Kwa jicho la Roho YESU Alioa na Mke wake ni kanisa TAFAKARI
@Theironrod937313 сағат бұрын
Umeongea vyema.. mwenye masikio amesikia!!
@mutiembingi-le6kzКүн бұрын
Wewe subiri yesu ataoaje ? Na yeye ni mungu hio sio swali ya kuuliza Kwatu alieokokA
@malongoisack5811Күн бұрын
Umejibu kwa utashi wako tu toa aya kutoka kwenye bibilia
@immaculataroeser9094Күн бұрын
Yupi sasa si kiongozi ila freemanson?sijaelewa ni huyu paster au?
@LaysonmwakajilaКүн бұрын
Umeelezea vizur
@josephpeter8511Күн бұрын
nice nicely presentation bishop 👍 👌
@FRANCISMAKOKHA-z6hКүн бұрын
Ungeelewa Yesu ni nani aungesumbukana sana kuelesea swala maana jiulize kwamba jee malaika Iowa kama la na hata mbinguni hakuna kuolewa wale kuowa kwa nini utarajie means wa mungu alien mungu kweli kuowa na si swala umri hata kitoko
@SaadSameer-r9uКүн бұрын
Si niwe tu muumini wako😢 Mwalimu unatufundisha Bible yenyewe yaani full gospel siyo zile za mstari mmoja mmoja
@JosembisКүн бұрын
Thanks
@MichaelMathew-j3fКүн бұрын
Amen, uinuliwe ndugu yangu!!
@davidmaina797Күн бұрын
im listening 🎶 hapa unasikika vizuri kiliko kwa ile kipinidi ya Israel katika unabii
@denismugisha2Күн бұрын
MUNGU asingeoa ndilo jibu tu
@elizabethsenema946Күн бұрын
Yesu hakuwwza kuoa kwa sababu sisi ni watoto wake, mtu hawezi kuoa watoto wake. Liangalie hili mwalimu.
@Stay_with_God_tvКүн бұрын
Make American great, Trump ni mwanamatengezo Sasa,maana wazungu ndio wanaoongoza kwa uchafu wa Mambo ya rohoni.
@onesmoalphonce36762 күн бұрын
Ndo mana nakukubali uko smart sana Mungu akubarik saana
@onesmoalphonce36762 күн бұрын
Asante saana mwalimu
@lemijiussinsungwe68322 күн бұрын
Ngome zinafanyika..
@lemijiussinsungwe68322 күн бұрын
Ngome zinafanyika..
@stevenmbonaga83062 күн бұрын
Asante
@stevenmbonaga83062 күн бұрын
Asante
@ChilembMayond-z7x2 күн бұрын
Ule siyo kiyo ngozi ni freemason's
@ChilembMayond-z7x2 күн бұрын
Mimi apa nime muacha Mume wangu ni pastor fake
@zacharianyanda54242 күн бұрын
Sasa ulikuwa wapi Askofu kupinga wazi wazi kabla ya hapo.
@christinewomanoffaith54792 күн бұрын
Very true Trump ameletwa ili kutimiza baadhi ya mambo ya kinabii
@wasaficlassicshoes2 күн бұрын
Hii hadithi yako kaka inauongo mwingi nivile hakuna wakukuhoji😢
@christinewomanoffaith54792 күн бұрын
Bila kusahau kipindi Cha kwanza Trump akiwa rais ndo rais pekee aliyetangaza kuwa Jerusalem ni mji mkuu na sio tel Aviv
@fidelfidel-jz4iw2 күн бұрын
Hao wanafanya maasi zaidi ya hayo kwanza walio wengi hawajui neno dhambi kazi bado wanayo
@bonifacemtei92682 күн бұрын
Amina mtumishi umepotea sana bishop
@MjumbeMwema2 күн бұрын
Amina baba, asante kwa ujumbe huu, MUNGU azidi kukubariki kwa Jina la Mwokozi wetu YESU KRISTO, Amen.👏🔥💯🇹🇿🇮🇱👍
@wasaficlassicshoes2 күн бұрын
Huyu ni muongo
@Emmadav14 күн бұрын
😆😆😆
@charlesmakelele42685 күн бұрын
Asante Askofu kwa uchambuzi.
@williamkilulu22227 күн бұрын
ninakusalimu katika jina la BWANA wetu Yesu kristo mtumishi na mwalimu wangu mimi nataka sana kupata helimu kutoka kwako nataka sana kujiumgunga katika chuo cha masomo ya biblia ya online maana nipo nje ya inchi
@AndrewKisava8 күн бұрын
Wenye haki najasili tanzania iliuwapate inatakiwa darubini kali sana hivihivi ni ngum kuwapata
@nelsonnyamle8 күн бұрын
Kama toka mwalimu anatakiwa apumzike maana wenzake wamepumzika.
@ObediDanieli8 күн бұрын
Huku kwenye akaunt yako upo kimya sana mtu wa MUNGU
@onesmoalphonce36769 күн бұрын
AMEN ukoo CCM chadema?
@SethCharles-f4o22 күн бұрын
Sawaaa
@SethCharles-f4o22 күн бұрын
Hiyo 666 ni ushikaji wa sabato bandia yaani jumapili
@onesmoalphonce3676Ай бұрын
Mbona sipati kipindi cha tatu au uliishia hapo hapo
@kakuzekakuze7564Ай бұрын
waroma walikuwa wanaabudu wapagani bana acha kusema ivo
Mwalimu, nafatilia mafundisho yako Sana nimefundua mapigo Mungu atakayoaa hia siku za mwisho yanafanana kwa sehemu kubwa na Yale waliyopata wamisri kule Misri walipokaidi watu WA Mungu kuondoka. NI kweli mwalimu?
@anicetnhegetelaАй бұрын
kwanini waadhimishe katika tarehe ambayo Tamuzi alizaliwa kule babiloni