BILLNASS APOKELEWA KWA SHANGWE NYUMBANI KWAKINA NANDY/MAJIZZO,MWANA FA,MOCCO WAMSINDIKIZA

  Рет қаралды 178,241

Bona Tv

Bona Tv

Күн бұрын

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
BILLNASS APOKELEWA KWA SHANGWE NYUMBANI KWAKINA NANDY/MAJIZZO,MWANA FA,MOCCO WAMSINDIKIZA
#Bonatv #Exclusive #Nandy #Billnass

Пікірлер: 139
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 2 жыл бұрын
Wansemaivi anaeumia na yy atafute wake acheni waone mana wanapendana ♥️♥️♥️♥️♥️♥️💓💓♥️💃💃💃💃❤️✔️
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Nandy na billinans umejaa Idee hapo sio feki Ni huakiwa nawatakia kila la khedive❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏👍👍👍
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 2 жыл бұрын
Wanampenda sana jmni hadi rahass watu walikuwa hawajui km anapendwa sana upande wa akina Nandy jmn hadi raha nafurahi sana walipitia mengi jmn lakini walivumilia Mungu awabarikisana nimependa hii sio kiki kbisa is natural very nice ndivyo intakiwa baraka zote wamezipata Pande zote haki hata Mungu amebariki kila kiti hongereni sana wapendwa nawaombea sana mdumu omoja kwa furaha na Amani hadi kifo kiwatenganishe .Dads Nandy tangu utoto wangu nkupendaga sana hongera mnooo
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 2 жыл бұрын
Mungu awazidishie jamani nawapenda sana nandy n billnasi mungu awaezeshe mfanikishe ndoa
@niriacatering172
@niriacatering172 2 жыл бұрын
Waooo hongeren Sana Mungu ni mwema awasimamie katika yote
@isunga1964
@isunga1964 2 жыл бұрын
Woow najikuta nafurahi sana kws furaha haki mungu awafanyie wepesi kwa maisha yenu wangu nami mume wangu anakuja sikati tamaa 😊😊😊
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Sio feki Ni rear Love mmependeza yaani mmemach Nandy nashingo yako ndefu sio fupi shingo nakichwa aisee shingo ndefu sura hunayo pia Billings thesame handysome umependeza yaani mmependeza sana🙏🙏🙏👌👌👌👌👌👌❤️❤️
@umfahad2609
@umfahad2609 2 жыл бұрын
Hongereni saana. Namuomba Mungu aidumishe ndoa yenu. Na akujaalieni kizazi chema kwenu na kwa jamii nzima. From Oman. Nawapenda saana.
@zou7470
@zou7470 2 жыл бұрын
Yani nimefurahi mana awa watu nawapenda kwakwel ❤❤👏
@juddymwakio8982
@juddymwakio8982 2 жыл бұрын
Congratulations kwenu much love from kenya iwe ya kheir inshaallah❤️🤲
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
Nmependa mama nandy alvomsalimu nenga ka sio wakwe kishkaji🥰🤗😂.mom nandy very charming walah🥰🙏insh iwe kherii
@Aminasalim-lq9td
@Aminasalim-lq9td 2 жыл бұрын
Umeonaeeh🤣🤣🤣🤣🤣,, Uku kwakina Nandy Walton walionyesha tu wazi wampenda Billnass
@nurumutiojameskhankhanjame7337
@nurumutiojameskhankhanjame7337 2 жыл бұрын
Kweli watu hutoka mbaka ndoa hupangwa mbinguni hongera wapenzi ❤️❤️❤️💖mungu awajalia mapenzi yenu yawe yanye kudumu
@ashamasaza4096
@ashamasaza4096 2 жыл бұрын
Safi sana Nandy na Billnas Mungu akawaongoze kwenye maisha yenu
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
yaani tz unaweza kua king for one day😅hongera kanandi ketu kanaolewa allah ampe baraka kwa ndoa yake❤️
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
mara ya kwanza sijaona watz wakisema wataachana tu😂😂😂kweli mnawapenda
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 2 жыл бұрын
Nawapenda mpaka naumwa jamani dah Mungu akawe kiongozi wenu katika safari yenu hii
@josephinemjema1875
@josephinemjema1875 2 жыл бұрын
Hakika nimefrah mungu awatangulie
@deborapeter9188
@deborapeter9188 2 жыл бұрын
Waooooo hongerini Sana Mungu aidumishe hili mhitimishe lengo penda San ❤️❤️❤️
@danielladavid2251
@danielladavid2251 2 жыл бұрын
Yeah God is always faithful, 🙏 🙌 ♥ ❤ 😍 💯 ikiwa ni nyumba ya Baraka ni inakuwa tuu
@florencemasebo9398
@florencemasebo9398 2 жыл бұрын
Hongereni saaaana wadogo zangu. MUNGU awasaidie katika maisha mnayoyaanza
@vickykapama8386
@vickykapama8386 2 жыл бұрын
Raha sanaaaaa hongera kwa Billnas na Nandy💗💗💗💯
@leilaahamad8989
@leilaahamad8989 2 жыл бұрын
Mashallah mama nandy anafuraha kabisa kaona mwanao anaoana namtu anampenda
@nurumwangoka5909
@nurumwangoka5909 2 жыл бұрын
Baada ya nandy nami nifate mungu mwema
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 2 жыл бұрын
Ma shaa allah, mungu awabariki sana , 😍😍😍😍😍
@faithngaleni7930
@faithngaleni7930 2 жыл бұрын
Billnass ameonesha nidhamu ya hali ya juu na heshima kubwa.Mungu awatangulie kwenye safari yao ya ndoa mpaka kifo kitakapowatenganisha.Nawatakia heri
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Mama nandi na rafiki wa mkwe wakwe jinsia alivyo mpa huo mkono kushikaj zaidi👍❤️
@nataemsuya
@nataemsuya 2 жыл бұрын
Ewajwa ni ngoro nae aende wakwe(Anayeumwa na roho nae atafute wake😆).
@mwajumamsangi7678
@mwajumamsangi7678 2 жыл бұрын
Mungu nibariki nmm siku moja nifikie huku
@mariamsaid4381
@mariamsaid4381 2 жыл бұрын
Yaaani these people have a history...yaani they knew each other tangu Enzi za marehemu Ruge... waaaa destiny will always prevail alopanga Mungu binadamu hawezi panga. I wonder if Ruge could have woken up today I am sure he will be happy... coz ni mtu alikua anamfahamu already
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Waoo Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi kwa kila jambo
@liliankessy1255
@liliankessy1255 2 жыл бұрын
Let me guess 😂Majizo na Lulu ndo watakua wasimamizi wa Harus..trust me
@anitaevarister9383
@anitaevarister9383 2 жыл бұрын
Namm nimebet hivyo😅😅😅
@rithangaby3661
@rithangaby3661 2 жыл бұрын
Wachaga kwa wachaga
@mariamkabelwa7983
@mariamkabelwa7983 2 жыл бұрын
😆😆😆
@hannahkamau85
@hannahkamau85 2 жыл бұрын
I bet that too
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Live bila chengq hakuna kiki hapa hongereni sana
@fausterrugemarila7731
@fausterrugemarila7731 2 жыл бұрын
Daah mpk nimetoa choz Mungu awatunzeee😘
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 2 жыл бұрын
Waooh !!so great!!
@morinejoseressiriam4581
@morinejoseressiriam4581 2 жыл бұрын
Hongera nandy& billnass
@neemarichard8034
@neemarichard8034 2 жыл бұрын
Nipenda hiyo,nandi and nandy nawapenda sana
@alicenice1711
@alicenice1711 2 жыл бұрын
Unaongea nandi and nandy 🙄🙄😂
@joleal7941
@joleal7941 2 жыл бұрын
Mungu awarinde nandy na billnas
@wazambulitv5735
@wazambulitv5735 2 жыл бұрын
*Congratulations **#NandyBillnas**💍❤️*
@fora2009
@fora2009 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@lailatuyusuf9131
@lailatuyusuf9131 2 жыл бұрын
Congratulations you made it
@saumsuleiman4509
@saumsuleiman4509 2 жыл бұрын
mashaaAllah mama nandy love you mom❤️
@saramartin1182
@saramartin1182 2 жыл бұрын
Im happy with this couple
@priscaherman5302
@priscaherman5302 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awajaalie family yenye amani na baraka tele
@williamelieskia3038
@williamelieskia3038 2 жыл бұрын
Waaoooo rumburya mpongezi huvyo niho venture cheendwa!!!? Hongera dada hivyo ndivyo inavyotakiwa kipare !!! Usireoka kipereto
@arafacute7250
@arafacute7250 2 жыл бұрын
Hivi Sasa ndio vitu vyenye Baraka
@salhasaid9667
@salhasaid9667 2 жыл бұрын
Ma Sha Allah..
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 2 жыл бұрын
Congratulations to them 👏
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 2 жыл бұрын
Safi Sana bilinadi na Nandi mungu awalinde kwa hatua hiyo
@doreendidzuri8661
@doreendidzuri8661 2 жыл бұрын
Mungu awasimamie nawapenda sana
@filomenawiliam6701
@filomenawiliam6701 2 жыл бұрын
Ewajwa ni ng'oro nae eende wakwe..jamanii nimekumbuka na mim Siku nlivyotolewa mahari..hongereni Mandy& bill..Mungu awatunze mfikie lengo La ndoa
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 2 жыл бұрын
Hongereni nimefurahi sana
@pendotemba3614
@pendotemba3614 2 жыл бұрын
Mungu awatanguliee
@Meme-xn8mo
@Meme-xn8mo 2 жыл бұрын
Ongela sana mungu awasimamie
@rosechami5637
@rosechami5637 2 жыл бұрын
Jamani raha Sana 💕💕
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
Couple glows
@davidchalambo9746
@davidchalambo9746 2 жыл бұрын
Naskia songi la kipare apo✌️
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 2 жыл бұрын
Waoo wapare,
@issaiddi3261
@issaiddi3261 2 жыл бұрын
Hongera ala msirudie makosa ya kujiposti vipicha vyenu vya utupu ndoa sio madhiara
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Klaas, great 👍😘
@naumibahat8748
@naumibahat8748 2 жыл бұрын
Congratulations 👏
@messphinerdavid5637
@messphinerdavid5637 2 жыл бұрын
Hii siku nilikua naisubiri sanaa congratulations nenga
@janepherkhisa8581
@janepherkhisa8581 2 жыл бұрын
Well done Nandy
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Hii ndio oh nahiko Opa sio Fleck hongera Nandy na Nenga na muons chid disgner Maigizo Jsm boss enjeni sana kwa kufanyakweli sio feki kama zingine of kabisa bila kingilio😬😬😃😬😃❤️🔥❤️🔥🔥❤️🔥❤️🔥🙏🙏🙏🙏🙏
@loyciousaaa
@loyciousaaa 2 жыл бұрын
I love this couple
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 жыл бұрын
Jaman raha wowww
@mare9438
@mare9438 2 жыл бұрын
Hongera nandy
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 жыл бұрын
Congrats 💐💐💐 Nandy & Bills
@mjasiriamalishupavulailamu7163
@mjasiriamalishupavulailamu7163 2 жыл бұрын
Yeleleleleeeeee wapambe tuko hai sana mungu awatangulie jamani nilokuwa nikiomba juu yenu mara mkosane Mara mpandane basis Leo mmenipa furaha shabiki wenu
@everlynkadenge9552
@everlynkadenge9552 2 жыл бұрын
This is Soo sweet ♥️❤️❤️
@hakimsashamusic
@hakimsashamusic 2 жыл бұрын
Play don't worry by hakim sasha..
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Very Smart guys😘
@dn.n4983
@dn.n4983 2 жыл бұрын
MUNGU HABARIK8 NA WAJALIA WATOTO UPENDO UZIDI
@skyluu
@skyluu 2 жыл бұрын
Mungu awalinde
@ashaulaya7412
@ashaulaya7412 2 жыл бұрын
Hongera cn cn ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤲🙏
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 2 жыл бұрын
Naomba vijana wa Tz wamekuwa walemavu wanatembelea mikongojo. Shida NINI vijana?
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
Hongera
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 2 жыл бұрын
Amepedeza sana
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 2 жыл бұрын
Muzidisogambere basi good
@marymagnus8712
@marymagnus8712 2 жыл бұрын
EEMwenyezi Mungu awalinde kweli ilimuweze fikisha lengo lenu
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Lovely Mashaallah
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 2 жыл бұрын
Mkumbuke kuvaa barakoa
@addelineantony3622
@addelineantony3622 2 жыл бұрын
Kila la kheri kwenu billinas na nandy
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Wauw chic guys 🙋🙋
@aishaa2930
@aishaa2930 2 жыл бұрын
Haya ndio mapenzi
@alicenice1711
@alicenice1711 2 жыл бұрын
Mambo shwariii
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 жыл бұрын
Lulu na majizo wawasimamie arusi Yao ndio hawata achana
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 жыл бұрын
Maman naNady na mukwe wake sasa
@aminayusufu6823
@aminayusufu6823 2 жыл бұрын
Adi nasikia raha ndo mm vile
@sosomacharles6685
@sosomacharles6685 2 жыл бұрын
Siku kama hii huwa ni burudaini kweli kweli,ila shida mnapobaki wawili wanandoa kwa muda mrefu ndo utajua utamu na uchungu wa ndoa.
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 2 жыл бұрын
Broo chanchy umemisss jamani dah
@Mariam-ou1uz
@Mariam-ou1uz 2 жыл бұрын
waoooooo
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Teeeeeeeena🤣🤣🤣🤣🤣🥰
@irenewile
@irenewile 2 жыл бұрын
Wapare oyeaahhhhh
@mnaromajengo9155
@mnaromajengo9155 2 жыл бұрын
Wapare tupo jamanii
@maselinahamisi4341
@maselinahamisi4341 2 жыл бұрын
Akimaliza kusalimia anabaki hoi
@halimamvungi1
@halimamvungi1 2 жыл бұрын
Ewajwa ni ngoro nae aende wakwe😅😅🔥
@shamimukijoji1191
@shamimukijoji1191 2 жыл бұрын
Waooooo
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥♥️
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Mama nandy kachangamka km katiwa ndimu🤣🤣🤣🤣
@dorotheasamwel8071
@dorotheasamwel8071 2 жыл бұрын
Mbona bilnass hajiamin??
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 28 МЛН
Mpaka Home MAISHA YA RAYVANNY NA JUMBA LEKE LA KIFAHARI UTAPENDA
10:32
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН