Zumba umetisha sana 🎉🎉🎉unaushauli ulio nyooka na unamaono yambali Zaidi❤
@Hudhaimakassim-d1f4 күн бұрын
Sengo nakukubali sana❤❤❤😂❤ 😊😊😊
@Bintabubakar-id2soАй бұрын
Unyama mwingi watu nanusu🎉🎉🎉❤❤❤
@PhilemonMaduhu21 күн бұрын
Mke wake mbwela anajua kulngiza nimeipenda hiy
@XtenMobile-s2d18 күн бұрын
Yani mungu awajaaliye kwenye kazi zenu na awajaaliye ridhiki za halali❤
@sengomk17 күн бұрын
Ameen familia yng
@rehemamutua442 ай бұрын
Duu hii imeweza sana I say much love mbwela ❤ keep it up guys
@YounomaneАй бұрын
Uzuli wakutembeya namwanamke anaye jierewa hata kukitokeya tatizo anakuteteya🎉🎉$
@johannesnyabara25272 ай бұрын
Ila Mbwela😂😂😂 eti uzazi ni sawa na nini vile?
@austinebaraza2 ай бұрын
Iko pwr sana ,,,, sauti,zile beats hakika zimeenda shule keep it up.
@Barakaudobavevo2 ай бұрын
Unyama sana hiii nibonge ya kazi mazee❤❤❤ like by sengo brand
@sengomk2 ай бұрын
❤🔥🔥
@YounomaneАй бұрын
Hasila hasala🎉🎉$
@ZulfatRamadhani2 ай бұрын
Nimecheka eti kuzaa ni sawa na ushuzi😂😂😂😂 hii kali kabisaaaaa
@philipkimeli44726 күн бұрын
Mbwela hunifurahisha sana kwenye hizi movie
@NurartmamiiNurartАй бұрын
Nawapenda bureee aki 🎉🎉🎉🎉hongereni❤❤❤❤
@shijaluziga2 ай бұрын
Kitu imetuliaaaaaaa❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@OengaMildred2 ай бұрын
Hila Zumba huko na hekima sana, good job keep it up ❤
@JohnKristophebigi-d8zАй бұрын
Good job
@PrincessNarfatАй бұрын
Mbwela ni wangu😩😩nampenda😢
@RaiyaanRasheedRay2 ай бұрын
"Mwanamke ni kiumbe mbaya sana si wakumuamin %100"... mwenye D mbili hawez kunielewa😅
@WinfredahAmingaАй бұрын
Kipara anawakilisha fty😅
@Ngasowe2 ай бұрын
Mbwela always make mi happy
@SheikhMavado2 ай бұрын
Unyama sana
@FelistarMagigeАй бұрын
Mbwela nakuaminia bro kazi zako nzuri sana ❤❤❤❤❤
@godfreylubua167318 күн бұрын
Sasa tatizo hii movie mko kijijini alafu mmetumia silaha za mjini kama bastola kwa nini hamjatumia silaha local zinazoendana na uhalisia wa kijijini. Ok ila good movie
@SiwazuriulizaАй бұрын
Weeeeh
@rahemh123426 күн бұрын
Sengo siokwamba mbwela alitaka akakunyonge huko ndan kwako 😛 alitaka akaku PDIDY tu nasivinginevyo 😂😂😂😂
@sengomk26 күн бұрын
😂😂😂
@rahemh123426 күн бұрын
@sengomk we huogopi 😆😆
@ramadhankiwigu719Ай бұрын
Hii movie imefana kabx
@apis_tvАй бұрын
Sema subtitle imekaa utamu inabidi mtafute mtu wa Kinngereza makosa ni mengi kiasi kwenye tafsiri ingependeza zaidi kama mngekuwa mnawapa watu kuhariri maneno yaendane na maana ya alicho zungumza muhusika. Sengo na timu yako hamjawahi kuharibu kazii aiseee
@OmanOman-ik9spАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@gershomchallo2 ай бұрын
Ila hicho kijumba cha sengo kimechezewa movie nyingi, ...😂😂