Ktv online ,anzisheni arambee ya michango wekeni namba za cm kwajili ya michango kumuwezesha makame .aweze kuishi vzuvi
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Subuhanallah daa mtihani Sana Allah atawalipa . Mmepata tabu Sana mitihani Duniani watu wanaroho mbaya poleni Sana Kaka polekwakujitolea kuhadisia
@aliomar2673 жыл бұрын
duh yan nimefatilia simulizi hii mwanzo mwisho kikweli inasikitisha sana ila allah atawapa subra na faraja wakat walienda kutafta riziki za halali, pia hongereni ktv kwa kweli nyinyi ni wa pekee na mnafanya vitu vikubwa. naungana na songoro nami natamani mke wake angepata kuja nae znz ili aifaidi tunu ya amani tulonayo znz
@ajtzajtz33133 жыл бұрын
Aliekuwa akiisuburi kwa ham mpaka ikamtoka like tujuane
@hidayabakar70263 жыл бұрын
Pole kaka
@salmasalim60553 жыл бұрын
👍
@arafahassan52573 жыл бұрын
Pamoja
@husnaissaissa23053 жыл бұрын
Pole Brotherdaaah nimefatilia kwa Makin mwanzo paka hapa
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Inauma Sana kumbe si Muda mlefu Allah awatilie wepesi Omba Mungu Kaka yangu amka usiku mlilie Mungu mstakie yaliyokukuta
@rahmaramadhan97733 жыл бұрын
Subhannallah jamani kweli umepata mitihani pole Sana daaaah inauma Sana kwakweli
@sadasaid72123 жыл бұрын
Hii story itengenezewe movie jamani...!! Inasikitisha mnooo!! Pole Sana Ndugu
@salmasalim60553 жыл бұрын
Pole sana kaka yetu Allah yupo pamoja nawe
@vuairamadhan95763 жыл бұрын
Allah amfanyie wepesi inshallah
@pembaonlinemedia3 жыл бұрын
Duh!! Nilitaman mke wake angekua nae!! Sad ending
@sebajseba7193 жыл бұрын
Pole sana
@mwanatz59802 жыл бұрын
Ungeeka namba ya simu ya Mzee makame watu wenyeimani zao wakamsaidia chochote.
@sabihahamadi22873 жыл бұрын
Kweli tulikuwa tunasubiri kwa hamu mungu azidi kuwalinda
@jozeeshirima92312 жыл бұрын
Pole kaka
@hassansuleiman71973 жыл бұрын
Duh, pole kaka
@khadijahali48373 жыл бұрын
Pole sana kwhy bd haijaisha 😥
@michaelthobias99673 жыл бұрын
Kuna watu unakuta wanatetea magaidi kisa wanasema maneno ya vitabu vya mungu na kuzani niwatu wema tuwe makini Sana nchi inahitaji amani ili watu waweze kuishi vyema waovu wote tuwanike kwa manufaa ya taifa letu hii story itufundishe nchi ikichafukwa hawangalii dini yamtu Wala kbila lake
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Tz ni nchi nzuri na ya amaan hivyo amaan iliyopo inaelekea kutoweka kwa kurubuniwa na mataifa yasoipenda Tz na baadhi ya watu wasojielewa, wasoitakua mema Tz (vibaraka). Vibaraka huihujumu Tz kupitia Siasa, Dini/tamaduni, michezo ,burudan, na starehe baadhi hazina maadili ya UchaMungu. Sera ya kupambana na Ugaidi ukiifuatilia kwa kina inalenga kuudhohofisha Uislam na Waislam. Ukifuatilia historia ya Osama hadi kuitwa gaidi na kuuliwa ilikuwa ni kudai haki na hata hayo mafunzo yasemekanayo mafunzo ya ugaidi aliyapata hukohuko kwa Wamagharibi wanajifanya ni watetezi wa amani kumbe waharibifu wa amani duniani! Zaidi ya yote pole sana kwa mkasa/mikasa ulokumbana nayo, zidi kumtegemea na kumuabudu Allah. Dunia ni mapito na starehe za Muda, Akhera ndo yetu marejeo.
Baadhi ya nchi watu weusi roho mbaya mbona wazungu hawana tabia kama hiyo watu wanatoka Morroco, Libya na nchi nyengine waingia ulaya wanapokelewa na kuhifadhiwa fresh bila ya matatizo watu wa Msumbiji wanawapiga Watanzania wao wakija Tanzania Wanaishi fresh bila ya matatizo hii vipi mbona hatufaham
@alimussa26553 жыл бұрын
Msumbiji ni mbwa washenz hawafai kiukweli serikali yetu ifuatilie watu wetu kule wanateswa
@suleimanali56773 жыл бұрын
Story nzur sana ila munaichelewesha
@mussaali1973 жыл бұрын
Munatuweka Sana ata utamu unatoka
@roudhamahmoud7633 жыл бұрын
Hii story imeishaje jamani mbona mmeruacha njiani?
@AbdulAbdul-pr9qe3 жыл бұрын
hivi bado inaendelea tu? nyie na t.v. yenu jipangeni bana
@mwanatz59802 жыл бұрын
Sijawahi kufatilia story mwanzo mpaka mwisho lakini hii imenigusa.
@zainabhassan15143 жыл бұрын
Mnazingua kweli mpaka tunasahau
@salimsalgado8403 жыл бұрын
Tatzo letu wazanzibar kwa kupenda chini ni balaa yan kila utapokwenda unataman kuoa tu
@rajabjr4783 жыл бұрын
Chini ndio kila k2 tumekuja kw hugo tutarudi kw huko ..
@hazayusufu75463 жыл бұрын
pole sana makame jamaa yangu mimi ni miongoni mwa watu walioshi msumbiji miaka mingi nilikua mocimboa da praia ila sikupata msukosuko wa aina yoyote ile isipokua baada machafuko kutokea nilirudi tanzania kwaa amani japo kua nilipoteza kila kitu basi pole sana nimitihani waja tumeumbiwa ila yote yatapita kwa uwezo mungu
@saidsfaudh43363 жыл бұрын
Na ss wabara tunapenda kizini zini .ndio maana atutaki kuoa .
@saidabdala49803 жыл бұрын
Kwani alozuuya uchumi wa ZANZIBAR nani...si metunyanganya kila kitu.. kama tungekuwa huru.. .huyu kijana asnngekwenda kuhangaika huko.. tuwachiyeni tuchimbe mafuta yetu..
@rajabjr4783 жыл бұрын
Acha siasa mbovu ndg yng zitakueka pabaya hili cio jambo lakuingza uzanzbary .
@abdulmatasi49323 жыл бұрын
Mnachelewa kutoa story mpaka tunasahau tunafikia wapi ila tumewasamehe .
@rajabjr4783 жыл бұрын
Leo ndio tapata ucngz af takula vzur.
@kassimomar75893 жыл бұрын
Binafsi Nina mtu wetu kauliwa huko
@shaloboy38613 жыл бұрын
Kwani hii story amuiendelezi tena
@michaelthobias99673 жыл бұрын
Huu niupuzi mnaboa kbsa
@sammsamiry88843 жыл бұрын
Huyo mkewe Sasa vp mbona hajamueleza tena
@salimsalimali82853 жыл бұрын
Ameeleza kuhusu mke, amesema Yupo Msumbiji aliamua kumuacha Talaka moja ila bado anamtaka.