Jaman muwe mnatoa hata vipande viwili maana inogile😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@saidikomba31203 сағат бұрын
Mzidole kaka nakukubali sana kaka tuko pamoja
@FeisalyYasin4 сағат бұрын
Apa kuna Vita kali sana ya Msisi wa msisile na Mzidole wawa Zidole yote Tanga moja 😂😂😂
@AthumanMiraj4 сағат бұрын
Gonga like kwa super genius yan ball imeixh nae kaachia kitu pia gonga like kwaajil ya goli la seleman bwezi 😂😂alilo mtungua Diara leo 😂😂
@Tina-xr9lr4 сағат бұрын
Wamefurahi wenyewe wakati wamepiga bomu mochwari 😂😂😂😂
@AthumanMiraj4 сағат бұрын
@Tina-xr9lr hhhh noma gol moj la ken gold limebeba magor yot ya yanga 😂
@Tina-xr9lr3 сағат бұрын
@@AthumanMiraj wanashangilia wenyewe 😂😂
@mwabehainali5294 сағат бұрын
Naomba like from saudi Arabia ...lock in
@RehemaSaid-r4h4 сағат бұрын
Waoooo Asanteni❤❤❤❤kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
@ZuuhLugoda4 сағат бұрын
😅😅😅 ya leo kali kakosa kapigwaa zauso et haamini unasemaje wewe
@zuleikhakhamis33033 сағат бұрын
Hawa mwanamke na nusu tungekuwa wanawake tuna misimamo kama hii alipojibu Hawa yaani wanaume wangekua na heshima ktk ndoa zao Hawa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@alexkalama42784 сағат бұрын
Kazi safi 💥💥💥
@OengaMildred4 сағат бұрын
Mzidole jmniiii 🌹 I'm waiting for you 🙏
@HASHMANTZ72 сағат бұрын
mashallah hawa kwa kujistiri allah akusimamie
@Pasicke2 сағат бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SukhairaZaiytun4 сағат бұрын
Chawa wa mwasi shazna unakuponzaga lkn unakufa kufa kwa ajili yake🎉
@KhamisMcha-v6e4 сағат бұрын
Nakukubali Sana mzidole
@ChausikuAli2 сағат бұрын
Mzidole uko vizur chukua❤❤❤❤ zako
@YasiniselemanSelemani2 сағат бұрын
Nakubal kaz nzuli san
@ciah71854 сағат бұрын
Hawa bo, na kakoso kikombe 🤣🤣🤣ani mwasi umeniweza kwa kweli aaaah… si kwa majina ayo
@HassanHassan-ix7cjСағат бұрын
Unga, Unga unga mwana hii nimeipanda Sana ❤❤ Team Mzidole tujuane
@deamber7754 сағат бұрын
Mungu atubariki sote atuongezee kipato ili kila mmoja awe wa kwanza kusapoti vipaji vyetu sema Ameen🙏
@Kasongo-s5vСағат бұрын
Muvi kali❤️❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩 mungu akubariki sana Kaka wg kakoso 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳💋🌹
@WaithiraGift3 сағат бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉 Kakoso,Hawa, mzidole n entire team
@ramahnzaih23934 сағат бұрын
Wakwanza leo allihamdhulillah 🎉..alaf kazi nzuri Kakoso kazi inatoka kufuatana vizuri hongera saaana mkuuu🎉🎉🎉
@gadafimuemede29854 сағат бұрын
Sucesso para sempre Mzidole by Boy from Palma Moz 🇲🇿🇲🇿
@Msaniitz3 сағат бұрын
Mzidole Kakangu mkubwa naomba nikulize ivi kwa uhalisia wako uko ivi Kwa kusaidia watu au Ni movie tu Sina ubaya kakangu nimekuliza tu 🙏🙏🙏🙏ju Yaani kaka kila movie naipenda ju yako kwa vile unasaidia watu ❤❤❤🌹🌹🌹
@JonathanBrightonMinja3 сағат бұрын
😂Kakoso mambo yanaenda kuwa magumu sasa acha inyeshe tuone panapovuja hongeren kwa kazi nzur 🎉🎉🎉🎉
@HassanHassan-ix7cjСағат бұрын
Huyu mganga ni mshenzi sana, ila Mzee msisili
@LewisHamiltonGLD3 сағат бұрын
Ila hawa umenifurahisha sanaa ulipomjibu mumeo kwa ujasiri alafu hapo ety huyu n dalali 😂😂😂 kakoso kazi unayo kaka
@ZuuhLugoda4 сағат бұрын
Haya na leo tena sijachelewa sana jamanii
@Hellen-ch5zs2 сағат бұрын
Mzidole unaongeza radha ya kuangalia kweli pokea maua❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@priencedamdoek5083 сағат бұрын
Sina la kusema kaka Kakoso, zaidi ya kukupongeza. You're super brand big up.
@cristaezekiel10362 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂Kakoso msimamo wote kujifanya mkali humu kumbe unakaa kwenye nyumba ya mke wako 😂😂😂😂😂😂
@youngcheftheblessing239Сағат бұрын
ila mzidole anajiona kama hii series yakwake vile 😂😂😂😂😂😂
@HawaBedui2 сағат бұрын
Mzidole mzidole wapelekee 🔥🔥 hao wanga tuko pamoja na ww mpka uwakomeshe half huyo mganga wa mchongo ❤❤
@WaithiraGift3 сағат бұрын
Ongezea dakika angalau zifike 20 ama 30 mkuu Kakoso
@IzackJulius4 сағат бұрын
👏👏👏👏🌹🌹
@saidikomba31203 сағат бұрын
Saidi komba mwenyewe nipo apa mwanzo mwisho
@MnambengaJr3 сағат бұрын
Heshima kwako kakoso from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@RebeccaMwakabukuСағат бұрын
Nikiona tu picha ya mzidole kwenye move napata hamu ya kuangalia hiyo move nakuelewa sana mzidole🎉🎉🎉🎉❤
@MandelaMwangome-q1b4 сағат бұрын
Nami nimechelewa ilah leo musiniache 🎉🎉🎉🎉
@HamisiMachindaСағат бұрын
Mzidole kazi nzul sana 🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂
@LevinaMiteo3 сағат бұрын
Unae angalia ukiwa kitandani hi😂😂❤
@MakutuShivoСағат бұрын
Hi😅
@NaifinMohamed51 минут бұрын
Tupo😅
@Nojabz2 минут бұрын
Asanteni sana kwa kitu kizitoo 🎉🎉 from drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@abalkaram78630 минут бұрын
@all Mzidole Good actors Mzidole kipaji icho cha mzidole kimekufaa kabisa, Kimekufaa sana Kipaji cha mzidole kuwa muokozi wa siri na style zake ni Safi sana ni Good Actors. Namkubali sana Mzidole. Big up mzidole more fire
@SaidGeuka4 сағат бұрын
Atali sna kaka
@yasinramadhan73154 сағат бұрын
🔥🔥🔥
@mnyampaa_kisasaСағат бұрын
MZIDOLE MZIDOLE MZIDOLE 😅😅😅hatare sana mzidole wa wazidole kakutana na MSISI WA MSISIRI TANGAAA
@LilianJuma-q6yСағат бұрын
Anaitwa mzidole Mzee wa viuno mgando, watu kecha nawasha gari kateleza ❤❤❤ hawa nakupenda unavyo jistiri chukua maua yako
@MarcelinbbmBirindwa4 сағат бұрын
Nimekuwa wa 29 na wakwanza leo from DRC 🇨🇩 congo 🎉🎉
@abalkaram78628 минут бұрын
@all Mzidole Ni habari Nene sana big up broo. Una acti safi sana.
@hansbertmkonji8677Сағат бұрын
Mzidole my favourite actor kwakweli. Anafanya kazi ipasavyo
@KalamaKacherachealСағат бұрын
Kali hii wananguu🎉🎉🎉❤
@WilbadiJohn-p8c3 сағат бұрын
Kaz nzuri xana karb babati
@WaithiraGift3 сағат бұрын
Karibu sana Naarabuk 😎😎😎❤️❤️❤️
@beautifulafrica68863 сағат бұрын
hakuna mimba tena 😅😂😅😂😅😂😅
@ckunique73974 сағат бұрын
Watoto wa kasongo vipi mpo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂
@Gloriazawad3 сағат бұрын
Tupo 😂tunalal humu tukiamka humu 😅😂😅😅😅
@HassanHassan-ix7cjСағат бұрын
Tuta Anza maandamano hapa ndani kama hawata ongeza time 😂😂 Tialala😂 Tibim😂
@ValentineChepkemboi-jt7it2 сағат бұрын
Kazi nzuri kakoso
@cristaezekiel10362 сағат бұрын
😂😂😂😂Kumbe kakoso marioo 😂😂😂😂nmechekaaaaa
@Shukuru25353 сағат бұрын
Wanao penda karata za muzidole tiyeni liké apo chini