Maa shaa Allah umefikisha Ukhty,Allah awajaalie vijana wetu waelewe na wawe wenye kuyafanyia kazi.Amin
@KhamisHassan-j4d19 күн бұрын
Mashaallah alhamdulillah asante uhty Alla akulipe .
@SwalehAbdallah-z6u20 күн бұрын
mashaAllah ukhty hongera Kwa kuwasomesha watoto
@ChausikuAli20 күн бұрын
Mashaallah mola akuzudishie kwa kufundishaa watoto wetu kwa kweli siku watoto kazi ni telephone sio kusidia wazazi
@a.85619 күн бұрын
Jazaka Allah khayran
@shijakuligi267420 күн бұрын
Assalamu alykum warahamatullah wabarakatuh umesema kweli na mola akulipe kheri nyigini kwa kusema khaki mashalah
@halemasuliman-js8ug19 күн бұрын
Mashaallah uhty
@mohamedsalum550413 күн бұрын
Ukhti yupo juu ya mstari hajakosema hata kidogo... Wewe unayesema ukhti kakosea....jitahidi rudi tena darasani kasome tena elimu ya Tawheed... Pitia jina la Allah la ......Al'aziz
@madulually575120 күн бұрын
Ni maneno mazuri sana
@HawaIrankunda20 күн бұрын
❤❤❤
@hms59519 күн бұрын
Kwa kweli umekosea kusema Allah hajapoteza nguvu zake kukumba wewe . Allah hanasifa ya kibinadamu hata apoteze nguvu
@mwanatenah467617 күн бұрын
Na hana sifa ya kupoteza nguvu
@mohamedsalum550413 күн бұрын
Al-aziz....hili jina wewe umelisahau....ndio ukh kasema sawasawa...Allah hajapoteza nguvu zake.....mbona aya tele za Qur'an zinazungumza hili...
@mohamedsalum550413 күн бұрын
Wewe unayemkosowa huyu ukhti umesoma islamic university gani duniani???