I'm Tanzanian, but Kenyan politics is way more advanced than any other East African country.
@slymsameer54153 күн бұрын
So what
@ngatia197717 күн бұрын
Niliishi Tz kipindi cha Mkapa na Kikwete na picha niliyoipata ni kwamba nchi hiyo iko hatua mbele kuliko kenya.Kwa nini?Wana utu,wana amani,Maendeleo yao ni ya ukweli na miundo mbinu ni mikubwa na iliyojengwa kwa uadilifu bila ufisadi.La mwisho,hakuna umaskini wa kukidhiri na unaweza kujiendeleza bora uko na bidii.
@iam_deo20 күн бұрын
Nasemaga Kenya wanahesabu kila transaction hata Filigisi ( Gizzard) zinaouzwa . Wakati Tanzania hawana time hiyo. Tanzania ikiweka kila Data ya transaction Tunawapita mbali sana sana. Tumeshawapita Kenya siku nyingi sana. Sana tu . Kabisa !.
@ellymakongo65620 күн бұрын
Nimeipenda hii hususani finishing imekaa kizalendo sana
@jacksonmsendo347820 күн бұрын
Jamaa anajua sana very smart guy
@ridhiwankanjoe207820 күн бұрын
Safi sana Kaka umeongea vizuri sana,yaani mimi huwa natamani hawa wazungu wafanye vibarua vya kulima mashamba yetu tena kwa jembe la mkono na inawezekana kama waafrika tutaamka na kufanya mambo yetu.
@ramdanmbara850020 күн бұрын
Nakukubali sana wewe ndugu. Nimekua nikifuatilia video zako, hakika wewe ni Mzalendo wa kutumainiwa.
@xyz-v6d20 күн бұрын
Wakenya wanaamini kujua English ndio kila kitu wakati wachina wanaongea zao kichina na wanaendelea
@OmmyJames-xn7ji20 күн бұрын
TANZANIA ❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@azorheradius868120 күн бұрын
Nakuelewa, na naona unaelewa vzr unachozungumzia. 👍🏼👍🏼👍🏼
@eddyjabry693920 күн бұрын
Absolutely 💯 agree with you my brother…we need people like you brother..Asante sana
@paulinewangila-cs6ys20 күн бұрын
Hongereni jirani zetu nafuatilia sanaa ❤
@malopemaliyamungu524317 күн бұрын
Karibu @Pauline.. Kenya Ni mipaka tu ya wakoloni but my relatives wengi wameoa na kuolewa Kenya. Let's build our strong future
@athumanibakari-j6u19 күн бұрын
Baba,uko vizuri.kuna watu hujivunia maendeleo ambayo misingi yake iliwekwa na wakoloni waliowatawala.ss wengine maendeleo yetu ni nguvu zetu wenyewe
@rithersospeterkati335516 күн бұрын
Mfano, uljerumani, Sweden, Danmark, Finland, Norge, ufaransa. Svealand, poland hizi nchi zinaheshimu lugha zao ukitaka kuishi uko na ufanye kazi uko lazima ujue lugha yao. Kwa hiyo na sisi tuipende lugha yetu kiswahili na tuiheshimu. Asante. ❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
@rithersospeterkati335516 күн бұрын
❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@AhaziSimwakwenda20 күн бұрын
Mjomba ubongo mdoga hawawezi kukuelewa watumwa wa fikla kukuelewa ni kazi sana kuku elewa
@imaniLameck-fd4eb20 күн бұрын
MUNGU IBARIKI TZ ZIDI KUTUWEKA JUU NA BADO HAMJASEMA YAANI MPAKA MSEME KUTANGULIA SI KUFIKA HATA NEW YORK ILIITANGULIA HONG KONG LEO HII HONG KONG IKO JUU KWA UWEZA WA MUNGU TUTAWAZIDI TU MAANA SI KWASPIDI HII AMBAYO HATA SISI TUNASHANGAA
@sabayaodupoi978220 күн бұрын
😂😂
@GivenTobago9 күн бұрын
yes sir tunazo bandari nne mpaka sasa wao wanayo moja ujinga wetu kuto kureact kwenye mambo ya ujinga umoja mshikamano utulivu na amani ndiyo siri ya maendeleo Viva Tanzania VIVA LA REVOLUSION
@MzalendoPrinceMuuri902915 күн бұрын
Haya mmetuzidi sawa basi kojoa ulale kaka, ila Kenya hatuhami tupo tupo sana na tunazidi! Wakenya woyeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JibeMwaijibe-p1z7 күн бұрын
Hapana kenya mpojuu hakuna uzalendo kijinga kenya hongera zenu🌾🌾🌾🌾🌾🌾💐💐💐
@heavenlightfrank6203Күн бұрын
🤣🤣🤣🤣 kaka makasiriko ya nini sasa mbona povu jingi 😂
@othumanomari158917 күн бұрын
Bado hamjasema tuko 67.milion nikuripakodi kujenga tz 🇹🇿 mritubiruza mikahiyo rkn kwa sasa hatutaki mambo mingi ripakodi jenganchi kwa seraya jpm rip John pombe Joseph magufuri long life mama Samia ❤️❤️🇹🇿🇹🇿
@SarhaSaid20 күн бұрын
Kazi nzuri kaka 🎉🎉🎉
@enocksitta635020 күн бұрын
Kaka nakufatilia sana,uko vzr sana
@MohamedRashid-py7ro20 күн бұрын
Nakukubari sana Brother
@n.o.m438511 күн бұрын
huyu mKenya anafwatilia mambo kwa kina sio juu juu
@FanwellLebaati19 күн бұрын
Haaaa.... Am on my cry now someone is hurting my heart as he pumping the naked truths and real facts about this two nations
@gisthevictorperiod.976311 күн бұрын
Uko sawa brother 💯. Endelea kuelimisha jamii. One love ❤️
@pantaleolaurentlaurentkavu201120 күн бұрын
Kaka upo sahihi tunaenda mbele.vyama visitupotezee dira yetu.
@damianmstambi84820 күн бұрын
Umeongea sawa .Sisi WaTz Pia kuna mahali pa kujisahihisha Kama nchi tusilale.Mimi ni kati ya watu naochukia hayo malinganisho kati Tz na KE .Tuachane na propaganda za magharibu .
@gotfriedmwesiga423419 күн бұрын
Tanzania has now the best road network! Don't consider the past
@section8ight17418 күн бұрын
FACTS!!
@Yokomoi-11 күн бұрын
Which road network? Kigoma iko na tarmac?
@section8ight17411 күн бұрын
@@Yokomoi- Wacha bangi chokoraa
@Yokomoi-10 күн бұрын
@@section8ight174 CCM itakula mali ya watanzambuzi yote
@smavilifestyle24718 күн бұрын
@@Yokomoi-Ofcoz,you should visit
@jogechi210520 күн бұрын
Very good points from both of you. Kenya kazi yetu kwa mtandao ni kudharau Tanzania shilling every time. Total bullshit. These guys are ahead tukubali yaishe
@gloriousnp19 күн бұрын
Kila dk hiyo ni sh.ngapi ya kenya .mi nachekaga kweli Meanwhile na hiyo pesa yetu mnayodai ndogo , it caant imegine how far it can go hapa T🇹🇿z Watu wana kazi za kawaida hapa bongo ila ukienda wanakoishi you will be amazed, T🇹🇿nzanians wako very organized kuanzia ujengaji wa nyumba eanazoishi , assets, milo wanayokula kwa siku watu wanachakarika na matunda yanaonekana Jirani yeye kutwa english this english that , kenyan shilling here and there Wengine wanadiriki hadi kusema , waT🇹🇿z hawajui lolote, mara wavivu, ueducated ….. ANYWAY, tukutane 10years from now
@mongogwelaanthony686720 күн бұрын
Kenya ni nchi nzuri tatizo lenu ukabira tu, mko vizuri mna democrasia,mnajielewa wananchi wengi wenu, kenya ni engine ya uchumi wa afrika mashariki. Viongozi wa kenya wapate mwalobaini wa ukabila.
@paulinewangila-cs6ys20 күн бұрын
Umeongea sahihi ubarikiwe ❤
@paulinewangila-cs6ys20 күн бұрын
Hongera sanaa: Mongogwelaanthony
@Sarah-e1o9k20 күн бұрын
Tunamalizwa na ukabila na rushwa bila huruma wallai unakuta mtoto wa mtu amesoma mbaya sna lkn anasukuma kokoo💔
@Sarah-e1o9k20 күн бұрын
Na mashamba pia kenya ni ngumu mtu wa kawaida gawezi pata shamba 😭😭 lkn tz ata mtu anauza soko lkn yko na nyumba n shamba
@DavidSemu-gu6wp19 күн бұрын
Mashamba walisha gawana zamani kina Kenyatta, Koinange,Moi, Njonjo Hakuna Ardhi.
@everythingnirvana26905 күн бұрын
Iseh mnarespect road system yetu na vile iko ovyo! Kenya tunalia kila uchao barabara zetu ziko vibaya.
@CyrusCygwin15 күн бұрын
Well said kaka, it is true true conclude that our trouble as a nation strated when Kenya got it's independence. Instead of uniting the Kenyattas were busy playing tribal politics. Our first constitution(Lancaster house) was autocratic in nature meaning it favored dictators more than liberal types of leadership. Any forms of challenges to the leadership were brutality met with force. People must thank kibaki because he was divinely inspired and visionary. He saw the need to change the constitution to even allow democracy. Meanwhile those who took over from him did not follow his steps, instead they chose to continue Kenyattas legacy of plundering the resources of the country. Just like Nyerere, kibaki retired with barely no wealth to show in his hands It is safe to say that our problems began immediately after independence. The legacy of winner takes all is still at play. It's a strategy leaders use to control those they rule over. It's time to get a different generation of rulers. If youths can't see eye to eye, then it's impossible to change the phenomenon
@StevenKapugi-y7b14 күн бұрын
Kenya bado mpo juu yetu sema tunawakaribia
@patrickKitambo9 күн бұрын
Wako juu kwa lipi
@vanny-m5o8 күн бұрын
Mkenya huyo achana nae hujui tu miandiko yao😂@@patrickKitambo
@Watima-l5s3 сағат бұрын
Kenya iko mbele ya Tz, market wise,,,,ulizia nchi kama Nigeria, South Africa, na hata nchi za wazungu ...SGR na Bongo Music isikudanganye...tena GDP ndio nguzo muhimu katika jamhuri yoyote....
@peterbaraza788718 күн бұрын
Umeongea kwa ufahamu mkubwa. Nimependa sana approach yako, Nimependa presentation yako. Uko vizuri, naona bado pia tunahitaji kujikubali na kujitambua sana. Maneno ya kashfa ya Wakenya yanawafanya WaTZ wajione wanyonge kumbe we are far better than them. Mungu atusaidie tutambue na kuongeza speed zaidi ya kusonga mbele. Kudos BROTHER.
@raphaelkessy736020 күн бұрын
Wa Kenya watu ache kwanza🇹🇿🔥kelele zime zidi 🇹🇿🔥
@danodhiambo366020 күн бұрын
Tuko nyuma wakenya, ukabila inatumaliza. Tuna changua viongozi kwa msingi WA mtu wetu, akisha chaguliwa wanapora nchi kumaliza.
@nckmwack20 күн бұрын
Well said
@khalidgamdad37209 күн бұрын
Tanzania, shida ni elimu . Bila elimu Tz ,Kwa maisha ya baadae TZ Hana nafasi.
@ImmaJulius-rg4yf16 күн бұрын
Vijiji Tz vipo vizuri sana kuliko Kenya nimeenda kule wana ita Wester pokoti ni kugumu sana
@kiflikhamis520517 күн бұрын
Ni kweli kakaangu I'm so proud to be Tanzanian, nimependa sana
@MohamedChillo20 күн бұрын
We are nearby to Pilitical Federation hizi nchi ni moja na zitakuwa nchi moja zote kama zilivyoamua zenyewe ziwe nchi moja na itakuwa na nguvu kama Marekani na Urusi , tusije tukagombanishwa tukaacha mawazo ya kuungana , Kenya ni ndugu zetu wa damu ,Unganda Congo zote , Sudan , ethiopia ,Burundi ,Rwanda na Somalia , Unity , Peace and love , namuomba sana Mungu niwe mmojawapo nitaliona Shirikisho la Afrika Mashariki
@bakarimusa629720 күн бұрын
Atamimi najiuliza Kenya wametuacha nini au ndo iyo English 😂😂😂 Tanzania baba Lao
@Brunn-mh2bq20 күн бұрын
English gani kwanza wanapuyanga tu. Nawajua vizuri hawana umahiri wowote wa kiingereza. Waingereza wanaongea kiingereza lakini ni lugha tu.
@Sarah-e1o9k20 күн бұрын
😂😂😂😂😂hujifanya wajuaji ns kizungu yao imewafkisha wpi 😢
@rashidwanjala851817 күн бұрын
Ignorance has no excuse. I was in Dar last month passed through Arusha and Moshi. Tz has a long way to go.
@rashidwanjala851817 күн бұрын
This guy is a villager and has nothing to tell Kenyans.
@nicodemuszebedayo597817 күн бұрын
Your the most ignorant in the whole region...mko na mdomo kubwa tuu akili hamna .... busy bragging about GDP which is 80% Debt. Poor living standard , dirty townships .😂😂😂@@rashidwanjala8518
@AlmasiSebarua-ed9gi20 күн бұрын
Hakuna sehem panamaisha magumu kama kenya nairobi sijui watu wanaishije
@victorosong12 күн бұрын
Wakenya wana kiburi cha kipumbavu.I totally agree with my Kenyan brother.
@Napoli-b1h20 күн бұрын
Kamanda nakukubali kaka hayo manenoyako ni akufundisha wa Tanzania mimi uku nilipo nipo na wakenya wanasema kama huyo jamaa pia wanasema Democrasia inawaludisha nyuma maana wameikumbatia sana Democtadia.
@ErickMdimu9 күн бұрын
Kilicho isukuma Tz kwenye Maendeleo ni Kilimo watu wanapata Pesa Snaaaa Kwenye hiyo sekta
@AlexOmusungu16 күн бұрын
Mm ni mkenya,lakini kwa mtazamo wangu kwa akili zangu mahali Kenya huelekea ni kubaya ,Tena hivi karibuni na tayari imeshafika.
@isaacotieno790011 күн бұрын
sisi wa kenya tunapo kua na program ambazo hazina faida kwa taifa kama housing program ambayo haileti hata fetha kwa uchumi wetu ndio tunajigamba naya eti ni maendeleo
@nyembobea728519 күн бұрын
Uchambuzi uliotukuka sana hakika wewe mzalendo bravo 👏
@MasterOil-qm6vw14 күн бұрын
Uko vizuri mwalimu tupe faida achana n wajinga wa mrengo wa kimarekani na magharibi
@agneskayange28048 күн бұрын
Hayo ni mawazo binafsi ya youtuber
@SylvesterKelai9 күн бұрын
I am a Kenyan lemi be sincere ...Kenya 🇰🇪 generally is a head of tz right now but where we are heading is totally pathetic
@saimonmanyerezi716918 күн бұрын
Big up mzee umenena ukweli na huo ndio ukweli hata mm huwa najiuliza sana Wakenya wametuzidi wapi?.
@livefootballstream.23 сағат бұрын
shida ya Kenya ni kwa sasa tukona viongozi wapumbavu sana
@pilindauka249220 күн бұрын
Asanteni sana ndugu zetu wachambuzi na qashauri kwa faida ya nchi zetu
@natoantony208014 күн бұрын
Huyo ni MTU Wa content.. Anatafuta subscribers from tz
@emjay10167 күн бұрын
From 5:00 minutes jamaa ndo anabonga point zaidi
@YohanaRichard-e6p18 күн бұрын
Mungu katupendelea sana kwa kutuondolea ukabila kwa sababu karibu afrika yote ni ukabila tuu.
@stanleymureithimukara671419 күн бұрын
Ujamaa ulirudusha tanzania nyuma sana lazma tuambiane ukweli sasa hivi hapa africa kenyansa are very skilled compared to tanzania ndo maana sai diaspora remittance yani pesa ambazo wakenya walioko nje wanatuma nyumbani zimepita mapato ya utalii ni vizuri tanzania wanaamka eastafeica tusonge mbele pamoja hii kujilinganisha haisaidii mtu wewe binafsi maisha yako yako aje kila nchi ina mazuri na mabaya yake kuna vitu kenya inaeza jifiunza kutoka kwa tanzania na pia tanzania ina mengi inaweza jifunza kutoka kwa kenya juzi tu kenya ndio alikua muwekezaji wa pili mkubwa tanzania yaani kampuni za kenya zinawapa ajira hapo tz kila mtu ana maoni yake lakini kwangu binafsi hata kama mnakashifu kingereza ni lugha ya biashara ya dunia ni vizuri the next generation ya watanzania waelewe kuongea kingereza na mtaona mafanikio yake
@gotfriedmwesiga423420 күн бұрын
Tanzania tunazungumzia soccer ⚽ Simba na Yanga .Kenya wanazungumzia siasa mwaka mzm
@godshanthomas329720 күн бұрын
Wakenya bure kabisa
@SaneMwezi20 күн бұрын
Wakenya wanaandamana kisa mkate huku relief Yao ya sgr imeiba mabirioni ni wajinga sana😂😂
@paulinewangila-cs6ys20 күн бұрын
@@SaneMweziUbarikiwe sanaaa dada ila mbona unatusi kila mmoja hata wasio kuwepo jamani,amani idumu mwisho wa siku njia ni moja hakuna ajuwaye.....ila Mola
@paulinewangila-cs6ys20 күн бұрын
@@godshanthomas3297Heri wewe una akili zilizopitiliza,ila kuna mengi chini ya jua...usilolijuwa nyuma ya pazia...ukiyajuwa mhhhh
@fredyjunior696120 күн бұрын
@@paulinewangila-cs6ysHakika
@zedekiahkwame64016 күн бұрын
Wewe sumbuka, kenya tuko na habari yoyote kinachofanyika kwote duniani,,,twajua mambo hata ya majirani,ni muhimu kuelewa mambo 🇰🇪🙏‼️
@zakayomoleli13 күн бұрын
Tanzania ipo mbali sana ukilinganisha na Kenya ukitaka kumjua hili nenda vijijini angalia maisha ya watu yapo chini sana hawana makazi,wanapangisha nyumba za wakubwa hawana mashamba
@ewaldambrose613620 күн бұрын
Tanzania is the hub of Africa.Dar es salaam is the fastest growing city in the World
@ZakayoMollely-m4i20 күн бұрын
Ni kweli bro umeongea ukw 8:21 eli mi nafanya kazi Kenya naishi More than 6 years but ukweli ndo huo waache kuongea mambo ya ukabila au ruto na kashagwa wafanye kaz
@paulinewangila-cs6ys20 күн бұрын
Hongera maarifa mazuri
@nitumesokoni316420 күн бұрын
Well said brother
@JibeMwaijibe-p1z7 күн бұрын
Heee!!!!!!! Ivi kutawala kabila ndogo ndo maendeleo jamani uchumi upo juu si ndo maendeleo yenyewe, mi sikubali akubali mhun
@fatumajohn7037 күн бұрын
Mwambie huyo MKENYA. Si ndio analia . Sasa
@JibeMwaijibe-p1z7 күн бұрын
@fatumajohn703 haliii anatafuta umaarufu
@fatumajohn7037 күн бұрын
@@JibeMwaijibe-p1z kama uchumi uko juu mbona tunachoma BUNGE.AU HIYO NDIO "way of expressing DEMOCRACY?
@anwaritesal469512 күн бұрын
Sisi hatuko Kwa siasa miaka zote zaidi tuko Kwa soccer ⚽ na makombe.
@pendomalisa930813 күн бұрын
We we acha mambo ya hovyo hatuhitaji kujifunza ukabila kama Kenya we we unaye ongea jifunze tulivyo usituletee wazimu mm Niko na miaka 40 lakini bado kabisa sioni mwelekeo wake
@DeborahSichone-b9c20 күн бұрын
Kaka nimekupenda wewe ni mtanzani halisi ni mipaka tu sisi ni wamoja na kenya tunawapenda na tunawaombea amani watoke kwenye ukabila
@pendomalisa930813 күн бұрын
Hugo ni mjinga asituletee ukabila Tanzania sisi tuko sawa sana kuliko wao hawana chochote acheni maneno ya hovyo
@PaschalCharlesLunemhya20 күн бұрын
Tanzania hatuna ukabila...hatuna ukabilaaaa....hatujalibkabila la mtu
@eidurbyakuzana117512 күн бұрын
Kenya is still the best
@TweedaZeze15 күн бұрын
Mimi nime hama kenya to tanzania
@DeborahSichone-b9c20 күн бұрын
Kweli kaka umesema kweli tanzania tumebarikiwa mno na muumba wetu tushukuru tuna amani
@DeborahSichone-b9c20 күн бұрын
Kweli tanzania tutafika mbali muumba anatupenda tanzania
@Pwaguzi15 күн бұрын
Ila mwalimu usije ukasahau kuwa capitalism is the best system ya humans yenye inareward bidii ya mtu binafsi ..Kwa hivyo kuleta competition..Kenya haina chochote ila watu wenye bidii sana..
@gotfriedmwesiga423420 күн бұрын
Pongezi kwa wahasisi wetu was taifa kwa kuweka misingi mizuri
@moemussatv538315 күн бұрын
Nakubali kaka
@annettemalechela754311 күн бұрын
is not the power of the dog in the fight but the size of the power in the dog
@kassimkhalid118514 күн бұрын
TANZANIA NI WORLD POWER KWA UMBAYA,ROHO CHAFU,UHASIDI NA KUROGANA KWA UCHAWI TUU.
@MasterOil-qm6vw14 күн бұрын
Anaesema nyerere alikosea kuwafujuza wazungu ni mpumbavu
@zakayomoleli13 күн бұрын
Acha zarau huyu anaeleweka sana hakuna kinachojificha hapo
@abdallahibrahim28020 күн бұрын
Nimekufatilia ndugu yangu uchanganizi wako upo vizuri na umkweli kwenye uhalisia kuliko siasa, endelea kuelimisha
@hemedmwipopo78017 күн бұрын
Umeeleweka vizuri
@isaacotieno790011 күн бұрын
It is true bro kenya we are sleeping with our tribalisum
@irenewile20 күн бұрын
Nimesema sana,,mambo wanayosema Wakenya wanatanzania wanawafanyia au wanafikiria..wenyewe ndio wanafanya na kufikiria.Tanzania haina muda na mambo ya Kenya
@KarimHusseinGau13 күн бұрын
Shida yenu mnajifanya mnajua kiingereza sana Eti mmesoma saaaaana.Mnalalamika nini sasa!?!?.kila kitu kizuri cha Tanzania mnataka kiwe cha kwenu.Haya subirini hapo tutarudi kuwachukua.
@emmanong31586 күн бұрын
Sisi wakenya tuko na viongozi katika akili kuliko ujamaa ndio maana katika 'kura na ustawi wa nchi' mambo ya politics itakua ngumu kuchambua. So man ni heri ukishaelewa kama sisi wengine huta komplain na uishi kenya. waache majira zetu wawe jamani, si kuwaamsha na mambo yetu. Kila nchi ina changamoto zake. Sio kwamba wametulia unadhani wamo sawa😢.
@LameckOtuomameshack15 күн бұрын
Ukabila wa kenya imeletwa na WAKIKUYU kwa kujiona ni bora kuliko wake ya wengine
@felixmakinda768917 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 tukiongezwa miaka kumi, hata tutakuwa nyuma ya Uganda 🇺🇬 na Somalia. Achana na Tanzania 🇹🇿. Uchumi wametuzidi. Wakiinua viwango vya elimu kidogo, sisi kwisha!
@tanzcanmediatv447314 күн бұрын
Watanzania wengi wanamiliki ardhi na nyumba
@danielkeboga351614 күн бұрын
Hakuna tofauti kati ya Kenya na tz hizi ni nchi maskini sana ulimwenguni. Kwa hiyo badala ya hawa mbilikimo wawili kujilinganisha ni budi waje pamoja na kujiendelesha kwa nyanja mbali mbali kwa manufaa ya wanainchi.hizo reli na barabara zimejengwa na china na uturuki hamuna mkenya wala mtz .Haibu kubwa hamukeni nyie
@ShabaniRashidi-d2v19 күн бұрын
Hawana demokrasia yeyote kwanza kenya wameuliwa wanasiasa wengi sana,wameuliwa mashekh zaidi ya 15 wameuliwa, wengine wakifungwa kwa uonevu,hawana maendeleo yeyote ila wanajibrandi sana ,ukienda International swahili teachers wanajaa hao ilihali kiswahili hawajui,maisha yao magumu hawana ardhi,Tanzania kijana mdogo anaishi kwenye nyumba yake
@stanleybupambambogo333414 күн бұрын
🤝 umemaliza kila kitu!! Inawezekana shida ya maisha ndiyo imewasukuma kukimbilia nchi za wengine na siyo, vinginevyo! Hebu fikiria mwenyewe... itawezekanaje mtu mwenye shibe ukahangaike kwenda kuanza maisha ya kuishi kwenye mabarafu ukiacha hali nzuri ya hewa TZ + MSOSI MWINGI, AMANI TELE, HESHIMA KWA KILA MMOJA NI UTAMADUNI, KUPENDANA SISI KWA SISI NA PIA BINADAM WENZETU YAANI SISI WATZ NDO USIPIME YAANI NI MWISHO WA RELI EE. WEE ACHA TU...TZ NI RAHA TU... ASANTE SANA MUNGU. AMINA!
@SheeMaryam.M19 күн бұрын
Tuliambiwa na magufuli ,mkiacha ukabila basi mtakuwa vizuri na corruption ndio inatumaliza
@ananiangonyoka4309Күн бұрын
Sasa ivi kenya tumewaacha kwa lipi hiyo tren ya umeme, watanzania tusidanganyike hii haina ukweli kenya ina uchumi mzuri sana acheni propaganda
@jeffchurum143115 күн бұрын
Watanzania tusiongelee maendeleo kwa njia ya midomo ama opinions ya watu. At the end of the day it all comes to statics, economy and development Kenya bado Iko mbele, until you surpass this Kenya will always remain better than your country. Until Ile siku shilingi ya Kenya na Kenya itakuwa sawa ama ya TZ ipite Kenya. For now continue with your gospel, hope that may be we should copy you...... You should copy us!
@fatumajohn70315 күн бұрын
America has bigger currency than China but it owes china 800 billion dollars did u know that ? UK currency is bigger than China currency but UK economy is in ICU.ur brain is super programmed by western education system.to think they are still superior through the system they engined.kenyan economy is as fake as western economy. It is not built on concrete basement but muddy basement
@JhonsonCharo20 күн бұрын
Viongozi WA kenya ubaya wao ni kujipenda zaidi binafsi kuliko kuwahudumia Wakenya. Na ufisadi mwingi pasipo kujali Wananchi WA Kenya
@stanleybupambambogo333414 күн бұрын
Mmh! Ukwapuaji wa ardhi wa viongozi na manyonyaji na makupe (mabepari) ndo usiseme! Huku wakiacha wananchi wa kawaida hawana hata Mita moja ya mraba ya kujenga!! Achana na sisi TZ hakuna anayekosa pa kujenga.
@abdallahibrahim28020 күн бұрын
Habari nd hii, wanasifia kenya watuulize sisi tunaoushi kenya nacwawaulize wakenya walioishi Tanzania. Juwa namshangaa lisu na mbowe wanavyowadanfanya wajinga wengi.
@OmaryKonchaya18 күн бұрын
Na viongozi wetu wote wangekuwa wazalendo kama magufuli na nyerere tungekuwa mbali ila wengi ni mafisadi