Nyieeee mnanimalizia hadi bando langu la mchongo show nzuri na zinafaana sana yaani hongereni sana ila nawaombeni fuatilieni mienendo yao au wawe wanarudi kutoa muelekeo wa mahusiano yao❤
@sheillahassan Жыл бұрын
Uyu kaka yuko romantic yaan apo ndani ata ukinuna lazma ubembelezwe😅❤❤❤🎉
@Furahacharo-h6n21 күн бұрын
Hello I love watching mr Right Tanania napenda sana matamani kuja kutafuta mwenza kwa hii mr aright ya Tanzani
@WinerRichard-m5w11 ай бұрын
Wowooo pambeeee jaman apo Kuna wadada wanataman wawashe taaa ahaaaaaa jaman Kaka romantic adi rha
@jmwaihuti97242 жыл бұрын
Dah wanaoangalia hii show wanaenjoy sana,,, mm Leo nmeangalia karbia clip zotee nmefurah sanaaa,,, pa1 na MC wangu pendwa GaraB
@SadaHussein-bx1jc Жыл бұрын
Mama
@antonymwita6078 Жыл бұрын
Tatizo Ni short clips
@DAVID-wp4vc Жыл бұрын
Upo kama mm
@yvonneirakoze-zj7bk25 күн бұрын
Uyu kaka yuko romantic sana❤❤❤
@Salama-uu8ju Жыл бұрын
Aaaiiih zote nimeona lakini hiii aaaah nimeipenda sana akii ❤❤
@mariamyoyote81722 жыл бұрын
MASHA ALLAH mwenyez mungu azid kuwaongoza kwenye kher siku zote na awaepushe na kila lenye shali Amin yaraby thumma Amin 🙏🙏🙏💖💖♥️♥️♥️
@cutenicely476611 ай бұрын
Mr right ako na vako kaa za mbosso much love ❤❤❤❤❤from kenya
@EsauNaboth-yn2fl Жыл бұрын
Mr right ya Tz nzuri sana, ukiangalia Mr right ya Kenya vurugu kama kijiwen
@sajeyadrian3675 Жыл бұрын
😂😂
@allykidamui87782 жыл бұрын
broooo you are talented in mahabat wow like dat buddy
@JaylesGeorge Жыл бұрын
woooah jmn its soo cool💋💋
@RamadhanSaid-z2e Жыл бұрын
Yaani nmependa kbs vazialovaa dhen anaujumbe unasisimua nifuraha kwakwel 🎉😅😊❤ MASHA ALLAH
Jaman walembo ni wazr sna lakn mm ambaye nimeoa nawapenda sana
@JoharyShaban-zt4ki Жыл бұрын
Mashaalh Martha mlete hp huyo xheh w mchongo na zuwen anatft mme hki nimechk 🤣🤣🤣🤣🙌🙌nipen utrtib w mr right
@brightonngussa78302 жыл бұрын
huyu jamaa noma sana duh hata mm nimefulahi kweli
@safiyatheonlything78482 жыл бұрын
yani mpaka raha sema wakaka wa mambo mengi hivi kama maigizo wanakuwaga waongo waongo yote kwa yote allha akawafanyie wepesi lnshallha
@Mrszizo-d7tАй бұрын
Kumbuka hakuna dini inayoruhusu kitu hiki ALLAH atusamehe watazamaji
@martinikayanda8070 Жыл бұрын
This girl amenivutia sn....she is knowledgeable
@ndohoriomsacky4452 жыл бұрын
Mwanaume anaeongea Sana ni mzuri Sana nimtu ambaye anayejali
@mosesmalumbe69462 жыл бұрын
Mashallah bro kapata jiko
@neziajoseph9726Ай бұрын
Pongezi kwa Gala B...Pongezi kwa Aaaliah...kipindi kizuri sana
@merypetro55852 жыл бұрын
Hongeren sn mungu awabarki katika jina la yes
@severakimario67677 ай бұрын
Hii nzuri sana nimeipendaa
@amirlehao89452 жыл бұрын
Ila kuna watu wanatamani wamkwapue huyo jamaa😀😀😀😀 jamaa kajiamini MashaAllah it was the best
@elysoncharo615611 ай бұрын
The guy knew what he was doing men..like it so much
@annetosh-g9b Жыл бұрын
Wow nice me from Kenya ❤❤❤
@NicoleNicholaus Жыл бұрын
Wow amaizing wuuuuuuuh🎉🎉🎉🎉
@sharmilarashid6270 Жыл бұрын
MashaAllah nimeipenda. Hiii
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Shukran I love it
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana kwenu. 😘
@hawahussen-t4k Жыл бұрын
Mashaallah mnapendezan zan
@darlingstonelopezy7194 Жыл бұрын
Mm huku kwa mr right sijui nifike uko daaaaah
@unitamumbe9267 Жыл бұрын
Si hii ifanyike kenya tu 😂.. So romantic ❤ @startime Kenya
@SerenakaremboDzombo9 ай бұрын
Iko but watu wa kanairo manzee ni ile love ya indaaaa ya watu wa githurai 47 streets 😂😂😂😂
@raymondgwambaye18213 ай бұрын
Shafii mslam martha mkristo
@winniealosa61652 жыл бұрын
Mashallah Mungu awape maisha marefu na ayazidishe mapenz yenu nami anibariki na umbavu wangu watching from Kenya
@5starsmoviecenter7142 жыл бұрын
Inshallah iwe kheri kwako pia mimi natafuta umbavu wangu ila mimi mkristo
@winniealosa61652 жыл бұрын
Star movie center mapenzi hayana dini wala ukabila cha muhim n maelewano
@5starsmoviecenter7142 жыл бұрын
Kuna familia ukiwa mkristo huwa wanataka uolewe na mkristo, ukiwa muslim pia hivyo hivyo ila kwangu huwa niko sawa kwa wote bora unamwabudu Mola
@ceo_dady97242 жыл бұрын
@winnie alosa
@jamesonserio85462 жыл бұрын
Hello
@florencenduku96 Жыл бұрын
watizeti mna mahaba kweli jameni❤❤❤❤nimependa hii show
@hawachama9343 Жыл бұрын
mashaallah kaka ang Agent
@cimpayeriziki66809 ай бұрын
Basi Galabi wewe ndo mwisho wasinywe wenyewe nawe pia❤
@NakawalaBridgetАй бұрын
Nimependa Tena sana
@roqayaro9439Ай бұрын
Mashallah kapo nzuli
@jenipherlubamba18972 жыл бұрын
Jamani mimi siwezi kuangalia hiki kipindi maana I'M BLUSHING BALAAA
@josephinemuhonda12462 жыл бұрын
Mashallah jmn hii nyimbo tunaipataje maan tamu ht kweny hrus nzr
@amahorofaridah519 Жыл бұрын
Huyu atakuw kaimba barnaba❤
@setlightboyz7190 Жыл бұрын
Kiukweli show imeweza,Mungu hakupi utakacho ili unaloridhia,
@AsumpterNjojo-rj3kg11 ай бұрын
Hata mwanamke kvaa vizuri...
@jacksonmuyembo42113 жыл бұрын
Eeeeeh Mashaa llaah Mashaa llaah jameni kupendwa Raha mwenzenu but I need hiyo songs 🎵🎶🎵
@NeemaSaid-q4j Жыл бұрын
Nimependa aiseee❤❤
@uwingabireclementine77992 жыл бұрын
Nimependa sana Yani sana kipindi hiki Tena napenda sana huo mu tetezi mucheza muvi Nakupenda sanaaa♥️♥️♥️♥️🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼♥️ ♥️♥️😍🌹🙏💖💖💖💖💖💞
@paschaeltilas9369 Жыл бұрын
Dah mashaalah
@ghhhhy1812 Жыл бұрын
Mashaallah 😘zuri iy
@slysengeny99442 жыл бұрын
Mashalla nawatakia kila laheri
@annmauti73512 жыл бұрын
Nahamia Tanzania sasa
@princesschamgenzi63282 жыл бұрын
Kaka anambwembwe huyu😃😃😋
@asiaasia1069 Жыл бұрын
Zoezi liendelee mpaka sote tulikuwa hatuna wenza tupate 😂😂😂😂😂😂😂
@lemicmwangome-lh1jg Жыл бұрын
Hahaha😂 naomba nikupate Mimi
@asiaasia1069 Жыл бұрын
@@lemicmwangome-lh1jg🥱 lakini sawa 🥰🤣wasifu wako 😂
@AishaZuber-z6g16 күн бұрын
@@asiaasia1069😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rahimmwalaza14982 жыл бұрын
Mashaallah nimeipenda iyo
@abisaimuhanji36872 жыл бұрын
Jamaa ana mambo ya mwambao mwambao tu😂😂😂
@walizanasiri4963 Жыл бұрын
😂😂😂😂Eti mpaka natetemeka laazizi
@AsmaFaki-gu9sy Жыл бұрын
Ustadh nae ana adhirika tu😂nae
@AishaZuber-z6g16 күн бұрын
Wamesha owana lakin masha Allah
@Jxcjs2 жыл бұрын
Jamaa amtunze uyo dada inaonyesha yupo really
@florencejames-jo1cz Жыл бұрын
Paligeuka sherehe 🎉🎉🎉🎉 ghafla 😂😂😂😂😂 hatari san
@hassnakhamis3489 Жыл бұрын
Si aji tokeze tu afande mmoja maan m ugonjwa wangu mapolisi ni saidieni bas niko siriez et 😢
Waoo kuna wanawake ni waelewa sana sio kwa kuwatizama huyo atakuwa mke bora kuliko unavyozania
@mashiassenga88492 жыл бұрын
Wow nice One my brother 🔥🔥🔥🔥🔥
@MussaMbii-u1y6 ай бұрын
Nakupenda wewe kakaa jamaniii duuuu😭😭😭😭😭
@OmanAl-s9l3 ай бұрын
Tupo apa yatima mwenzangu😂😂😂
@husseinali5535 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 so nice from UK
@darlingstonelopezy7194 Жыл бұрын
Really
@khibowarsame897 Жыл бұрын
Sheikh Ana mbwembwe
@rahmaaugustine35592 жыл бұрын
Nimejikuta na smile kila mda ila kwer mi naweza kuogpa maaana apo kamloga tayar binti akili itard baadae
@esthercharles5945 Жыл бұрын
Nimependaaaaa
@maryngati69972 жыл бұрын
Mm ni hadijah kutoka Mombasa Kenya ila Kwa sasa nipo Saudi Arabia nawapongeza tu sana na nafurahisha na show yenu tu sana ila naomba Kwa heshima na taadhima je mm nipo mbali ila sina mpenzi je Ina wezekana mm kupata mwanaume
@enockabumba7513 Жыл бұрын
Mimi apa, karibu
@sherryrocky30672 жыл бұрын
Mbona pambee😂😂😂😂😂
@ElizabethKiula-v7r Жыл бұрын
Nyieee nyieeeeeee😊
@MrNaers3 жыл бұрын
Adi Diva amelia.. uwiii
@zawadkeneth18582 жыл бұрын
Mwanaume mwongo Huyo nimetokea kumchukia yaan sijampenda kabisa
@medinacheronohildah79332 жыл бұрын
Ana maneno mingi
@mosesmalumbe69462 жыл бұрын
Mashallah bro
@Angaza708 Жыл бұрын
NDUGU katika Imani uliofanya yako ya Uislam kabisA sio mafundisho kabisa ya dini ni utwaghuti
@HalimaAbdi-e6b11 ай бұрын
Gara b amenifurahisha mwshon jmn na chup yake ya ukumbusho😂
@MrCredo-en2gl Жыл бұрын
Nimekesha ety mpaka now sij lala naangalia tyu
@queenrukia1918 Жыл бұрын
Yatima wa mapenzi tujuane 😂😂😂😂😂
@zainabumatola4523 Жыл бұрын
Nipo
@SamsonSebastian-c7r Жыл бұрын
Duh vmacho hyooooo
@muddymollel9785 Жыл бұрын
Niko hapa
@FrollahRusinda Жыл бұрын
Tupo wengi my
@ElishaDaniel-k3d Жыл бұрын
Nipo
@jameschali60233 ай бұрын
Jamani mimi sijaelewa au mimi ndio mshamba hapa nisehemu yakujiuza ya kisasa au??..au mimi ndio sielewi😂😂😂
@ciarmnyone7383 жыл бұрын
Mwaka huuu muweke wakaka kuzima taa na kuwasha sisi wadada ndo tuchagueeee