TAHARUKI ARUSHA MTOTO WA KIKE ADAIWA KUFUKUA KABURI LA MAMA YAKE NA KUCHUKUA MIFUPA, TUCHINJE KONDOO

  Рет қаралды 15,141

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер
@LazandaSweety
@LazandaSweety 2 сағат бұрын
Umasikini mbaya sana jaman 😢😢 kwanini uamishe maiti ya mama yako mzazi kisa mari why😊
@mariaparadiso2997
@mariaparadiso2997 5 сағат бұрын
Jamani mwalimu wangu mama Nko hata wakati wa msiba wako tulikuzika na escort ya polisi pumzika kwa amani Arusha Secondary tutakukumbuka daima
@RehemaDeodarus
@RehemaDeodarus 7 сағат бұрын
Arusha Ina shida kwa kweli tufungeni tuombee Arusha maana matukio mengi Arusha makonda baba simamia Hilo Arusha inatisha
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 Сағат бұрын
sio wote lkin Arusha Mungu hayupo apo kabisa hata sasa na milele mtubu wote hii ni amina n kwel
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 сағат бұрын
Ukikna watu wanakula.kujunnankuvaa vzr wape 5, watoto hawana shukrani
@Happy-n5i5x
@Happy-n5i5x 7 сағат бұрын
huyu ni mdogo wake lazima na yeye ajue amepeleka wapi mfupa jamani maliz hizi hapana🙌
@MfiriNasawe
@MfiriNasawe 7 сағат бұрын
Du hii pesa inadhalilisha had marehemu?
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 56 минут бұрын
Uyo binti ana roho ngumu kwanza mume wake kam yupo awe makni atachinjwa hata😂😂😂😂 maan kwamama amekosa hekima je mi baki
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 7 сағат бұрын
Innalillah wainna lillah raajuun poleni wafiwa jmn mh 😭😭😭😭
@FatmaMohammed-s3k
@FatmaMohammed-s3k 4 сағат бұрын
Looh alafu mtoto wakike jaman 😢😢
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Сағат бұрын
Uyo. Mtoto ana laana kwakwe vp ufukue kabuli la mama yako jaman umasikin mbaya
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu 7 сағат бұрын
Harikaaa 😢
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 7 сағат бұрын
Mmm! Jamani dununia inaelekea wapi? Laana hiyo kubwa jamani ha! Mungu wangu mbona Imani imeisha ,wewe mtoto unamfukuwaje kaburi la mama Yako ha!
@pastormoseschami7208
@pastormoseschami7208 6 сағат бұрын
Aiseee, huyo mtoto ana fosiwa na watu nyuma
@mariamkikula1614
@mariamkikula1614 5 сағат бұрын
Kuna mabinti Wana tamaa sana.
@FloraMollel-d2v
@FloraMollel-d2v Сағат бұрын
​@@mariamkikula1614 ila ipo siku atajutia.
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 сағат бұрын
Kuhamisha kaburi si kosa akifata sheria ya kustiri mifupa kwa heshima
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 7 сағат бұрын
Mmmmh mimi sitaki kuchekaa
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Сағат бұрын
Huyo mtoto laana ya mama yake imfate kila aendapo.mjaa laana huyo.
@richardrichope3528
@richardrichope3528 5 сағат бұрын
Duuuh sasa hapo pana gharama shiringi ngapi mpaka unamufufuwa mama yako kweli?
@AwaziRajab
@AwaziRajab 3 сағат бұрын
Mmelea Mtoto Kumbe Amkujua Kama Mnalea Shetani
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 5 сағат бұрын
Kai Meru,Meru na ardhi
@AwaziRajab
@AwaziRajab 3 сағат бұрын
Uyo Kaenda Kwa Waganga Kuuwa Ndugu Zake Apate Pesa Afai Uyo Mifupa.Iyo Katumwa Na Waganga Akamatwe Aludishe Na Amtaje Mganga Wake Ao Ndo Wanauwa Wengine
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 сағат бұрын
Huko Arusha shikamoo Mali hizo mganga kawatuma
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 сағат бұрын
Ningekua mm ndugu tunge muacha huyommtoto hatajua mwenyewe maana inaonekana hataki hata kumshilikisha upande wa mamayake jeuli. Mwacheni kitakachomkuta saizi yake. Sababu ni ulithi wake hakunajinsi
@AwaziRajab
@AwaziRajab 3 сағат бұрын
Uyo Mtoto.Akiendelea Kuwa Hai Wanakijiji Wote Mtalaniwa Uyo Binti Afai Kuishi Uyo Amekua Pepo Mchafu Wa Kazi Gani Kufukua Mwili Wa Uliemlisi Hi Sio Sawa Hata Hao Asikali Hao Wenda Wamepata Kazi Kibahati Mbaya
@lasteckmmary9741
@lasteckmmary9741 5 сағат бұрын
Ma toto mengine yana laana kabisaaa? Mungu atusaidie sisi na vizazi vyetuu?
@gililwise
@gililwise 7 сағат бұрын
Huko Arusha kunahitaji maombi
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 5 сағат бұрын
Wangengoa jeneza bila kulifungua wakazike manespaa hiyo mifupa kapeleka wapi😢
@JennyMdaki
@JennyMdaki 6 сағат бұрын
Mmmhh mtihani jamani 😢
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 2 сағат бұрын
Mtoto wa kike hatari sana Kwa kweli
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k 3 сағат бұрын
Huyo mtoto hana hata uoga😢😢
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 3 сағат бұрын
Dah Arusha kila siku matukio tuu
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 4 сағат бұрын
Huyu mtoto sio akili yake kuna watu wamemupumbaza
@victornselu517
@victornselu517 6 сағат бұрын
kizazi cha ss kimelaaniwa
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 6 сағат бұрын
Kweli we dada laana inakufuata aiseee yaani unashuhudia mifupa ya mama Yako???pasi na uoga unashiriki kumdhalilisha mama Yako mzazi kwa kuibeba mifupa yake ndani ya kilago??? Mama aliyekutunza miezi tisa???heee kina Wendy kumbe mpo wengi looo Mungu tusaidie😭😭
@mariamkikula1614
@mariamkikula1614 5 сағат бұрын
Sasa hv watoto wa kike wanatisha Kwa matukio
@mhangwasonda3338
@mhangwasonda3338 3 сағат бұрын
majibu ya huyu mtoto wa marehemu anayeyajuwa kama Mimi hapa tuwaambie ambao hawajayaelewa
@FatumaMwage
@FatumaMwage 5 сағат бұрын
jamani arusha nakenya wanaudugu kwani maan huwo mkoa watu wake wanaroho zajabu san
@AizaKalinga
@AizaKalinga Сағат бұрын
Mbona mdogo MTU anajichanganya kuongea Mara aliefukua kaburi ni shemej na hapo juu wameandika mtoto wa like ndie kafukua kaburi why
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Сағат бұрын
Wewe ndo huna akili na husikilizi vizur hapo aliotoa amri ya kufukua ni mtoto ila alieenda kufukua ni shemeji wa marehemu ya ndugu wa baba wa huyo mtoto kichwa maji umeelewa na ndio maana uyu mama akasema mtoto anashindikiwa na ndugu wa baba yake
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 6 сағат бұрын
Kama ni lake,na mirathi ni yake mwacheni,tu kama ndivyo kweli ardhi ni yake,mwache
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 6 сағат бұрын
Miaka 20 jeneeza lipo bado😮😮😮
@MfiriNasawe
@MfiriNasawe 7 сағат бұрын
Kisheria unaruhusia kufukua kabur bila kibali cha serikali?
@JennyMdaki
@JennyMdaki 6 сағат бұрын
Nami nimejiuliza hilo swali
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 5 сағат бұрын
Hairuhusiwi, hadi taratibu zifuatwe
@jacquelineeliasmollel5260
@jacquelineeliasmollel5260 Сағат бұрын
Hairuhusiwi hata Kidogo kufukua kaburi iwe kwa kuhamishwa au Changamoto Yoyote lazima upewe Kibali Cha Serikali
@Joh-p9f
@Joh-p9f 5 сағат бұрын
Majirani zang wa arusha siku hizi dah! Ni mabalaa
@5araalharmi474
@5araalharmi474 3 сағат бұрын
😭🤲🙏🏽
@igulug5450
@igulug5450 5 сағат бұрын
Watu wamepinda kweli mari hizi
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 6 сағат бұрын
Miaka 20 mpk gazeti lipo la ushahidi
@leokamil6284
@leokamil6284 6 сағат бұрын
Kwa kauli ya huyo Binti ni jeuri kweli kweli
@latifamchomvu4735
@latifamchomvu4735 3 сағат бұрын
Sanaaa hata alivyopokea hiyo simu lol
@Jenifajerad
@Jenifajerad 6 сағат бұрын
Waacheni wafee tamambaya mwesho watamaa nimauti tena mjeuriii balaaaa liqcheni likufe bwwna
@NiwaeliMsanga
@NiwaeliMsanga 5 сағат бұрын
Sasa kama alipewa nyie mnaumia nini? Piga hela dada
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 сағат бұрын
Hilo malaya muoxo,utathubutu kumfukua mama yako?Malaya atakufa vbaya mno.
@nancolower_8032
@nancolower_8032 6 сағат бұрын
Kwa nn mnazika mtu nyumban wakat eneo la makaburi lipo bn,,,, fukua kazike makaburi piga hela hapo
@FakikhAsmah
@FakikhAsmah 5 сағат бұрын
😂😂😂
@Harima865
@Harima865 4 сағат бұрын
😂😂😂😂
@PlickaChacha
@PlickaChacha 3 сағат бұрын
Atazikwa nazo kwan kwanza pesa zenyewe zitakua za rahana zitamtesa ata akijenga nyumba hawezi kuishimo ata biashara haiwez kukubali
@nancolower_8032
@nancolower_8032 56 минут бұрын
@PlickaChacha sio kweli bn
@HhNn-f5s
@HhNn-f5s 3 сағат бұрын
Atal
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 6 сағат бұрын
Wallah tena tunatafuta kwaajili ya kesho ya watoto wetu lakini inakuja kuwa mtihanii hata mimi pya nizikwe nyuma ya nyumba yangu no kuuzwa
@TwahaYahyaShabani
@TwahaYahyaShabani 6 сағат бұрын
😂
@victornselu517
@victornselu517 6 сағат бұрын
mali mbaya sn
@Jenifajerad
@Jenifajerad 6 сағат бұрын
Sasa simba wake anafanya hivo bas muacheni kitacho mkuta sichake mwenyewe
@FadylahFf
@FadylahFf 5 сағат бұрын
😂
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН