Bwana Yesu nimelisikia neno lako na ninakuja mbele za Uso wako mimi ni mweny dhambi ninaomba unisameh dhambi zangu na ulifute jina langu katika kitabu cha Hukumu na uliandike jina lang sasa katika kitabu cha Uzima na katika vitanga vyamikono yako Asante kwa kunisameh dhambi zangu Asante kwa kuniokowa katika jina la Yesu Christo Amen 🙏 🙏
@yalalaambobe95285 ай бұрын
Ee Mungu wangu nisaidie unifunguwe katika laana zote
@AmidaNsengiyumva5 ай бұрын
Amiiin
@luciamsuruja39685 ай бұрын
Ameeen Ameeen ubarikwe sana Mtumishi wa Mungu Bishop
@neematanganika72215 ай бұрын
Amen 🙏 Amen
@JuniorEmtee-og1hv17 күн бұрын
Bwana mungu muhepushiye mke wangu na roho mbaya zinazo mkabuli na wabariki wengine pia😢
@MtumishiIsrael5 ай бұрын
Amen naomba mtumishi uniombee nipate gari
@purymumykarisa88635 ай бұрын
Amen
@rumariletimba75855 ай бұрын
Amen,nafunguliwa kwa jina la Yesu
@millicentrabera5 ай бұрын
I thank 🙏🙌 God
@EuniceWandawa5 ай бұрын
Niko Kenya am happy for this massage,may God remember me
Mungu wangu mponye mwanao Lusia kifafa mda huu 1:28:4p
@RhoidaKatonga5 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabau vuka yordani
@dieudonnendimurwangu5 ай бұрын
Namba
@EmmaWabadae5 ай бұрын
See mungu mponye mwanao Lydia kifafa leo
@marymessay27684 ай бұрын
Ee Yesu asante kwa somo lako linanifungua na fungua mwanangu ili aoe na mke atoke kwako Mungu na ufungue ndugu zangu wawe huru na mamaangu tufute kwenye kitabu cha hukumu tuandike katika kitabu cha uzima
@BahatiJohn-zd9px5 ай бұрын
Qatar najiconnect kwa ibada
@RafikiIbrahim4 ай бұрын
Nakuinulia macho yangu Bwana niponye n'a laana hizo nisaidie baba yangu
@hsjshs28945 ай бұрын
Sintakufa Bali ntaishi nipate kuyasimulia matendo ya Mung. Yesu.
@KiKenya-lu1by5 ай бұрын
Niko Kenya nukubuke
@RafikiIbrahim4 ай бұрын
Bwana neno lako nikweli n'a haki nimelisikia nakuja mbele zako uniponye n'a laana hizo nisaidie baba yangu najinyenyekeza uniguse n'a watoto ulio nipa