BINTI LISA - PART 79

  Рет қаралды 23,406

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

27 күн бұрын

Baada ya kurejea kwenye kiti chake, Chester alimtumia Eliza ujumbe kwa Whatsapp:

Пікірлер: 312
@user-qj9ig6bw2n
@user-qj9ig6bw2n 24 күн бұрын
Hatmae tumekumbukwa wale tulomiss bint lìsa gonga like hapa❤❤❤❤
@marry-dh9bm
@marry-dh9bm 24 күн бұрын
wangapi wamefurahi kuipokea simulizi ya binti Lisa tuambizane ukweli like zangu 🙏🙏🙏
@user-ot6nc5tf3h
@user-ot6nc5tf3h 24 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@lonakirao5275
@lonakirao5275 24 күн бұрын
Yani nilikuwa nachungulia kila muda ila maua hamna alhamdulillah leo Ankojay karudi sehemu tuipendayo❤❤❤
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 24 күн бұрын
Asant
@user-ln3js4mo4j
@user-ln3js4mo4j 24 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@AphiphaMussa
@AphiphaMussa 24 күн бұрын
Ako unachapia hatari
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 24 күн бұрын
NIFURAHAA JUU YA FURAHAA AISEE NILIKUA NIMEMIC BINTI LISA XN 😂😂😂😂😂FINALLY AME2KUMBAKA TENA ...NIPEENI LIKE JAMANI ❤😂😢ANKOJAY KIPENZI BARIKIWA XN
@user-sc7sk4co4b
@user-sc7sk4co4b Ай бұрын
Wa kwanza jaman 🎉🎉🎉timu binti lisa naomba like zangu pamoja na Anko J ❤
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 24 күн бұрын
😂😂😂karibu kwenye simu hii ❤❤ finally umetuletea the best simulizi ever 💖 ❤️ 💓 maana haichosh haya tim shangwe na tim masanja like hapo
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 24 күн бұрын
Asante anko jey Yani watu mulikuwa muna ungwadu wa Binti Lissa 🎧🎧🎧🎧🪑🪑🪑🔥🎉🎉🎉
@user-ex6je2uj8s
@user-ex6je2uj8s 24 күн бұрын
Wow nimefurah sana kuiyona binti lisa naombeni like zenu asante sana uncle j kwa simulizi nzuri 🎉🎉
@Shadia544
@Shadia544 24 күн бұрын
Hatimae jamaniii 😂tulimis sana BINTI LISA WANGAPI WAMEBOEKA KUMKOSA LISA LIKE 10 ILI TUJUWE JESCA ATAKUBALIKA KWELI ✌️
@StellaSanga-wq4po
@StellaSanga-wq4po 24 күн бұрын
Sister
@Shadia544
@Shadia544 24 күн бұрын
@@StellaSanga-wq4po beeeh kipenzi changu ❤️❤️❤️
@user-ln3js4mo4j
@user-ln3js4mo4j 23 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 Ай бұрын
Bb ww acha mdomo kwani unaolewa ww acha ukoloni mama vipi sikuizi mtu anakula moyo unachopenda ivyo acheni hizo 😂😂
@user-be9zz3yg1f
@user-be9zz3yg1f 24 күн бұрын
Jamani wangapi wamemiss time lisa na alvn na lukasi na suz😊
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 24 күн бұрын
Anko jay umetukausha sana lakini asante sana tulikua tumeboeka sana wadau WA anko napata like zenu ata tano❤❤🎉
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 24 күн бұрын
Wakwanza mim leo hapa you tube like zenu tafadhali
@josephhaluni7093
@josephhaluni7093 24 күн бұрын
Tulikumis sana anko wetu jaman ulitususa lakin hatimae umetukumbuka man bila simliz zako wengine hatulali
@aminarama1633
@aminarama1633 24 күн бұрын
Shukran sanaa walah tulimiss sanaa bint Lisa , shukran
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 24 күн бұрын
Heheheee ankooo et sim aise umechapia mpaka unajistukia ata usijali sisi tunazpenda vyovyote utahvyo simulia wewe na sisi mwanzo mwisho🌹🌹🌹🏃Ila niwakumbushe tusiwe wachoyo like hatupean nadosalam za familia hii
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 24 күн бұрын
Hiv kumbe saray bando yupo nimeamini mtu muovu hafwii swa mateso ndo yatamuua shetwan hyo
@beatrice1796
@beatrice1796 24 күн бұрын
Kabisa😂😂😂😂😂
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 24 күн бұрын
@@beatrice1796 Yaani 😓😓
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 24 күн бұрын
@@user-rc3om5hs9i 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwani nn jaman c muuachee ateseke tesekee mnataka afee mapema ilii iwe nn nataman ataa kuona sura yake nahic kapauka kama msukure
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 24 күн бұрын
Yaan sijui nan kamvuruga akili Mr mapesa jaman maana mwanzo kaanza na sim mwishon anasema tukutane sehem ya 70😅😅 duh
@user-th7rl5bt3e
@user-th7rl5bt3e 24 күн бұрын
Hatuna jambo hatukaribiii halooooooooooo faini utalipia Kwa kuchelewesha binty lisa anko jay wetu kipenziiii wahitaji maombi..ole wetu wasikilizaji...anko jay wetu kipenziiii hoyeeeeee
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e 24 күн бұрын
Ila anko jay kwa kuongeza chumv ety hata mashabik wa anko jay hawawez kukosa bint lisa kwaiy forest ndo kasem ivo jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sharon3600
@sharon3600 24 күн бұрын
😅😅😅
@MishyYusuph
@MishyYusuph 24 күн бұрын
Wenzangu wa viporo njooni kitu tayari tulikimiss.
@fatmasalum8334
@fatmasalum8334 Ай бұрын
Waoo nipeni like zenu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@fatumamatano8216
@fatumamatano8216 24 күн бұрын
Tumekumbukwa leo wapi kelele yke Anko j team bint Lisa.......
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 24 күн бұрын
Wakwanza jamani naombeni likes zenu kibao 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️😂😂 from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@user-cw4mv3kw7y
@user-cw4mv3kw7y Ай бұрын
Asante sana ankojay Allah akulipe kheri Inshaallah. Nimewahi like zenu tafadhali ❤❤❤
@user-tw5uu4kr2j
@user-tw5uu4kr2j 24 күн бұрын
Asante sana anko j kutukumbuka tuliimiss sana bint Lissa pokea maua yako🎉🎉🎉
@user-vl1ts1eh8s
@user-vl1ts1eh8s 24 күн бұрын
Nimechelewa sana leo jamn naomba mauwa yangu ya kuchelewa🌹🌹🌹Ni bora sana kuliko kitu chochote lisa ni hatar na nusu🌹🌹🌹
@lucyjohn1342
@lucyjohn1342 24 күн бұрын
Wooooow asantee 🔥🔥🔥
@khadijangoro9932
@khadijangoro9932 24 күн бұрын
Anko hata siamin km kweli leo umeileta binti lisa😮😮 big up sana broo
@Madameochu
@Madameochu 24 күн бұрын
Wow 🎉🎉🎉 asante anko jay
@ThaRds-sz6ty
@ThaRds-sz6ty 24 күн бұрын
Jamani anko😮🎉❤ lisa wetu
@najatramadhani6300
@najatramadhani6300 24 күн бұрын
Hatimae 😢😢😢😢 hii ni kali ya mwaka tamu mashallah
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e 24 күн бұрын
Jmn ank jay umetuweka sna mpk tumesahau hadi huruma😢😢😢
@user-ge6qf5rk2u
@user-ge6qf5rk2u 24 күн бұрын
Waoo. 😅😅😅 Nawapend wasikilizaji 🎉🎉🎉
@Polite901
@Polite901 24 күн бұрын
Waooooooo, Kakà yetu Karibu sana jaman, Anko Jay wetu, niliimisi sana hii simulizi❤❤❤❤❤❤
@binthassan9191
@binthassan9191 24 күн бұрын
Hatimae Bint lissa tunamsikiliza tena🎉🎉🎉
@aumuelly2909
@aumuelly2909 24 күн бұрын
❤love you so much anko Jay simulizi natumekumiss kweli ahsante bwana M/Mungu akubariki ❤❤❤
@user-nt3wb5bg2h
@user-nt3wb5bg2h 24 күн бұрын
😂😂😂😂 ankojay ulimi hauna mfupa 😂😂 nimekumiss sana nilikosa amani khaa uwe unatuambia bana
@MishyYusuph
@MishyYusuph 24 күн бұрын
Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤️.
@user-sy6md7fh4w
@user-sy6md7fh4w 24 күн бұрын
Mmh anko jey mpaka tunaisahau washabiki wakooo❤❤❤❤
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 24 күн бұрын
wow finally Binti lisa is here ....hata kama nmechelewa
@racheluwda6552
@racheluwda6552 24 күн бұрын
Ankojay umachangeyikia leo😂😂😂😂asent kwa simulizi tamu ❤❤🎉🎉🎉
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 24 күн бұрын
44 dakika na nimekuwa mtu wa 189 kwn hamlali au vip jamni❤❤❤😊😊😊😊😊
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en 24 күн бұрын
chizi flesh bwana iliandikwa Na Lisa mwala ilikukuwa nzuri kushinda hii. Hii stori ulikua nzuri mwanzo Ila sasa mmmh
@SactaKasamwa
@SactaKasamwa 24 күн бұрын
Ankojy umeanza namchapio wa a sim teana unamaliza nasehem 70 badala 80 kunak2 japokua hujaiambia😂 familia yakojey mapesa
@maresianazengo6317
@maresianazengo6317 24 күн бұрын
Ankojay umenunua SIM mpyaaa au nn maana unawaza SIM TU Hadi kwenye simulizi 😂😂😂wangapi wamesikia ankojay alivyochapia like hapa jamani nione🎉🎉❤
@user-ln3js4mo4j
@user-ln3js4mo4j 23 күн бұрын
❤❤❤❤❤ tupo itakua inampa kiwewe hadi anasahau kazi yake
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 24 күн бұрын
Ankoooo kwanza karibu tena tumemmiss alivilisa 😢😢😢😢
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 Ай бұрын
Nimecheka mpaka nimecheka Tena Rodney amekuwa kama mtoto wa miaka 5 kutesa kwa zamu hila jamani Sara alikujua kuwa changanya wanaume watatu na kuvunja hata mapenzi ya mdogo wake kweli sawa ni zaidi ya shetani kwakweli ufai hata kuishi Tena 😂😂naona kuchelewa mm siku yako ya kifo ww mazzi
@HawaSaid-ru4zq
@HawaSaid-ru4zq 24 күн бұрын
Wa viporo mmekumbukwa uku bwana😅
@HadijaKikal
@HadijaKikal 24 күн бұрын
Hatimaye lissa wetu kaja
@AsiyaMangaza54-qr1kk
@AsiyaMangaza54-qr1kk 24 күн бұрын
Merci beaucoup anko j pour l suite je beaucoup entendre l suite 🙏🇨🇩🫶
@mariam-yw3nn
@mariam-yw3nn 24 күн бұрын
Ambao sijawapa like watu 158 aniambie
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 24 күн бұрын
Pole anko jey ulimi Hauna mfupa lakini tumelewa usijali tuko pamoja 🇴🇲🇴🇲🎧🎧🪑🪑🪑
@rukiaruxz2753
@rukiaruxz2753 24 күн бұрын
yani ankojay unajua kutuyoosha sio siri dah yani mda wote macho kwenye KZbin ila asante kwakutupoza angalau leo
@JanethMgunya
@JanethMgunya 24 күн бұрын
Sisi niwale ❤❤❤❤❤❤
@user-th7rl5bt3e
@user-th7rl5bt3e 24 күн бұрын
Asantaa sanaa Kwa simulizi tamuuu my
@user-nj4ft9ic8z
@user-nj4ft9ic8z 24 күн бұрын
Ankojay umekorogeka sana nlikua naja kukutafuta nipige kwenzi ndio urudi kwenye faham zako yaani mpaka nataka kikutangazia Al Jazeera kwamba umepotea 😂😂😂😂
@Milly254kenya
@Milly254kenya 24 күн бұрын
❤ Asante sana ankojay kwa kutuletea binti lisa kwaharaka ❤❤❤👋🙏
@samsungoman5626
@samsungoman5626 24 күн бұрын
Pamoja anko wetu mungu akupe maisha mema
@lucycoster7529
@lucycoster7529 24 күн бұрын
Hatimaye 😅😅😅😅 dah Lisa tulikumiss
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 24 күн бұрын
Loh paka siamin ngoja niskileze kwanza mda natafuta mbinu ya kukuchapa😢😢
@DyuttoKomba
@DyuttoKomba Ай бұрын
Nimekuwa kinara leo nipeni maua yenu
@EmmeMrrras
@EmmeMrrras 24 күн бұрын
Whoah pole anko j kwa kuchapia
@mumbikibathi7036
@mumbikibathi7036 24 күн бұрын
Mumbi Wa Naivasha Ndani Ndani likes watu wangu
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 24 күн бұрын
🎉🎉🎉🤝
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 24 күн бұрын
💘💘💘💞❣️
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 24 күн бұрын
Yan Mungu akumbaliki sana 👌 Acha 🪑🎧 niinjoi AnkoJay ahsante
@user-rg4zo1nr7u
@user-rg4zo1nr7u 24 күн бұрын
Nimewah❤❤❤❤❤🎉66
@mariamsaidi1658
@mariamsaidi1658 Ай бұрын
Ankojay mungu anakuona kwa kweli karibu kwenye simu tena 😂 but thank you so much for the great job 👏🏻 ❤
@Tracepeter0723
@Tracepeter0723 Ай бұрын
Ila visa vingine jmn vinakasilisha aisee sasa chesta doctor mkubwa wana mahospitali hv kweli aangaike na damu ya huyo Cindy tu yn damu ya Cindy group lake la kipekee ulimwengu mzima ama inakera 😮
@angelinamwakadi5226
@angelinamwakadi5226 24 күн бұрын
Blood groups zengine ni rare
@maryrungwe
@maryrungwe 24 күн бұрын
Nimewahi Leo hatimae japo sio wa kwanza
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Ай бұрын
Tuenjoy jamani maisha mafupi.binti lissa ikishatoka stress za mwarabu kwishnei
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 Ай бұрын
Thanks alot Ankojay from 🇰🇪🇰🇪 with Love ♥️♥️♥️
@user-nj4ft9ic8z
@user-nj4ft9ic8z 23 күн бұрын
Wapi nduru ya wakenya📢📢📢
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Ай бұрын
😂😂 uko sawa Ankojay tunasikiliza kwenye simu😂😂😂♥️♥️🌿🌿🪴🪴🌹🌹🎋🎋🥀🥀🥗🥗🌾🌾🙏
@saudamwinyipembe5749
@saudamwinyipembe5749 24 күн бұрын
Wa 3 leo
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 Ай бұрын
Jamani kwani uyu shetani Bado yupo tu nikisiya sauti yake tum najisiya kunyonga shingo yake Nako na chuki na Sara kwakweli mm 😂😂
@AlineNizigiyimana-wq2qc
@AlineNizigiyimana-wq2qc Ай бұрын
Anko mi nadhani wasikilizaji tumesha zoea kabisa wala hatuchoki tena kwakuchelewesha sababu hata siku mbili hua zinapita bila kupata hii simulizi ya Lisa tutavumilia tu. Ila chesta hajitambui pia nimalaya kupitiliza
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 Ай бұрын
Elizabeth Sasa kwanini utaki kusema ukweli kama kuliwa umesha liwa sema ukweli kwanini unakubali kufanya mapenzi ya kunyanyasika wakati unampenda kuliko kuwa mtumwa wa mapenzi Elizabeth fanya mahamuzi ukimwambiya ukweli atakupenda kwani hayo yote ni kazi ya Sara shetani 😂😂
@user-ey5qy9ik8v
@user-ey5qy9ik8v 24 күн бұрын
Watu meshawai nilimiss jamani binti lisa
@chobushaka7650
@chobushaka7650 24 күн бұрын
Uliichelewesha ndomaana unachapia
@anunalamin6472
@anunalamin6472 Ай бұрын
Chester nae kwani kenya nzima mwenye damu ni huyo Cindy tu mhhhh
@nooraahmed6948
@nooraahmed6948 22 күн бұрын
Asante sana Kaka mungu akupe nguvu na afya njema uzidi kutusimuliya 🙌
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp 24 күн бұрын
Mmh hatimae tumefikiwa leo asante ankojay kwa kutukumbuka jamani one love broo❤❤❤❤
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 24 күн бұрын
Mimi wakuchelewa ndio naingia ni mepunguza kazi za warabu
@ChristinesifaRuwa-jx4qw
@ChristinesifaRuwa-jx4qw 24 күн бұрын
Wee angalau tumeipata simulizi yetu nzuri
@violethezekiel251
@violethezekiel251 Ай бұрын
Duuh! Huu ubize jamani, yani mimi mudahuu ndio naiona, ila. Asante Anko Jay barikiwa
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 23 күн бұрын
Huyu doctor chesta choka nataka apate karma yake pia kumtesa charity/Eliza wangu 😢😢
@Tracepeter0723
@Tracepeter0723 Ай бұрын
Haya sasa tumemalizana na familia ya pamela tunaludi kwa chesta sasa twende kazi jomba wajo
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 15 күн бұрын
Nimerudi mjengoni hamjambo vipenzi vyangu like kwenu
@zenahasan7603
@zenahasan7603 16 күн бұрын
ASANTE. SANA. ANKOJ. NA. JOMBA. WAJOH. MAANA. HIADITHI. NATAMANI. ISIISHE. KWA. UZURI. NI. TAMU. SANAA. SIJAWAHI. KUSIKILIZA. SIMULIZI. NZURI. KAMA. HIII. YANI. WEWE. NI. THE. BEST🎉🎉🎉👍🥰❤😮
@chantalmavandu4950
@chantalmavandu4950 24 күн бұрын
Nimechelewa just 3 minute watu wamajaa kiboko chao
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 24 күн бұрын
Nihatar❤
@MagaretMwende
@MagaretMwende 24 күн бұрын
Karibu ankojay wetu nimekumic sana,,
@FatmahHgfy
@FatmahHgfy 24 күн бұрын
Nisalimie jomba wajo mwambie azidishe utamu wa binti lisa
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 24 күн бұрын
Tayali tupoo kwa chesta na Eliza nazani niutamut
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml Ай бұрын
Jamaniiii , eliza angejitambulisha kuwa yeye Ni Nani...na kwamba hakufa kama alivyomfanya, Lisa Kwa Alvin....wanaume jamaniiii acheni unyanyasaji....simameni Kwa miguu yenu, msiyumbeyumbe
@christinemwendejuma4401
@christinemwendejuma4401 24 күн бұрын
Much love from Kenya ❤❤❤❤
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 24 күн бұрын
Kazi nzuri Kaka,listening from Kenya,much love .
@lydiadavid1129
@lydiadavid1129 24 күн бұрын
Asante Anko J kwa kutuletea tena Binti Lisa
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml Ай бұрын
Ni vizuri Eliza aanzishe tu studio yake binafsi... Pole SANA Eliza Kwa yote aliyokufanyia doctor Chester
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 28 күн бұрын
Hata mimi naunga mkono ila sijuwi kama chesta atakubali maana Eliza ni muhimu kwenye compuni ya chesta 😂😂😂
@khadijamohd5741
@khadijamohd5741 24 күн бұрын
Jamani ako j usitufanyie hivyo unakaa sana hutuletei lisa
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ Leo hii namba one from Kenya yani forest ni sawa na Alvin
@neemamwachepha213
@neemamwachepha213 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@user-sc7sk4co4b
@user-sc7sk4co4b Ай бұрын
🔥🔥♥️♥️
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Ай бұрын
@@neemamwachepha213 💕💕💕💕💕💕
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Ай бұрын
@@user-sc7sk4co4b ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🌹🌹🌹🌹
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r Ай бұрын
​@@user-sc7sk4co4b❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ip6hb1nq2u
@user-ip6hb1nq2u 23 күн бұрын
Akoymapesa achiya Lisa plzzzzzz part 80
@ghanimamohammed5305
@ghanimamohammed5305 24 күн бұрын
Asante San @ankojay 😍 nnafuraha leo kwa kumsikia binti Lisa
@suzanajonas3548
@suzanajonas3548 Ай бұрын
Wowoww Anko Asante kwa kazi yako nzuri❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏
@everlinekenga437
@everlinekenga437 23 күн бұрын
Mpk kieleweke binti Lisa ❤❤❤❤
@joselinenirere8172
@joselinenirere8172 Ай бұрын
Na mim wamwisho my family Ankojay ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂😂
BINTI LISA - PART 80
3:01:27
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 20 М.
BINTI LISA - PART 89
3:01:22
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 13 М.
TRY NOT TO LAUGH 😂
00:56
Feinxy
Рет қаралды 18 МЛН
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 19 МЛН
🍕Пиццерия FNAF в реальной жизни #shorts
00:41
DELETE TOXICITY = 5 LEGENDARY STARR DROPS!
02:20
Brawl Stars
Рет қаралды 22 МЛН
SIMULIZI FUPI: TINA By Ankojay
1:57:53
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 49 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:52:25
FAHAMU MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA USOMAJI WA BIBLIA: sehemu ya 2
22:15
NURU YA UPENDO wa Kristo
Рет қаралды 713
FATUMA MUJENI  FT CECILIA NYABOKE - NANI KAMA YESU
6:42
Fatuma Mjeni
Рет қаралды 270
HUYU MWANAFUNZI MH BALAAA
3:07:53
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 82 М.
SIMULIZI MPYA - BINTI CINDERELLA
3:08:43
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 73 М.
UTANIUA WE KAKA - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
2:39:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 22 М.
FOOLED THE GUARD🤢
0:54
INO
Рет қаралды 60 МЛН
ИНТЕРЕСНАЯ ПРИКОРМКА
0:19
KINO KAIF
Рет қаралды 6 МЛН
Заставили ЖЕНИТСЯ на НЕКРАСИВОЙ девушке 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 3,5 МЛН
ПОКАЗАЛА ЭТО…😱 #shorts
0:37
Диего Фин
Рет қаралды 3,8 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
0:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 4,4 МЛН