Ayo amemuona bodaboda anavyojieleza kwa kujiamini? Ni atamnoa kidogo tuu...😁😁 kweli anavutia kusikiliza...hongera kijana Mungu azidi kukuinua
@stellajohn56472 жыл бұрын
Bodaboda umejua kujieleza hongera🙌
@jumahassan2732 жыл бұрын
Ila boda uyo uyo baadae anasumbuliwa na hasikari na amewaonyesha uwalifu vizur
@fundijumakimbaru76222 жыл бұрын
Sasa taperi kwanini awamuoneshi sura na mbona kachukuriwa Kama mtoto au kaogopewa mwiri anaenda Kama waziri shati safi nguo safi inakuwaje au tunarea wezi?
@zuhuramuhanga54002 жыл бұрын
Mvunjeni miguu na mikono
@stukiaally46902 жыл бұрын
Shuhuda kama ripota anavyoongea🤣🤣apate kazi Millard Ayo
@irineachilla64402 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@hanafhamad28012 жыл бұрын
uyo jaama wa boda boda apewe kitengo chochote kile cha usemaji anajua kinoma kuelezea jambo allah ambarik
@shaurimtanda82852 жыл бұрын
Atafaa pale yanga maana hatuna msemaji
@ikulunimahalipatakatifu76422 жыл бұрын
No free lunch piga kazi mwanaume ..Safi sana soldier uliyempa dawadi yake huyo wa tuma kwenye namba hii..
@yusuphvicent41752 жыл бұрын
Aiseeee nawataka na mm hao wameniibia pia naona ni huyo
@irineachilla64402 жыл бұрын
Hongera kijana 👏👏👏
@OfficialA836402 жыл бұрын
Mnachonikera kwa nn hamtuonyeshi sura ya muhalifu ili atambulike tusiwe tunaishi na wezi ndani hatujui kz zao. lkn angekuwa muuaji picha mngatuwekea hapa
@davidmarik46332 жыл бұрын
Uwa najiuliza awa matapeli Awana connection yoyote na hao waudumu wa BANK maana washaa nichezesheaga Gem ila nilisoma mapema uwo mchezo washinzi sana hao
@gilbertkalanda93542 жыл бұрын
Yaani ndani ya Benki anakutapelije hapa sijaelewa, tusijitapelewa
@juliethswai42632 жыл бұрын
tena wahudumu wengi wa benk baadh yao wana hiyo michezo na matapeli...mimi ilishanitokea benk fulani hivi sitaitaja...ila ile siku walitambua uongozi
@mwigakatumpula56952 жыл бұрын
Boda Boda amenivunja mbavu Zang eti kifupi jambazi amekamatwa kirahisi sana hiyo kitaalam ametoa mbinu mpya kwa majambazi kuwa wajipange upya kulingana na hayo maelezo 🙌😃😃😃😄
Bodaboda umetuwakilisha vyema, Maelezo yamenyooka na kueleweka kirahisi, + ung'eng'e kidogo (population)
@gambalesmanoni93992 жыл бұрын
Population ya watu wengi. 🤣
@joycenicodemus.22322 жыл бұрын
@@gambalesmanoni9399 bodaboda kaupiga mwingi😀😀😀
@pendopeter17902 жыл бұрын
😂😂😂
@mwanatz59802 жыл бұрын
Kazi nzuri 😍
@amoonatnzani98342 жыл бұрын
Khaaaaa baba la nguvu linashindwa kufanya kazi
@bakamuubakamuu15562 жыл бұрын
Jambazi au tapeli 😂😅😃😀😉😆
@petriciajohn12452 жыл бұрын
Mm nilikiwa nimeenda kutoa pesa jana mhudumu wa wakala ananizunguusha namwambia nimeshatoa pesa kasema haijafika kumbe alikuwa na mipango ya kunitapeli nikamwambia naomba pesa zangu acheni wizi ndio akanipa ..Hata hawa wakala baadhi yao wezi na sio waaminifu wakiona unatoa pesa nyingi roho zinawabadilika
@calvinpaul21712 жыл бұрын
Wanakupimiaaa si waungwana
@juliethswai42632 жыл бұрын
mi ilishanitokea wakiona unatoa hela nyingi wanaanza kukuzungusha wakati huo huwa wanapanga njama na hao wezi..ukishawasanukia wanastuka
@amanijampion30452 жыл бұрын
Wana uhakika? Au Majungu!
@pendopeter17902 жыл бұрын
Tufanye kazi hakuna hela ya bure bure.
@dr.sarahbusongo2 жыл бұрын
Boda boda msomi Sana huyo.... Safi sana. Tapeli wa miaka kumi🤣 aisee tumepigwa Sana aisee. Yaaani akamatwe jamn sio tu week moja halafu atoke uwii Tena alete hizo connection za wengine tupunguze svibaka na matapeli .
@calvinpaul21712 жыл бұрын
Dr mambo
@dr.sarahbusongo2 жыл бұрын
@@calvinpaul2171 poaaa
@starlonejadamskp82242 жыл бұрын
Ajali kzn
@anthonydeogratius91792 жыл бұрын
Huyo jamaa ni sugu alishanipiga shinyanga NMB nikaja kumkamatia tbr
@calvinpaul21712 жыл бұрын
Anatapel kwa style gan
@mudy5332 жыл бұрын
NMB NDO HUAGA CHIMBO LAO.MIMI NAWATAMANI SANA HAO
@epimarkthadei53342 жыл бұрын
Hatari sanaa
@youngchuda15682 жыл бұрын
Yani banda latozo hata masaa 24 halija fikisha watu washaanza kupiga mpunga daaah yani sipati picha mama akirudi sijui ataanza na nini juzi wameua panya road 6 leo kibubu kimenusulika kuvunjwa
@mpokijosemwakifuna41702 жыл бұрын
Kaaa jamaaani aniataka kula kilaini
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Kavaa msafii kama nini kumbe roho yake niyanyokaa kawaumizsroho watu wanganui sijui
@vmwanga72722 жыл бұрын
Wapigwe wauwawe ao matapeli me nishachoka kuskia Mambo yao
@_creator8212 жыл бұрын
Jaman hatamimi namtafuta huyu jamaa kes yake ipo Kituo chapolisi Mabatini (sinza)
@hijazhija3162 жыл бұрын
Muonyesheni sura
@hallin95612 жыл бұрын
mim sio mkabila kama mkenya, lakin uyo mwiz kama sio mchagga, maana awa ndugu zetu ni wazee wa kuforce mni
@jiiwolf29002 жыл бұрын
.Uyo bado mwanafunz mdokoz t kama paka😜lungu moja maneno kibao😂😂
@anithawidambe75432 жыл бұрын
ASANTE SANA NYIE ASKARI HAO MATAPERI WANASUMBUA SANA WATEJA WAFUNGIWE MAISHA
@anithawidambe75432 жыл бұрын
NA NYIE MAWAKALA MUWE WAMINFU KWA WATEJA WENU.HAO NDIO WANAOWAFANYA MSHIBE.
@dintazdintaz73112 жыл бұрын
anaondokaje na prado huyo msenge aisee kwan hamna defender au halaf mwamba yupo comfotable kabsaa anyway kila m2 atakula kwa jasho huenda ndo jasho lake
@musanuru12972 жыл бұрын
Hilo gar la polis
@emamazengo39602 жыл бұрын
Mbona muhusika mkuu aliyetaka kutapeliwa hamjamuhoji, tujue kwa kina namna ilivyokuwa, nje ya hapo HAIJAKAMILIKA hii habari
@shaurimtanda82852 жыл бұрын
Utaharibu ushahid mapema sana
@Mahenge_Tekson2 жыл бұрын
Huyo naye anazingua ,alisikia wap Wakinga wana ibiwa😂😂😂,,huogopi an kuibia wakinga😂😂😂
@emmanuelmwatujobe84502 жыл бұрын
Kweli alipotea njia
@sazanahussen67152 жыл бұрын
Wananini hao wakinga jmeni
@salummzee97392 жыл бұрын
Siku za mwizi Arbain
@husseinkarim92112 жыл бұрын
Mnawauliza watu wasiojua lolote Badala ya kumwuliza wakala au polisi au afisa wa benki
@mbembetyson052 жыл бұрын
police wanafanya kazi zao safi sana komesheni hao wanakuwa wengi mno
@obadiahnkwale1242 жыл бұрын
Hyo jamaa Alisha wahi kunitapeli kuptia kjana wangu wa kaz kwa bahat tulimkamata na wenzake2 na pesa nikarudishiwa,hao jamaa hawafai kabisa.
@safiyatheonlything78482 жыл бұрын
duuuh jibaba na mwili wake anaacha kufanya kazi anatapeli jasho la mwezie
@silivesattesha48372 жыл бұрын
Kipaji chake🤣🤣🤣🤣
@yahyasalumkhamis11642 жыл бұрын
Good job 👍 wadau.
@aeshamrange65402 жыл бұрын
Kwani wanaume wahuko njombe ndo mnavo ongeaga ivo mnatubania pua ivo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kefajoseph1582 жыл бұрын
Samia ameleta Maisha magumu sana ndoomana utasikia panya rod matapeli mbona wakati MAGUFULI hawakuwepo
@adamally62 жыл бұрын
ww tangia kuzaliwa hii tanzania ushawah ishi maisha mazur ??
@shamzone3882 жыл бұрын
Sasa una maana rais samya kafungua collage au chuo kikuu kufundisha watu tabua mbaya kama hizo
@mahamouditman68112 жыл бұрын
Halafu usikute ww ndiye ulikuwa ukisema vyuma vimekaza enzi ya hayati Magufuli.
@jacquilinetenth34472 жыл бұрын
Hiy miaka kumi kwani Magu hahusiki. Mama anamiaka mingapi madarakani?
@lilykarim89682 жыл бұрын
@@jacquilinetenth3447 huyo mama yako kizaa panya road hafai yote haya kayazidisha mtaani kugumu
@kakaaignas36752 жыл бұрын
Boda unajua kuelezea
@kazimalimbika4572 жыл бұрын
Miladi Mimi ninashida inanisumbua Sana ninakupataje
@wajawazitotv76322 жыл бұрын
Toa hilo tangazo la bayport
@abilahiumande53892 жыл бұрын
Huuu niuongo
@asternjulius8902 жыл бұрын
Huyu boda uhakika anajua kuongea kiswahil
@kakaaignas36752 жыл бұрын
Sana
@ashurahaji47942 жыл бұрын
Mwanaume wa maana sana du
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Mtihani
@khadijanjama87212 жыл бұрын
Asiefanya kazi asile
@edwardkawogo66982 жыл бұрын
Huyu ilitakiwa aminywe sawasawa sasa linatembea limenyooka kabisa
@menalikechildren88362 жыл бұрын
akatwe makalio huyo maeee
@nishaabdula50152 жыл бұрын
I tu o ni WA kuuwa kbs mtu Anatafuta pesa kwa uchungu alafu anakuja chukuwa tu km zk
@homeboy23072 жыл бұрын
Eti mama yupo msibani kaacha misiba huku
@cherylcheryl76942 жыл бұрын
Msini wapi jamani?
@Malandodaudjr2 жыл бұрын
Huyo afe kabisa
@kiri58072 жыл бұрын
Mchezo huo znz uko sana na mara nyengine vijana wanakuja na bibi ( wote ni wabongo ) mzee ikisha huyu bibi anajifanya hajui kwenda kuweka pesa umsaidiye yeye atakusubiri lakini umuachiye pesa zako , ikisha anakupa burungutu la dola kumbe ile juu kaweka dola fake ndani makaratasi . ukifika counter pesa sizo ukija kashaondoka na wale vijana .
@menalikechildren88362 жыл бұрын
Zanzibar tutawapaka mafuta ya makalio mamae zao mbwa hawa
@bizzonganilevanu93302 жыл бұрын
Namuona wakala bahati
@cctvplustanzania2 жыл бұрын
Aise..
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Hii mtihani
@dismasstanslaus59852 жыл бұрын
Good jobb
@samwelweston82622 жыл бұрын
Michezo au muv
@monadinadi52952 жыл бұрын
Yaan kubwa zima Hali hata haya jmn
@jumahassan2732 жыл бұрын
Ajali kazini
@elinajastaumangi552 жыл бұрын
jamani embu fatilieni habari ya scatec mbona Kama wametapeli watu
@sekelakabuje64062 жыл бұрын
Ni kweli watu hawana ham
@sultanmsoloni86352 жыл бұрын
Duuu bank Kuna choo ya wateja kweli au mzeee amejichanganya sijawahi ona choo ya wateja bank
@solanusmhagama28072 жыл бұрын
Njombe vyoo vipo
@lethmbajo85112 жыл бұрын
Choo Cha wateja kipo nmb ya njombe na makmbko
@jacquilinetenth34472 жыл бұрын
Kipo. Kinakua nje
@lucasmhagama81662 жыл бұрын
Kipo
@musanuru12972 жыл бұрын
Duuuh mbona vipo
@matridamwalyoyo17352 жыл бұрын
Mtangazaj unatangaz vzur sn nimrkupnd bure
@yusuphylameckmyongalameckm25712 жыл бұрын
Nakubali
@nadrahassan52412 жыл бұрын
😳😳😳🤔
@shedrackdamian28702 жыл бұрын
Mama tozo kavunja .mabanda yote saivi wezi kibao💖😂😂🛑
@amillahqueeen55862 жыл бұрын
Ndo maana saiv panya road wataongezeke kila sku yte hya ni ugumu wa maisha
@anwaryabdallah77822 жыл бұрын
Sahihi kbsa lzma wezi waongezeke
@marthageorge50432 жыл бұрын
Kazi kweli kweli
@Willem_Mah2 жыл бұрын
Nichekeje mimi sasa.😂😄😁😆😅🤣
@lukakulaya46502 жыл бұрын
Bertha.kullaya
@kelvindaud96002 жыл бұрын
Mwakyoma na millad jopo la wahariri hii haiwezi itwa story mboma watu wengine hawajahojiwa Aliemtuhumu kua katapeliwa Vyombo vya dola Meneja wa benk Mashuhuda waliokuwepo ndani ya benki sio boda boda na Uongozi wa bank tawi husika. Vyanzo vyote vitatu vingepata nafasi credible souurce relable source na authortative source sio hizi story zinashusha sana credibility ya chombo na umetumia mda mrefu sana kuibrand
@abdallhmohd22592 жыл бұрын
Kitu zima kazi utapeli tu mshenzi mkubwa tafuta kazi ya halali ufanye unaona unavyoazirika Sasa hongera jeshi la polisi kuwa makini na hiyo mijitu