No video

BODI YA WAKURUGENZI TRC YAFIKA KIGOMA | WAKAGUA UJENZI SGR | WAFIKA BANDARINI

  Рет қаралды 14,007

TRC RELI TV

TRC RELI TV

8 ай бұрын

Пікірлер: 29
@rich-lr8tq
@rich-lr8tq 21 күн бұрын
hatimae TRC imefufukiakwenye SGR, hongereni sana mnaupiga mwingi sana
@kassimkibwe4614
@kassimkibwe4614 8 ай бұрын
Hongereni sana TRC🎉
@othumanomari1589
@othumanomari1589 8 ай бұрын
Good job congratulations 👏❤🇹🇿
@kassimkibwe4614
@kassimkibwe4614 8 ай бұрын
Hongereni sana🎉
@Kabwela776
@Kabwela776 8 ай бұрын
Hao Wachina watamaliza vipande vyao wakati matapeli waturuki wanasuasua kipande cha dar hadi makutupola Dodoma
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 8 ай бұрын
Umesema kweli na hata hizo Lot no 3 (Makutopola to Tabora) na Lot no 4 (Tabora to Isaka) ambazo amepewa huyo Mturuki kazi anazofanya mpaka sasa hazionekani na nikama zimesimama kabisa😮😮😮😮
@user-bq9jt9uj7q
@user-bq9jt9uj7q 8 ай бұрын
Tatizo sio mturuki tatizo ni viongozi wa kusimimamia Mbona kipindi cha magu walifanya kazi nzuri Sana
@Kabwela776
@Kabwela776 8 ай бұрын
@@user-bq9jt9uj7q tatizo ni Mturuki hawajibiki mbona LOT zingine za mchina zinaenda vizuri , mkandarasi mzuri haitaji kusukumwa sukumwa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 8 ай бұрын
Vizuri sana.
@victorgogadi55
@victorgogadi55 8 ай бұрын
Mbao tena, tuna hitaji kutunza miti
@kalingaasukile8730
@kalingaasukile8730 8 ай бұрын
Bora mungeanza kufikiria kujenga reli Mpya kutoka Mpanda-Inyonga-Rungwa-Mtera had Kilosa badala ya kuhangaika na section ya Mpanda-Kaliua
@triplea3463
@triplea3463 8 ай бұрын
Watu wanawaza soko la kimataifa ww unawaza soko la ndani tu Hio ya kaliua mpanda inaenda hadi ziwa Tanganyika kupitia bandari ya kalemi DRC
@ommymp9058
@ommymp9058 Ай бұрын
Watu wanakwenda kimataifa ndani tumieni magari
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 8 ай бұрын
CCECC NDIO KAMPUNI KUBWA DUNIAN KWA AJILI YA UJENZI...HATA TAZARA,, TANZANIA ZAMBIA RAIL WAO NDIO WALIJENGA...MAJENGO AU BARABARA WAPO FASTA...CGC,,SINOHYDRO PIA NIWAZURI
@christophergervas1409
@christophergervas1409 2 ай бұрын
Mshahara ndo faida yetu hata kampuni ikiwa kubwa inatoa kamshahala kadogo Hainan faida
@magorymara5515
@magorymara5515 Ай бұрын
Ili upate mshahara mzuri ni serikali ndo inatakiwa kukakaa na wakandalasi kabla ya kugawa tenda wawe wamelewana kuhusu mishahara ya wazawa ​@@christophergervas1409
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 8 ай бұрын
Tutaona haya mapambo hadi lini?
@helsingvanny3199
@helsingvanny3199 8 ай бұрын
Shida nini we mjinga? Kwaio wasioneshe mradi unavyoeendelea huko kigoma. kwa africa nzima kwa saivi Tanzania ndo inajenga mradi mkubwa wa SGR.
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 8 ай бұрын
@@helsingvanny3199 Mjinga aliyukuzaa na ukawa chokoraa! Kwa nini hukuenda shule? Umebaki na michezo ya komedi?! Mtaimba hilo li reli lenu kiwete mpaka MTAKOMA, halitakuja kufanuya kazi kwa Mafisadi ( litawala)
@tonnykinabo5422
@tonnykinabo5422 8 ай бұрын
Vipi kuhusu reli ya dar tanga arusha.....kule reli ni mbovu na hatuoni jitihada zozote za maboresho
@jumashedafa
@jumashedafa 8 ай бұрын
Naon huk kumetengwa nilishasema ata uku kunahitajik sgr...kama pesa ni shida waunge kuanzia pwan waend ad arusha kwanz then baadae warud tanga mjin
@kassimkibwe4614
@kassimkibwe4614 8 ай бұрын
Hongereni Sana TRC🎉
@casmiraugust6853
@casmiraugust6853 8 ай бұрын
huku sió tz kaka..wanapeleka kusiko na tija
@jumashedafa
@jumashedafa 8 ай бұрын
@@casmiraugust6853 wameshindw kufikiria mbal
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 8 ай бұрын
Mnaota ndoto za reli nyingine wakati hii komedi bado inendelea, wajinga!! Na haya malori ya mifisidi, wataipeleka wapi? Mtasubiri hadi mpofuke. Ondoeni milori ya wanaokwamisha reli!?
Nieuwe hoofdstad Indonesië is nog geen succes
2:28
NOS Jeugdjournaal
Рет қаралды 45 М.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 10 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 40 МЛН
Kenya vs Tanzania Compared Mega Projects 2024
8:30
African Informant
Рет қаралды 59 М.
KAMA HAUIJUI KIGOMA VIZURI SIKILIZA HII
7:20
KanutiTV
Рет қаралды 840
283 - Harris wint terrein op een boze Trump
36:33
RTL Nieuws
Рет қаралды 3,9 М.