BINTI LISA - PART 72

  Рет қаралды 25,362

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Ай бұрын

Akausogelea mlango wa chumba cha kulala. Alifikiri hatasahau tukio la mle ndani.

Пікірлер: 470
@Polite901
@Polite901 Ай бұрын
Napenda Alvin na Lisa Rodney na Pamela na Chesta na Charti(Eliza)
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp Ай бұрын
Heheeee hatimae huyo sarah anaenda kuuramba mchanga raha ilioje jamani team pamelisa gongeni like jamani asante ankojay nimeinjoy nikainjoy tena ❤❤❤❤❤
@fadhiliachinda418
@fadhiliachinda418 Ай бұрын
Wa pili jamani Like zangu familia ya Lisa na Pamela ♥️♥️♥️♥️♥️
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Ай бұрын
Tunakesha leo dear
@MaryAlphoncedr4xo5yp8b
@MaryAlphoncedr4xo5yp8b Ай бұрын
Acha tuendelee kusonga mbele na Lissa ila ni wangapi wanapinga mahusiano ya Pamela and Rodney gonga like hapa tujuaneasante anko jamani ❤❤❤❤❤❤
@user-pj2zs2dh7i
@user-pj2zs2dh7i Ай бұрын
Hapana kiukweli natamani rodeny n'a pamella warudiyane inshalah 🎉
@saumunyadzua
@saumunyadzua Ай бұрын
​@@user-pj2zs2dh7ipia mimi nawaombea warudiane❤❤
@user-xx5fr8li1d
@user-xx5fr8li1d Ай бұрын
Kabisa yani pia mm natamani sana​@@user-pj2zs2dh7i
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey Ай бұрын
Mm mwenyewe natamani Pamela Rodney wawe pamoja ili Daniela apate malezi mazuri ya pande zote mbili
@user-hj9bs3ei5o
@user-hj9bs3ei5o Ай бұрын
Kikwel iani simpendi kabisaaaaaaaaaa kikwel na wanavyomchamba Rodney BAs nachukia vibaya mnooo😡😡😡😡
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Ай бұрын
Pole Ankojay wetu Mungu akupe uponyaji wa haraka ❤🎉🎉
@user-rh6dw8yi7m
@user-rh6dw8yi7m Ай бұрын
Nime waiiii atimae tujuwe kisa hiki apa dhaaaaa sisi tunao liya na rodney ata kama nime nime chelewa ila nime enjoy
@MoniraMonira-dg3cd
@MoniraMonira-dg3cd Ай бұрын
Pole kwa kuumwa anko mungu akuepe afuweni ya araka InshaAllah 🎉🎉🎉🎉
@Merrylukas-uz6sr
@Merrylukas-uz6sr Ай бұрын
Rodney nakupenda sana pambana adi mwisho akuna kushidwa niko upande wako tu hata kama wanafamilia wa anko jay hawakusapot nakupenda
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey Ай бұрын
Akiwekwa Rodney na iani nitamchagua Rodney
@baberejoseph8262
@baberejoseph8262 Ай бұрын
Hahaha
@shazimna
@shazimna Ай бұрын
hata mm niko upande wa baba wa danyela
@user-vh5ye7kl2o
@user-vh5ye7kl2o Ай бұрын
Apo tuko pamoja nampenda pia nakuhurumia sana rodney
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g Ай бұрын
Ale alchokpka il cku nyngne awe anaelewa akimbiwa pombe c chai
@user-be2nx5ks2l
@user-be2nx5ks2l Ай бұрын
Ankoj nilihisi hautaileta maana hauko vizuri kiafya basi Mungu akupiganie
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw Ай бұрын
Mungu Iko hawezi kumuacha🎉🎉🎉🎉🎉 anko jay ateswe
@debrahshelymaca5339
@debrahshelymaca5339 Ай бұрын
Ugua pole ankojay ❤ ❤,, Asante kwa kazi nzuri dea,, Shukran za dhati 🎉 🎉, ❤
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
Haya jamaniii tumepewa zawadi WANGAPI WAMEBOEKA KUMKOSA LISA TOKA JANA😂😂POLE ANKOJAY WETU KUUMWA✌️
@Mariyam-qw1rb
@Mariyam-qw1rb Ай бұрын
Tunaofurahiy Sar kuteswa tujuwan🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍😍😍
@neemamwachepha213
@neemamwachepha213 Ай бұрын
Ateswe mpaka afilie mbali uko
@ElizabethNdaga-nr7nc
@ElizabethNdaga-nr7nc 16 күн бұрын
tena apo ajateseka ateseke mpaka afe kifo kibay san😂😂
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i Ай бұрын
Asante sana ankoj kwazawadi hii gaspa nasara tuje waliishia vp ulietamani kusikia kn mm🤣🤣 laki hapa mpendwa
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t Ай бұрын
Kila kitu ni mipango ya mungu kwani yy ndio kila kitu hivyo kwa imani Utakua sawa na mungu Akuzidishie vlvl akupe taafif Inshaalah
@ChristinesifaRuwa-jx4qw
@ChristinesifaRuwa-jx4qw Ай бұрын
Wow wale wa KZbin sasa nmekua wakwanza nipeni maua leo sitaki likes 😂😂😂 team gulf nipeni likes
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@Merrylukas-uz6sr
@Merrylukas-uz6sr Ай бұрын
Jamani ninasku bila comments ila mimi namuulumia sana rodney nampenda rodney jmn
@user-vh5ye7kl2o
@user-vh5ye7kl2o Ай бұрын
We kama Mimi natamani ata Pamela amsamehee waludianee tu walee mtoto wao
@user-cl1qr4zv2x
@user-cl1qr4zv2x Ай бұрын
Ckupenda Pamela Rodney wafikie huko
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 Ай бұрын
Pôle sana Anko j,mungu akujalie afuen ya haraka!na asante sana❤❤❤❤❤
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Ай бұрын
Lafiki zangu Leo nimewai kabisa Ankojay poe sana nakumwa tena ahsante Mungu akubalki Acha ni 🪑🎧 Binti Lisa wetu ❤
@mozabayabanda4248
@mozabayabanda4248 Ай бұрын
Asante sana Anko pia pole sana tunakuombea kwa mungu akuponye❤❤❤❤🎉🎉
@Kuwait-tf2mj
@Kuwait-tf2mj Ай бұрын
Ahsante sana kaka Anko na pole sana utakua poa mpenzi wetu❤❤❤
@racheluwda6552
@racheluwda6552 Ай бұрын
Pole kwa homa Ankojay jamani🙏👌 mungu hakupa guvu asent kwa simulizi zuri san 🎉🎉❤❤
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 Ай бұрын
Pole sana Anko Mungu akufanyie wepesi ❤❤❤❤❤
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 Ай бұрын
Pole sąna Anko kwa yote Ahsante pia kwa kutujali ❤❤
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Ай бұрын
Wow nilikuwa job jamani hello humu ndani Anko pole na kuumwa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi Ай бұрын
Mama Wendi umenena ukweli mtupu
@shazimna
@shazimna Ай бұрын
timu pamela tupo jaman ❤❤❤
@happyalberto8903
@happyalberto8903 Ай бұрын
Atimae Alvin na Lisa wamefunga ndoa ❤️ ,Iani na Pamela mambo ni 🔥🔥🔥🔥
@marry-dh9bm
@marry-dh9bm Ай бұрын
nimewahi pia mambo zenu wana familia wa ankojey na wapenda sanaa
@SalamaMwaga-co3st
@SalamaMwaga-co3st Ай бұрын
Asante anko j pia pole sana na kuumwa kipenzi chetu Allah akuafu inshallah 😢😢😂❤
@PilyAlly
@PilyAlly Ай бұрын
Yaani kunamda sitamani ata kukoment sababu kila siku sijui ata nakuwa wangapi yaani family ya anko jay sijui mnalala umu umu looh ❤❤gains 💪
@user-ot6nc5tf3h
@user-ot6nc5tf3h Ай бұрын
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉 vip wana wai dear usiwaze
@PilyAlly
@PilyAlly Ай бұрын
@@user-ot6nc5tf3h yaani we acha2🫠
@sharifamassud8187
@sharifamassud8187 Ай бұрын
Kwani unajieleza wangapi au unatowa mawazo yako kuhusu simulizi husika?
@PilyAlly
@PilyAlly Ай бұрын
@@sharifamassud8187 hee kuwai nako kuna raha bibiwee kwani mbona kuna w2 wanaomba like 😏😏 vp kwan mwantumu una shidaee karibuu tena
@emathumani2901
@emathumani2901 Ай бұрын
Pole anko jay utapona
@maresianazengo6317
@maresianazengo6317 Ай бұрын
Waoo na mm leo wa kwanza naombeni namm like jamani maana nimefurahi sana🎉🎉🎉🎉❤
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Ай бұрын
❤❤❤❤❤pole sana bro but shida yako ni moja usemi ukweli kwetu
@khadijaaliy7287
@khadijaaliy7287 Ай бұрын
Watu hmlali jamani❤❤❤❤❤😂❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 Ай бұрын
Wow big up Lisa kufwata njia nzuri ya kulipiza kisasi 🥰🥰🥰 hongera Jamani Rodney namhurumia 😭😭
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 Ай бұрын
Acha Rodney ateseke maana ni mupuuzi wakiwango cha juu 😂😂😂😂 sarah asinge fungwa lazima angerudiana naye maana Rodney anahakili finyu😂😂😂😂😂
@user-vv6en8nh1c
@user-vv6en8nh1c Ай бұрын
Pole Sana anko jay Ila tunashukuru kwa kutupa mwendelezo wa Binti Lisa Leo tumefurahia Sana mashabiki wako
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml Ай бұрын
Asante sanaaaaa Ankojay nafurahi... jamaniiii pole SANA Kwa afya yako nakuombea
@amissanzeyimana3895
@amissanzeyimana3895 Ай бұрын
Jamani mambo yanazidi kupamba moto 🎉🎉 anko jay watu mimi nataka kujuwa kuhusu Jackie kimaro kama alikufa kweliii🎉 nakuombeya afya njema anko jay wangu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@susansamira8137
@susansamira8137 Ай бұрын
Wow tunashkuru kaka Ankojay na pole sana Allah akupe afueni ya haraka
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Ай бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi wewe ni dawa wewe nimwalim wewe niburudisho la moyo Ahsante ❤❤❤❤❤❤😘😘😘
@user-tc8zn1sl6s
@user-tc8zn1sl6s Ай бұрын
Polesana kaka yetukipezi Mungu akuwekee wepesi❤❤
@lisazainabu3626
@lisazainabu3626 Ай бұрын
Woyooo turio kuwa tumeisubiria kwahamu tujuane apa pole sana anko wetu mungu akufanyiee wepesi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KristelaNduwayo
@KristelaNduwayo Ай бұрын
Pole sana anko jay mungu azindi kukupa nguvu, tunazindi kuburindika na binti lisa
@SusanNeema-re3hr
@SusanNeema-re3hr Ай бұрын
Anko jay ...mungu Akutie nguvu...🎉🎉asante kwa kutuletea kazi nzuri kila itwapo leo🙏🙏
@asumthamanyahi5255
@asumthamanyahi5255 Ай бұрын
Pole sana Anko J. Mungu akutie nguvu
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg Ай бұрын
Jaman pole ankojay wetu m/mungu akufanyie wepesi uweze kupona kwa baraka ❤
@nismaali2982
@nismaali2982 Ай бұрын
Amina🤲🤲🤲
@Josephinemasila
@Josephinemasila Ай бұрын
Pole sana anko jay,quick recovery in Jesus Name
@NsimireMurumbi
@NsimireMurumbi Ай бұрын
Ankojey uko na watu kweli, une minute batu balishakuwa ebele ivi.🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mauwa yako
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Ай бұрын
Pole ankoo nakuombea uzima na mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 Ай бұрын
Na mm nimewahi leo like jamani
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Ай бұрын
❤❤❤ ni raha kumwona RODNEY akiteseka. 1.ngombe ni ngombe tu, ngombe ni ngombe tu(ni wimbo tu)
@njeri977
@njeri977 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 cow is cow
@user-rh6dw8yi7m
@user-rh6dw8yi7m Ай бұрын
Dhaaaaaa eti gombe ni gombe Hatari sana
@user-cw4mv3kw7y
@user-cw4mv3kw7y Ай бұрын
Pole sana Allah akupe afya njema Inshaallah ❤❤❤❤
@Angle22-kk8fz
@Angle22-kk8fz Ай бұрын
Woyoo🎉pole anko j Mungu akuimarishe zaidi kiafya na sauti zaidi iyo sauti ya sarah sasa ktk mahaba anaropoka tu😂
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg Ай бұрын
Anko jay pole sana mungu akupe nguvu mashabiki mpoo nione like zenu mm huwapatia like zangu 🙏🙏🙏🙏
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y Ай бұрын
Haki huyu Rodney ameniuma sana ukipata mwanaume analia jua limempata kubwa tena zito pole sana brother
@hdhjdh775
@hdhjdh775 Ай бұрын
❤❤ pole San jamn kwagua 😢 tunashukuru kwakutujali pia ❤❤❤
@user-qm4zg7bu3g
@user-qm4zg7bu3g Ай бұрын
Leo nimewahi jameni nipeni likes zangu hata 10 tu
@loyc6306
@loyc6306 Ай бұрын
Acha Rodney aonje uchungu wa mapenzi ndio ajue kuwa hata pamela aliumizwa na yeye ninachoomba ni familia ya shagwe wakubali ndoa ya iyan na pamela ndio nione raha Rodney akiumia mno
@mirnababy5012
@mirnababy5012 Ай бұрын
Mtu ataolewaaje na mtoto wa baba mdogo na mkubwa bola sarah angepata mmmwwanaaume mwingine siio iyan
@PhyllisObwogi
@PhyllisObwogi Ай бұрын
Ian na pamella hoyee, twawaombea mibaraka kwani hata hivyo nyinyi siyo wa damu moja.
@madawakemikali776
@madawakemikali776 Ай бұрын
Erreeeeeee wa kwanza sitakiiiiii kabisa....slafu anko j pole
@saodashabani2652
@saodashabani2652 Ай бұрын
Wacha tukate keki yako na Binti Lisa wetuu❤❤❤ pole sana Ankojay wetu
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp Ай бұрын
Pole sana kipenzi chetu mwenyenzi mungu akupe uponyaji wa haraka babaa
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 Ай бұрын
Aweeeh ankol wanguu polee leo kidogo saut tyaaaam i hope unaendelea pouwaa❤🎉 acha tumskie sara anavyotutilia uchiz rodney wangu😂😂😂😂
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 Ай бұрын
Poa sana ankojey pia mimi hapa naumwa na mafufua nakukuzikiza nikiwa kitandani ❤❤
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i Ай бұрын
Hakika wazazi wa rodney nawapa pole duuh mh mtoto mjinga nimzigo kwa wazazi
@EliasMwakanyamale-ru9zt
@EliasMwakanyamale-ru9zt Ай бұрын
Pole sana anko jay MUNGU atakupa afya njema
@MaryMary-kq3nh
@MaryMary-kq3nh Ай бұрын
Asante sana Anck Jay kwa kujihimiza ili utufikishiye simulizi pole sana mingu atakuponya Amina ❤❤❤
@user-lw5uh1hs5m
@user-lw5uh1hs5m Ай бұрын
Salama Ankojay mapesa napole sana kwaiyo hali ❤❤❤
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en Ай бұрын
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
@user-mc8rr1xi9w
@user-mc8rr1xi9w Ай бұрын
Hivi watu wanao support Rodney arudiane na pamela kwa mambo yote aliyoyafanya kiuhalisia katika maisha ya kila siku ya ndoa ukivaa viatu vya pamela wewe unaweza kurudiana na Rodney??Kwanza Rodney tangu day one hana akili na ana mdomo mchafu unawezaje kumpiga mke wako teke la mbavu mpaka kuvunjika je ungekuwa wewe ungekubali?
@user-hj9bs3ei5o
@user-hj9bs3ei5o Ай бұрын
Tatz la Pamela ni mama matukuzo ajaliwe yeye tu pia anamoyo lain Kama sufi that why hawez kuhimili mikito
@user-mc8rr1xi9w
@user-mc8rr1xi9w Ай бұрын
@@user-hj9bs3ei5o kabisaaa
@user-nv8vm9vb9t
@user-nv8vm9vb9t Ай бұрын
Hapana kwa kweli simtaki kabisaaa
@user-mc8rr1xi9w
@user-mc8rr1xi9w Ай бұрын
@@user-nv8vm9vb9t umeona eeeh
@ElizabethNdaga-nr7nc
@ElizabethNdaga-nr7nc 16 күн бұрын
ata kama ningekuwa mm nisinge msameh rodney kamwe apotele mbalii uko
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Ай бұрын
Allwah akupe afya nasihha nauzima❤❤❤
@user-ke3bh9hk2i
@user-ke3bh9hk2i Ай бұрын
Pole nakuombea upate afueni ya haraka
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Ай бұрын
Mhm leo😂😂😂♥️♥️♥️🎋🎋🎋🌹🌹🌹🥗🥗🥗🥀🥀🥀🙏
@rhamarahma1188
@rhamarahma1188 Ай бұрын
🎉🎉🎉Patamu apoo😂😂😂😂
@user-ot6nc5tf3h
@user-ot6nc5tf3h Ай бұрын
Hamjambo wanafamilia ya koli Jomba j❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nawapenda bure
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi Ай бұрын
Pole ankojai Kwa mafua tunakuobea mungu utapona inshallah ❤
@user-eb4vj3xy6y
@user-eb4vj3xy6y Ай бұрын
Nimecheka mpaka baci😅😅 ! Mmh mmbo ni motooo
@violethezekiel251
@violethezekiel251 Ай бұрын
Dooh! Pole Anko J, ila pia asante kwa kuendelea kutukumbuka, Acha tu enjoy, barikiwa
@wertqwe8326
@wertqwe8326 Ай бұрын
Pole kwa homa la mafua utapona ishallh❤🇰🇪🇰🇪
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i Ай бұрын
Saraaa mlion300 anakutana 20 haaaa! Uchawii umedunda🤣🤣🤣
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 Ай бұрын
Thanks Ankojay pole Sana kwa homa🙏
@shakiramohamed8824
@shakiramohamed8824 Ай бұрын
Kuna watu ni waongo sana wana taka kusema wame shamaliza 😂😂😂😂
@abimavalayo9200
@abimavalayo9200 Ай бұрын
Nilikuwa nime zubiri asante ❤❤❤
@user-rh6vp7bx1u
@user-rh6vp7bx1u Ай бұрын
Nimechelwa bt nifka ..waswahili walisema chelewa ila ufke ndio mmi nifka naomba htakma moja tu
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Ай бұрын
Si umejua kutukomoa Anko leo ila.poa.na pia pole kwa linalokusibu
@saumukambi8562
@saumukambi8562 Ай бұрын
Pole Sana mkwe mungu atakusaidia nakukupa nguvu nguvu in shaaa Allah ❤❤❤
@user-ip8rw5ye2k
@user-ip8rw5ye2k Ай бұрын
❤❤ anko jay thanks so much 🎉🎉pa1 sana wale team Lisa na Pamela
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 Ай бұрын
Nlmewahi jamn
@Polite901
@Polite901 Ай бұрын
Me natamani Rodney aende kwa Pamela waendelee na mapenzi yao❤❤,me natoa baraka zote kwa Rodney,japokuwa me siyo team Rodney lkn napenda arudiane na pamela ili daniela apate malezi halisi ya wazazi wote wawili
@fatmasalum8334
@fatmasalum8334 Ай бұрын
Wao ahasante sana kwa buludani ,na pole nakuumwa ni ibada allah atakufanyia wepesi inshallah 🎉🎉❤❤❤
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw Ай бұрын
Wooooooooyo anko jay happy birthday 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tunakupenda sana❤❤❤❤❤sasa team alvilisa tunasonga mbele n pamoja na kiwete chetu na mjinga Pamela 😢😢😢😢😢😢
@user-bb7sx7ho5c
@user-bb7sx7ho5c Ай бұрын
Pole ankol jay hutapona Inshallah ...... Kama sarah ameshikwa Pamela,Lisa,alivin, Eliza na familia ya tishombe hishapata haki 🎉🎉I hope hiii simulizi imeisha hapo72 leta SIN tafadhali
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 Ай бұрын
Asante anko j tunakupeda sana wa dau wamo nampa pole rodney
@NsimireMurumbi
@NsimireMurumbi Ай бұрын
Ila kweli ankojei mimi kama mama yako, nakushauria afya ni bora kuliko mali, unge tulia kwanza, unajuwa mwili haina pièce de rechange baba. Tumia kwanza dawa mtoto wangu. 💉💊💉🔬
@RoseImani
@RoseImani Ай бұрын
Pôle sana Ako jay tutakuombeya
@BethMdoe
@BethMdoe Ай бұрын
Pole anko wetu upone kwa jina la Yesu
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg Ай бұрын
Rodney na Sarah wote akili zao zona fanana😂😂 Sarah amefanya vizuri kusaliti Rodney wajinga wote😂 nafurahia sana🤸🤸🤸
@victoriangasa
@victoriangasa Ай бұрын
Jamn namimi nmewah waooooh ❤🎉🎉😂😂 na hongera kwa happy birthday 🎂kwako Anko 🎉🎉
@rayfasaid7873
@rayfasaid7873 Ай бұрын
Nilikuwa naichungulia kila mara
@joselinenirere8172
@joselinenirere8172 Ай бұрын
Thank you so much my Ankojay love you!!!!!!!!!!!!!!!! 🇺🇸
@MamitoUkhtty
@MamitoUkhtty Ай бұрын
Na mm nimewahi jmn naomba like zenu 😂😂😂
@anethlyanda801
@anethlyanda801 Ай бұрын
Ooooooh jamn ank jay pol San MUNGU azid kukup afy njem hakik utapon pol San. Pia Asante San kwakaz nzul 🎉🎉🎉🎉🎉❤
BINTI LISA - PART 73
3:00:47
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 25 М.
BINTI LISA - PART 90
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 10 М.
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 20 МЛН
DELETE TOXICITY = 5 LEGENDARY STARR DROPS!
02:20
Brawl Stars
Рет қаралды 22 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 115 МЛН
1❤️#thankyou #shorts
00:21
あみか部
Рет қаралды 88 МЛН
BINTI LISA - PART 89
3:01:22
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 13 М.
BONGO DAR ES SALAAM S02EP01 - PESA
22:43
Wasafi Media
Рет қаралды 140 М.
NDOA YANGU NA SHETANI - SIMULIZI MPYA
2:02:36
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 27 М.
BINTI ANGEL - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
2:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 43 М.
SIMULIZI MPYA YA HIDAYA part 01, By Ankojay
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 31 М.
DAH! | PART 04
1:28:14
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 4,9 М.
SIMULIZI MPYA: KARMA, By Ankojay
3:10:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 54 М.
UNAYAJUA MAHABAT WEWE! ONA HAPA SASA.
10:00
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 414 М.
FOOLED THE GUARD🤢
0:54
INO
Рет қаралды 60 МЛН
Этому парню 35 лет😂 #shorts
0:50
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 4,2 МЛН