Elimu hii unayotupa ni kubwa mno kila tunapo kusikiliza tunapata maalifa Sana MUNGU akubariki akupe maisha marefu.
@PeterMahona-zd3oz26 күн бұрын
Bishopu ubalikiwe kwahekima uliyona namalifa
@paulinebogohe-pi8gnАй бұрын
Nakuelewa sana Bishop
@stewartdyamvunye-wz6rnАй бұрын
Bishop. Mimi nadhani kwa hoja zako kuntu za kiroho, elimu dunia, hekima na upeo mpana wa ufahamu wa mambo ya dunia ya leo (good exposure), naona vema uwaige: Castro, Che Guevara, Kambona, Lissu, Lema, walivorudi nyumbani kupigania umma. Nawe rudi Tanzania! Utaniambia, impact itakuwa kubwa zaidi kwa kuzingatia unayoyahubiri dhidi ya ufisadi wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni hapa tanzania kuliko ukiharakati ukiwa nje ya nchi.
@TM-zs3rmАй бұрын
Ahsante kwa kusema pumbavu. Sababu ni wapumbavu. Nchi haiwezi kuendelea kwa kutoa mali za nchi kwa wageni wakimiliki % 90 na nchi % 10 tu. Kama huu si wizi na ufisadi Bali ni nini. CCM na Serikali tuambieni na mjini huyu ndugu Fumbua macho. Inaaibisha sana kimataifa.
@humphreymkony891529 күн бұрын
Jamani Wagalatia/Watanganyika ni nani katuloga?
@djovitadiyami6085Ай бұрын
'Self centred and stomach focused leadership' hakuna cha 'Nation focused leadership' ni ushindani wa kutawala kifisi.AZIMIO LA ARUSHA ILIZIMWA SASA MTAFUTE TOCHI YA KUTOKA GIZANI.DIRA 2050 BILA SERA MADHUBUTI TUTAMEZWA NA NYANGUMI WA DUNIA KAMA DAGAA.
@kingmichael1234Ай бұрын
CCM HAWAJIAMINI NDIO MAANA WANAIONGOZA NCHI KWA MAUWAJI NA SIO KIDEMOKRASIA. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿🙏🏽😢😢😢
@TwalibuKimaro-th5mvАй бұрын
😆😁👍
@ZuzuTheGreat-e8dАй бұрын
Hata wana wa izraeri walipitia mateso makari kwa miaka mingi sana lakini ilipo fika wakati wa MUNGU falao na jeshi lake hariku wazuia wana wa izraer kundoka mungu atamuinua mfalme katikati ya nyumba yao kuwa kuwa tetea watanzania
@gowekogoweko5803Ай бұрын
HIVI NIJIULIZE AU TUJIÙLIZE TU TUNAMWEELEWA ANACHOTUAMBIA HUYU BISHOP SAWASAWAA EE MWENYE ENZI MUNGU TUSAIDIE
@BITEBOKHALIDАй бұрын
Kwani Wakati wakuandikisha visitumike vyeti vya kuzaliwa
@furahamwikombo-p7gАй бұрын
Tunahitaji wajasiri kama fumbua wangapi??... Ili tupate viongozi wazarando..
@MiriamAziz-z5tАй бұрын
ASKOFU....MANENO MAZITO YENYE HEKIMA, BUSARA NA UZALENDO WA HALI YA JUU KWA TAIFA LETU.....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.
@IlhamKhalid-mt3jpАй бұрын
Dah
@kennycathlesАй бұрын
Nyie Vibaka mbona Mmekata Hii Speech?...pale Mwanzo alipo ongelea kuhusu Uchi wa yule Mama wa CHADEMA aliyetekwa, kupigwa, na kudhalilishwa... Nyie mnaleta Mapambio tu! Kama unatoa jambo toa, lakini usikatekate au unaogopa Chombo kitafungiwa???😂😂😢😢
@TwalibuKimaro-th5mvАй бұрын
Wamekosa hekima na busara
@jamilbillo5944Ай бұрын
Wapinzani wanaojificha kwenye mwamvuli wa dini ndio Hawa PUMBAVU KABISA!
@samsonfulgence5553Ай бұрын
Pumbavu ni wale wote wanaoinajisi nchi yetu kwa wizi, ufisadi, wizi wa kura na uchaguzi, machawa na wahuni na wote wanaounga mkono uhuni unaoendelea kwenye nchi yetu