Subhanallah!Namna Mji wa Sodoma ulivyo leo hii

  Рет қаралды 118,695

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 229
@MwanamisiMwadzina-qv3pw
@MwanamisiMwadzina-qv3pw Күн бұрын
MashaAllah nlkua sijui dada mungu akuzidishie hii istoria cjawai iskia mm zidi kuwakimbisha waja wa ALLAH waepuke na ulawiti n haram
@subiraibada4470
@subiraibada4470 19 күн бұрын
Simulizi nzuri. acheni dhambi ya kujamiiana kinyume na maumbile. kuepuka adhabu ya Mungu
@MwinyiJuma-n4i
@MwinyiJuma-n4i Ай бұрын
Asante dada kwa kuukumbusha ulimwengu mana siku hizi umapishana na mtoto wa kiume kama unapishana na mwajuma alafu wenzetu wanasema et Wana haki zao pia mh mungu atunusuru inshallah
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Ай бұрын
Subhanallah Allah atunusuru na uchafu w ulawiti na maasi yote Amiin
@Shaheeda-fn2pr
@Shaheeda-fn2pr 21 күн бұрын
Ameen!!!
@MohamedHaji-k3u
@MohamedHaji-k3u Ай бұрын
Maashaallah dada Allah akuzidishie Elimu yenye manufaa ktkt Dini na Dunia
@YahyaNuru-v7d
@YahyaNuru-v7d Ай бұрын
Allah amzidishie dada.Na tumuombe Allah atusamehe dhambi binadamu hatujakamilika isipokuwa ALLAH.
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 7 күн бұрын
Hasbiyallah wainiimal wakiil
@JauZaty
@JauZaty 12 күн бұрын
Shukrani sana habbty Allah atuepushe na vitendo vibaya na atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲
@al-aqsamediaonline1489
@al-aqsamediaonline1489 19 күн бұрын
Maa Shaa Allah! Kisa Kimesimuliwa Katika Namna ya Kuvutia. Allah Awalipe Kila la Kheri Kalamu
@juliusmwinga4051
@juliusmwinga4051 12 күн бұрын
Shukran kwa Simulizi. Mungu atuongoze waja wake na awarehemu maiti zetu
@EverlyneKadenyi
@EverlyneKadenyi 2 күн бұрын
🎉duh balaaah mola awe na huruma juu yetu.
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 күн бұрын
Africa ndiyo bara ambalo mpaka leo bila mambo ya video na simu naisi tungeliish salama zaidi lakn kwa sasa hatupo salama tena mungu ibaliki Africa
@omarymponda3374
@omarymponda3374 Күн бұрын
Asante kwa simulizi
@ZANAMBER
@ZANAMBER Ай бұрын
Mashalla mwenyezi mungu akuzidishie kher kwa elimu yenye manufaa amina
@t.v.a.i.s.s6842
@t.v.a.i.s.s6842 16 күн бұрын
Thanks salma mzungu
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 28 күн бұрын
Kwa kwel Maasi yote yaliyotendwa na Vizazi vilivyopita bac yapo katika Kizazi hiki cha Umma wa Mwisho😪😭😭.. Allah atupe mwisho mwema InshaAllah🙏
@rahimmohamed6011
@rahimmohamed6011 21 күн бұрын
Amiin
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db 28 күн бұрын
Ya allah utusamehe sisi waja wako hayo ya sodoma na gomola ndio yanayo endelea sasa ndio mana balaa haziishi 😢😢😢
@hafsakhalfan-y2v
@hafsakhalfan-y2v 2 күн бұрын
tuwaombee kwa allah wale wanaotenda maovu haya .allah awaongoze .na allah atuepushe na ovu hili ameen
@StellaInspired-o6r
@StellaInspired-o6r 7 күн бұрын
Good teaching.na mji huo umekauka mpaka leo.watu waache dhambi
@Amospius-r3y
@Amospius-r3y 13 күн бұрын
mungu ni mwema siku zote!
@oman1oman179
@oman1oman179 28 күн бұрын
Subhanallaah 😢😢😢
@faheemibra591
@faheemibra591 29 күн бұрын
MashaAllah da salma
@salehsimba5306
@salehsimba5306 Ай бұрын
Uchafu wote duniani, maovu yote ya kumkosea Mungu yalifanyika Mashariki ya Kati. Mungu akawaadhibu mpaka Leo. Hakuna uwasi uliofanyika Afrika. Chanzo cha Madhambi ya duniani ni huko huko. Watakatifu wa dunia hii ni Waafrika. Ata Leo hii maovu yote yanayofanywa hapa Afrika ni kuiga kutokea huko. Ata kabla ya Kuleta dini zao Afrika ilikuwa salama sana bila ya dhambi zozote
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 18 күн бұрын
Utaumbuka! Dunia yote mpaka Eden ilianzia hapo Iraq ikiwemo Africa baadae watu wakaanza kusambaa kuelekea sehemu mbalimbali duniani. Pia kimsingi hakuna sehemu inatwa mashariki ya kati ni wazungu waliamua kuigawanya Africa kwa faida zao wenyewe kimsingi mashariki ya kati ni Africa ndiyo maana unaona nchi nyingine za kiarabu zipo Africa soma biblia itakusaudia kujua Dunia ilianzia wapi. Kinacho takiwa ni kumuomba Mungu atuepushe na dhambi
@salehsimba5306
@salehsimba5306 18 күн бұрын
@maria_mutondioriginal5 nafikiria bado mtumwa wa story za watu, mtumwa wa mawazo na pia mtumwa wa akili, ukiacha historia za wazungu na warabu ambazo zinafanya uwatukuze wao na kujidharau wewe mwenyewe utanielewa. Eti dunia ilianzia Iraq?!!!!
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 5 күн бұрын
Allah wakbar Ndienwenye mmulaka yote 😢
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs Ай бұрын
allah akbar allahu akbar
@CHIPANDE-v6z
@CHIPANDE-v6z Ай бұрын
Nmependa hii ❤️
@salummohamedi-k6x
@salummohamedi-k6x 22 күн бұрын
mashaa allah ila kisaa hakikuisha ukuongelea mkasa uliomkuta mke wa nabii luti baada ya kuondoka na mume wake kwakua hakua mchamungu na ni mtenda maovu alipewa shalti ya kwamba ambapo anaondoka asigeuke nyuma kwakua hakua na iman na hofu ya mungu alijalbu kugeuka nyuma kuangalia nyuma mji wake ni nin kitakachoendelea na pale pale alpogeuka mwenyeez mungu alimuadhibu kwa kumgandisha na kua jiwe la chumvi na inasemekana mpaka sas jiwe hilo lipo
@beatricesylvester9917
@beatricesylvester9917 20 күн бұрын
Kabisa ndivyo tujuavyo
@JnatJaaa
@JnatJaaa 28 күн бұрын
Shukran
@sodingcantara5041
@sodingcantara5041 Ай бұрын
Mashaallah jazzakllah khery KALAMU hapa mmeonyesha ufanisi wa kazi zenu na uwezo mkubwa sana wa kuchapa kazi🫡
@a.856
@a.856 Ай бұрын
Jazaka Allah khayran
@SanguloRaahoo
@SanguloRaahoo Ай бұрын
Hizi zote ni hadisi za watu wa kale
@azzaliy8109
@azzaliy8109 Ай бұрын
​@@SanguloRaahooinaaminika kuwa kuwa watu wenye dini tofauti na ya Waislamu wanapoona dini zao hazina mashiko wanakimbilia Upagani! Karibu katika Dini ya haki Uislamu!
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Ай бұрын
​@@SanguloRaahooBWEGEE wewe
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Ай бұрын
​@@nasseralhatmi1762kwann sasa? Kwani kasema hadaa?
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 10 күн бұрын
MUNGU ndiyo mkali wao. Wanadamu wakileta mchezo watanyoroshwa tu. MUNGU hachezewi
@SelijusiMalambo-z2b
@SelijusiMalambo-z2b 12 күн бұрын
Ni wanyumbani moja
@DominicaUggy-em8vc
@DominicaUggy-em8vc 28 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@FarhaMud-cp3ng
@FarhaMud-cp3ng 7 күн бұрын
Halaf kunawajinga wanasema wanaofanya uchafuhuu wanahakizso nawanapaswa kuheshimiwa hakizao, innalillahi wainnailaihi rajiuun
@YahyaHash-n2p
@YahyaHash-n2p Ай бұрын
MashaAllah dada
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Ай бұрын
Inchi km marekani nazingine zinazo Fanya ujinga km huo lazima mungu ataziazibu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 20 күн бұрын
Sikuizi maasi yanafanywa mataifa yote sio marekani tu hata Saud arabia sikuiz kuna maasi ya ushoga ya kutupwa kwaiyo dunia imeisha
@rashidgona1808
@rashidgona1808 19 күн бұрын
Mungu hataadhibu marekani Tu Bali dunia mzima
@fedinandnjeleka4102
@fedinandnjeleka4102 26 күн бұрын
We dada kwa leo hii hakuna sodoma na gomora kwa leo hii hata mabaki Mungu aliufuta kwa moto na kiberiti haupo hata mnara wa babeli
@salimnyagala262
@salimnyagala262 23 күн бұрын
Na kile kipande cha dunia alikifanya pakabaki shimo au pakabaki hapapo kabisa!? Mji hautakuepo ila Ardhi lazma iwepo tu, tumia akili yako vizuri
@DybalaIbrahim
@DybalaIbrahim Ай бұрын
Mashallaah
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Ай бұрын
Watu wa Leo nikuhangaika kutafuta pesa tu mambo ya Mungu hatuyafuati hata kanisani au msikitini hauwezi kwenda mikono mitupu
@husseynomar9523
@husseynomar9523 22 күн бұрын
Subhanallah
@hemedmbondejr
@hemedmbondejr Ай бұрын
Kaanan ni palestine ya sasa na sio israel. Ikumbukwe israel ipo ndani ya palestine, ahsante!!
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Ай бұрын
Kwahiyo ni ardhi ya Waisrail? Maana ardhi ya Waisrail inaitwa Kanaan.
@faridaltamimi7454
@faridaltamimi7454 Ай бұрын
@@mosesg.pendael8381 Ishu sio ardhi ya waisrael ishu ipi nchi ya kanan kwa sasa , na hata israel ilianzishwa 1948. kabla kulikuwa na farastin au parestina hakukuwa na taifa la israel
@AMINGULAMRASUL
@AMINGULAMRASUL 17 күн бұрын
UNATAKA KUKWEPA IYO MIJI ILIKUWA ISRAEL
@hemedmbondejr
@hemedmbondejr 17 күн бұрын
@@mosesg.pendael8381 kaanan ilikuwepo kabla ya israel. Mwaka 1948 ndio taifa la esrael lilipo anzishwa rasmi.
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 17 күн бұрын
@hemedmbondejr na ule utawala wa akina King David na Solomon, ulikuwa utawala wa watu gani vile?
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 29 күн бұрын
Hivyo vitendo vichafu ndio vinaendelea duniani hivi Sasa,na hizo zinazoitwa morden nations ndo Zina promote uchafu huo.Mungu tusaidie Sana
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 10 күн бұрын
Waache waendelee . Maangamizi yanakuja. MUNGU hachezewi.
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi 21 күн бұрын
Asante
@SaidiMwinshehe
@SaidiMwinshehe Ай бұрын
Dunia yaleo ni zaidi yasodoma 😭wanawake wanasagana wanaume wanafirana chakusikitisha unakuta ni vijana wadogo mno mpaka unajiuliza kwann inakua hivi
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 16 күн бұрын
😢😂😂
@Mussamatala
@Mussamatala Ай бұрын
Umeshindwa kuiadithia vizuri kabla ya kuwangaangamiza jibril alipewa oder mpaka nabii ruti atamke mara tatu kuwa watu wake ni wabaya, na pia jibril akuwatokea kwa nje bali yeye mwenyewe ndo alifungua mlango na kuwapofua pale nabii ruti alaysalam alipo kamilisha kutamka mala ya tatu kuwa watu wake ni wabaya
@guugug9gt829
@guugug9gt829 20 күн бұрын
Kahadisie yakwako
@3leggedbird222
@3leggedbird222 16 күн бұрын
Sema amejitahidi lakini japo ameacha mambo muhimu sana mke wa luthu na watoto wake nini kilifuata
@mrishoally55
@mrishoally55 Ай бұрын
Ahsante
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Ай бұрын
luti alikuwa ndugu yake na ibrahiim,na ibrahiim ndiye babu wa mayahudi na waarabu pia!!
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb Ай бұрын
Kwa ufupi warabu na wayahudi ni ndugu damu kabisa
@SewediRamazani
@SewediRamazani Ай бұрын
Machaallah 🥰
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 5 күн бұрын
Mashoga na mabasha na wanawake mnaosagana hii video itoshe kuwa ni funzo kwenu, acheni huo uchafu tubuni na murudi kwa Mola Mwenyezi Mungu mtukufu
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 7 күн бұрын
Shukulan dada
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 18 күн бұрын
Wasimulie uongo wasioielewabiblia, sijuiulisomawapihayoooo!!!
@zuwenafakih3345
@zuwenafakih3345 16 күн бұрын
Muongo ni ww
@MajaliwaJohn-d8s
@MajaliwaJohn-d8s 20 күн бұрын
Hmm!
@hamismabula9934
@hamismabula9934 10 күн бұрын
Mambo ya Waarabu hayo!
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er Ай бұрын
Sio ulimwengu wa kiarabu ni ulimwengu wa kiyahudi, huyo mtume wa Lut alikuwa myahudi, na wayahudi ndio walikuwa wakifanya uchafu huo, sio WAARABU
@hassanisaidi5422
@hassanisaidi5422 Ай бұрын
Unajua lkn historia ya vizazi wewe,lutu hakuwa myahudi na hata Ibrahim hakuwa myahudi,wao walikuw waarabu kutokea Iraq,ktk jamii ya wakurdi,
@ajiaally3269
@ajiaally3269 Ай бұрын
Ss mwaharabu katoka mbinguni moja kwa moja
@abdallahally842
@abdallahally842 Ай бұрын
Ibrahimu alitoka Iraq babel wanaishi nani? Warabu mayahudi ni kabila lilionzia Kwa mjukuu yakub ndio Wana Israel lkn asili ni waarabu wa Iraq soma sio unapelekeahwa makabila ya Israel yalianza yakobo alipoitwa Israel yaani kati ya mjukuu na Babu nani anaanza asili?😂
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 Ай бұрын
HAYA HAWA WAZUNGU WANAO,AMBAO WANA SHADADIA,NA KUTUMIA GHARAMA KUBWA YA FEDHA KULAZIMISHA KUZISHAWISHI NCHI ZOTE DUNIANI KUHALALISHA MACHAFU HAYA AMBAYO YALI WAANGAMIZA WALE WATU WAOVU WA KAUMU YA NABII LUTI.TENA HAWA WAZUNGU KWA MACHAFU HAYA WANAYOYAFANYA NI ZAIDI HATA YA WALE WATU WALIONGAMIZWA WA LUTI!! HAWA WATUWA ULAYA NA MAREKANI WALIOIDHINISHA,USHOGA,USAGAJI NA NDOA ZA JINSIA MOJA AMBAZO ZINAFANYIKA KWA KUSIMAMIWA NA VIONGOZI WAO WA MAKANISA,YANI HAWA WAZUNGU HAKIKA WAMEWAZIDI WATU WA SODOMA NA GOMORA,SASA KAMA WALE SODOMA NA GOMORA WALIANGAMIZWA MAANGAMIZO MABAYA KABISA!! NA MBAKA LEO ARDHI HIYO HSKAI KIUMBE YOYOTE KWA JOTO KALI LILILOPO HAPO KWA MUJIBU WA WATU WANAOVIJUA RNEO HILO!! SASA KWA HAWA WA ULAYA NA MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZINAZOFUATA UCHAFU HUU KWA KUWAIGA HAWA WALIO CHUPA MIPAKA YA KUKUFURU,ADHABU YAO ITAKUWAJE SIKU HIYO YA KUHUKUMIWA NA ALLAH!! MUUMBA WA VYOTE!! MWENYEZI MUNGU HAKIKA YEYE NDIE MJUZI WA YOTE.
@khloevibe7569
@khloevibe7569 Ай бұрын
​@@abdallahally842asome kwny nn? hii historia inapatikana wap ndugu
@duliz2002
@duliz2002 29 күн бұрын
Shukran kwa somo la kusimumua ,mwenye sikio na asikie
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 3 күн бұрын
Astaghafirullah
@AMINGULAMRASUL
@AMINGULAMRASUL 17 күн бұрын
NA ADHABU YAO MPAKA LEO INAENDELEA UKIFIKA IYO MIJI MOTO BADO INAENDELEA KUWAKA NAWATAKAO FANYA HAYO MAMBO YA WANAUME KWA WANAUME WAKIFA WANAPELEKWA KWENYE IYO MIJI ILIOANGAMIZWA
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 Ай бұрын
Mungu wa miungu yote na mfalme wa falme zote,, hakuna kilochojua yako ee baba muumba
@FrankBella-qe4tj
@FrankBella-qe4tj 29 күн бұрын
Waarabu ndio wafiraji namba moja duniani
@EvaFuraha
@EvaFuraha Ай бұрын
Mungu alichukuzwa na hao. Nabkuwaangamiza. Ndio maana akaanzisha Taifa lake TEULE la ISRAEL baada ya kumwambia Abraham atoke huko.
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Ай бұрын
😂😂😂na hilo taifa teule wameendeleza huu uchafu zaidi kuliko wale waloangamizwa sherehe zote za huu uchafu zinafanyika huko kila mwaka wamezidi mana sasa waisraeli wamehalalisha mpaka ndoa chezea mayahudi wee
@mwaimuchengo1814
@mwaimuchengo1814 24 күн бұрын
Unajidanyanya Taifa teule ndio linaongoza kupromoti ushoga Leo jiji la Tel Aviv ndio linaongoza Kwa ushogaa tena wanafanya bila kuogopa iweje Taifa teule liongoze Kwa maasi amka ndugu
@alexandrucarmen3185
@alexandrucarmen3185 Күн бұрын
Sodom na gomorrah iko sham haiko arabia 😮
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 28 күн бұрын
je hyo miji kwa sasa bd ipo...na kwa sasa inaitwaje...majina ya ss
@StephanoMoses
@StephanoMoses 12 күн бұрын
Kumbe majani yameanza kuota now days
@vibetz9991
@vibetz9991 Ай бұрын
Apo ndo Sinza?? Mmhh
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 22 күн бұрын
Kwakweli 😂😂😂😂
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v Ай бұрын
Hy bibilia imeandikwa
@FrankBella-qe4tj
@FrankBella-qe4tj 29 күн бұрын
Quruan pia imeandikwa na majini
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota 16 күн бұрын
Hawa ndio walikuwa wacheza mduara sio wa mbele apate na yeye apatwe pia😂
@suleymuntar3544
@suleymuntar3544 Ай бұрын
Luutwi sio Luti
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko Ай бұрын
we nae sio hivyo
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 Ай бұрын
Suleiman vs seleman Ni matamshi tu maana moja
@ismailkushinda8830
@ismailkushinda8830 Ай бұрын
Acha kubana pua godamnt😂😂😂
@AbdulMpunjo
@AbdulMpunjo Ай бұрын
Sodoma na Gomola si ndy JORDAN ya sasa au kwahyo ndo jangwa ivo?
@JuliusMsiwao
@JuliusMsiwao 13 күн бұрын
Kipindi icho uisilam bado haujatungwa na kuja kupotosha watu
@intiissarsalehmohd3525
@intiissarsalehmohd3525 4 күн бұрын
Sasa hao mitume inayozungumziwa ni mitume ya kiislamu .
@petermogha7025
@petermogha7025 13 күн бұрын
Sawa lakin biblia soma vinZuri
@ElizaElisha-fw1ki
@ElizaElisha-fw1ki 8 күн бұрын
😂😂😂umejuaj Kuna sehem anaongea uhongo
@GeofreySenka
@GeofreySenka 23 күн бұрын
Waafrica ndio watakatifu pekee katika ulimwengu huu hawa wengine ni nyoko kama nyoko tu ndio wameleta hata uchafu huku Africa na hasa Tanzania
@RamadhanMohamedi-j3d
@RamadhanMohamedi-j3d 29 күн бұрын
Hata leohii chama cha mashoga na wasagaji makao maku ni Israeli kwa wayahudi
@imokatechnology
@imokatechnology 29 күн бұрын
unachokiongea uwe na ushahidi nacho ndugu yangu... mwaka jana tuu nimetoka Israeli, na sijawahi kusikia wala kuona hicho chama.. na kama kipo naomba nambie kinaitwaje na kipo mji gani?
@drsilo
@drsilo 25 күн бұрын
​@@imokatechnologyww mgeni utafikir utajua kule ndo kuna mipango meng ya ushoga
@younghustler3116
@younghustler3116 21 күн бұрын
Nakila mwak MAADHIMISHO yanafanyika kule ISRAIL
@abdulimiki8015
@abdulimiki8015 29 күн бұрын
Mtoa story ulitakiwa usome vitabu vya historia ya sodoma vya dini kwa umakini....ila umejjtahidi kidoogo..japo mapungufu ni mengi saaana kwenye hii hadithi yako...shukran saaaana
@jafarimpawa8237
@jafarimpawa8237 29 күн бұрын
Vitaje tukavisome
@jacksonmureithi4335
@jacksonmureithi4335 29 күн бұрын
Pia wewe tuga Yako utuadithie
@Awatee
@Awatee 29 күн бұрын
​@@jacksonmureithi4335Uislam haupelekwi na matamanio ya nafsi wala mihemko tyr umesha kamilika
@GeofreySenka
@GeofreySenka 23 күн бұрын
Waarabu wazungu ni mashetani wa zambi ufiraji umekisili huko uarabuni pamoja na uzunguni kwao kumejaa uchafu tu ndio maana paka sasa nchi za kiarabu utulivu mdogo sana vurugu nyingi mapigano mengi halafu hao hao wanajiita watu wa Dini na wanaijua dili ushetani mtupu
@AndrewMathenge-w1k
@AndrewMathenge-w1k 7 күн бұрын
Sisemi kitu
@ismailkushinda8830
@ismailkushinda8830 Ай бұрын
Hao jamaa walikuw wanakulana viboga😂😂😂
@MbarakBajabir
@MbarakBajabir 25 күн бұрын
Historia inasema ardhi yake mpka Leo huwez kupanda chochote kikaota ila naona hapo majan mengi na ardhi ina rutba.😂
@Aiisha901
@Aiisha901 17 күн бұрын
video tu imetumika hairuhusiwi ata kupiga picha watu wanaenda kutalii sana kupiga picha marufuku hizo tu ni picha wametumia
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 18 күн бұрын
Mnavojikanyaga sasa 😂😂😂😂 ila sodoma na gomora ni story tu na haijawai kutokeq
@JimmyJimmi-cn2et
@JimmyJimmi-cn2et 12 күн бұрын
Huu ujumbe sijui LGBTQ wanaupokea je?
@apostleagnes5769
@apostleagnes5769 22 күн бұрын
Wacheni uongo Sodoma na gomora ndio bahari mfu
@Binkassim80
@Binkassim80 Ай бұрын
Yakubu babayake ni is-haka na babu yake ni lbrahim ambae pia alimzaa lsmail alietoa kizazi cha waarabu
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s Ай бұрын
Absolutely yes
@NgoshaJaphet-zo4sq
@NgoshaJaphet-zo4sq 28 күн бұрын
Huyo Allah ndo nani,na sodoma na homora ni ulimwengu wa kiyahudi Mungu wa Israel ndiye muumba wa mbingu na nchi Kwa hiyo kama mnayatambua hayo basi Mwaminini Yesu kuwa ni Mwokozi mwana wa Mungu aliye hai
@Lululemon55
@Lululemon55 27 күн бұрын
Baba yake na yesu anaitwa nani?
@feisalally7701
@feisalally7701 24 күн бұрын
Ww umeon wap mungu akawa na mtoto hebu fikiria mara mbili kweny kichw chak Acha ujinga
@saidkinjogoya
@saidkinjogoya 23 күн бұрын
Uwokovu matendo yako2 akuna atakae beba mzigo wa mwezake awe yesu awe nani akuna
@IssaAbasi-g2o
@IssaAbasi-g2o 22 күн бұрын
Unamilik Infnx alaf unacoment utumbo😂 Ckia mungu yupo tena ndyo huyo Allah muumba wa vitu vyote unavojua ww na ucvovijua
@brotheryuzzar
@brotheryuzzar 20 күн бұрын
Sasa mungu wa Israel kwnn asiwe wa Dunia mzima😅
@BonifasyMgonela-m2w
@BonifasyMgonela-m2w Ай бұрын
Wanawakee wanawakee wanawakee jamanii mpoje nyie??
@NaimaZahran-iq7gb
@NaimaZahran-iq7gb 29 күн бұрын
WANAWAKE
@EmmanuelKidosi
@EmmanuelKidosi Ай бұрын
Acha kupotosha ulikuwa ni mji wayaudi na sio waatabu
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 24 күн бұрын
UISLAMU NI UONGO MTUPU KWASABABU WANAAMINI MAMBO YAFWATAYO. (1) IBRAHIMU ALIAGIZWA NA MUNGU AMTOE ISHMAIL DHABIU NA SI ISAKA. (2).WANAAMINI UISLAMU ULIKUA TANGU ADAMU, WAKATI MWANZILISHI NI MUHAMAD. (3) WANAAMINI KUA MAJINI KUNA WEMA NA WABAYA😂 YAANI NI SAWA NA KUSEMA KUNA SIMBA WAPOLE NA WAKALI. (4)WANAAMINI KUA WAISLAMU WATAKAO INGIA PEPONI WATAPEWA KILA MTU WANAWAKE 70. inatosha kwa Leo ila UKWELI ni huu YESU NDIYE NJIA NA KWELI KARIBUNI KWA YESU.
@feisalally7701
@feisalally7701 24 күн бұрын
Nikuulize Kwanza yesu ni nani
@saidkinjogoya
@saidkinjogoya 23 күн бұрын
Kwaiy uyo yesu ndio atabeba zambi za waklisto wote kisa baba yake ajulikani amelaaniwa yule amtegemeae mtu mwema Kwaiy nyinyi filaneni uwaneni wanamume kwa wanaume yesu yupo atabeba zambi zenu maana ukimuamin yesu zambi zako zote zinafutwa
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 23 күн бұрын
@@feisalally7701 YESU NI MWOKOZI WA ULIMWENGU. ADAMU ALITUUZA KWA IBILISI YESU AMEKUJA KUTUTOA KWA SHETANI, NA NDIYO MAANA MAJINI HAYAMPENDI YESU
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 23 күн бұрын
@@saidkinjogoya hayo mambo nasikia kwa WENGINE ni suna.ila siku ya ukumu tutajua mengi
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 26 күн бұрын
Wakiristo hawana Akili Vichwa vyao Vimejaa Mavii Ukitaka kujua hilo angalia hizo Messages zao Ndio Utajua kila Mabaya Maovuu kwao Nimazuri 😷
@stevenhaule6786
@stevenhaule6786 25 күн бұрын
Maneno mabaya huaribu tabia sio vzr kuwa makini ndg na lugha zako hasa moyoni mwako
@loicebendera8369
@loicebendera8369 14 күн бұрын
Na waswali kila siku ivo uko apa kuongelelea vibaya dini ya mwenzako au wewe pia wafirwa pumbavu zako
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 14 күн бұрын
@@loicebendera8369 Nafirana na MAMA AKO KILA SIKU Ndio Mpaka tukakupata weweapo Uchafu wa Tumbo😎
@Bboy-z3r
@Bboy-z3r 14 күн бұрын
​@@loicebendera8369 Nafirana na MAMA AKO KILA SIKU Ndio Mpaka tukakupata weweapo Uchafu wa Tumbo 😎
@Bboy-z3r
@Bboy-z3r 14 күн бұрын
​@@loicebendera8369 Nafirana na MAMA AKO KILA SIKU Ndio Mpaka tukakupata weweapo Uchafu wa Tumbo 😎
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 29 күн бұрын
Kumbe chanzo cha ushoga na kufirana ni waislamu 😂😂😂 maana zama hizo ukristo haukuwepo
@HassanSadiki-l5c
@HassanSadiki-l5c 29 күн бұрын
Na kumbe pia mataira wanapatikana kw ukiristo maana enzi hzo za uislam mataira hawakuepo......😢😢😢 Iwapo upo Tz pitia mirembe ukiwa Kenya tunakuitaji potriz kabla hujaambukiza watoto wako.
@Awatee
@Awatee 29 күн бұрын
Wee mjinga ao walikua hawana dini mihemko tuu kusoma na kuskiliza ahh kaah chini usome Lutwi na watu wake walio muamini waliokolewa makafiri kama weye ndio wakaangamizwa uislam hautaki ulawiti ndio maana unaona maangamizi yalifanyika acha mihemko
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 28 күн бұрын
@@HassanSadiki-l5c waislamu ndo wanaongoza kwa usenge,, nenda ukanda wote walipo waislamu, wasenge wamejaa, ht mke wa kiislamu kufirwa ni SUNA.
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 28 күн бұрын
@Awatee mabwana wa kiislamu hua wanapenda wanawake wenye matako manene, sbb ndo kazi yao kufumua mikundu,, shoga na wafiraji wote wataingia jehanamu, 1Wakorintho 6;9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
@Awatee
@Awatee 28 күн бұрын
@@BenjaNetanyahu Mie matusi si kufunzwa hongera kwa kufuzu endelea kujifunza mengine ili uzidi kufuzu zaidi ya hapo yatakuwengezea kipato ili upunguze mdomo mchafu
@lilhydon452
@lilhydon452 Ай бұрын
Shida ya waislam ni uongo 😂😂 eti binti alikua anachota maji😂😂 aisee nyie waislam Acheni uongo
@SayeedSalim-c4j
@SayeedSalim-c4j Ай бұрын
Pole sana kwasabbabu huna ukijiwacho allah akujaalieh kher kwenye utambuzi
@mohammedmsoffe4201
@mohammedmsoffe4201 25 күн бұрын
Allah akusamehe burev Insha'Allah
@UmmyH
@UmmyH 24 күн бұрын
Ukweli n upi Dada...
@paslaingoodstar4878
@paslaingoodstar4878 23 күн бұрын
Unaakili alafu haifanyi kazi ukweli kwenu ni uwongo na uwongo kwenu ni ukweli ndiomaana wachungaji na manabii fake wamewageuza mitaji kenge nyie
@Estermoleli
@Estermoleli Ай бұрын
Hapana mayaudi wana tokana za kizazi cha yakubu
@azzaliy8109
@azzaliy8109 Ай бұрын
Una matatizo ya akili! Nabil Ibrahim ndie aliezaa kizazi cha Is-haka Yakub (wayahudi) na kizazi cha Ishmael (waarabu)! Na asili ya dini ya Kizazi cha IBRAHIM ni Uislamu! Wacha kufuata muhemko!
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
@@azzaliy8109 Umefanya vema kumuelewesha maana ndio watu wanaoamini kuwa ugonvi wa wale jama ulianza tar 08 oct
@Binkassim80
@Binkassim80 Ай бұрын
Ismail na Is-haka ni watoto wa lbrahim, is haka alimzaa yakub na ismalil alizaa kizazi cha waarabu kwaiyo is haka ndie aliezaa kizazi cha wayahud kwa kumzaa yakub
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 5 күн бұрын
Subhanallah
Sodom And Gomorrah - Real Place || Lot's Wife Pillar Of Salt
21:48
Coolkenyan Inisrael
Рет қаралды 4,9 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Mkeo akifanya haya muache - Leilah Aboubakar
13:14
Kalamutz
Рет қаралды 56 М.
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
THE STORY BOOK : Yamepotelea Wapi Mawe ya Amri 10 za Mungu ?
24:55
Wasafi Media
Рет қаралды 933 М.