BABU WA MIAKA 101 AJICHIMBIA KABURI LA MILIONI, "NITALIWA NA FISI, NITAACHA LAANA"

  Рет қаралды 410,374

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 434
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Ambao wanatamani babu aendelee kuishi miaka mingine mia ijayo tuzidi kufurahia uwepo wake na ushauri tuseme Amen🙏
@mariejajila8409
@mariejajila8409 3 жыл бұрын
Amrn
@happinesmatemba3911
@happinesmatemba3911 3 жыл бұрын
Amina
@PaulMassaweunfiltered
@PaulMassaweunfiltered 3 жыл бұрын
Sababu msingi ni kwamba ana taka kuzikwa karibu na mke wake.. nime penda upendo anao uonyesha hata kwa marehem mke wake. Very few people have this kind of love in today's world. Keep it up ayo.. I like you guys create real content from real lives of Tanzanians na hamfuati upepo au kiki mna fuata educational content.
@precioussilungwe7365
@precioussilungwe7365 3 жыл бұрын
Nnaichota neema hii ya kuishi umri mrefu bila kupoteza kumbukumbu. Gonga like hapa kama umekubaliana nami
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Ndio precious tunahitaj neema hii hata wazazi wangu nawaombea hivyo muda mrefu
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Yani yupo vizur kabisa
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Paka Nimeshangaa kabla sijaona akiongea Picha tu niliona yupo vizur Hata bibi yangu mzaa baba kazeeka Lakin bado yupo sijui Ana miaka mingapi hila mkubwa sana inaelekea na Ana WATOTO kumi alikuwa
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Kilimo ni uti Wa mgongo
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Eti wanasemaga wazee Wa Zaman walikuwa wanamezaga dawa hili waishi miaka Mingi hila wale wachawi walikuwa wana Meza irizi na wakifa wanamlisisha mtu anayependa ile ilizi naye anakuwa anaishi miaka Mingi.
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 жыл бұрын
Tuliofanya mimi na mama ndio mtandao unaotufanya tuishi,vijana tuwekeze kwenye asset
@richardjohn9141
@richardjohn9141 3 жыл бұрын
101 hata uwezo wake wa kuongea bado uko good! hongera mzee mungu awe pamoja na wewe
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Nimeona pembezoni pana kabul la mkewe aisee nimegundua alimpenda sana mke wake so ana hofu watakuja kumzika mbali na mkewe
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
Hahaaa kabisaa yaan daah mpka rahaaa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 жыл бұрын
Mapenzi yakwer ayo
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Anatamaa akikaa karibu na mkewe watalala tena usiku usiku
@gracemadondola6025
@gracemadondola6025 3 жыл бұрын
@@subiramohd1895 kah Ila wewe jamani kah
@ramadhanathuman940
@ramadhanathuman940 3 жыл бұрын
Kwakua kila kitu anafanya kwa gharama zake na mke wake alizikwa hapo Inshallah wamuache
@nancypeter1480
@nancypeter1480 3 жыл бұрын
Safi sana
@niwemugenimediatrice5640
@niwemugenimediatrice5640 3 жыл бұрын
Watu wanaofanya vitu vya haina hii ni watu wenye akiri nyingi maishani yao
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Mzee ana mashamba ameuza hekari 7 kwa milioni 400. Watoto hawapendi kilimo ndo maana hawaongezi mashamba wanaridhika na urithi wa mzee.... Tujifunze hapa
@carptentv6848
@carptentv6848 3 жыл бұрын
Huyu mzee Ni balaaa gonga like Kama unaogopa kujichimbia kaburu
@rahmaseiphramadhani2094
@rahmaseiphramadhani2094 3 жыл бұрын
hahaah et unaogopa
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema kwa kweli 101yrs and still strong.
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 жыл бұрын
Kabisaa
@philemonkavutirwamaghusa9698
@philemonkavutirwamaghusa9698 3 жыл бұрын
Na asifiwe sana
@joshuakalinga344
@joshuakalinga344 3 жыл бұрын
Yuko sahihi sana Mzee huyu hata Mimi naweza kufanya hivyo maana ndugu sio ukifa utazikwa bila mpangilio watakubwabwaga kama njugu kisa uzikwe popote pale Mzee shikamoo hongera kwakufikisha miaka 101 hongera sana old is gold👋👋👋
@richardbituro2386
@richardbituro2386 3 жыл бұрын
Hiyo ndiyo ulikua mila na desturi ya Taifa la Mungu yuko sawa sisi tunaogopa kifo
@semenitheclassic
@semenitheclassic 3 жыл бұрын
Ooh Hataki kumuacha WIFE duh! Much respect!!
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
ecxacly i respect that strong love
@princessamnemuhamad3755
@princessamnemuhamad3755 3 жыл бұрын
@@judithmelvinealuchio8968 mApenzi ya zama za ukweli
@amaniseeb1208
@amaniseeb1208 3 жыл бұрын
Mashallah baba unajuwa malezi ila kifo allah ndio mjuzi
@nurumwangoka7424
@nurumwangoka7424 3 жыл бұрын
Una haki ya kujichimbia kaburi miaka 101 sio mchezo
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@user-hb7eu9oj6z
@user-hb7eu9oj6z 3 жыл бұрын
Sasa. vile. Mwenyewe ashaanza afadhali achwe amalize mwenyewe hataki kuzikwa mbali na mkewe mwenyewe wa likuwa wapendana sana hata ndio ata akifa awe pamoja na mkewe
@edmundsama60
@edmundsama60 3 жыл бұрын
Ni kizazi cha mama yangu ni ndg na mababu zetu akina meero ayo Mungu aendelee kumpa umri mrefu
@prisiraedimundi1874
@prisiraedimundi1874 3 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kwa babu
@jumamsangi8979
@jumamsangi8979 3 жыл бұрын
😒😒😒😭😭😭🙏🙏🙏
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Kwa Hiyo Ni Family Na Ayo, Mzee Allah Akuzidishie Umri,101 Na Uko Vizuri Maa Shaa Allah.
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
"Si Kujichimbia Kaburi Bali Kujiandalia Kaburi"
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
swahili sanifu
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
Imebidi ni like kwa wenzangu bila kuelewa alichoongea mzee. mana naamini kila mtu yuko sahihi kwa hili swala la mzee kujichimbia kaburi jina la bwana rihimidiwe🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@memoryngambi3758
@memoryngambi3758 3 жыл бұрын
Hongela baba yetu,kwakua mchapakazi na nimejifunza kitu,kumbe hutakiwi kua mzigo kwa watoto,nimefurahi Sana kwakua sio ombaomba,mungu akuongezee siku nyingi zakuishi maana wewe ni mfano wakuigwa.
@joykamotho3590
@joykamotho3590 3 жыл бұрын
Mzee akili ako sawa kabisa! Mungu akujalie maisha mema zaidi!
@carptentv6848
@carptentv6848 3 жыл бұрын
Dahh huyu mtangazaji ana aina ya kipekee Sana ya habari zake Kuna ile binti wa kazi aliuawa akaiibua Kuna jamaa alimwagiwa uji dahh Milady umepata mwandishi sio Kama hizi yutubu nyingine angalia wasafi wasimchukue
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😊
@henryhumbo7246
@henryhumbo7246 3 жыл бұрын
Huyu dogo ni balaaa
@deevon3364
@deevon3364 3 жыл бұрын
Kama umesikia kizungu hapo "well and good Gonga like
@florianhashimu1370
@florianhashimu1370 3 жыл бұрын
Acha kusanifu mtu ww mwenyewe kabla ya kuanza kwenda kindagate hata kiswahili ulikuwa hujui.Leo imejua maneno mawili ya kunywea maji unaona umemaliza acha hizo
@juliusphabian6336
@juliusphabian6336 3 жыл бұрын
Kwan ni lazina aseme “good and well” ndo ujue kaongea vizr????
@emilyaholi9009
@emilyaholi9009 3 жыл бұрын
Waaah..101..na bado ako strong..msafi..bado ako na akili zake zote..Mungu ni mkuu
@siriyangu4724
@siriyangu4724 3 жыл бұрын
Yani babu anaupendo pka hataki awe mbali na mkewe kaburini njoo uone ulimwengu wa vizazi vipya upendo umetoweka myaka 101c utani lkn yuko bdo strong man japo mkulima lkn aliulea mwili wke cyo kila mwanamke anaowa mashaallah babu mungu akupe umri waziada amiin
@Kokafamil
@Kokafamil 3 жыл бұрын
Kama tunajenga nyumba ya makazi ya muda kwanini tusijijengee na nyumba zetu za milele? He is right 👏🏻ndio maana hata mungu alisema tukiandaeeee
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 3 жыл бұрын
Jamani ana upendo sana na mkewe,Mungu aendelee kukuweka babu yetu.
@yohanamashauri7742
@yohanamashauri7742 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏 Eeee Mungu muongezee miaka mingine mingi zaidi huyu mzee na ndugu watimize matakwa yake Amina!!!.
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 3 жыл бұрын
Jamani wewe ulaya makaburiyako tayari mwacheni mzee ajishughulishe hongera babu tena atakaa sana tuu mungu ambariki kafanya vizuri babu 🙏🙏🙏🙏🙏
@gracetiampati2170
@gracetiampati2170 3 жыл бұрын
He is so smart. His right and this wish Should be respected. I aploud him. And I think it so much okay to do so. God bless this hardworking Baba. Mungu Asifiwe jwa mzee huyu mwenye Hekima. 🙏🙏
@solomonnanguni2688
@solomonnanguni2688 2 жыл бұрын
Nimeona hii vidio ya mzee wa miaka 101 kujichimbia kaburi lake mwenyewe. Nimefurahi mzee bado anayo akili nzuri, anajitambua vizuri sana, kauli zake na zamira yakulijenga kaburi lake safi sana. Jamani mwacheni mzee aliloamua ni sahihi kabisa. Mbona hata Bwana Yesu kazikwa kwenye kaburi maalumu lililokwisha tengenezwa? Ubaya uwapi hadi nyie wanae musononeke? Mzee nakupa Big up. Ubarikiwe namimi umenipa mfano nitafanya.
@carolinetev2631
@carolinetev2631 3 жыл бұрын
Namuomba Mungu abaliki familia hiyo. Mzee anaongea safi sana
@hambrehansy8752
@hambrehansy8752 3 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu...na uko sahihi Kabisa kujichimbia mwenyewe nyumba ya mirere
@michaelthadey414
@michaelthadey414 3 жыл бұрын
Kama nawe umetokea kumkubali mzee kwa ujasiri wake na maongez yake #gonga_LIKES_ili_tujuane
@ramadhanadam5169
@ramadhanadam5169 3 жыл бұрын
Nimemkubali
@jonhjelsoon6869
@jonhjelsoon6869 3 жыл бұрын
milllmmm'mkkm'm»mill…loo
@twahakhamisi3833
@twahakhamisi3833 3 жыл бұрын
huyzee nimemkibali sana
@issamwetah8673
@issamwetah8673 3 жыл бұрын
0p
@chobachoba4171
@chobachoba4171 3 жыл бұрын
Mzee Ayo yuko vizuri Sana unawezaje kujenga nyumba yako ya mda ukashindwa kujenga nyumba yako ya mil ale?
@eriminashayo1341
@eriminashayo1341 3 жыл бұрын
Duuh mungu amsaidie hyu Mzee jamn mungu amuongezee miaka Mia tena
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 3 жыл бұрын
Mzee alitaka kuchezea kifo game ya kisiakologia ila hajui kwamba kifo hakina lafiki, ni easy ukifika umri huo kila wazo ni kifo, kila dream, but manshallah ni strong man 🙆‍♀️
@nuruabasi5503
@nuruabasi5503 3 жыл бұрын
Mzee nakutakia miaka 100 Tena iwe 210
@musasaid964
@musasaid964 3 жыл бұрын
Jaman kwer kilamtu anamaombi yake
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 3 жыл бұрын
Amina
@victoriakasiani1529
@victoriakasiani1529 3 жыл бұрын
Hahahaha Mungu akipenda
@mussahussen7447
@mussahussen7447 3 жыл бұрын
Du? mwenzako kachoka ww unamuongezea tena 100
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
@@mussahussen7447 😅😁😅😁hawuoni nihatar
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 жыл бұрын
Good babu kila nafsi itaonja umauti. Tujiandae jaman sikuiz misiban hawatoi michangoooo😂😂😂
@siwemamahenge3275
@siwemamahenge3275 3 жыл бұрын
Vyuma vmekaza sasa naona mzee kapewa adivans ya rambirambi
@mwajumaramadhan6223
@mwajumaramadhan6223 3 жыл бұрын
iyoipo hatahuku omani wazee kamahao wanajinunuriya sanda kabisa inakaa ndani
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 жыл бұрын
Yan kama ulikuwepo
@jumabakari1468
@jumabakari1468 3 жыл бұрын
@@mwajumaramadhan6223 😂😂😂umeenda mbali Sana hapahapa Tz kunawatu wanasanda zao ndani Nenda Turiani komtonga kafanye upelelezi kwa kila nyumba utakuta watu Wana sanda zao ndani
@israelysonga5520
@israelysonga5520 3 жыл бұрын
Mzee kala ngumu sana mungu amsaidie
@mushagalusakulimushivincen3809
@mushagalusakulimushivincen3809 2 жыл бұрын
Ni vizuri Sana... Bamuacha
@gaudencemkude7168
@gaudencemkude7168 3 жыл бұрын
Dunia hii ina mambo mengi sana inaonekana mzee alimpenda sana mke wake hataki kuwa mbali nae
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
kwetu mtu huzikwa karibu na mkewe au mumewe mke anazikwa right
@vailethamati5498
@vailethamati5498 3 жыл бұрын
Safi sana Mzee ayo
@gilbertgallus2877
@gilbertgallus2877 3 жыл бұрын
Hawa ni wazee walioishi katika misingi mizuri katika Dunia hii....hadi kufikia umri huo na bado anaishi.....bodaboda tupo ......najua nimeeleweka
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Mwanadam mwenye kutenda mema ataishi kwa muda mrefu
@williamsanga3884
@williamsanga3884 3 жыл бұрын
Tupo
@driftdumper8927
@driftdumper8927 3 жыл бұрын
Babu Nina muelewa vzr!! Kitu anachokifanya ukiwa bado kijana unaweza kuona sio kizuri lkn babu ana 102 yrs. Ameshaonaw mwisho upo karibu why not usijiandalie makao yako!
@bobnaah7532
@bobnaah7532 3 жыл бұрын
Mzee anasema mwanaume atakula kwa jasho mwanamke atazaa kwa uchungu
@judymmuinde9321
@judymmuinde9321 3 жыл бұрын
True
@alexkissinga.5883
@alexkissinga.5883 3 жыл бұрын
TISHIO JIPYA LA BONGOFLAVOR👇🏾 Brand new Audio / Video NDOTO kzbin.info/www/bejne/bWmWcn2bma6hntU Written & Perfomed by @tonytreez_ Producers @Produceperfect Directed by @Creatorpro5
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 3 жыл бұрын
THIS DAD AKO NA WISH SUPER BABU
@allymsafiri5574
@allymsafiri5574 3 жыл бұрын
Inalillah wainaillaih rajuun Mzee wang ni mwenymungu pekee.ndo anaejua wap utafia
@hijjahbintmardhya6613
@hijjahbintmardhya6613 3 жыл бұрын
Ndio Mwenyezi Mungu ndio anajua lakin pia kumbuka unatakiwa kuiacha dunia kabla dunia haijakuacha Hata ktk dini yetu inatufunza tukumbuke mauti ili tuzidishe kujikurubisha kwa Allah
@allymsafiri5574
@allymsafiri5574 3 жыл бұрын
@@hijjahbintmardhya6613 kukumbuka umaut si kwa kuandaa kabur kwan mwwnyez mungu anajua ni wap na saa ngap malakul maut atatoa roho yako kama ni chin ya maji naww umetengeza kaburi maana yake unamkufur mungu
@hijjahbintmardhya6613
@hijjahbintmardhya6613 3 жыл бұрын
@@allymsafiri5574 Wajua Angekua Muslim mwenye dini angefanya zuri zaid ila rafiki zetu hawa Imani zao ningumu kufanya alivyofanya tena Tukiacha Upande wa Dini Baadhi ya wazee huwa hawafikirihi wala hawataki kuskia kuna kufa bali hutaman kuishi hata hutaman ingekua mali yarudisha ujana wapo tiyari kutoa but Imani yake anakumbuka kuna mauti na ipo karib .Mwenyezi Mungu ndio mwenyekujua zaid. Ya Rahman aturuzuku Ghusn khatima .
@pilabiliani9394
@pilabiliani9394 3 жыл бұрын
@@hijjahbintmardhya6613 naona unaanza kutoa mawaidha kaa tulia Lea ndoa yako
@florianhashimu1370
@florianhashimu1370 3 жыл бұрын
Acheni makuu MUNGU NDIYE ANAYEJUA YOTE
@maulidikigona7590
@maulidikigona7590 3 жыл бұрын
Du huyo mzee noma kbs
@faridaabdallah4543
@faridaabdallah4543 3 жыл бұрын
waooo mzee memory haijapotea mungu ni mkubwa
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Amefanya vinzuri na je jeneza liko wapi? Haogopi kufa tungekuwa hivyo ungependeza na wosia andika kabisa
@diwanikatayankonko2671
@diwanikatayankonko2671 3 жыл бұрын
Safi...mzee amefanya jambo zuri lenye kuufurahisha moyo wake
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 жыл бұрын
Yupo sawa mwisho wa kila nafsi ni kifo atazikwa hapo 🙏🙏🙏🙏
@saudatkiuta5060
@saudatkiuta5060 3 жыл бұрын
kilimo na ufugaji kalisha watoto kumi kalea pia Sasa sisi tunaesubir ajira tunachelewa Sana 😄
@naymollel4829
@naymollel4829 3 жыл бұрын
MUNGU tudalie miaka mingi mno,baba/babu tunakuhitaji MUNGU atakuongezea miaka zaidi
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Millard number one in TZ..media nyingi kila siku news za wasanii.
@carptentv6848
@carptentv6848 3 жыл бұрын
Kabisa hakunaga ndio maana kapata bilioni moja
@carptentv6848
@carptentv6848 3 жыл бұрын
Kabisa hakunaga ndio maana kapata bilioni moja
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
PLEASE NAOMBA MNISAIDIE KUSUBSCRIBE KACHANNEL KANGU 📀🔔🔔🔔🔔
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Uyu mzee nimemkubali sanah
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
Ni dhahiri kabisa watu wengi duniani ni wajinga sana kuhusu kifo ndiyo maana tunaona wengi wanahangaika na makaburi wengine majeneza badala ya kuhangaikia hatima ya roho zao. Mwili ni vazi la nafsi na roho na asili ya mwili ni udongo. Kwa ufupi kufa ni kuhama kutoka ulimwengu wa mwili na kuingia ktk ulimwengu wa roho.Hivyo inatupasa kuhangaikia maisha ya ulimwengu wa roho ambayo ni halisi kabisa kama yalivyo maisha ya hapa dunia. Kaburini ni mahali pa mifupa na hakuna hisia zozote za uhai.
@mwajabually2407
@mwajabually2407 2 жыл бұрын
kwan uko tunakoenda tunaishi tena jmn au napenda sana nikakutane na mamaangu jmn
@annajustin1945
@annajustin1945 2 жыл бұрын
Hakika umenena ningefarijika ningeaikia babu amemtafuta Mungu zaidi..si kugharamikia kaburi hiyo hela angemtolea Mungu sadaka. Ili ajiwekee hazina Mbinguni..mahali ambapo nondo na mchwa hawali
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Mashaa Allah babu masikio yako sawa,macho,akili,nguvu bado ipo
@novatidamian7236
@novatidamian7236 3 жыл бұрын
Hili sijambo la kutisha, basi kwetu africa tutaona kama si lakawaida. Lakini kwa wenzetu wazungu jambo hili la kuandaa kaburi ni la muhimu tena sana ikizingatiwa kuwa mda wowote linaweza likatokea nahuku huna chochote. Hivyo basi maandalizi yanaanza mapema kabla hakijakupata. Kwa mfano hapa Marekani unazaa wtoto wawili unaanda viwanja vinne vya kuwazikia, hata kama huna pesa tasrim unaanza kulipa kidogo kidogo mpaka unamariza. Kwahiyo mzee msimashangae yuko sahihi na amewapunguzia mzigo watoto msiwe na tamaa ya hiyo pesa anayo jifanyizia maandarizi ya mwisho wake.
@maryammohd5994
@maryammohd5994 3 жыл бұрын
Huyu mzee atafikia umri wa hizi comment😆😆😆😆😆😆😆😆
@abuumwichumu5520
@abuumwichumu5520 3 жыл бұрын
Umetisha umefikiria sana 👍👍
@evelinmushi8617
@evelinmushi8617 3 жыл бұрын
Imebidi nirudi kuangalia zimefika ngapi hizo comments..hahahahahaaaa
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 жыл бұрын
Akiamungu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@iddothmani3273
@iddothmani3273 3 жыл бұрын
Hahaaa mzee katisha
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
@@evelinmushi8617 😃😃😃😃😃
@rosemarymoshi127
@rosemarymoshi127 3 жыл бұрын
Ayo family Mungu akuongezee mingine bodo unanguvu
@damianmakala2913
@damianmakala2913 3 жыл бұрын
Sawa sawa kabisa Babu mwisho wa kila binadamu ni kufa !
@mnegaamina6085
@mnegaamina6085 3 жыл бұрын
Babu anajitambua sn ni vizuri
@marienemasitsa2255
@marienemasitsa2255 3 жыл бұрын
Mm binafsi nmeshangaa sana but iko sawa kama ameamua ivo but kaburi yajimbwa na million si anitumie aghalau elfu mbili tw
@mss9327
@mss9327 3 жыл бұрын
Mung azid kuk lind mze wet na akupag mwish mwem 🙏
@colebarinaitwe4153
@colebarinaitwe4153 3 жыл бұрын
He is very bright the way he answers the questions
@issaissah8832
@issaissah8832 3 жыл бұрын
Daah yani hata usiku uwe mlefu Vipi lazima kuta kucha tu miaka 101 duh
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 жыл бұрын
Halafu mzee hata dishi halijayumba. Mzee anaifikiria sana mipango miji
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Nakushukuru mtangazaji uko vizuri kwa namna unavyo mhoji huyo Mzee.
@frolabenjamin6243
@frolabenjamin6243 3 жыл бұрын
Huyo mzee. Yuko vzr maana bora nizikwe nafasi yangu huku ikijua ninapokwenda. Isitoshe kwa nza. Amezeeka
@joelmbise2189
@joelmbise2189 3 жыл бұрын
Ok, well and good
@stellaj6733
@stellaj6733 3 жыл бұрын
Hey Joel mm ni stellar mbise lkn kwa sah Niko Kenya nimefurahia sana kuona huyu mzee ni wa nyumbn kabsaa
@elisijohni1880
@elisijohni1880 3 жыл бұрын
babu nakupa big up kwakujiwekea makao mazuri
@sammysammy2001
@sammysammy2001 3 жыл бұрын
Kabisa mzee nakuunga mkono
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
Wee🤣🤣🤣 babuuu barkiwaaa umemubeep Mungu ucjali atakupgia Kwa maandalizi yk mazuriii, waazi babuuu kajiandaa🤣🤣🤣🤣
@dihnomoses6276
@dihnomoses6276 2 жыл бұрын
Yuko sawa kabisa babu
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Mzee Safi sana safari unajiandalia mwenyewe
@RiriwaNgai
@RiriwaNgai 3 жыл бұрын
Nimebaki namshangao kwan tanzania kun wameru ??? Hata kenya kuna wameru
@gladyfabian8749
@gladyfabian8749 3 жыл бұрын
hata huku Tanzania wapo
@paulwambomba502
@paulwambomba502 3 жыл бұрын
Noma san nadhan ni Kenya pekee,
@ayoayoo1222
@ayoayoo1222 3 жыл бұрын
Uyu mzee hataki kuwapatia watu kero baada ya kifo chake na ashaona mengi Familia zikizozana baada ya marehemu kuondoka..
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Mzee ameshtuka wanaweza kuuza hilo shamba na ukiweka kaburi hapafai kuuzwa wala kukopa taasisi za fedha.
@maclinakyaruz9179
@maclinakyaruz9179 3 жыл бұрын
Hongera cn babu
@alutoolifestyle9319
@alutoolifestyle9319 3 жыл бұрын
Jeneza iko wapi sasa mzee Ayo!
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni 3 жыл бұрын
Mzee usiache Lana bwana
@williamftairo3475
@williamftairo3475 3 жыл бұрын
Kilicho bora zaidi ni mtu kijiandaa kule unakoenda kuna maisha baada haya ya duniani, na yale ya kule ni ya milele. Mzee anatakiwa amkubali Yesu kuwa ni mwokozi wake na akabatizwe ubatizo wa maji mengi.
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
😂😁😅😅😅😅🤣🤣🤣watu ao binadamu wasiku izi sijuw tunakwama wapi mwisho kuishi 80 mtu anakufa nawengine ata awafikishi ila watu wazamani adi amafikisha miaka 100 nazaidi duh hongera sana mzee
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 3 жыл бұрын
Life styles tunayoishi ni mabaya sana ndo maan life span imepungua na inapungua kwa kasi sana
@janethsambwiga3588
@janethsambwiga3588 3 жыл бұрын
Hongela zak
@victoriakasiani1529
@victoriakasiani1529 3 жыл бұрын
Amina Baba
@jacklinijohn3953
@jacklinijohn3953 3 жыл бұрын
Uko sawa babu yangu kila nafisi itaonja umauti nanikupongeze kwakupenda mkeo hadi ssa nahata mungu amekupa umri mkubwa kwani hukuwa mtapatapaji kwa wanawake wengine mungu akuongezee miaka mingine babu uzidi kuwapa vijana osia
@gloriatoo22
@gloriatoo22 3 жыл бұрын
Mzee ako sawa..hataki kusumbua watu akifa ilhali yeye ni tajiri
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 3 жыл бұрын
Kweli babu tujiandae na safari ya kuelekea akhera natuwe tunakumbuka kifo
@victormtani7170
@victormtani7170 2 жыл бұрын
Mzee amewaambia juu ya kifo ya kuwa atakufa hivyo lazima afe. Mungu ndio alisema tutakuwa hivyo mwacheni mzee babu anajua analolifanya ninyi digital hamjui lolote. Ulaya Marekani na Ughibuni MAKABURI watu wanajitengenezea mapema nani uje umwalike akuchimbie akununulie sanda na history zinachakachuliwa mzee kajiandalia vizuri hakuna dhambi. Atazikwa Kwake hata mimi nitafanya hivyo.
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 3 жыл бұрын
101-23yrs=78 bdo ila inxhallah
@georgeisdory9998
@georgeisdory9998 3 жыл бұрын
😁😁😁👏👏👏 Never Give uP 💪
@salvatory2987
@salvatory2987 3 жыл бұрын
Mumbe Mungu utafikisha2
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 3 жыл бұрын
@@salvatory2987 kamaukiwa khery nami
@fadhilarajabu903
@fadhilarajabu903 3 жыл бұрын
Unaweza ukaishi miaka mingi na bado ukajiona umeishi miaka kidogo jambo la muhimu ni kuomba mwisho mwema tu
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 3 жыл бұрын
@@fadhilarajabu903 ndio nmesema apo juuu
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Mzee noma sanah
@mrmangetown4323
@mrmangetown4323 3 жыл бұрын
Mzee ameshakata tamaa ya maisha kila akiangalia cheti cha kuzaliwa 101 anahisi kuzidi kuishi Zaidi ya hapo itakuwa bahati juu yake.
@fatumagodfey8838
@fatumagodfey8838 3 жыл бұрын
Mtangazaj noma namkubali
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 3 жыл бұрын
Hii kali kweli mwenyewe kajieka kivulini haya wananzengo habari ndio hiyo
@richardjohn9141
@richardjohn9141 3 жыл бұрын
nimempenda bure huyo mzee
@peterjonathan5681
@peterjonathan5681 3 жыл бұрын
Hawa wameru wenzang ni top heshima kwako mzee na ukoo wote wa Ayo
@maxshayo3466
@maxshayo3466 3 жыл бұрын
Wap
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 3 жыл бұрын
Ayo mko vizuri Sana kutu habarisha
@baswarimohamedi2766
@baswarimohamedi2766 3 жыл бұрын
Asee mungu ndo anajua kifo gan unaeza kufa ukaungua na moto majivu na mvua ikanyesha majivu yakaenda na maji je ilo kabur lako VP..,
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 жыл бұрын
Watazika nguo zake kuenzi ahadi yake
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Watayachota hayo maji yalochukua jivu lake yatiwe humo
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 3 жыл бұрын
Watazika hata picha yake.
@olivadickson1466
@olivadickson1466 3 жыл бұрын
Baba uko vizuri mchango hautakuwepo?
@willyjulius7740
@willyjulius7740 3 жыл бұрын
Watoto sana
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
huyo mze iko makini ila aondoe wasiwasi serkali haina ruhusa yakumhamisha kama ni sehem sahih kwenye hiyo ardhi yake.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Wanaweza kama wanalihitaji sehemu alafu wanampa kwingine. Inatokea Sana mikono, sijui km itatokea huko Kijijini alipo
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 hawawezi labda kama nikwakupisha barabara ao nikaribu na mto wamaji hapo ndo anaweza taftiwa sehem nyingine utaratibu nihivooo mkuu.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
@@rukundoibrahim807 labda kwa sasa zamani walikuwa wanadhulumu kabisa. Unanunua sehemu, wanajifanya kuja kupima, wanavigawa kwa vigogo na kuwapeleka kwingine. Iliisha mtokea ndugu yangu mara 2
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 nihivo inchi nying za africa ila chamhim nihati miliki kwakua hawana uezo wakuzikuchukua kwasasa tz hamna atakae dhulumiwalabda kiongozi atakae kuja akizembea dhulma itarejea tutumai dhulma haitorejea
@marygregory7566
@marygregory7566 3 жыл бұрын
Mzee Ayo akihojiwa na AYO TV
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 6 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 57 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 63 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 66 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 6 МЛН