BINTI LISA - PART 80

  Рет қаралды 21,052

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

28 күн бұрын

Wakati huo huo, muda si mrefu baada ya Eliza kuondoka kwenye kampuni hiyo, alipokea simu ya siri kwenye simu yake ya kibinafsi.

Пікірлер: 238
@user-rl9sd8hl5o
@user-rl9sd8hl5o 26 күн бұрын
Team gulf harpoon nimewI leo like moja moja kila mtu mua yenu hayo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 26 күн бұрын
Haha😂💘💘💞💖🦋
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 26 күн бұрын
😊😊😊
@elizabethmuhati8758
@elizabethmuhati8758 24 күн бұрын
Wow Elisa hapona kupa kipao mbele.
@fatmasalum8334
@fatmasalum8334 29 күн бұрын
Wakwanza jamani wanafamilia yangu🎉🎉🎉🎉🎉naombeni like zangu❤❤❤❤
@Shamshuunoon
@Shamshuunoon 29 күн бұрын
Umewahi kwa kweli
@user-ln3js4mo4j
@user-ln3js4mo4j 26 күн бұрын
hongera🎉🎉🎉🎉🎉
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 26 күн бұрын
🌹🌹🏃
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 26 күн бұрын
Asante
@violetmulya
@violetmulya 26 күн бұрын
Natamani Eliza wapendane na Sam
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 26 күн бұрын
wale wamefrai kuwai kwakuletwa lisa tujuane hapa team viporo😂❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@user-hu5qi4nl1i
@user-hu5qi4nl1i 29 күн бұрын
Tunaosubili anguko la chesta tujuane hapa😂😂na tunaofurahi ushindi wa lizy kuachana na chesta tujuane pia👌👌👌👌👌😁
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂mmoja wapo mm hapaa namchukia kwa kweli
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 26 күн бұрын
Hakuna mwanamke atakae mpenda chesta anavyo Fanya wanawake ni dustbin akimaliza anatupa kama tishu
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 26 күн бұрын
Mimi hapa chesta ni mshinzi sana sipendi vile anamfanyia eliza
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 26 күн бұрын
@@user-zj7hd6sg3y 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jaman mm nampenda Sam asijee akawa na tabia kama za mashonga zake Maana hawa wanaumee wapole hatar kwa sura zao za upandee wa pilii bora wauwawe ila abaki ank j 2
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 26 күн бұрын
Kama shabiki wa anko jay na binti lisa ni mefika munipe like zenu nawapenda wadau wa anko jay❤🎉🎉
@wertqwe8326
@wertqwe8326 26 күн бұрын
ASANTE ANKO SIULISEMA UKO NA NAMBA YAKENYA SIUTUTUMIE TUKUSAPOT❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 26 күн бұрын
Doooh paka nmepiga kelele kwa nguvu i cant bellever😅😅
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 26 күн бұрын
Wakwanza jamani naombeni likes zenu kibao 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@user-oo2dl6nf4c
@user-oo2dl6nf4c 26 күн бұрын
Thanks anko and happy madaraka day 🎉🎉🎉 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rukiaruxz2753
@rukiaruxz2753 26 күн бұрын
leo umetumbuka ankojay ila sio vizuri unavyo tufanyia umetususa san tuna uzuni sio siri
@fadhiliachinda418
@fadhiliachinda418 29 күн бұрын
Wakwanzaaaaa familia ya Lisa My like my love ♥️♥️♥️♥️
@victoriangasa
@victoriangasa 26 күн бұрын
Hatimaye leo tumeskia sauti ya suzy jomon 😄😄
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 26 күн бұрын
Isiwe shida hata kama nikiwa wa mwisho kikubwa nimekaa kusikiliza binti lisa🎉🎉🎉
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w 26 күн бұрын
Nikiwa VIP bas ntukua wa kwanza; hoooyee wa 85 leo mm
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 26 күн бұрын
Uwii jamani yaleo Kali yamwaka ankojy Asante Mimi vporo nazani wakanza🌹🌹🌹🏃
@lonakirao5275
@lonakirao5275 26 күн бұрын
88 alhamdulillah kitu mjengoni kwa wakati haya wale wanao mpigania Eliza like hapa , shukran Ankojay kwa mwendelezo
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 26 күн бұрын
Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MarieNgabo
@MarieNgabo 26 күн бұрын
Jamani biporo bimetutesa sana ata like Moja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 26 күн бұрын
Asante anko jey 🪑🪑🪑🪑🎧🎧🎧🎧🇴🇲👏👏👏👏
@shakiramohamed8824
@shakiramohamed8824 26 күн бұрын
Nilikua nime boeka jamani nipeni laiki zangu❤❤❤
@EliasMwakanyamale-ru9zt
@EliasMwakanyamale-ru9zt 26 күн бұрын
Safi sana Anko jay MUNGU akupe afya njema
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 26 күн бұрын
Amin
@MishyYusuph
@MishyYusuph 26 күн бұрын
Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@saumukambi8562
@saumukambi8562 29 күн бұрын
Wa mwisho Maana kila mtu.wakwanza❤❤❤❤❤
@user-sc7sk4co4b
@user-sc7sk4co4b 29 күн бұрын
😂😂pole uwe unawahi
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 26 күн бұрын
Asante sana ankojey 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@user-fu3bj2pi5w
@user-fu3bj2pi5w 26 күн бұрын
Akojay mapesaa pls fikisha hili kwa jomba wajo kwamba namuomba airefushe Lisa mpaka kwenye maisha ya Suzi na lukasi ya ukubwani. Hakika tamshukuru Sana.
@user-gt1hd2ro3g
@user-gt1hd2ro3g 26 күн бұрын
Kabsaaa Mimi sitaki iishe na nataka kujua kilichoendelea kwa Jackie yule dogo wa Alvin
@user-fu3bj2pi5w
@user-fu3bj2pi5w 26 күн бұрын
Ankolii tizama maoni ya mashabiki zako yote na ututendee hakii sotee usiegemee upande mmja
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 29 күн бұрын
Nauona mwisho mbaya wa chester ... Kilioo kikunbwa ka cha rodney
@neronystudios1928
@neronystudios1928 26 күн бұрын
Atakuja kunasa kwenye mtego wa wanyama nyumbani kwa Eliza😂
@MishyYusuph
@MishyYusuph 26 күн бұрын
Hatimaye nimewahi leo,japo sio wa kwanza😂.
@user-vm5gq7nz3s
@user-vm5gq7nz3s 26 күн бұрын
Mambo ndio haya
@user-yd5ux6is7y
@user-yd5ux6is7y 25 күн бұрын
Mm ni wamwisho jaman tafadhali like zenu tim Omani
@user-tv6ii7pc4z
@user-tv6ii7pc4z 25 күн бұрын
Hongera sana Eliza wenye kupiga mawe wataibika Mungu akusaidie 🎧🪑🇰🇪👈🇸🇦♥️
@user-th7rl5bt3e
@user-th7rl5bt3e 26 күн бұрын
Asantaa sanaa Kwa simulizi tamuuu my anko jay mapesa
@aumuelly2909
@aumuelly2909 26 күн бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi haziishi ham
@user-cl9dz6kk7u
@user-cl9dz6kk7u 29 күн бұрын
Woyooooo Ahasante sana anko jay pole na safari napole kwachangamoto zaumeme ilaukukwetu omani Anko jay joto sna mbona tunakoma🇴🇲🇴🇲
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 26 күн бұрын
Naiamini tim ya ma dada wa 3 lisa eliza pamela🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@mariam-yw3nn
@mariam-yw3nn 26 күн бұрын
Wakwanza jamani wa viporo nipeni lik
@MishyYusuph
@MishyYusuph 26 күн бұрын
Leo mm wa kwanza kwenye viporo😂,njooni njooni jamani tu msupport Ankoo,tukiishindikiza bint Lisa karibu kuisha jamani😢.
@marthamwangi425
@marthamwangi425 26 күн бұрын
Finally Anko 👌 like zenu plz lovely family 😘😘
@Lucy-vp8pm
@Lucy-vp8pm 26 күн бұрын
❤❤❤❤ako jay pokea kwa kutuletea binti lisa
@violethezekiel251
@violethezekiel251 29 күн бұрын
Asante Anko J, barikiwa
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 26 күн бұрын
Leo nmechelewa kuingia mtandaoni wadau❤❤❤❤❤
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 26 күн бұрын
Yani huku kitu tayari then hata notification sijapata haki😢
@victoriangasa
@victoriangasa 26 күн бұрын
Waooooh jmn nmewah kidogo😂😂❤❤🎉🎉
@user-xz6wb1hp7n
@user-xz6wb1hp7n 29 күн бұрын
Asente Anko Mungu azidi kukutia nguvu
@tusifuesther4833
@tusifuesther4833 26 күн бұрын
Asante sanaa ankojay, haki nimefurahi sanaa kwakuwa Eliza ameridi kazini, hatakama choka haeleweki.
@PaulinaLwena
@PaulinaLwena 26 күн бұрын
Mwendo wakobe cko nyuma sana nipo hapa jaman cjachelewa kwa mwendo wang🎉🎉🎉🎉
@Shadia544
@Shadia544 26 күн бұрын
TUJIPIGIE makofi tafadhari 👏👏👏👏hapa tulipofika kwa kweli tumefika sasa LIKE 10 WANAFAMILIYA WEZANGU ✌️✌️✌️
@user-ln3js4mo4j
@user-ln3js4mo4j 26 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 26 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏​@@user-ln3js4mo4j
@user-vl1ts1eh8s
@user-vl1ts1eh8s 26 күн бұрын
Jamn mm nimechelewa sana
@user-fs8ho9ks4x
@user-fs8ho9ks4x 26 күн бұрын
Wawuuuu Léo nimesikiya sawuuti ya Suzy n'a Luckas
@user-wc2lo8yc5r
@user-wc2lo8yc5r 26 күн бұрын
Nimewahi leo jamani😊😊😊😊😊
@TedyMichael-cv7od
@TedyMichael-cv7od 26 күн бұрын
Sema chesta anampenda sana Elizabeth na akija kujua ukweli ataumia sana 😢
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 26 күн бұрын
Asantee anko jay shukrani tunakupenda zaidi hatimae umeachia mzigo ❤❤❤❤❤❤❤ team alvilisa tunasonga mbele team Elizabeth
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 26 күн бұрын
Wanawake sote ni Tim 3 girl
@user-ot6nc5tf3h
@user-ot6nc5tf3h 26 күн бұрын
😢😢😢😢😢 namchukia chesta maisha yangu
@Mariam55-hz8if
@Mariam55-hz8if 29 күн бұрын
Tulikumic ❤❤anko wetu ahsante Kwa burudani
@mozabayabanda4248
@mozabayabanda4248 29 күн бұрын
Wow Anko asante sana tuli miss binti Lisa kweli❤❤❤❤❤❤❤🎉
@tinershayo6191
@tinershayo6191 29 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺we love you Anko J
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 29 күн бұрын
Mbona haina sauti!!?😮 kwasasa iko poa 😇
@lupetamhagama2145
@lupetamhagama2145 29 күн бұрын
Ulikuwa wa kwanza nn
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 29 күн бұрын
Thanks Ankojay wetu ❤️
@Polite901
@Polite901 26 күн бұрын
Kiukweli nafurahi sana anguko la Chesta,maana ana kiburi sana, hatimae simba atapigwa na kitu kizito na kugeuka kuwa paka( nyau 🐈)😂😂
@angelmauja1846
@angelmauja1846 15 күн бұрын
🙉
@suzanajonas3548
@suzanajonas3548 29 күн бұрын
I’m the first one today❤❤❤ please give me my likes
@user-rm1bd7uc4s
@user-rm1bd7uc4s 26 күн бұрын
Nimeku miss Binti Lisa 🫂🫂🫂🫂
@sabrinarashid7990
@sabrinarashid7990 29 күн бұрын
Shukran uncle jay Mmungu akupe umri mrefu inshalah
@user-cw4mv3kw7y
@user-cw4mv3kw7y 29 күн бұрын
Asante sana ankojay Allah akulipe kheri Inshaallah ❤❤❤❤
@RukiaYasini-dm1tr
@RukiaYasini-dm1tr 26 күн бұрын
Ahsante anko jay ❤❤❤🎉🎉🎉
@user-ge6qf5rk2u
@user-ge6qf5rk2u 26 күн бұрын
Waoo nilimis sn lisa
@Ahmada15
@Ahmada15 29 күн бұрын
Nr 01
@joyfayla12
@joyfayla12 29 күн бұрын
Nilikuwa wapi jamani 😂
@mmnimshindi
@mmnimshindi 26 күн бұрын
Yani wanaume kama chesta 😮😮😮😮
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂kama vp wauwawee wote
@user-ui6rf8yx7s
@user-ui6rf8yx7s 24 күн бұрын
Tim gulf Tim strong mpooooo zasikuuu sikuwepo kwahewa like zenu jaman
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 25 күн бұрын
Wanaume kama chesta wapigwe risasi😢😢
@user-yg9et7mp7i
@user-yg9et7mp7i 24 күн бұрын
Anko jay shukran sana kwe simulizi nice one lise ❤❤❤❤ fantastic classic one🔥🔥🔥🔥🔥🙏 flower for Jomba Wanjo
@RACHELSAMWEL-vs5wf
@RACHELSAMWEL-vs5wf 25 күн бұрын
Anko jay plz adhabu yetu tunaosubiri MILELE huku youtube inatosha tunaomba sehem ya mwisho plz
@Nailah736
@Nailah736 26 күн бұрын
Waaaaaaaauu kumbe mzigo umetua asante sana mapesa 🎉🎉wacha nikae sasa
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 26 күн бұрын
❤❤❤ mzigon tupo
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 29 күн бұрын
Asante Ankojay 🙏🙏 tulikumiss sana karibu from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twakupenda Bure ❤❤❤
@nurafedrick378
@nurafedrick378 25 күн бұрын
Ningekua Eliza huyu Chester ningemfanya Hanis ilijeuri yake yakuxarau wanawake iishee.hivi Akija akijua Eliza ndo charity atajisikiajee mshezi watabia
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e 26 күн бұрын
Wakwnza team vporo mpooooooooooo🤣🤣🤣
@MamahetuChikuti-mp5lj
@MamahetuChikuti-mp5lj 26 күн бұрын
Tupooooo 😂😂😂
@anunalamin6472
@anunalamin6472 29 күн бұрын
Eliza nae hana kolote amependa hiyo ninihio ya Chester sababu si kwanadharau hayo
@saumukambi8562
@saumukambi8562 29 күн бұрын
Hamlalaiiiiiii
@user-hb4jh2rr7w
@user-hb4jh2rr7w 26 күн бұрын
jomba wajo ukimaliza kwa Eliza ludi kwa Pamela na yeye apigwe na ktu kizito na family yake yote
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 29 күн бұрын
❤❤❤❤❤Together forever
@racheluwda6552
@racheluwda6552 24 күн бұрын
Asent san Ankojay kwa simulizi tamu sana mungu hakubariki ❤❤❤🎉🎉🎉
@shazimna
@shazimna 26 күн бұрын
asatee ankojy
@user-gn5xl6kk6n
@user-gn5xl6kk6n 24 күн бұрын
Mm wamwisho nipe ni like zanguuu😂❤
@user-ot6nc5tf3h
@user-ot6nc5tf3h 26 күн бұрын
Kwani huyu malaya wakiume nibinadamu kweli yani katika hii story yoote imechafuliwa na huyu mpumbavu
@MamahetuChikuti-mp5lj
@MamahetuChikuti-mp5lj 26 күн бұрын
Chester atakuja juta na pamoja na wazazi wake, chester yatamkuta km ya Rodney
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 26 күн бұрын
Napendaa yamkutee xaidii huendaa atakuwa na heshimaa
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 26 күн бұрын
Kabisa
@RehemaLadislaus-qn5up
@RehemaLadislaus-qn5up 24 күн бұрын
mi wa kwanza nipeni like zenu na mm bas bandungu maana nimekuwa wa kwanza je ni uongo?
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂cjuii watu wakipendwa huwa wanadhani hawawezi kuachwa asaaa Monte anashangaa nn
@user-tc8zn1sl6s
@user-tc8zn1sl6s 26 күн бұрын
Had nimekuwa nimeisaau jamani usiwe unatufanyia ivo jamani
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 26 күн бұрын
Asant sana Ankojay unatufanya kua wachangamfu huku kwa warabu
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 26 күн бұрын
Mpe mauwa yake hayo 🎉🎉🎉❤
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 26 күн бұрын
Nitampa dear Asante kwa kunikumbusha na kupenda ❤❤❤
@user-he3uz9qm4f
@user-he3uz9qm4f 26 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-eb4vj3xy6y
@user-eb4vj3xy6y 26 күн бұрын
Asante kwa buldani
@user-ip6hb1nq2u
@user-ip6hb1nq2u 24 күн бұрын
Hii jamani tamu sana xx ni chester hii tamu makubuwa Liz Fanya mambor ❤❤
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 29 күн бұрын
Duuh chesta umejuwa kumuyumbisha Eliza wetu ila uzuli yeye ni charity na naona lazima chesta na Cindy mukione cha moto chezea charity wewe❤❤❤😂😂😂😂 hivi mumemusikia Alvin kwakumuraramikia chesta kwa kumushutumu kisa Lisa kafula eti hamutaki kumuona kitandani mwake kwa mwezi muzima ila Lisa wewe nikiboko maana Alvin kanyooka sasa hataki kukukasilisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 chesta chesta lazima ujute maana wewe ndoo umebakia kupokeya pigo la kisasi 😂😂😂😂😂😂😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 28 күн бұрын
He,huyu Chester ni mbuzi kweli kweli 😅😅😅
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 28 күн бұрын
@@avelinabaluhya2804 🤣🤣🤣🤣chesta kapigwa na kitu kizito 🤣🤣🤣🤣🤣
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 26 күн бұрын
Huyu chesta ni puuzi sana kazi yake ni kutumia wanawake tu amenisinya
@SarahKwekwe-dt9zx
@SarahKwekwe-dt9zx 25 күн бұрын
​@@user-zj7hd6sg3yNaona whajakusinya
@hdhjdh775
@hdhjdh775 25 күн бұрын
Tena Badoo hajasema 😂😂😂😂😂
@tinershayo6191
@tinershayo6191 29 күн бұрын
Wambeya wanakazi kotekote wapo😂😂😂😂
@user-ot6nc5tf3h
@user-ot6nc5tf3h 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂hawaeleweki khaaa
@Mariam55-hz8if
@Mariam55-hz8if 29 күн бұрын
Hivi leo nimekumbuka nasikia Lissa Kila siku ngoja niulize leo hivi hancy aliendaga wapi jamani
@lupetamhagama2145
@lupetamhagama2145 29 күн бұрын
Yupo busy na compan
@Mariam55-hz8if
@Mariam55-hz8if 29 күн бұрын
@@lupetamhagama2145 ohooh kumbe ahsante 🙏🙏
@khadijaaliy7287
@khadijaaliy7287 29 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
@fatumasongolo382
@fatumasongolo382 26 күн бұрын
Mimi nimerudi kwasababu ya scene ya Eliza bila hivo
@jacklineghati6431
@jacklineghati6431 26 күн бұрын
Ata mimi
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 26 күн бұрын
​@@jacklineghati6431ataa mm maana family ya masanja ataa nilikuwa siielewii
@esthermugoli4527
@esthermugoli4527 26 күн бұрын
Uwii nilisusa simulizi iyi mara four time I don’t listen Pamela na ian wake sasa kama ni Eliza now I will listen kweli lakini ilikuwa isha ni boa sana 😢
@FatumaNasibu-cl2yn
@FatumaNasibu-cl2yn 26 күн бұрын
Tuletee milele
@madawakemikali776
@madawakemikali776 25 күн бұрын
Ankojjjjjjjj sasa kweli nishinde kutwa nzima bila 81 na 82
@susansamira8137
@susansamira8137 26 күн бұрын
Wow shukran kaka Ankojay ❤❤❤
BINTI LISA - PART 81
3:08:17
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 23 М.
BINTI LISA - PART 79
3:06:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 23 М.
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 8 МЛН
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
We Got Expelled From Scholl After This...
00:10
Jojo Sim
Рет қаралды 65 МЛН
BOSS LADY - SIMULIZI MPYA
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 49 М.
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 169 М.
DEBORA | SIMULIZI FUPI
2:42:16
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 20 М.
HOUSE GIRL  EP 24 || love story💞💕
19:24
BUSATI TV
Рет қаралды 30 М.
MPYA: MY SUZAN, SIMULIZI FUPI By Anko Jay
2:17:50
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 30 М.
🤷🏻‍♂️She Took His Skittles And Discolored Him😲🥴
0:33
BorisKateFamily
Рет қаралды 10 МЛН
Не плавайте тут!😨🌊
0:26
Взрывная История
Рет қаралды 4,4 МЛН
She fell for his prank.
0:39
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 35 МЛН
The joker's house has been invaded by a pseudo-human#joker #shorts
0:39
Untitled Joker
Рет қаралды 7 МЛН
Blue🩵+Yellow💛=
0:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 52 МЛН
ҚАЙНОНАСИГА ПРАНК 😨
0:15
BOBUR ALI
Рет қаралды 6 МЛН