Mjengo wakifahali kivip wakati hyo ni lekod label yake sasa au kainunua nyumba hamuoni pale juu NEXT LEVEL MUSIC ( NLM) au mnashobo
@mbezzoprince94623 жыл бұрын
Sasa hio lebo imebandikwa juu ya mti😂😂😂😂😂😂
@009biafra83 жыл бұрын
Kwahyo hapo nn kinakutatanishaa
@etiennemanace14613 жыл бұрын
Rayvanne nimukili Sana nasema ukweli kwakwetu Congo DRC unasikika sana kaka
@thekartelAfrican2 жыл бұрын
Duuh hujawai niangusha vanny natamani nifike nest level music make tumetoka mbali xana
@athumanmbululo39803 жыл бұрын
Wanachoniuzi ni kimoja tu,,, utasikia mjengo wa fulani,, kumbe amepanga,,
@ndaganoanastazia26583 жыл бұрын
Kwani anakaa bure? Ao analipa kodi? Huku ulaya ukilipa tu kido ni nyumbani kwako hata police pila kibali hufungue mlango….. upooooooo? So ni mjengo wake…..🤣🤣🤣🇫🇷🇮🇹🇧🇪
@saudah44553 жыл бұрын
Mh jmn
@lulually52093 жыл бұрын
Sasa mjengo wake au next levo mbona sielewi
@ndaganoanastazia26583 жыл бұрын
@@lulually5209 utaelewa tu ukiamka usingizini 🤣🤣🤣🤣🤣
@emmamombo71493 жыл бұрын
Mm pia huwa nauthika mjengo wa fulani kumbe nyumba ni yakupanga
@aidanwilliam96373 жыл бұрын
2:43 mtangazaji usitumie neno nakuonyesha sena nakuonesha, katika kiswahili sanifu neno kuonyesha ni kutoa onyo juu ya jambo fulani, tumia neno ONESHA badala ya onyesha.
@aloycesteven59983 жыл бұрын
Wabongo wengi hawajui kiswahili una kuta mtu anasema nyimbo yako inabamba sasa hapo anaongea nini
@aidanwilliam96373 жыл бұрын
@@aloycesteven5998 nikiona mtu anakosea kiswahili napata shida kweli natamani hata nimcharaze bakora
@naimakombo45763 жыл бұрын
@@aidanwilliam9637 hhhhhhhhh
@vincentmulwa95533 жыл бұрын
Kwani kuna mtihani
@009biafra83 жыл бұрын
Rayvanny tumeona na Hongera sana tunaomba mtupeleke upande wa pili kwa HAMOKINYESI naskia yy record label yake n kama store ya vyakula 😆😆
@damianjeremia38213 жыл бұрын
Hivi anatuzo kweli
@ezekiellakindi99193 жыл бұрын
Akili una wewe
@009biafra83 жыл бұрын
@@damianjeremia3821 Hamokinyesi hana tuzo yyte kwa mziki gan kwanza mpaka timamu wampe tuzo?
@009biafra83 жыл бұрын
@@ezekiellakindi9919 HAMOKINYAA
@SalumMusa-f5lАй бұрын
Picha yako inaakisi ulichoandika aah aah nimecheka saana
@supertal29432 жыл бұрын
Mwandishi bhana.. Et Justine beibe😜😜
@faruhostllc15523 жыл бұрын
Eti Dj Choka. Endelea kushabikia mpira tu 😂😂😂😂😂
@joselynenininahazwe9401 Жыл бұрын
Huy mutangazaji n dada au
@elizabethfabian66613 жыл бұрын
Utapendez zaid mjengo huo endap utaish na paula bro💟💗💖💞💞
@janewanjiku56733 жыл бұрын
Utapendeza kwa Fahyma na Jayden
@jescajulius80233 жыл бұрын
@@janewanjiku5673 exactly
@kiya0910 Жыл бұрын
Mashalahu amechezea tuzo😍
@freadyjackson3152 жыл бұрын
Chui 🐅❤❤ munyama mukall ravnnyn
@daudimesso37403 жыл бұрын
iko p sana nakubali vany boy
@mistaantoine71683 жыл бұрын
Kaka diamond mungu akubariki
@kibirigeshafik65002 жыл бұрын
Diamond we ni simba
@jestonelazaro65432 жыл бұрын
DJ choka ahahahahahahah Dah bigup
@cynthiakimongo57632 жыл бұрын
Weeeuh I really love this guy
@MusicLover-xb4bf2 жыл бұрын
Apo kwa singeli hujafanya poa😂😂😂😂
@davidkingorimigwe Жыл бұрын
Chui.noma😅
@Aisha-q8d Жыл бұрын
Mm nampenda Rajabu bre jamani nisaidieni jinsi ya kmpata 😢😢
@sebamjema56143 жыл бұрын
Ukuta mzima hakuna picha ya YESU wala MTUME hakika mali na vyote ni vyakupita MUNGU tusamehe hatujui tulitendalo
@farajachengula92273 жыл бұрын
Kwani lazim hizo sanamu jamn kuweka ndan
@AfrikanSwitcherz3 жыл бұрын
Aisee kama unapicha ya mtume nitumie na mimi sjawahi kumuona
@barakatabdul32123 жыл бұрын
Ngoja hiyo Tuzo Uibwage" na kihere here chako🤣🤣🤣🤣
@denniswaihenya38703 жыл бұрын
I love his songs .big up 🍾🍾
@freadyjackson3152 жыл бұрын
Mkn zan ravnnyn ChuiiiNLM ogera zana Ravnnnyn nexti levo misic na ravnnyn Chuiii pambana sana NLM piga kasi lebo niyako pambana buro NLM
@highertours12873 жыл бұрын
This reporter is the real Definition of a WINDBAG!!!
@mojaspesho67803 жыл бұрын
😂😂😂
@paparazipaparazi25403 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbona unasema ukweli
@jedidahbintidaudi82412 жыл бұрын
oh jmni..sindo kuremba mambo jmni jirani au sio boss wangu
@wazirijunior33433 жыл бұрын
Nauliza hiv kwa mfano akifukuzwa hapo WCB atapeleka wapi kwato zake🚶🚶🤣🤣🤣
@deodatusnchimbi76333 жыл бұрын
nnchakali kawa dj choka vp bwana mwandishi
@YugenMhapa-xj8hn Жыл бұрын
Waooo next level music
@salamanauthar4802 жыл бұрын
K Mziwanda jifunze kutamka vizuri herufi R na L' maana unachanganya kwenye r unaweka l na kwenye l unaweka r'
@farida45953 жыл бұрын
Pacha y kwnza ya nyumba. ( Ndan ) tofauti na hii tunayooneshwa ndan
@francisjameswadira69173 жыл бұрын
Huyu ni Ruben Ndege au NCHAKALI bhana ndio alie hisi kuwa vanny boy anajua
@AliceMunyau-k4s3 ай бұрын
Congratulations to rayvanny
@rajabdibwa64153 жыл бұрын
Wabongo kwani L na R mnashindwa vp kuzitofautisha?
@abuukamanda.s.mkenga66873 жыл бұрын
Mi mwenyewe wananiuzigii c jui tatizo linakuagga wap
@@aminajuma1435 aaiseee ani mi nakerwkaga kishenzi ani halaff m na n simpo haiihitaj hata kusoma saaaana kwa mwalim mi nakumbuka niliishia 7 lakn huu ujinga c uwezagg😭
@abuukamanda.s.mkenga66873 жыл бұрын
@Salama Salama umeuaaaaaaa kinyamaaaani🤣 aaiseee
@awadhrajabu14032 жыл бұрын
Hoo Wasanii Walinyonywa Wasanii Wazamani Walikua Wapenda Chini Sana Na Manguo Makubwa Kama Magunia Ndio Wanaozalisha Chuki Wanaona Aibu Kwasasa Wamebaki Hoi Vijana Wanafanya Mambo Makubwa Sana Wasanii Wengi Lakini wasanii Waliotoka Mikononi Kwa Daimond Wamekua Na Umaarufu Hata Kwa Walio Awana Pesa
@omarimbuchele81693 жыл бұрын
Uyo sio dj chokA bana😂😂😂
@jumamkongowe22723 жыл бұрын
Hongela chui🔥🔥
@AlexMtawaliCharo2 ай бұрын
Mbona mke we chui hayuko hapo nyumbani 😅😅
@lejuspetaspetaboydancer2 жыл бұрын
Nakubali kak vay
@009biafra83 жыл бұрын
Rayvanny n Tajir na hatukani waliomsaidia lkn wamakonde maskini ila manenooooo
@maryswende21553 жыл бұрын
Huyo kaka wa shati la draft kaigza maneno ya kuambiwa
@davidmiracle90192 жыл бұрын
Ray vanny nakuoenda sana
@johnbernad39902 жыл бұрын
We meneja wa vany boy ulimtoa kafala mwenzio kwenye tamthilia ya binadam wabaya
@josephwairimu6222 Жыл бұрын
Kumbe Rayvane ni Sonko
@estherjoseph13802 жыл бұрын
Your good brother
@HelenaNkwera Жыл бұрын
BadoO ajengaaa uyoOo luluu mwenye bd yy wa juz tu wanashindana kupanga manyumba y wT😂
@christinamarianusi47042 жыл бұрын
Hongera Sana chui
@mozenspilbinyakanazimoja82503 жыл бұрын
nimozens plb nimekukubali br
@teresamorara54073 жыл бұрын
Congratulations ❤❤❤
@naomiLyandalaАй бұрын
Hapo ndipo wasanii wanapo feli wanatukuza wanadam badala ya kumtukuza mungu
@aminamarie23873 жыл бұрын
Jameni munamkumbushiya miss paaaa
@wilfredelimeleki45433 жыл бұрын
kaa kama mwanamke we dada.Inaweza kuja kukugharimu badae ukiwa unataka mume wa kukuoa.Wanaume sisi tunapenda tukiwa na wanawake ndani asionekane kama umekaa na mwanaume mwenzio au msela mwenzio.Jiweke kama mwanamke kama unatazamia ndoa kwa badae
@norahmakrean5253 жыл бұрын
Shughulikia maisha yako, wacha kufuatilia lifestyle ya watu
@rizikiomar29253 жыл бұрын
ukwel siku soze unauma bt nikwel anaboa ajulikane tuu nimke au mume hovyoooo🤣🤣🤣🤣🤮🤮🤮🤮🤣🤣🇰🇪🇰🇪
@judiajudia3796 Жыл бұрын
Iyo minywele Sasa Kama chiz vile
@paparazipaparazi25403 жыл бұрын
Ati natorious 🤣🤣🤣🤣 wabongo wachaneni na kizungu
@konkmasta79892 жыл бұрын
Wew icho kizungu unachokijua kinakusaidia nin Kuku wew.
@mtaliiedward58862 жыл бұрын
Godless maisha ya laivan awesome 👍
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Chuiiii 🐆 NLM music 💪🏻
@hassanfasmir75273 жыл бұрын
Nampenda raivani
@hassanfasmir75273 жыл бұрын
Nataka aniowe
@FrancisNyanchama9 ай бұрын
Nam namkubal hongera
@staphanomajengo70482 жыл бұрын
Uyu jamaa huu nimjengo wake anatisha sana situdio ndan