Wadada wa siku hizi wanaomaliza chuo na kupata ajira ukiwaambia tu unataka kumuoa anakuambia Nina mtu wangu sijuwi kwanini wanakuwa hivyo
@sadikiissa7756Ай бұрын
Ni uzinifu umetamalaki. Na kibaya zaidi na wazazi nao huchangia kwa kuwazuia mabinti zao wasiolewe wakati wa masomo hata kama ni chuo kikuu hivyo kupelekea mabinti kuanza uzinifu ili kuondoa hamu na mwisho wa siku kupotea kabisa kwa kuiga mila hizo za uzinifu za kizungu. Na kujiepusha na hili janga ni muhimu Kwa wazazi kuwa mfano ktk kufuata maandiko ya dini na kuwahimiza Pia mabinti zao.
@maryamsuleiman6340Ай бұрын
Sasa km mimi nnamwanangu ameshamaliza hata chuo ,yeye anapanga kurejea chuo ,nawachumba wanakuja yeye hataki ,nnafanyaje km mama
@leilamuhaji7945Ай бұрын
Binti akifika ngazi ya chuo anahaki ya kusoma huku akiwa ndani ya ndoa. Kama mume ana vigezo vilivyo orodheshwa ktk sheria ya kiislam na binti atampenda kijana huyo muozesheni ataendelea kusoma na kujiendeleza zaidi akiwa ndani ya ndoa hata kama atazaa na watoto elimj ya chuo sio kama primary na secondary school