Wasiliana na Big Boys Club kwa namba hii +255765771770 Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii: / simulizinasauti / simulizinasauti / simulizinasauti / simulizinasauti
Пікірлер: 167
@msafirimiracle6613 Жыл бұрын
Huu mfumo sns wa kuwatafuta vijana wapambanaji wakatia hamasa vijana wenzao umetisha sana,wengi watakutafuta na ndiomaana halisi ya media,sio utaku tu,nchi yetu vijana wengi sana hawana ajira na wako nyuma sana kitechnolojia,so big up Fredrick
@user-yw3hz5df6w11 ай бұрын
Kwl ndugu
@danielmlelwa4954 Жыл бұрын
Big up Brother 💪 you become a strong motivation to me
@chamyfx9377 Жыл бұрын
Before doing anything make sure you doing RESEARCH
@Mbeyaconscious Жыл бұрын
😂😂😂🙏🏼🙏🏼
@cocotz1892 Жыл бұрын
True
@henrymwampuga2032 Жыл бұрын
Exactly
@yama_virginhairthequeen106511 ай бұрын
😂😂😂
@FastpayMauzo9 ай бұрын
Usiitumie akili nying kwa mambo. Madogo
@jofreykabobe11 ай бұрын
Forex is real ila hawa washamba wanaoiita ni utapeli ni hawana knowledge tu kuhusu forex ni wamejawa ujinga tu na uvivu wakujua mambo.
@NaomyMafie-lj7fo4 ай бұрын
How to do this
@roblyohmtana7 ай бұрын
Hawa wanaitwa Educators ambao hua wanapewa contract na brokers (IB) ya kuitroduce brokers kwa vijana wengine na wataku insist ufanye deposit ya real money wakati wanajua hujakua tayari ku trade yani haujui ku trade , they work for the broker which they are affiliated with broker, so ndugu zangu watanzania kueni makini kenya wako wengi sana.😮
@user-nb2jw4km6f4 ай бұрын
Hii inaitwa trick ya mabroker kuchota hela kupitia ma mentor
@arafatibrahim19212 ай бұрын
Hard truth
@user-qt3wz1yg4q8 ай бұрын
BIG BOYS Respect kubwa sana kwenu kwa kutupatia vijana wenzenu madini mazuri, I like it and I need support..
@user-ff8kh5cq9g Жыл бұрын
I love this
@tikdancefunny Жыл бұрын
Like webflow, big up 🎉
@hasanasosports1137 Жыл бұрын
🔥🔥 fire
@user-nr9gz4ly6u Жыл бұрын
Uyo jamaaa si Elisha wa PANDAHILL S/SCHOOL.......BIG UP ......SANA
@wendelinilungu701410 ай бұрын
Nice brother's nimependa sana najifunza forex na naitaji kuijua zaid na kui master
@beathadanielchengula2438 Жыл бұрын
Akili nyingi my brother nakuamina
@kevinchaula777 Жыл бұрын
Nimemuona mwanangu wa secondary Ephrahim aka LAMASIS big up kaka
@Mbeyaconscious Жыл бұрын
Jamaa Wapo Vizuri Pongezi Kwao 🎉
@frankpro003 Жыл бұрын
Kk😂
@andrewshustle133111 ай бұрын
Akili kubwa sana nimewaelewa machalii 🪄💪 #BIGBOYS
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Hii kitu inahitaji muda sana co mwezi au mwaka uwe tajir
@user-nb2jw4km6f4 ай бұрын
Ni kweli
@jonathannjau91298 ай бұрын
SNS watafuteni na wale wa intelligence Fx mufanye mahojiano nao😊
@Chrisblaze-beats11 ай бұрын
Hizi ndio habari mnatakiwa muwe mnatuwekea sio maumbea ya kina paula yanayo zidi kuaribu jamii na vizazi
@effortmsossy427111 ай бұрын
Safi sana.
@willympeta3020 Жыл бұрын
🏅🙌
@hellendaniel38096 ай бұрын
Yaan Tonny anavyosema suree😂😂😂😂. Bro ulituingiza mkenge Bitcon hadi mbaba wawatu akapata Depression Mungu anakuona
@user-ff8kh5cq9g Жыл бұрын
I love sns I love forex
@Bwanapilato7 ай бұрын
The question is Are you ready to learn and pay the price? Then fx is real otherwise you will cry And you will call it a scam forever 14:24
@jogechi2105 Жыл бұрын
These guys are just good marketers. Wapi wengi Nairobi tunawajua
@adampius5140 Жыл бұрын
Jichanganye😂😂😂
@Thatscene2024 Жыл бұрын
PWA and AMAZON SAVER mpo apapa TANZANIA
@mdl646311 ай бұрын
Sns kanusha hiyo haipo hiyo wizi mtupu toa mfano mmoja kwa mtu aliyefanikiwa nina uthibitisho wa kutapeliwa na vijana hakuna hela ya haraka labda uibe tu Wizi mtupu
@JumanneKitentya-ed6uc11 ай бұрын
Big boys mnatumia jina gani telegram.
@davis71067 ай бұрын
Wala hela za watu 😂😂hakuna matrader hapo
@FundiGuru11 ай бұрын
Niwa kumbushe tu my fellow tanzanians Forex ni betting kama betting zingine ndio mana kuna kitu kinaitwa stoploss.. kwahyo usije kuacha kazi au ukaanza kumezeshwa dreams ambazo hautawekuja kuzitimiza maishani mwako these na wa jamaa awajali kabsa kama utakula hasala au utapata faida wao awajali. Take care of your mind
@ramadhanimwaleni151410 ай бұрын
Kama ni kubeti Sasa neno stop lose la Nini shida watu mkipigwa mnakuwa wahamishaji ktk wrong directions 🤣
@FundiGuru10 ай бұрын
@@ramadhanimwaleni1514kwanza aiitwi stop lose ni stop loss bro wew unaonekana uko mis-informed na kama unaendelea na forex utakuja nikumbuka siku moja ndio nyie mnafuata ma influencer wa online wamekumezesha ujinga nawe unajiona ni trader.nitajie trader ambaye auzi signal wala atoi mentorship apo ndio utajua forex ni ngum kila mtu anataka kuwa mwalim na wengine wanafanya affiliate marketing ndio wanashinda kila siku wanashawishi watanzania kutrade. Kama nawew unasema una make ela kwa kutumia forex nina was was wewe ni mentor au ndio wale wauza signal ok endelea kuwapiga
@user-lt3iz5kb8v9 ай бұрын
Pole sana,rudi darasani kalielewe soko kwanza ndo useme forex ni betting
@user-vg4ph5zx8h9 ай бұрын
We jamaa forex ni betting?????,
@ediuseustace11267 ай бұрын
Elimu ni muhimu sana forex siyo betting
@lugolomela15437 ай бұрын
Skai unashiriki kutangaza utapeli kwel mwanangu acha hizi mambo kaka
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Hawa matapeli bado wapo?
@BIGBOSS-hl3bu11 ай бұрын
Walikuibia Nini?
@alutekidz88347 ай бұрын
Etii
@user-eg1ts2fu9z7 ай бұрын
Hawa jamaa Mbona ni mabilionea Tanzania
@user-gs7hd1rx4o Жыл бұрын
Sns unyama mwingi
@ahmuhally443011 ай бұрын
Huu ni utapeli wa hali ya juu sana
@The90roman11 ай бұрын
wachache watakuelewa, kwasababu wajinga ni wengi.
@user-lt3iz5kb8v9 ай бұрын
Pole sana kwa sababu hujui ndo maana
@morisstambuli908 ай бұрын
😀😀😀 Ila Tz watu wajinga,hv unazan Forex ni utapeli 😀😀😀😀
@ediuseustace11267 ай бұрын
Unahtaji elimu
@kilimohub58011 ай бұрын
Contacts za washkaji please
@webettermen323711 ай бұрын
Acha uvivu sikiliza upya
@FundiGuru11 ай бұрын
Utatapeliwa wewe
@kilimohub58011 ай бұрын
@@FundiGuru fungu la wezi lipo
@jogechi2105 Жыл бұрын
If you want to trust these guys, let them let you witness how they trade and make real money. Otherwise, you will lose money coz I highly doubt that they make money from trading but from those fake courses they offer on subscription from desperate and unsuspecting youth. Nina uhakika hawana ujuzi kwenye trading
@paolo4584 Жыл бұрын
Wanatrade. Ila profits ni ndogo.. nawafahamu sana niko nao Dar.
@jogechi2105 Жыл бұрын
@@paolo4584 If the profits ni ndogo, Unadhani iyo pesa yote wanatoa wapi kama sio kwa students wao?
Forex ndio ipo hivyo courses zina make hela kuliko tranding
@FreeGod36811 ай бұрын
YANI MTU ANATAFTA WAFUASI WAPATE PESA KUPITIA WATU KWA MGONGO WQ KUFUNDIASHA FOREX KAMA WANAPATA HELA WAO WAENDELEEE SIO KUJIFANYA ATI WANASAIDIA VIJANA, MI NILIKOMALIA FORED MIAKA 4 NKAGUNDUA HAINA TOFAT NA KUBETI NKANZA MISHE ZNGINE
@HAKHASH31211 ай бұрын
Hukuielewa ndo mana
@monicagerald667610 ай бұрын
Siku hizi ujuzi wowote unauzwa boss,hamna ujuzi wa Bure,ukiona ujuzi unaupata Bure ujue Hauna Dili. Mfano mtu anauza keki hawezi kukufundisha Bure.
@movieszone527310 ай бұрын
@@monicagerald6676 yaaan wewe ndo nimeona umeongea..Hawa watu wanataka kutengeneza pesa bila kuweka pesa.
@user-lt3iz5kb8v9 ай бұрын
@@monicagerald6676shida wanaokwenda kujifunza kwao na wao hawajui...forex ingia mwenyewe kasome,fanya mazoezi mengi na ndo maana kuna demo account,ukiwa mvivu kweli utatapeliwa,then kika kitu kipo kwenye mtandao ila ndo hvy...watu wengi wamefanikiwa sana na hawajitangazi na wanaishi vzr tu unashangaa jamaa anatoa wapi pesa?watanzania wengi wanapenda bure...na bure ni aghali.😂
@geofreysadok482311 ай бұрын
Achane kuhangaika ,tumieni MTFE ku trade mtanishukuru
@mushtaqmohamed801011 ай бұрын
Nipe maelekezo mkuu kuhusu mtfe
@HAKHASH31211 ай бұрын
Kikowapi😂😂😂
@arnoldlucas573411 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@movieszone527310 ай бұрын
iko wapi MTFE😂😂😂😂😂
@lusebrown55610 ай бұрын
😂😂😂
@alphacassian3655 Жыл бұрын
Forex Traders wa ukweli hawajitangazagi hata, wako Humble tu. Wealth is Silent
@Thatscene2024 Жыл бұрын
nashangaa kwanini watu wapo negative juu ya hii interview WEWE mambo ya tech kama yalikushinda usiwaaite watu mascum. subili dunia inayoitaji teknologia ikufunze.
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Ingia ujionee kama unaona watu wana wivu full stop
@jofreykabobe11 ай бұрын
@@flackomasterbaddest4155 mbona mim natrade naninapata faida tena natrade mwenyewe sio nahao jamaa, wewe acha ushamba kama huijui forex
@movieszone527310 ай бұрын
@@flackomasterbaddest4155 Kama umeingia na unaona forex ni scam basi bado una safari ndefu
@Mc_Chabala11 ай бұрын
Toka nime unguza akaunt ya Dola 10k $ Sina hamu na forex tena
@misungwikids56311 ай бұрын
Siwezi acha FOREX mpka nazikwa🚶🏽♂️
@FundiGuru11 ай бұрын
Pole kaka mini 200k
@nyokonyoko799011 ай бұрын
Umekuw addicted ndo maana hujui kutrade
@HAKHASH31211 ай бұрын
@@misungwikids563good decision
@monicagerald667610 ай бұрын
Unaunguzaje dollar 10k itakuwa ulikuwa na tamaa ya kutengeneza Hela kubwa sana. Risk management ni muhimu hata kwenye biashara nyingine.
@viff547 Жыл бұрын
Scam 🚨🚨scam🚨🚨 scam🚨 Vijana msijaribu Forex ni TOTAL scamming Ninawaeleza tokea mwaka 2018, Forex is not Win to win business, forex is there to manipulate People s lives🚨🚨🚨 Huyu jamaa wa Media analipwa tu kutangaza huu Utapeli.
@MohdMohd-hf7rm Жыл бұрын
Usijibi vitu ambavyo huvijui
@viff547 Жыл бұрын
@@MohdMohd-hf7rm nimeifanya naijua sana, unless we ni tapeli pia
@MohdMohd-hf7rm Жыл бұрын
@@viff547 wewe ulikua huna uelewa na forex trading ulipata vijicent vyako bila knowladge ukachoma account unasema ni utapeli watu wanafanya na wanapata income
@MohdMohd-hf7rm Жыл бұрын
Hivi kwa akili zako Fedrik Bundala Hana akili akaeapromotes skaming unamhisi ni Mjinga sana huyu jamaa unajua CV na Sky ww !!?
@viff547 Жыл бұрын
@@MohdMohd-hf7rm 🤣🤣🤣 huyo anatafuta viewers, yupo Tyr kupromote chochote maadam hakijakatazwa na sheria. Hata ITV walipromote sana ile Calinda, Muulize kama yeye ana trade??!
@viff547 Жыл бұрын
Forex ni Utapeli, do not trade❌❌❌ Vijana tafuta biashara nyingine ya kufanya, 🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌ Scam🚨🚨🚨 scam 🚨🚨scam 🚨🚨scam Hatari tupu, Forex ni majambazi ya Dunia🚨🚨🚨🚨🚨
@habibuhyera2961 Жыл бұрын
kwanini unasema ni utapeli kaka??
@Jitu_Lisilofikirika.11 ай бұрын
Vipi nikisema wewe ni mjinga.? Kwakua we umeshindwa it means ni scam.? 😅😅 So what if I say "I live out of trading?" Ambayo we unasema ni scam? Utajiona chizi eeh.?? STFU
@viff54711 ай бұрын
@sadickmasanjakasuka9241 Walaaniwa mitapeli kama wewe mtazidi kuwepo, the idiot Muppet! 🦠 Scammers siku zote huwa na matusi wanapogundulika. hujaona mahali nikitukana lkn unakuja na matusi, Domo chafu au unakulaga Mavi nini? Au unatumiaga Matako kuongea? Intelligents wanakuja na hoja sio Uharo. Huna hoja kenge wewe
@MizzlekingFX11 ай бұрын
😂😂Huwa nacheka Sana nikiona m2 anachukulia negatively fx
@IMANWILLIAM-bl2ui11 ай бұрын
Forex ni utapeli au we ndo mjinga? Hama kijijini uko unapoishi ujue dunia inaenda wap, jinga sana wew
@viff547 Жыл бұрын
Matapeli, 🚨matapeli, 🚨matapeli🚨 Usijaribu huu mchezo, sababu forex sio biashara huu ni mchezo kabisa wa kamari, kwa Jina la trading🚨🚨🚨❌❌❌❌❌❌
@sirbussongo4490 Жыл бұрын
Hujui kitu nyamaza.
@viff547 Жыл бұрын
@@sirbussongo4490 dogo, tafuta hela halali acha kushiriki ujambazi
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Very true na mm ni shahidi nishakua mpaka wateja wa hao
@symonbankie333511 ай бұрын
Daah huyu jamaa anazingua sana forex ni Biashara sio mchezo
@IMANWILLIAM-bl2ui11 ай бұрын
we jmaa ni masikini na utakufa maskini
@viff547 Жыл бұрын
Fraud🚨🚨❌ fraud🚨🚨❌ fraud🚨🚨❌ Forex trading ni Utapeli, ujambazi Uuaji mtupu, 🚨🚨🚨🚨 Do not trade ❌❌❌🚨🚨🚨💥
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Yalikukuta nini ndugu?
@viff547 Жыл бұрын
@@adkajisi4536 Kuna kauli ya wakati wote inatumika, wanakwambia utaanza kuona faida baada ya mika Miwili mitatu, maana yake ni kwamba utaendelea kupoteza ukidhani utarudisha hela zako kumbe "They are more psychological in tracking you in the system while trading" kukupiga mpaka uwe maskini. It's a foolish foolish trading, hao wanaojinadi ku trade, hakuna hata Mmoja anayetrade forex. Ni Scammer tupu🚨🚨🚨