Lakini mbona hii barabara tuliambiwa ni mkopo kutoka bank ya afrika leo tena mama samia ndo katoa hela yesu wa karatu tutafika tumechoka.
@ndukulusudikucho_3 жыл бұрын
Hivi angezipeleka sehem nyingine mngeshitaki wapi na kumtoa Uraisi hamuwezi, acheni chuki , kwani hela zilizojenga uwanja chato zilitokana na bajeti ipi? Si zilimegwa kwenye bajeti zingine?
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
@@ndukulusudikucho_ Jibu zuri!
@Bugalu-zk2ue Жыл бұрын
Vipi kuhusu ujenzi wa Barabara yakwenda kagunga mkoani kigoma
@alexbenedict53783 жыл бұрын
Yes
@dr_godfrey3 жыл бұрын
Safi sana
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Kigoma ilitelekezwa kwa muda mrefu sana! Asante Mama kuikumbuka Kigoma... Endelea na sehemu nyingine za Magharibi na Kusini, hamna maendeleo, barabara za lami hamna, benki hamna, wakati ndio mikoa tajiri kwenye Nchi hii... Inawalisha Wananchi Tz nzima, ila Wakazi wa Mikoa hiyo hawana maendeleo... Sio haki...
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Kigoma inapaswa kufikia kiwango cha Jiji kama Mwanza... Ila sasa hivi, hata Chato ni bora kuliko Kigoma!
@josephatmathiasgalagalabuh7863 жыл бұрын
Kahama, Bukoli Geita lini?.??
@lifeexcessle43943 жыл бұрын
Kuna mradi wa barabara inayo Unganisha Mkoa wa Kigoma na Tabora kati ya Nguruka (Uvinza) na Kaliua nyenye kilomita 36 ndio imesimama kwasababu Fedha zinatolewa na Serikali ya Sasa. Hapo alipo waziri, barabara inafadhiriwa na Bank ya Africa hivyo basi haiwezi kusimama hata kidogo. Na JPM kabla ya kuondoka alisema na aliahidi lazima aijenge kabla ya 2025 na sasa kazi inaendelea.
@sometimes56213 жыл бұрын
Pesa za hii barabara ni za mkopo toka wakati wa Hayati JPM. Barabara hii inaanzia Kibondo, Kasulu hadi Manyovu. Sasa haya maelezo mengine yanatoka wapi?
@ibrahimallyweunaijuahiyoco86083 жыл бұрын
Kwahiyo na wewe unaniambia nani usiejielewe kamtoe kaburini aje aendeleze
@sometimes56213 жыл бұрын
@@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 penye ukweli uongo hujitenga! Nyota ya marehemu ipo pale pale ndiyo sababu shuleni tunafundishwa kwa mawazo ya watu wengi waliotangulia na hatuendi kuwauliza fomula zao au mawazo yao!
@MrIsale3 жыл бұрын
Kwani na yeye alikopa situlikubalia hakukopa? Ifike mahala tuappreciate kazi ya Mama jamani mnyongemnyongeni ila nchi inachemka ujenzi kila kona.
@sometimes56213 жыл бұрын
@@MrIsale mama anafanya kitu gani zaidi ya kuendeleza Ilani ya CCM ya 2020-25! Wanaposema yeye ametoa pesa ana utajiri gani wa kulipia hii miradi kama siyo kodi zetu ambazo zinalipa pia na madeni yetu!