Mimi Mkisii wa Kenya. Wakuria, Wasimbiti tunaelewana sana kilugha, kimaumbile, na kitabia. Hasira na vita tunapenda sana tukichokozwa. Wakisii tumetoka Misri. Akisema Mkuria ametoka Sudan hajakosea kwa sababu ukitoka Misri kuja Afrika Mashariki, lazima upitie Sudan. Tukaingia Kenya kupitia sehemu ya Mlima Elgon. Nawapenda Wakuria. Nina marafiki wengi sana Wakuria.
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Safi sana, tutakuja pia Kenya kujifunza
@felixmakinda768919 күн бұрын
@@BMGOnlineTV Nakukaribisha kaka.
@mariamfritsi49433 жыл бұрын
Nimeyapenda maeneo yao ya mashamba ni mazuri sana.na nimeipenda story ya wakurya. 14.10.21.
@BMGOnlineTV3 жыл бұрын
Mandhari nzuri
@LeahMwita Жыл бұрын
wakurya gonga like hapa
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amang'ana
@petermtongoli8152 жыл бұрын
Hapa mengi umetupiga hatukifikia kenya mbona hujasema sudani wakati mkurya alipita sudan history mnadandanya
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Unapatikana wapi tuje utueleze kwa kina hii simulizi ya wakurya?
@ibrahimsadick60812 жыл бұрын
Kiuhalisia Wakurya Wametokea Misri,na mtu ataetaka uhalisia ajue aje,Mzee kapotosha sana
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Unapatikana wapi?
@ibrahimsadick60812 жыл бұрын
@@BMGOnlineTV Nichek WhatsApp
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
@@ibrahimsadick6081 +255 (0) 757432694
@petermtongoli8152 жыл бұрын
Sana hajui kitu mkurya alikuwa mvuvi asili tuliitwa mtende
@bwahishadrack56002 жыл бұрын
Mlango ya wakuria ni mingi TU acha kudanganya wewe SI mkuria halisi