BINTI WA MIAKA 15 |TOKA NIMEJIFUNGUA FUNZA WANANITEMBEA MIGUUNI |SIWEZI KUTEMBEA |SINA MSAADA

  Рет қаралды 232,359

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 849
@pennybenson4596
@pennybenson4596 3 жыл бұрын
Daaah hiii nifundisho kwangu maana nina miaka kama ya kwake pole Dada mungu atakusaidia haya nimajaribu muombe mungu maana kushindwa shule si kushindwa maisha
@stukiaally4690
@stukiaally4690 3 жыл бұрын
Amina kafanana na bibi yake sana Eee mungu tupe ufahamu tusimame katika imani yako na kusaidia wenzetu
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
Naam Allahumma Ameen🙏
@hamisamaundi5661
@hamisamaundi5661 3 жыл бұрын
AMEEN, AMEEN
@shammoha5297
@shammoha5297 3 жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil allamiin 🤲🏼
@godwinochwachi1068
@godwinochwachi1068 3 жыл бұрын
Powa tu,
@magrethkerengo3566
@magrethkerengo3566 3 жыл бұрын
duh pole sana mdogo wangu na pia hongera xana katoto kazuri mashallah katunze vzr katakuja kukufaa badae mwaya
@monicastivin1547
@monicastivin1547 3 жыл бұрын
Pole Sana mtoto mzuri, Mwenyezi Mungu akuponye na huo ugonjwa, Binti anaonekana Hana damu kabisa, Ila nimeumia Kama mzazi hyu mtoto anapitia magumu Sana, Sasa hata ukitaka kutuma pesa inakuwaje
@joycepetro4442
@joycepetro4442 3 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu MUNGU yupo atakukusaidia
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 3 жыл бұрын
Jamn sisemi wanaume au vijana sio wote ila baadhi ya vijana au wanaume wanalaghai watt wawatu kisha wanawatupa lannatullaah imipate sasa hivi anapata tabu ww unakula maisha hio laan haitakwisha itatembea mpak kwa wadg zenu muosha huoshwa ukimfanyia mtt wa mwenzio na wako atakuja fanyiwa au ndg yako yyte mpak huzuni allaah wajaalie wapate msaada
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 жыл бұрын
Daaaaah! nimejikuta naliya pole sana mdogo wangu.
@halimabakari4174
@halimabakari4174 3 жыл бұрын
Wakti mwengine shida za changia wadogo zetu kupta ujauzito mapema wallahi pole sana Allah atakusaidia in shaa Allah kuwa na subra nakuombea ddangu Allah akufanyie wepesi
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 3 жыл бұрын
Subhana Allah ,,,,,,Allah akufanyie wepes upone ili umlee mwanaoo♥️♥️♥️♥️ amin thumma amin🙏
@aliceally7255
@aliceally7255 3 жыл бұрын
Pole sana mpnz mungu akufanye wepesi Baraka zake ziamba tane nawe
@naimasaid7763
@naimasaid7763 3 жыл бұрын
Katt kazuri maa sha Allah, pole mdg wangu mungu atakukuzia mwanao na huyo baba wa mtt atakutafuta tu, mungu akufanyie wepesi upate afya njema
@beverlykadenge2095
@beverlykadenge2095 3 жыл бұрын
I gave birth to my first child at 19, it was not easy at all at all, al advice young girls to stick to education first, education is the light.... I wish you quick recovery sis...
@fatmarashid6158
@fatmarashid6158 3 жыл бұрын
Dah!!inaumiza Sana,polen manesi jaman muogopen mungu punguzen kauli mbaya kwa wagonjwa,jaribun kua nahuruma
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 3 жыл бұрын
Receive Divine healing from our Lord Jesus Christ 🙏 yalinipata hayo 5yrs ago but God is faithful.utapona mommy 😘😘
@mamounmamoun7877
@mamounmamoun7877 3 жыл бұрын
Pole sana binty Mungu atokuache utapo na lea mtoto wako kwa moyo mmoja atakuja kukufaa baadae kila jambo lina mipango yake usijihisi vibaya Mungu hajakuacha ni mapito tu yana wakati wake Amani ya Mungu iwe pamoja nanyi Aamin
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Nimelia kama Mzazi, Allahau Akbaru. Binti bado mdogo sanaa
@alqaasim_a_tz2412
@alqaasim_a_tz2412 3 жыл бұрын
Usilie Waombee hawa watoto siku hizi wamekuwa mtihani sana subhaanallah. Kitoto chenyewe kidogo ingekuwa dunia haijaaharibika Mtoto umri huu inafaa awe anaogopa hata wanaume lakini ona akaingia kwenye mahusiano subhaanallah inauma sana.
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
@@alqaasim_a_tz2412 sijui ni mitihani ya maisha ya nyumbani, hata sijui.
@dianachirume4733
@dianachirume4733 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@amtafmilas3936
@amtafmilas3936 3 жыл бұрын
maskini......wallah roho imeniuma..huyu mtoto ana shida mskn....Allah akupatie usahali dada ktka mitihani yako na moyo wakuweza kuvumilia.........
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Pole Sana mdogo angu mungu atakuponya
@azizampomoli2372
@azizampomoli2372 3 жыл бұрын
Daah maisha haya pole mwanangu kwa magumu unayopitia mungu atakufanyia wepec in shaallah.
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 3 жыл бұрын
Pole Sana Mungu atasaidia. Lkn hio ni kukosa Damu na baadhi ya vitamins mwilini. Mungu awajaalie uwezo na misaada ili apate chakula Bora aweze kupata afya yake. Ameen. Kuhusu baadhi ya nurses na madokta wetu wanakua majeuri Sana sijui huku chuo wanafundishwa nn na wala hawachukuliwi hatua yeyote na hio zaidi wanawafanyia maskini za Mungu lkn matajiri wanawaramba miguu.
@habibashaaban7413
@habibashaaban7413 3 жыл бұрын
mtihan wallah allah akufanyia wepes. ila tamaa punguzen watoto
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
Pole sana bidada mtoto jaribu kua unamukandia tumaji twauvuguvugu chukua kakitambaa uwe unamupitisha taratibu kwenye pua jamani duh dunia iyi kweli Mungu kwakweli uruma sana kabisa masomo ni muimu kuliko aya mambo jamani pole mama utakua sawa Mungu akujalie
@WaridawaridaWarida
@WaridawaridaWarida 3 жыл бұрын
Kwaza nampa hongera huyu mama anaye jua uchungu wa mjukuu wake wachache sana wanao jari wajukuu hasa kwenye shida za ujauzito Mungu akupe nguvu na msaada upatikane kwa jina la yesu
@rosemawia4239
@rosemawia4239 3 жыл бұрын
Mungu akusaidie dadagu ,uko mdogo bado , mungu akufanyie wepesii, asante Kwa Bibi ana roho ya utu , from 🇰🇪🇰🇪 nawapeda sana wa TZ aki mna umoja mungu awasidishie Ivo Ivo, Dio maana ata Corona uko hamna, mungu azidi kuwaogoza
@dottnatt7110
@dottnatt7110 3 жыл бұрын
Amiin inshaaAllah. Pia tunawapenda jirani zetu Kenya Allah atafanya wepesi corona itaisha Africa Mzima inshaaAllah🙏
@arafampoma3399
@arafampoma3399 3 жыл бұрын
Nimelia kwa uchungu sana malaika wa mungu masikini tangu azaliwe ajawai vaa nguo mpya zote za misaada hapana roho umeniuma sana
@aliceally7255
@aliceally7255 3 жыл бұрын
Pole San mdogo wangu awo watu wanabadilika tena ilo kabil ndokabc akuna watuko pole sawa mungu akutiye nguv
@catherineochanda1277
@catherineochanda1277 3 жыл бұрын
Don't worry maisha yatakuwa mazuri pia mm niliyapitia vilevle,,lea mtoto wako,,mtoto ni baraka kwa mwenyezi,,
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Pole Sana. Mdogo wangu kila mtian kuna mlango wa kutokea mdogo wangu 😭 maana nikiangalia hayo maisha na hali ya bint ni dhaifu .....mno allah atakupa afuen inshallah 15 niko fom two hata uyo uyo mume simjui jamn daaa mabint tunakwama wapi jamn 😭😭 kwa school mimi nakataaa kikubwa aende kusomea chochote
@umnooralriyami9552
@umnooralriyami9552 3 жыл бұрын
Sijawah kucomment hapa lakini kwa hili🙆‍♀️Subhanallah
@minahshaban9382
@minahshaban9382 3 жыл бұрын
Machoz yamenitoka wallahi Allah atakuponya amina
@zainabmohammed1305
@zainabmohammed1305 3 жыл бұрын
Daaa😭ee mungu tuhifadhie vizazi vyetu
@bidallahamadi4036
@bidallahamadi4036 3 жыл бұрын
Amiin Ya Rabb In Shaa Allah
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
maximum tv nawakubari sana hamjawahi niangusha mpo vizuri kwajiri yetu sote wenye matatizo mbalimbali mungu awabariki sana kwa mnayoifanya🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Жыл бұрын
Subhanallah Poleni sana kwa mitihani
@benjamuga7344
@benjamuga7344 3 жыл бұрын
Pole Sana aki young lady, take heart and all shall be well with you, very touched.great future Walai
@mwanahamisiabdi3320
@mwanahamisiabdi3320 3 жыл бұрын
Watoto wa kwetu tabora wanawai kuzaa jaman miaka15 si mtoto wa shule kabsa mmmmh
@sultansaleh6333
@sultansaleh6333 3 жыл бұрын
Kiukweli hatanyinyi watangazaji mungu azidi kuwapanguvu kutuonesha sehemu yakupeleka sadakazetu naminita kwwnda kuwaona nakuwapa nilichobarikiwa aminnn
@irenewile
@irenewile 3 жыл бұрын
Kweli ,,me sijatoa sadaka nzito,,ndio nimeona Sasa pa kutoa sadaka kipindi hiki..
@dianachirume4733
@dianachirume4733 3 жыл бұрын
Ameen, ubarikiwe sana
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Pole sana kakaangu zahir mmmmm unapitiya mitiyani kwakweli dooo mungu akuongoze sana kakaangu na kupiganiya afya za watu
@priscaissaya4012
@priscaissaya4012 3 жыл бұрын
Yesu jmn watu wanateseka Mungu akusaidie binti mdogo
@mwanaidjuma804
@mwanaidjuma804 3 жыл бұрын
Dii pole my Allah Ata kufanya wepes inshallah mm mwenyewe nimezaa kma ww miaka 15 ila utapona dear🙏🙏🙏
@goodlucklyimo5733
@goodlucklyimo5733 3 жыл бұрын
Pole sana dada mungu akutulie
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
Pole Sana. Ila usikate tu ndani toko unyooshe miguu utembee ili miguu upate nguvu. Unapo aa na ndam inalala iyo Kisha punguza mawazo kwani mawazo nayo ni ugonjwa. Mola atakuafu ishallah
@happydevy7489
@happydevy7489 3 жыл бұрын
Mungu yupo mdogo wangu atakusaidia muombe pis mungu
@naahsuraj6980
@naahsuraj6980 3 жыл бұрын
Inahuzunisha eeeeeeh mungu bint bdo mdogo Jmn na hayo maradh mung atakusaidia
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu mungu akufanyie wepesi utapona tu mdogo wangu
@rosemongi5273
@rosemongi5273 3 жыл бұрын
Daah roho inaniuma Sana pole mwanangu jishike Sana kwa mwenyez mungu yeye ndio mwenye msaada wa kweli
@omom5410
@omom5410 3 жыл бұрын
Mungu atakufanyia wepes usijali mlehe mwanao
@davidmatembo9630
@davidmatembo9630 3 жыл бұрын
Polen sana,. Mungu atawapa wepesi wa hayo magumu mnayo pitia
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu hakika inauma sana Mungu akufanyie wepesi upone
@salmakashindi4629
@salmakashindi4629 3 жыл бұрын
Yani nasia uchungu kama mtoto wangu sina kikubwa kidogo nitamsaidia Inshallah
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 3 жыл бұрын
IN SHAALLAH
@hassantalib3496
@hassantalib3496 3 жыл бұрын
Shoga yangu pole wanaume wabaya
@matatomlik1846
@matatomlik1846 3 жыл бұрын
Subhana llah pole sana Mdogo wangu Allah akufanyie wepesi inshaallah utapona tu
@edigaralikadi3959
@edigaralikadi3959 3 жыл бұрын
Pole sana
@ladysalimkabora9952
@ladysalimkabora9952 3 жыл бұрын
Shida shida jamani shida! Mungu sikia mateso ya binti huyu.😭😭😭😭😭 malaika wa watu amezaliwa katika mazingira magumu mno!
@halimah3075
@halimah3075 3 жыл бұрын
Jaman wanaume kueni bas nahuruma na watt wadogo chek bint wawatu anavyopata tabu unampa mimba alafu unaimkimbia sijui ata mnakuwa na akil gan yan mpaka nmelia wallah Inshallah kwauwezo wa Allah utakuwa sawa mdogo wangu
@aminasalim8984
@aminasalim8984 3 жыл бұрын
Pole sana, Sawa kama mwanangu imeniuma sana mpaka nimetokwa na machozi
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 3 жыл бұрын
Huyu binti anahitaji maombi kwanza. Dah inaskitisha sana, Allah atazidi kukusimamia lnshaAllah
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 жыл бұрын
Wewe umeongea kweli
@mozamoyo7468
@mozamoyo7468 3 жыл бұрын
Mmh yanii
@irenewile
@irenewile 3 жыл бұрын
Kweli,,vinini hivyo vinatembea usiku ..
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 жыл бұрын
Ananjaa ukamuombee basi watu wasingekula wangeomba tu.
@tinamuta8019
@tinamuta8019 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na Afya njema uweze kulea mwanao
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 3 жыл бұрын
Siwez kukulaumu mdogo wangu....hata mimi nimepitia hali iyo ya kupata mimba nikawa mdogo na mwanaume alinitelekeza...kipindi icho nilikua mdogo sina kazi wala cjui nini maana ya maisha ila kwa sasa niko ok na mwanangu amesha kua yupo class 1 Na mimi npo vizur alhamdulillah Na wewe naimani mwenyezi mungu atakusaidi utapita tu kwa iyo hali Mdogo wangu
@bidallahamadi4036
@bidallahamadi4036 3 жыл бұрын
AkiaMungu sio vzr, hao wazazi wa uyo kijana wajitokeze tu wamsaidie jamani😭😭😭uyo mtt n damu yao.. Wallahi mpk nalia...Majirani mnaomsaidia huyu dada endeleeni malipo yenu kwa Mungu...Jamani Mungu wacmamie vizazi wetu.. Acha ncheke sasa😆😆😆😆yani ucniambie mtangazaji hujamuona uyo bibi apo kando, eti,ndo kumsalimia sasa"shkamoo bibi".
@halimaabdallah6760
@halimaabdallah6760 3 жыл бұрын
Namuomba,,Dada wema sepetu, nasisi pia tunao angalia kipindi hiki tujitolee tujitolee jamani kumsaidia,,Dada wame sepetu tizama huu uzazi mdogo wangu,,mwenyzimungu atakufungulia kupitia hili nasisi tutasapoti kwahali namali inshallah,
@Veronika-gr9zc
@Veronika-gr9zc 3 жыл бұрын
Pole sanaaa mdogo wangu
@fatumachewa2591
@fatumachewa2591 3 жыл бұрын
Pole mdogo wangu 😭😭izi shida me nilizipia pia nilizaa nikiwa na miak 15 na baba wa mtt miak 45 alikaa kunip matumiz akidai mtt si wake ikiwa yy ndio alinivunja nanilii yangu😞😞 nilipojifungua pia nilipata tatizo ilo ilo la minguu lakin me nimekanyanga mauchawi ya watu nikaagulia nimepon nashukur saiv ninakijan wa 12 me nina 27 ananisumbua atari kila leo atup beg pole san mungu atakusaida
@asyafatawi7153
@asyafatawi7153 3 жыл бұрын
Allah awape afya nzuri nyote mam na mtoto
@renatusabias1158
@renatusabias1158 3 жыл бұрын
Pole mwaya Mungu atakusaidia utapona kwauwezo wa Mungu
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
kuomba msada sio aibu kwasababu kinyume chake makosa yanaweza fanyika ALLAH amfungulie milango ya rizqi huyo bint awe katika Hali nzuri yenye kudumu.
@peterosmond591
@peterosmond591 3 жыл бұрын
Diamonds Daimond
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 3 жыл бұрын
Mdogo wangu umeyakimbilia mambo sasa linakukuta jambo! Poleee mamaangu unatesaka ktk umri mdogo, huruma, eee mungu futa makosa yake mzazi huyu Mdg! Navaa viatu vyako havinitoshi.
@mariummustapha5395
@mariummustapha5395 3 жыл бұрын
Dah mungu akuponye mdogo wang utupe hata namba tugawane kidg bukubuku ntakutumia
@zawadiabdallahussi2994
@zawadiabdallahussi2994 3 жыл бұрын
Daah kaka yaani naona huruma hadi basi naumia sana Nampa pole sana huyu binti Allah atamuafu in shaa Allah
@asinakassim1548
@asinakassim1548 3 жыл бұрын
Let's raise our hand together and help each other... Amina story really heart but its life watu wanapitiaga mambo mengi mostly unapokuwa na hali yachini kisha halikama hii itokee inakuwa tatixo kuuu mno ..ila Allah Yunasi wajawake na anafahamu hatmayetu tuunge mikono tusaidiane kwa ajili ya Allah...Alhamdhulillah Allahu kareem..maisha hutokambali .. endapo tutaungamkono na kusaidiana basi mungu ndio ngao yetu...shukran kaka zahir Allah ibarik yaaa samiul aleem ...with ur group🤲😢😢😢😢😢
@AminaAmina-sj5sf
@AminaAmina-sj5sf 3 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu mwenyezi mungu atakutia nguvu Katika kipindi hichi kigumu
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 3 жыл бұрын
subhanallah Allah, akufanyie wepes, watto msiharakie maisha mtu hatoki mtu akawa mtu
@angelmbanga3206
@angelmbanga3206 3 жыл бұрын
😭😭😭😭mtoto mzuri dar
@mariamuhamadi5599
@mariamuhamadi5599 3 жыл бұрын
Cyo kuarakisha iyo ni ugumu wa maisha ndio imepelekea kufanya ivyo
@vanisavani1055
@vanisavani1055 3 жыл бұрын
Unauma a see mitiyani ya maicha Ata mimi nimeza na 14year lakini kwa Sasa imepita mungu ni chef muloko wng utakuwa bien
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 3 жыл бұрын
Mungu atakusaidia usikate tamaa kosa si kosa kosa kuludia kosa utapona Inshallah 🙏🙏🙏
@Anonymous00018
@Anonymous00018 3 жыл бұрын
Watoto hawafikiri mbali subhanallah! Wao wenyewe hali yao ya chini halafu kaenda kutafuta mzigo mwengine bila kufikiri nn kitawakuta baadae. School ndo basi tena, kishajiharibia maisha yake maskin.
@milliahachenya2749
@milliahachenya2749 3 жыл бұрын
Huyu Ni mtoto mdogo sana hata sauti inasema Aki well wishers wasaidie tu
@salumnangona177
@salumnangona177 3 жыл бұрын
Allah akujalie kher uwe na afya njem wey na mtot inshaallah pia pole kwa huo mtihan mung atasaidia akuna kinachoshindikan juu ya Allah
@angelmbanga3206
@angelmbanga3206 3 жыл бұрын
Weka namba tumchangie Kama
@halimaabdallah6760
@halimaabdallah6760 3 жыл бұрын
Wekeza kwa Allah Dada wema sepetu kupitia hili nakuomba najuwa huna kubwa ila kwakidogo ulicho nacho Allah atakulipa mdogo wangu, nasi tuko pamoja
@eddydauson7525
@eddydauson7525 3 жыл бұрын
Ccter eeh we hupendi kuwekeza? Mbona kama unampasia wema jitahidi na we hata kidogo hapa muhim wote tuwekeze
@nasmos3690
@nasmos3690 3 жыл бұрын
Eddy Dauson 😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anawekeza kwa Wema
@osamaalharthy4150
@osamaalharthy4150 3 жыл бұрын
Usilie dda mungu ata kusaidia inshallah
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 3 жыл бұрын
@@eddydauson7525 😀😀😀nashangaa na mimi eti wema sepetu
@The22london
@The22london 3 жыл бұрын
Bint hana damu kabisa. Nyayo zake ziko so pales. Mmefikia wapi kumsaidia bint? Mtupatie namba yake asaidiwe pls. Tuko pamoja. Poleni sana kwakweli
@rachelrobbie7988
@rachelrobbie7988 3 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu Ndivyo maisha yalivyo
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 3 жыл бұрын
Jaman wadada humu ambaye tayari ana mtoto au watoto hebu jaribu ku imagine njaa ambayo mwanamke anaye nyonyesha huwa anahisi Kisha ufanye tathimini kwa huyu dada ambaye ana katoto kachanga hivi Kisha ana pata tu mlo mmoja kwa siku it's so sad mm ni mwanaume Ila kwa hili moyo umeniuma sana
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
Hongera kaka umeonyesha kuwa Una huruma
@lusekelomwakajila3038
@lusekelomwakajila3038 3 жыл бұрын
Uyu dada ananikumbusha mbali Sana nilizaa nikinamika16 maisha nimagumu mlowenyewe nishida njaa inauma jamani namshukuru mungu mtoto Wangu anamiaka13 kamaliza lasaba mwaka uu lakini njaa yamzazi inauma sana
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 3 жыл бұрын
Ambao hawaja pata watoto hawawezi kuelewa hili jamb Dada
@glorynorbeth6273
@glorynorbeth6273 3 жыл бұрын
Cleofas Ladislaus ni sahihi jamani mi hapa saizi ni mzazi njaa yake haielezeki unaweza faint usipokula
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 3 жыл бұрын
Unatamani hd kumlala huyo mtoto wako
@immaculatajoyce4321
@immaculatajoyce4321 3 жыл бұрын
Bariikiwa sana my Kaka kwa kazi unayoifanya
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 жыл бұрын
yani wanaume mungu tu awasamee hapa mungu akimsaidia akipona unatoa changaume anakuja eti mtoto ewe mungu weye njo unajua tu
@athumanamani8340
@athumanamani8340 3 жыл бұрын
Jaman nyny hawa wtt mbona mnakimbilia mapenz kabla ya mda hata Kama maisha magumu bint nakupa pole Allah akusaidie utapona in shaallah
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
😭😢😢
@dagrace7443
@dagrace7443 3 жыл бұрын
Mungu yupo ata wasaidia na mungu ampe bibi maisha marefu 🥰🥰
@zitoniebrahem3174
@zitoniebrahem3174 3 жыл бұрын
pole sana mdogo wangu mungu ni mwema utapata shifaa innshallh
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 3 жыл бұрын
Wasichana msiharakie maisha.... Asiyefunzwa na mama ufunzwa na dunia.... Someni kwanza maisha yapo tu
@fatumayusufu1706
@fatumayusufu1706 3 жыл бұрын
Hawasikii mabint zetu tena hawa miaka14/15/16 mpaka 20 hawasikiagi hata kdg ukiwakanya wanakuona kama zuzu yakiwakuta wanabaki kulia lia
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 3 жыл бұрын
@@fatumayusufu1706 ni kweli kabsa watoto wa siku hz awashikiki jamaniii wamechachuka kweli kweli
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 3 жыл бұрын
Ujana huo!! Kweli ujana ni maji ya moto,wanasumbuaga sana
@hidayamwasha9409
@hidayamwasha9409 3 жыл бұрын
Tatizo ni ugumu wa maisha
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 жыл бұрын
Jaman msiseme watoto wa siku hizi hawa sikii nina mdogo wangu ana miaka 17 ndo kafanya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu nimeona hii picha tumbo lote la moto kwa kweli huwa naomba Mungu Amsimamie tu kwa kwali
@evalenad6256
@evalenad6256 3 жыл бұрын
Hapo kwenye kifafa chamimba. Huo ugonjwa unaitwa preeclampsia ambao huo ugonjwa nimbaya sana unawakumbaga watu ambao niwajawazito. Unaweza ukasoma zaidi kuhusu ugonjwa huo @wwwpreeclampsia on google. Hata mimi nilikuwa nao wakati najifungua watoto wangu napia ugonjwa huo unasababishwa na highblood pressure.!
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 3 жыл бұрын
Binti na mtoto wake wazuri sana jaman
@mohamedomary2898
@mohamedomary2898 3 жыл бұрын
Dada chukuwa pumba shemsha jichue na mm ndo niliponea ivo nicheki
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 3 жыл бұрын
Pole sana hio ndio jumla ya mitihani na kuhusu kuumwa huyu anaupungufu was damu hana kifafa ila anaupungufu was damu anatakiwa apate vitu vya damu
@ramadyzo5587
@ramadyzo5587 3 жыл бұрын
Poleee sana amina utapoatu mdogo wangu tuta kupambania utapona mungu yuko pamoja nawew
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
Pole sana mmy maskini kka kazurii MashaAllah Allah amuandoshee maradhii
@zuhurakhalid2208
@zuhurakhalid2208 3 жыл бұрын
Pole sana my Mwenyezi Mungu atakusaidia inshallah
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 3 жыл бұрын
masikini mtoto mdogo hajui chochote mungu atampa wepesi aleee mwanawe
@ashamjen2709
@ashamjen2709 3 жыл бұрын
Kweli mungu msaidie
@kayulaedwin2587
@kayulaedwin2587 3 жыл бұрын
Luv mingimingi kwako bro zahir kwa kazi yako, pia pole kwa huyo binti kwa mateso anayopitia huyo kijana atafutwe yupo huko anakula raha zake mwenzake anateseka maskini.
@neemaseverine6164
@neemaseverine6164 3 жыл бұрын
Pole mdogowangu hatamimi mwenzio yalinikuta lakin yakwako yamezid pole sana
@Anonymous00018
@Anonymous00018 3 жыл бұрын
Huyo doctor shwain sana shenzy zake. Hata kumtizama mtoto ana matatizo gani anashindwa, yy anaandika dawa tu wapate faida ya kuuza dawa mshxxxx
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Lahaula walakuwata ila billah ALLAH akupe afya njema my dear mtihan kwa kwel
@hermankifyasi8073
@hermankifyasi8073 3 жыл бұрын
Pole mdogo wangu tuma namba nikuchangie kidogo japo kitu hata namba ya bibi umpeleke mtoto huyo hospitali,, muombe sana Mungu utapona 🙏🙏aameni
@priscaissaya4012
@priscaissaya4012 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema atakufanyia wepesi
@aniphalookmoneylookmoney8881
@aniphalookmoneylookmoney8881 3 жыл бұрын
Mungu akujaze uzima naayakumbuke Maombi yako kipenzi chetu ugua pole my
@anifamickidard4555
@anifamickidard4555 3 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu hata mimi nimezaa nikiwa na umri mdogo kama ww mwanangu ana miaka 12 sasa ,,, mungu akulinde kila kitu hutokea kwa sababu
@سالمهالرقادي
@سالمهالرقادي 3 жыл бұрын
Pole sana mway wakelewe ndo walivyo
@habibaa9503
@habibaa9503 3 жыл бұрын
Dah mitihani hii jaman ukiona kwako kuna ungua kwa mwenzako kunateketea,pole sana bint ni mitihani tyuu ya dunia,lea mtoto wako atakusaidia baadae,utapata misaada kwa uwezo wa allah.
Rayvanny Ft Zuchu - Number One (Official Video)
3:35
Rayvanny
Рет қаралды 97 МЛН
TUMETOKA MBALI (NEW!), Ambassadors of Christ Choir 2020, Copyright Reserved
5:43
Ambassadors of Christ Choir
Рет қаралды 7 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
UTAUMIA |TAZAMA KANSA ILIVOIMALIZA SURA YA HUYU MTU |WATU WAJAA KUMSHANGAA
24:03
WAUNI KUMWINDA MTOTO WA MZUNGU - MADENGE
9:54
Kuguta
Рет қаралды 1,4 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН