Ccm wenzangu mbona mnaharibu ushindi wenu ? hivi mnawafanya watu wenu kuwakumbia ,kuna nini?huyu mtu hakuwa na silaha lakini polisi mnashambulia vile?viongozi wetu Ccm ebu angalieni hili vizuri
@RizwanAbdallah5 сағат бұрын
HIV Hawa polic watanzania wanatafuta nn
@prochesytesha80405 сағат бұрын
Nikweli ni mambo yasio vumilika mdude kamanda kwelikweli
@gaagwasaugustino25846 сағат бұрын
Mungu hakika wewe upo unaishi na kutawala milele, onekana katika Taifa letu la Tanzania, tuondolee hawa waovu wote wa Serikali dhalimu ya ccm katika Taifa hili, Ameni.
@gaagwasaugustino25846 сағат бұрын
Mungu tunaomba usimame na wenye HAKI wote Katika Taifa hili, Mungu umpe Mdude haki anayostahili, Ameni.
@gaagwasaugustino25846 сағат бұрын
Hawa mashetani Mbwa Mwitu ccm wamelaaniwa na wamekaliwa na Mungu! Hivyo wanayoyafanya wametiwa upofu na ukiziwi! Ila hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho! Hivyo hata hao mapolisi, watekaji, wauaji na kila anaetenda uovu kukandamiza haki za wanyonge siku zao zinahesabika mbele za Mungu, Ameni.
@RaphaelDeogratius7 сағат бұрын
Ccm wamepigwa upofu,Mungu atajibu.
@Shabani-uz1sb7 сағат бұрын
Achakudanganya, Bado, ww
@gaagwasaugustino25847 сағат бұрын
Mungu sii Mwanadamu! Hivyo unapotishia wenzako na wewe ujiandae kwani hujui kesho yako Shetani au Mungu amekupangia nini!
@prochesytesha80405 сағат бұрын
Wewe katawaze ulale ujakua
@generosennko83437 сағат бұрын
Mdude mwanetu. Namwona mandela ndani yako, namwona martin luther king, namwona gadhi, nawaona wapigania haki wengiwengi wakiwa ndani yako. Asante kwa kulijali taifa lako. Greater is he that is in you, than the one who is in the world
@christinenyagiro66628 сағат бұрын
Kwahiyo Samia ni mmoja wawanawake katika Bible
@christinenyagiro66628 сағат бұрын
Mbona WANACCM mbona wananyanyasa watanganyika wanaonewa kiasi hiki? Polisi wamepewa rungu la kutesa watanganyika? Mungu hatawaacha salama hawa polisi salama hata kidogo.
@gaagwasaugustino25847 сағат бұрын
Hawa mashetani wa ccm wanataka kutawala Taifa hili kidkiteta! Hivyo Wananchi hasa Watanganyika amkeni kuwa makini ikatae ccm na vibaraka wake wote! Uchaguzi huu kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais, msiwachague hao mashetani wauza rasilimali za Taifa, watekaji na wauaji! Chagua Rais Mtanganyika!
@christinenyagiro66628 сағат бұрын
Sasa mnafanya nini kila kukicha wanafanyia watanganyika. Kwa nini watu kuwafanyia watanganyika na kunyanyasa watu kiasi?
@rebeccamaziku50709 сағат бұрын
Tanzanian we are good of talking, but not to take action.
@gowekogoweko58039 сағат бұрын
MDUDE NI NYARA YA TAIFA
@hildandumbalo58279 сағат бұрын
Kabisa ni shujaa wetu
@MunguliloManoni9 сағат бұрын
HAKIAKA HAWA WATATO HESABU MBELE ZA MUNGU SIKU YA MWISHO
@knight67579 сағат бұрын
🤲
@bensonkaduvage954913 сағат бұрын
Amani ni lugha ya Propaganda ya Watawala wa CCM ambao wako Madarakani bika uhalali kupitia wizi na uporaji wa Demokrasia walio ufanya 2019 na 2020. Lakini kumbukeni kwamba mwisho wa Maovu yenu ni Vilio na Kusaga meno -- And that time is not far away kwa Utawala huu Dhalimu!!
@christinenyagiro666215 сағат бұрын
Jamani polisi bado wanatulinda? Au wao wako kuwamaliza watanzania
@christinenyagiro666215 сағат бұрын
Sasa hili gari la polisi linafanya nini huko vichakani jamani. Sada ni jeshi la wanainchi au ni jeshi la magaidi?
@StephenNjau-y4y15 сағат бұрын
Nguvu kubwa sana
@christinenyagiro666215 сағат бұрын
Jamani hii ni Inchi salama kweli?
@nyabahailani316915 сағат бұрын
Hivi nauliza hii ni kitu gani mnafanya nini nyie police mnaletea nchi balaa sisi tunamshitakia mungu na mtaona
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv15 сағат бұрын
CCM ni vibaka kama vibaka wengine tuuu na hao polic wao Kuna siku tuta zichapa na hao polic hizo ni sale tuu mbona mazoezi tuna fanya nao na mengine Wana shindwa tunayo yafanya?
@MunguliloManoni15 сағат бұрын
hili swala litawagharimu polisi maana sauti zimepazwa duniani kote
@ChristmasMaheri16 сағат бұрын
Uchaguzi wa ngazi ya karibu sana na wananchi unavutia mateso makali sana kwa wananchi.Hii njia ya kupata viongozi wa wananchi,kwa hasara hii ya kupoteza maisha;ni ya lazima?
@isayamwashibanda581917 сағат бұрын
Kabisa
@wanguwangu3417 сағат бұрын
Mimi naumia sana kuona watanganyika wao kwa wao wanatesana na kupigana tena kwa ajili ya siasa, IGP angewafukuza kazi wote waliofanya kitendo hicho kuanzia RPC/RCO maana siyo utanganyika huo, kwa nini tusipendane tu na tushindane kwenye majukwaa pasipo kupigana, shame upon some police.
Matusi ndio yanakufanya uuwe laana itawala wote wanao watesa wenzako
@estachengula390218 сағат бұрын
Mimi naona raisi Samia hanauchungu na watoto wa wenzake kwanini anashindwa kuwathibiti hawa walio chini yake wanamchafulia Kila Kona tunajuta kuongozwa na ccm
@Gaynor123421 сағат бұрын
Hivi samia kweli unamjua Mungu kweli! Mungu anakuona usifikiri unafanya siri. Unalaumiwa wewe kwa sababu upo kimya unafurahia eti kupata urais! Inasikitisha sana. Utaendeshwaje kama gari bovu, eti kila wanachokuamulia washauri wako na wewe unasikiliza kwa kunyamaza kimya badala ya kupingana na hayo maovu, machafu, ushetani, ubaradhuri wa kiasi hicho umechafua na dini ya kiislamu!
@FrankMwakatundu-cu6bd21 сағат бұрын
Afadhali Makaburu wa Afrika ya kusini kuliko serikali ya CCM.
@margarethpolepole743821 сағат бұрын
Mungu tusaidie nchi imekuwa vurugu mechi tunaomba amani maana ibataka kutoweka mbona kipindi cha Watawala wa nyuma kulikuwa hakuna hali kama hii kuna nini hasa
@TM-zs3rmКүн бұрын
Kwa nini tusimshtaki Samia kwanza kabla ya hawa wadogo. Ni kumpeleka mahakamani aulizwe chanzo cha pesa za pikipiki. Hili tu linaweza kumfunga Samia. Anzieni hapo na kama kapewa na mashirika ya nje ni wazi hao wana interfea na uchaguzi wa ndani kwa self gain.
@TM-zs3rmКүн бұрын
Kelele za wote waliochangia na si sauti ya watanzania pekee. Tuwe pamoja kwa hili.
@JuvenaliNgonyaКүн бұрын
Ccm hawana sera sakuwasaidia watanania chadema imeokoa Mambo mengi sana
@JuvenaliNgonyaКүн бұрын
Asikari ndie wafunjifu waamani tanzania
@mayrfrimi4759Күн бұрын
Inauma sana kumuona kijana wa kitanzania alieko kwenye nchi yake akisulubiwa na polisi wanaosemekana ni walinda watu na mali zao, na kiongozi mwingine akasema ukimya sio ujinga, yaani anaona taifa linaangamia ananyamaza kwakuwa ukimya sio ujinga, da! MUNGU TUTETEE.
@mayrfrimi4759Күн бұрын
Hii clip ya kupigwa hapa inatia huruma , urasikia mtu wa tz akisema tz tuna amani, sasa hapa kuna amani gani, ?? Kiufupi Tz nzima wenye amani ni viongozi tuuu, wengine wote ni kula mateso kuliko hata mkimbizi. Cheki kijana anavyosulubiwa bila kosa, na sheria zipo. Ila utakuta kila kiongozi anafanya atakavyo. Ni nchi gani hii????
@mayrfrimi4759Күн бұрын
Wadau kubalini msikubali, police wa Tanzania yetu wamekuwa watumwa wa dhambi, wamevaa unyama uliopitiliza kwenye miyoyo yao, utendaji wao wa kazi hauna tofauti na jle wakati wa ukoloni, tz tulivyoteswa na kuondolewa utu, inasikitisha na samia anayaona haya anayanyamazia, kwa uonevu huu tutafika wapi watanzania?? Tuamke kwa kweli.
@RajabuLanda-t2eКүн бұрын
Po
@gaagwasaugustino2584Күн бұрын
Nashangaa hao mashetani vibaraka wa watawala wanatumia nguvu kubwa sana kumkamata mtu na kumpiga wakati hana silaha yoyote wala hajakataa kutii sheria bila shuruti! Hawa mashetani wakijiona wamevaa hizo sare na wamebeba Bunduki wanajiona wao ni miungu watu! Ila wasubirie wakati wa Mungu ukifika hata wao watalia! Mungu tunaomba utusaidie naona Taifa letu limeingia katika utawala wa mabavu yaani (udikteta). Viongozi wa ccm na Serikali yake mjitafakari sana kwa mnayoyafanya kwa Wananchi kwa sasa! Mnafikiria kuongoza Taifa hili kwa ubabe na udikteta!!!??? Naamini Mungu anayaona yote hayo na kuna siku itafika!!! Mtajutia!
@philemonsnyanda9450Күн бұрын
Mudude Hana siraha yeyote ile Ila nguvu zinazotumika sasa!
@DevotaPacrasКүн бұрын
MWABUKUSI MIMI NAKUKUBALI LAKINI TUNAPOTUPIANA LAWAMA NCHI HATUTAIKOMBOA, ULIVOJITETEA KUWA ILIKUWA INAONGEA SANA KABLA YA KUWA RAIS WA TLS. NA T LS INA MISINGI YAKE. JE HAMWONI HATA CHADEMA WANAMISINGI YAO NDIYO MAANA AWATOKI kilahis KUCHUKUA HATUA WANASUBIRIA makubaliamo kama wewe. LAKINI mara NYINGI ninesokia mkilaumu VIONGOZI WA CHADEMA. JE UKOMBOZI WA NCHI ni CHADEMA TU?
@ErickpatrickBisengimanaКүн бұрын
Ajaonewa matusi yake
@AlumanaPillaКүн бұрын
Vipi ikiwa kwako
@abnermailos804320 сағат бұрын
Ivi wewe unahofu ya mungu kweli
@nyabahailani316915 сағат бұрын
Utakufa kwa uchungi sana wewe Erick mkundu wako
@ErickpatrickBisengimanaКүн бұрын
Ndio aache matusi safi
@ashelmichael4308Күн бұрын
Mungu anakuona
@tupokengwala202716 сағат бұрын
Nimekosea siwezi kuunga mkono ukatili kama huu.
@bensonkaduvage954913 сағат бұрын
Bisengimana, inaelekea wewe ni Mkimbizi au una asili hiyo 29:58 !! Au unataka Watanzania tuwe wakimbizi kama ulivyo wewe? Funga kinywa chako Ili ulinde fadhila ya Watu wa Wanzania kuwapokea na kuwapa hifadhi watu wa aina yako!!!
@wilisonimeyasiwilisonimeyasiКүн бұрын
huuu ni uonefu
@MagdalenaBeenadКүн бұрын
Wauwaji wakubwa safe midomo wazi mbwa wakubwa
@MagdalenaBeenadКүн бұрын
Wauwaji wakubwa eatakufa midomo huu tena midomo wazi mbwa hawa