Bishop Ngonyani_Kurudi kwa Yesu mara ya pili (episode 15)

  Рет қаралды 1,838

Ngonyani Tv

Ngonyani Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@polinepoline2863
@polinepoline2863 3 жыл бұрын
Asante mungu akubariki kwa kukufuatilia nimeelewa kitabu cha ufunuo
@wasaficlassicshoes
@wasaficlassicshoes 2 күн бұрын
Hii hadithi yako kaka inauongo mwingi nivile hakuna wakukuhoji😢
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 3 жыл бұрын
ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
Barikiwa Sanaaaaaaa
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Mtumishi samahani tulikua tunaomba utufafanulie katika ufunuo yale makanisa saba na maagizo yake yaliopewa
@happysiwakamil1970
@happysiwakamil1970 3 жыл бұрын
Baba Askofu. Hii miaka 1000 ya utawala wa Yesu watu watakuwa wanaoana, na kuzaa kama kawaida?. Je hao watoto watakaozaliwa kipindi hiki watakufa au Hawatakuwa wanakufa? Na je kama wanakufa kwa hiyo wao wote wataenda mbinguni maana wamezaliwa na kufa kipindi ambacho Shetani amefungwa na hakuna dhambi? Nifundishe baba
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Sasa mtumishi inatakiwa tufanye nini ili tuandikwe katika kitabu cha uzima
@HabilyTech
@HabilyTech 3 жыл бұрын
Kutubu na kuacha dhambi kuishi maisha Matakatifu yanayompendeza Mungu
@ngonyanitv9687
@ngonyanitv9687 2 жыл бұрын
Mwamini Bwana Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako, kama bado hujaamini
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
Daaaaaaah Hakutakuwa Na Askari Wala Nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ngonyanitv9687
@ngonyanitv9687 2 жыл бұрын
Yes, hakutakuwa na uhalifu, so polisi wa kulinda usalama wa raia na mali zao hawatakuwepo. Wala askari magereza, maana hakutakuwa na wafungwa wakati huo.
Bishop Ngonyani_Ukweli wa mambo kuhusu mfalme Daudi.
25:53
Ngonyani Tv
Рет қаралды 1,4 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Bishop Ngonyani_Mfahamu mfalme Daudi kiundani.
28:01
Ngonyani Tv
Рет қаралды 1,4 М.
Bishop Ngonyani- USIO YAJUA KUHUSU SIKU KUU YA CHRISTMAS
20:32
Ngonyani Tv
Рет қаралды 5 М.
MUSIBA AIKABA CCM KOO AZUNGUMZIA UCHAGUZI UJAO
14:24
Zaka Tv
Рет қаралды 25 М.
Bishop Ngonyani_Fahamu mateso makubwa walioyapitia wana wa Israel
32:27