Nimechekea ulivosema fala alijua kamara anashiliki 😂😂 mim binafsi nilijua Trump anashinda mana niliona kwenye cartoon ya the simpsons nkawa nawaambia mafala trump ameshapita mda wakawakawa wananibishia mwisho wa siku wanasema mim mtabiri😂🤣😂😂 wachokonozi for life❤❤❤
@bonifaceferdinand5662 ай бұрын
Dini inalainisha,siasa inadhibiti 😂😂😂
@bazzohtv94882 ай бұрын
Duhh mwalimu Nyerere mmemchokonoa sana inatosha Sasa ✋🖐️
@ansibertalfredy91072 ай бұрын
Ujue nyie jamaaa mnaongeaga fact sanaaa asa kuusiana swala la dini sio mbango wa mungu....sema sehem mnaponichanganya na mm nikawa kinyume na nyinyi kusema kwamba hakuna Mungu......sawa nambieni yupo ila ana jina lingine na kwa jina la Mungu nitawaelewa...
@ansibertalfredy91072 ай бұрын
Sio mpango
@yamungungendu48392 ай бұрын
Hata Mimi napishana nao pale wanaposema kuwa Mungu hayupo.Kwenye hilo huwa nawaona wajinga wasioelewa namna walivyotokea na kuja duniani.
@saimonmizingo74852 ай бұрын
Hawa jamaa wanaelewa Mungu yupo sema wanapotosha kupitia elimu yao
@LucRedeemer-m4k2 ай бұрын
Wao pia wanajua Mungu yupo kbs,..wanacho kikataa niyule Mungu wamakakatasi wa Biblia yaani😁
@MudrickJunior262 ай бұрын
Muumbaji yupo ila maswala ya kutisha watu cjui moto na pepo ni uongo
@aristotemohamedmz59792 ай бұрын
Tuwe watulivu kila mutu atapata ugonjwa wa akili 😂😂
@danctheyoung2 ай бұрын
Daah nakubali sana
@PikaUsipakue-el5yc2 ай бұрын
Mamtu yenye depression unayatia moyo😂😂😂
@bahatisaimon60192 ай бұрын
Wajuzi wa mambo 🎉
@danctheyoung2 ай бұрын
Kabisa kama mwenye nyumba na mpangaji
@nicasnerey99332 ай бұрын
Hiyo bibilia yenyewe wanayoisoma inasema kwenye ufunuo rumi ndio kahaba mkuu mwenye maarifa anaelewa. Big up GAMBOS WENZANGU
@FadhiliEmanueli-w3x2 ай бұрын
Tupe huo mstari unaosema hivo
@ShukuruSemwenda2 ай бұрын
Haaaa
@NiyongabireEgide-h4g2 ай бұрын
And now I'm the first one 😅😅
@theogeorge37732 ай бұрын
Tunajua Sa100 alienda kumsalimia tu jamani wala sio kingine Haaaahaaaa
@GameChumaTz2 ай бұрын
Bila kuchoka wachokonozi Akuna Dawa tamu watu wataelewa tu
@Lugiko-o2j2 ай бұрын
Ukiwa unaongea na wapumbavu unaongea kwa Lugha yao😂
@LoneWolf-ng8yg2 ай бұрын
Mim mwenyew nimependezwa na msemo huu😂😂
@BabaTiffah2 ай бұрын
Jamani ila ni kweli Yani selikali inasajili dini zote na kuzisimamia alafu watu wa dini wanasema misikiti na makanisa ni ya mwenyezi mungu duuuuh
@sailantjoseph74112 ай бұрын
Mnatamani Uchawi lakini hamuujui
@mashramadhani19892 ай бұрын
Kuna wananchi na rais
@LucRedeemer-m4k2 ай бұрын
Hawa watu wa mbwana Yesu itakuwa shida Sana kwaupande wao kuelewa Aya mambo wazee
@AbelnegoPhilimon2 ай бұрын
Ko wewe ni wa bwana shetani!? Angalia mvuke utafakari, hapa duniani tunapita wanaongea meng sana chagua yale mazuri mengine uyachambue. Kuamini kila neno pia ni UPUMBAFU😢
@patrishamaulid56702 ай бұрын
Mimi mpaka hapa nisha elewa ndio maana bimkubwa alienda kwa papa kule mjini vatkani watu wakapiga kelele weeee kiufupi kanisa katoriki ndio linaongoza dunia na wana siasa waote duniani over kama mnapinga njooni mniuwe sasa
@golebenson45972 ай бұрын
😂😂😂😂
@sailantjoseph74112 ай бұрын
Haya WanaGamboshi nendeni mkaroge naona mnatamani Uchawi, kuna kibabu kichawi jirani yangu anatafuta MTU Wa kumpa Uchawi niwaunganishe nawe awafundishe Uchawi wakigamboshi.
@anuarymyekakimolo47852 ай бұрын
😂😂🎉
@JovinMaftah2 ай бұрын
Hatareeee
@IsufuRajabu-v9c2 ай бұрын
Kabisa
@sailantjoseph74112 ай бұрын
Uchawi sio kitu kizuri kama ufahamu wenu unavyoona, Uchawi NI kitu kibaya ukiwa nacho hutakaa upate Amani,
Tengenezeni vitabu hatakama mwafrica mzembe kusoma lakin vitabu havihalibiwi havipotei miaka 100 mbele watasoma amina
@peterconrad65462 ай бұрын
Jmn nahitaji vitabu vyenu nita vipataje?
@wachokonozi_2 ай бұрын
0785346032 WhatsApp
@sailantjoseph74112 ай бұрын
Bado mko wadogo, mambo yakiroho hamyajui nyie zungumzieni vitu vya kawaida mnaweza Ila mambo ya kiroho hamyajui uelewa wenu NI mdogo Mimi Bibi yangu Ni mchawi ko najua Uchawi pia najua nguvu ya Mungu. Ko nyie zungumzieni mambo ya kawaida mtafanya vizuri Ila mambo ya kiroho hamjui kitu, nitakiagiza kibabu kichawi kije kiwaoneshe show ndo mtajua hamjui badala yakuwa wachokonozi ntakuwa waokotanazi
@tjenruzoka78142 ай бұрын
Daaah nimefuatilia comment ila sijaona fact yako kabisa we nae unakaduaraflan umeishi na Bibi yako alafu kakinyonge saaana ,we ramba tu dawa ya wachokonozi alafu ulale....😅😅😅
@JosefNgulinzila2 ай бұрын
Wew ndio huelewi kabra hujaongea soma kwanza uchawi Nini au jifunze sili za ulimwengu Yani usiwe mjinga Dunia inaongozwa na watu nyie wajinga jua uchawi Nini aina za uchawi mbo nimengi we upeo mdogo Sana hujui lolote umeona bibi Ako anaua ila hujui uchawi Nini pia bibi yako nae nimjinga mana uwezo wake haumsaidii chochote kwaiyo naona wew bado dogo Sana kwa masiala ya kiulimwengu , dini kwako niutumwa dini ni vita ya kiakili ko kama unatumia Imani ya kukalili vifungu2 ambavyo watu. Wametumia kuua maono ya wafrika ningumu Sana ko kiufupi we nimjinga nenda mbele zaidi ujifunze. Dini nimbaya kwa kizaz Cha afrika ila kuelewa mpaka ue na akili kubwa Sana ko mjinga kama wew lazma ufeli!!!!!!!!
@PikaUsipakue-el5yc2 ай бұрын
😂😂😂 na ww upo manipulated
@NusaiybRashid2 ай бұрын
Mi mara ya ngaap nawambia nahitaj vitaabu. Kwann hamsem kam vipo au vp.
@MkonoZacharia2 ай бұрын
Safisana watengeneze vitabu
@wachokonozi_2 ай бұрын
0785346032 WhatsApp
@KudrahPembe2 ай бұрын
Sauti mbaya
@madulustudio67942 ай бұрын
Kitabu kaka
@wachokonozi_2 ай бұрын
0785346032 WhatsApp
@GameChumaTz2 ай бұрын
Bila kuchoka wachokonozi Akuna Dawa tamu watu wataelewa tu
@NusaiybRashid2 ай бұрын
Mi mara ya ngaap nawambia nahitaj vitaabu. Kwann hamsem kam vipo au vp.