectarions..nimeanza kukua halia tangu ukiwa young actor insta mpaka level hii umefikia ni huge millage..itoshe kusema kwa content creators wa youtube tz amna wa kukufikia..AMAIZING CONTENT..you and your team deserve hollywood
@Mucky27
@Mucky27 Жыл бұрын
True jamaa yuko okey sana yaan
@teddykaneza5042
@teddykaneza5042 Жыл бұрын
Big Boss inakaa Sana bila kuyipata ebu Clam muwacheni kutukalisha
@everinamhagama2961
@everinamhagama2961 Жыл бұрын
Yani anatuboa sana anakaa sanaaaa
@directorkakoso
@directorkakoso Жыл бұрын
Msijali now itakuwa kwa wiki mala mbili
@zaituniabdallah
@zaituniabdallah Жыл бұрын
Waisha kidog
@richvannyrichie
@richvannyrichie Жыл бұрын
Big boss Mkuu anabonga kama vile mwigizaji late kanumba wapi likes za Big boss part 6 makofi kwa clam vevo wadau 🇰🇪🇰🇪🎯🎯🎯
@zuwenamuhammed754
@zuwenamuhammed754 Жыл бұрын
Lkn mnachelewa jmn mpaka tuna sahau
@shamyalley2091
@shamyalley2091 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏
@bimkubwaali5951
@bimkubwaali5951 Жыл бұрын
Kwakweli apewe maua yake
@enhardevarist525
@enhardevarist525 Жыл бұрын
Og 🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@bintisaidmwaganjoni5207
@bintisaidmwaganjoni5207 Жыл бұрын
clam uko vzur bgap broo wangu nakupenda sana ❤❤❤❤
@eliewita9599
@eliewita9599 Жыл бұрын
Bon travail monsieur Clam, à ce rythme tu vas aller très loin. De la part de ton frère congolais.
@I2S_Criminel
@I2S_Criminel Жыл бұрын
🎉
@claudineuwizeye871
@claudineuwizeye871 Жыл бұрын
Big up Sana bro 🤝love from Burundi 🇧🇮🇧🇮❤️❤️
@NorbertOfficiel-rc9dh
@NorbertOfficiel-rc9dh Жыл бұрын
Mhhh 👀
@aboubakarirakoze7611
@aboubakarirakoze7611 Жыл бұрын
7 haraka
@ramakinjoi4063
@ramakinjoi4063 Жыл бұрын
Mchumba Zuchuu was chilling then BooooM!!😂😂😂😂😂😂Big up Mr.Ridhwan..You're doina great Job,your creativity is on another level..we need to see Shadow too kwenye hii Big Boss inshallah 🤲
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Pamenichekesha apo😆😆😆
@ramakinjoi4063
@ramakinjoi4063 Жыл бұрын
@@nancyg8664 😀😀😀uyu mchawii yupo vizuri Sanaa kwenye Io part...
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@ramakinjoi4063 yan sana uwa anapatia pia kwenye scene ya uganga😆
@ramakinjoi4063
@ramakinjoi4063 Жыл бұрын
@@nancyg8664 Sanaa..Wanafanya kazi nzuri vijana Mungu awajalie maisha marefu ili wazidi kutufurahisha na kutuondoa stress😀😀
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Жыл бұрын
Ok clam nimeshkulu kuongeza dakika Tim comedy gonga 👊👊🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Dynest08
@Dynest08 Жыл бұрын
Iyo amapiano mmeipoozesh vzr imekua nzr 🎉🎉❤
@stephenmugo9521
@stephenmugo9521 Жыл бұрын
Can't wait to see the next part .....you never disappoint love from Kenya and you doing a nice work
@officiallycelebklassic4784
@officiallycelebklassic4784 Жыл бұрын
Clam to the next level am humbled napenda anachokifanya willing one day nifanye kazi nae
@josphmushi494
@josphmushi494 Жыл бұрын
Msaada huu wimbo unaoimba hapo mwisho unaitwaje nimeupenda clam vevo 🔥🔥🔥
@Katamba255
@Katamba255 Жыл бұрын
asibe happy cover by Onset music group
@amotv-kisii
@amotv-kisii Жыл бұрын
From Kisii KENYA 🇰🇪 Niko hapa Nipe like 3 tu ak
@xebmsafii4743
@xebmsafii4743 Жыл бұрын
Was it necessary kusema wakisii😅😅
@amotv-kisii
@amotv-kisii Жыл бұрын
@@xebmsafii4743 wivu ya nn bro, am proud to be a Kisii
@leekaijage6815
@leekaijage6815 Жыл бұрын
Najisikia kufa kufa sijui nina maralia sijui nina UTI 😂😂 noma sana
@francismuthiani349
@francismuthiani349 Жыл бұрын
One love from Kenya 🇰🇪🤣🤣🤣🤣 Iyo part 7 inakuja lini 😂😂😂😂.
@directorkakoso
@directorkakoso Жыл бұрын
Unyama wa kutosha mashabiki watuluze mtoli nyuma zaidi zinakuja kwanza ndii Kazi imeanza🔥
@MeddySugu-ek2mu
@MeddySugu-ek2mu Жыл бұрын
Oyaa kama bado unafatiliy mpaka ss Bg boss gonga like💥
@Marimu-if2zk
@Marimu-if2zk Жыл бұрын
Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Bt unachelewesha sana utamu Clam mpka Mii likua nilisahau kma Kuna BIG boss
@KariakooMarket
@KariakooMarket Жыл бұрын
Jamni ndio nimeanza kukiangalia tangu episode one naomba likes zangu
@mahammedabdurahmaan5665
@mahammedabdurahmaan5665 Жыл бұрын
Namkubali sana clam nakuambia hivi brother keep going usirudi nyuma🔥🔥
@Sandra.588
@Sandra.588 Жыл бұрын
Kama unamkubali clam gonga like
@Mrskyofficial44
@Mrskyofficial44 Жыл бұрын
Hebu niwe tuu mkweli kwenue hili clam you are the best comedian in Tanzania 🇹🇿 broh!!! I never watch bongo movie but you brought me here........ Broo congratulations to you..... Can't wait for part 7
@ibrahimwaswa3995
@ibrahimwaswa3995 Жыл бұрын
Dah!!!hii imenikosha...naombeni likes tukisubiri next episode
@danielmwakimi2416
@danielmwakimi2416 Жыл бұрын
Jamaa alie sema we mchumbaa tuuu we zuchuu tuuuu… anajua sanaaaaa na ndio alie ifanya hii iwe nzuri ana jua sanaa huyo jamaaa
@raphaelmugho9466
@raphaelmugho9466 Жыл бұрын
nice plot, napenda sana act ya huyu anaambia mkuu aende mwenyewe,, very perfect
@FarajiKiberiti
@FarajiKiberiti Жыл бұрын
Clam ..now uko pazuri sana, endelea kuchapa kazi, mashabiki zako tuko nyuma Yako tunakuombea kijana. Big up San young king..💪💪💪💪
@waziriabdallah
@waziriabdallah Жыл бұрын
Clam vevo na bailam Hawa jamaa huwa wakikutana kazi nzuri Sana kwenye usiliazi Yana hata wakiigiza film full ya serious itakuwa poa Sana tnaomba movie ndefu basi clam vevo.
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 Жыл бұрын
Likes kwa kaz nzuri anayotupatia CLAM,show your pure love to this one🇹🇿❤❤
@Ssethschwarz
@Ssethschwarz Жыл бұрын
Dah mwamba anajua aisee dah
@official2kbill650
@official2kbill650 Жыл бұрын
Huyu wa kusema zuchu ni funny 😂
@itangishakadine9384
@itangishakadine9384 Жыл бұрын
From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮Love u nawapenda sanaaa
@maryamalichengo2046
@maryamalichengo2046 Жыл бұрын
Am so in love with this movie...please don't make us wait for long brother...
@bahabavanny3270
@bahabavanny3270 Жыл бұрын
Huku Kenya tunapenda show zako sana clam keep up❤
@mutulilawrence727
@mutulilawrence727 Жыл бұрын
Natazama nikiwa qatar kazi Safi Sana big up 👍👍👍
@cristianofabiao537
@cristianofabiao537 Жыл бұрын
Clam anajua Sana 🔥🔥
@butoyieric-ek5ty
@butoyieric-ek5ty Жыл бұрын
Clam wewe nimkali zaidi umesomea wapi mbona hatali sana🇧🇮 tunakubali✊
@polepoletv350
@polepoletv350 Жыл бұрын
Nipo kaka!! I'm from Kigali Rwanda nakupenda clam ❤❤❤❤
@mryaasirtz2496
@mryaasirtz2496 Жыл бұрын
Kazi iliyotukuka🔥 ubunifu mkubwa Allah akuongoze akupe afya njema🤲
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 Жыл бұрын
Clam kumbe alikuwa anaweza kuleta series safi ila inafaa aongeze dakika ziwe ka 20 angalau kwakweli hii series iko poa hzi ndio vitu vinakupendeza zaidi.another actor in town .
@rajabushedafa6397
@rajabushedafa6397 Жыл бұрын
Wale tulioanza na clam kuichek hii series tam ya big boss kuanzia 1-6 tujuane Kwa like
@KhanShaka-wm2er
@KhanShaka-wm2er Жыл бұрын
Big boss tufanyie maalifa ngoma inakaa xn bila kutoka had mtu anai miss😢😢
@daggykabe2457
@daggykabe2457 Жыл бұрын
Finally it has landed, and am the first too watch. Nipewe like angalau tano
@vinnyonyando994
@vinnyonyando994 Жыл бұрын
WA kwanza leo,, naomba likes wanaofuatilia "Big Boss"
@EstherTanza
@EstherTanza Жыл бұрын
DaaaAaaah kazi nzuri bro najua siku Moja utaniita nishiriki hata kama si hii nyingine❤
@ommytalent5948
@ommytalent5948 Жыл бұрын
Nyieee!! Mi nampenda huyu mchawi anaesema "" we mchumba tuuuu😀 we zuchu tuuu😂😂
@papaamasauti1973
@papaamasauti1973 Жыл бұрын
Waliokua wanasubiria part 6 tujuane
@lazaroikowa5850
@lazaroikowa5850 Жыл бұрын
Tuko pamoja
@kizaafla2046
@kizaafla2046 Жыл бұрын
Nyimbo ni kali San inapendanza na filama hii🔥
@Melingawa
@Melingawa Жыл бұрын
Vizuli sana Kuna ujumbe kwahii episode kabisa nawapenda ni mimi ngawa kutoka🇧🇮
@nassirabdalla-o1e
@nassirabdalla-o1e Жыл бұрын
Hongera saan clam vevo....ubunifu wako ni wa kipekee ...unakitu clam..utafika mbali zaidi na zaidi❤
@wangucate0528
@wangucate0528 Жыл бұрын
Clam never disappoint 😂
@owenyatv9142
@owenyatv9142 Жыл бұрын
Congratulations on the good work😊😊😊mnastahili kupewa maua yenu🎉 gonga like kama umempenda mtoa story na director na clam-vevo comedy
@mittpicasso3597
@mittpicasso3597 Жыл бұрын
Boss Clam unakipaji kupitia mbali 🔥🔥🔥💯‼️
@indexchitanda4477
@indexchitanda4477 Жыл бұрын
Safi sana Clam vevo nawakubali sana vijana wangu❤❤❤
@allymachejo2996
@allymachejo2996 Жыл бұрын
Uyu mchawi na mbwembwe zake iz ni Noma Sana "Chogo ka Mwiko" 🤣🤣🤣
@silviananjala7941
@silviananjala7941 Жыл бұрын
My favourites Clam big up bro nakupenda sana napenda sana video zako bt simuoni shadow Nextel time usimusahau
@ElishaElibariki
@ElishaElibariki Жыл бұрын
Hongera sana clam kazi nzuri tumeisubiria sana
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
Nakukubali Sana Clam vevo never disappoint
@ZainabuRajabu-m3p
@ZainabuRajabu-m3p Жыл бұрын
Umetishaa sanaaa Clam naona mambo makubwa mbele yako hongera sana
@jindwasam
@jindwasam Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪 twakukubali sana mkali clam.. hakuna wa kusimama mbele yako
@eliasmaziku1841
@eliasmaziku1841 Жыл бұрын
Daaaaah BONGE LA MOVIE KUWAHI KUTOKEA, bigup mno mr. Clam
@princekillian3640
@princekillian3640 Жыл бұрын
Next part plz I can't wait 😅... much love from kenya🇰🇪🔥
@piusmayanga
@piusmayanga Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 nimpelekee moto
@princekillian3640
@princekillian3640 Жыл бұрын
@@piusmayanga 😂😂
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Жыл бұрын
Mimi wa mwisho kuona bigboss nipeni hizo like
@cloudenock6167
@cloudenock6167 Жыл бұрын
Najifunza mengi sana toka kwenye "Bigboss"
@sidoedyalex9742
@sidoedyalex9742 Жыл бұрын
Pamoja sana clam unatuinspaya sana vijana
@dullamuwise4802
@dullamuwise4802 Жыл бұрын
nimefatilia toka ya kwanza had ya saba nimeipenda sana ,, hongereni sana kwa kazi nzuri❤
@AmurimatabikaClaude-yy9pm
@AmurimatabikaClaude-yy9pm Жыл бұрын
Big up clam part 7 isishelewi baba 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲❤
@isayamnyimwa1411
@isayamnyimwa1411 Жыл бұрын
Daah Jamani Hawa Wachawi Wakiume Wanachekesha Mbaya😆😆😆😆 Naomba Clam Hii Siri's Isiishe Mapema Bado Tuna enjoy Sana🤣🤣
@NewtonKe-kx2ul
@NewtonKe-kx2ul Жыл бұрын
😂😂tunataka behind the scenes please😂😂😂 it's look they're more entertaining
@UtotoriMtori-rg6no
@UtotoriMtori-rg6no Жыл бұрын
Daaaaaah clam number one kama kweli unaamini clam number one likes big up clam Tanzania one clam
@stevekilonzi7253
@stevekilonzi7253 Жыл бұрын
Clam will never be boring...nipeni likes za Kenya❤
BIG BOSS |7|
19:05
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,3 МЛН
DUNIA (Ep 39)
23:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 208 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 7 МЛН
BIG BOSS |9|
16:12
CLAM VEVO
Рет қаралды 847 М.
STUDENT FULL MOVIE 2024
1:52:20
SENGO MK
Рет қаралды 182 М.
MISSION IMPOSSIBLE [34] SEASON 2
26:40
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 258 М.
PETE FULL​
2:10:32
KIM VEVO
Рет қаралды 616 М.
MZEE MCHAWI FULL MOVIE
3:02:26
MWAKATOBE
Рет қаралды 55 М.
UTACHEKA UFE MAHABA YA CLAM MBELE YA ZUCHU, APEWA ONYO ZITO
14:26
Mbengo Tv
Рет қаралды 1,6 МЛН
BIG BOSS |5|
10:43
CLAM VEVO
Рет қаралды 994 М.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,1 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН