BILA YA KUFICHA "DKT MWINYI" ATOA MAAGIZO YATEKELZWE HARAKA SANA

  Рет қаралды 26,953

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@mohdsuleiman1445
@mohdsuleiman1445 3 жыл бұрын
Mh Dkt Hussein hongera sana sana sana🙏🙏🙏Naamin umeyamark maneno ya baba ako mzee wetu Mh Mzee Ally Mwiny😓😓🙏...Wallah Mh Rais kwa mwendendo Allah yupo pmj na ww wala Hakufedhehesh InshaAllah .......,MAISHA YA MWANAADAMU NI HISTORIA NDUGU IFANYE HISTORIA YKO KUWA MZURIII......🙏🙏🙏
@pizzo1morestart840
@pizzo1morestart840 3 жыл бұрын
Haijawah kutokea Allah awahifaz na kila maovu awape subra na moyo huu huu wa kujal watu wao/Zanzibar kwanza✌️♥️
@fahmihaji4944
@fahmihaji4944 3 жыл бұрын
Hakika zanzibar tumepata raisi mungu akupe maisha marefu na akupe nguvu na busara uweze kutuongoza
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 3 жыл бұрын
Sisi mh Rais kazi yetu nikukuombea dua na kukutakia kheri na mafanikio ya kazi zako allah akuhifadhi na atakulipa jazaa kubwa na utaandika historia katika uongozi wako mwema
@sampachino5184
@sampachino5184 3 жыл бұрын
Kweli sawa sawa wapunguze kodi 🤲🏻🤲🏻👍🔥
@zeyanaalhabsi8636
@zeyanaalhabsi8636 3 жыл бұрын
oyeeeee mwinyi piga kazi.makufili namba2
@albassambakili3757
@albassambakili3757 3 жыл бұрын
serekali hiiii 🔥🔥🔥🔥
@tim5hos846
@tim5hos846 3 жыл бұрын
Mambo alo kuwa haya pendi lissu u kitaka kunya kwa rais sass na uliza hao wabuge wana kaz gani Sifahamu
@yassafal-kondo961
@yassafal-kondo961 3 жыл бұрын
Mungu akuekee Raisi wetu mfano wako Zanzibar hajawahi tokeaa ww kweli unaonesha nia ya kuibadilisha zanzibar. Allah akujaze imani na nia njema daima
@abubakarsalum6307
@abubakarsalum6307 3 жыл бұрын
mheshimiwa tunatamani.uje tu mji mkongwe Allah akuwezeshe
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Huyu siye Rais wa WANYONGE TUU HUYO NI RAIS WA WANANCHI WOTE.
@muliksuleiman1633
@muliksuleiman1633 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah
@jumamatao3628
@jumamatao3628 3 жыл бұрын
Mhe Mbunge umeongea vzr kuhusu pale tubo la pili yani tunateseka sana raia .
@saidadammussa7514
@saidadammussa7514 3 жыл бұрын
Nimependa zaid kuwa anapokea ushauri na kuutolea maamuzi papo hapo , Hivi ndivyo anatakiwa kua kiongozi
@suleimanmohamed4367
@suleimanmohamed4367 3 жыл бұрын
Mwinyi mashallah
@rahimasaid4702
@rahimasaid4702 3 жыл бұрын
Muheshimiwa raisin ile sehemu ya michezani si sehemu nzuri ya kuifanya kituo cha dala dala mji umekua unazogo na mchafu Ahsante
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Kweli Michenzani siyo pahala pa DALA DALA.
@jambo3751
@jambo3751 3 жыл бұрын
Basi kituo kirudi kulekule darajani.
@salhasaamar9815
@salhasaamar9815 3 жыл бұрын
@@jambo3751 kituo bora kipelekwe welezo kwa mujibu wa geographical ya mji
@sultannassor9756
@sultannassor9756 3 жыл бұрын
pongezi kwako mkuu
@msemakweli371
@msemakweli371 3 жыл бұрын
Muheshimiwa Rais Tunaomba Kipande kiwe elfu Ishirini kwa mwaka. Tunaomba sana Mheshimiwa.
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@ishamjaka1278
@ishamjaka1278 3 жыл бұрын
Mh. MWINYI Njoo na PEMBA
@mamamuu8217
@mamamuu8217 3 жыл бұрын
Raisi unafanyakazi na mkeo? Apumzike safari nyengine🤣🤣🤣🤣🤣
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 жыл бұрын
Rais wa wanyonge ina maana gani?, Wanyonge wamefanya maamuzi ya kumchaguwa kiongozi wanayemtaka jeshi likapindua Uamuzi wao.
@kheirmbarouk8373
@kheirmbarouk8373 3 жыл бұрын
elfu 30 kwa mwaka ufikiriwe nini tena apo unachangia taifa 2500 kwa mwezi kwa siku moja sw na shilingi 84 hata shilingi mia kwa siku haijafikia
@jabirnext
@jabirnext 3 жыл бұрын
Hujamuelewa, Elfu 30 ameridhika nayo na yupo tayari kulipa.
@mamamuu8217
@mamamuu8217 3 жыл бұрын
Zanzibar hatujawahi kupatwa raisi , lkn sasa tumepata! Walikua wanajifaidisha wenyewe na familia yako.
@sultannassor9756
@sultannassor9756 3 жыл бұрын
Hungera sana
@abdulghaniy1926
@abdulghaniy1926 3 жыл бұрын
tutabaki kukuombea dua zaid na zaid
@MaryamMaryam-hd7es
@MaryamMaryam-hd7es 3 жыл бұрын
Mhesimiwa rais tunaomba na ss tusokazi bc utuwezeshe
@hassankhamis9920
@hassankhamis9920 3 жыл бұрын
Kwenye Nia pana njia a jamaaa nimekuona juzi kibanda maiti Apo bababrani alitoa mawazo ili othmaan Omar kuwa makomo was rais,mueshimiwa Zanzibar ipo pamoja na ww tayari umetefanya mengi ndani ya muda mdogo tu ambao umekamata madaraka,mueshimiwa tutakuombea sua m mungu ili akujaalie umri mrefu na akujaalie hekma busara na kwa wananchi wako ,wewe Ni really rais sio rahisi.
@MohamedAli-ds8uz
@MohamedAli-ds8uz 3 жыл бұрын
Nyie punguzeni kwanza vyakula bei na spitali kuwa na matibabu mazuri na maji kuwa kwa wing mkupiga makelele yu
@mohdshebe5640
@mohdshebe5640 3 жыл бұрын
Sister spika vipi tamu naona huchoki kusema
@omarmuhunzi5612
@omarmuhunzi5612 3 жыл бұрын
Matar huna mapenzi na watu hata kidogoo huna unaemtetea pengine upo apo kwa maslahi yako too,ila kwa mapenzi na watu huna kabisaa!!
@alimaulid1752
@alimaulid1752 3 жыл бұрын
Ana mapenzi na mbwa mana kila mnacho tetewa sicho nyinyi ungesema ww mwenye mapenzi na watu
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Huyu mwanamke mbona kiswahili hajui au mgeni
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 3 жыл бұрын
Huyu mzungumzaji wa Pili kajitahidi kuongea kama Mzanzibari lakini ra na la imekuwa ngumu, afanye mazoezi. 😷
@zainabrajab9608
@zainabrajab9608 3 жыл бұрын
Acha zko ndio zenu kujifanya ndio waswahili sana kumbe nyoko
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 3 жыл бұрын
@@zainabrajab9608 Nimefulaayi 👏👏
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
ngoma ya mkwajuni na alkasus
4:48
Alkasus mnungwi
Рет қаралды 8 М.
RAIS MWINYI AZINDUA BANDARI MPYA ZANZIBAR l HII APA BANDARI KAVU
3:10
HATIMAE MZIGO UMEINGIA ZANZIBAR SASA MAMBO MAZURI
4:10
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 22 М.
Alkasus na ngoma ya bumbwini Zanzibar
3:25
Alkasus mnungwi
Рет қаралды 41 М.
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56