Bob Njagi na Ndugu wawili waliotoweka Kitengela wapatikana

  Рет қаралды 33,447

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Ni afueni kwa familia na marafiki wa ndugu wawili Aslam na Jamil Longton pamoja na Bob Njagi baada ya kupatikana wakiwa hai katika mazingira tatanishi maeneo ya kitusuru. haya yanajiri baada ya juhudi kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja chama cha mawakili LSK wakiwemo wanahabari kushinikiza kuachiliwa kwao

Пікірлер: 98
@dodokibbah3513
@dodokibbah3513 Ай бұрын
Yaani mngenyamaza kidogo tuu aky wangeuliwa thanks to whoever was involved. And above all the Almighty
@edarjoan9002
@edarjoan9002 Ай бұрын
Big up too babu owino
@Trizah-254-e
@Trizah-254-e Ай бұрын
Ruto anatakikana kuwekwa ndani, yaani haezitesa Kenya hivi as if ni ya mamake😢
@saramungania7125
@saramungania7125 Ай бұрын
Let us thank God for protecting these people. Mentioning the captors and the powers that be is glorifying them for nothing. They are not worthy the mention. The battle belongs to the Lord!
@jessenjuenjoka4440
@jessenjuenjoka4440 Ай бұрын
Here's ,what a miracle my friend,weee mungu amekataa na hawa.
@alexinamaina794
@alexinamaina794 Ай бұрын
Shame on you Ruto...look at the age you are compiting with😂😂😂
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Ай бұрын
😂😂😂😂
@alexinamaina794
@alexinamaina794 Ай бұрын
Alafu utaskia Huster!!...bottom up! Wheelbarrow juu...tano tena😢
@willydfrey2465
@willydfrey2465 Ай бұрын
Uongo yake matako yeye
@maureenouma-b5e
@maureenouma-b5e Ай бұрын
@@alexinamaina794 huyu jamaa bado anajioiga kifua juu anaona Hana competitor strong,Mimi siezi pea huyu mtu kura yangu vile amenyanyasa wananchi,sema watu kuwawa TU kama kuku,ndo hii kiwanja Cha ndege ashauza,uongo left right and center, maendeleo yenye ashafanya so far hakuna,KAZI zenye alikua anatuahidi hamna, please Kenyans tusirudishe huyu jamaa uongozini tuhakikishe hata 2m votes hapati,atatumaliza yeye alikuja kupora Mali SI kusaidia wananchi
@jayalltheway1102
@jayalltheway1102 Ай бұрын
Ruto MUST go NOW
@maureenouma-b5e
@maureenouma-b5e Ай бұрын
Eti bado mtarudisha Ruto uongozini,vifo zitazidi walai tunashukuru Mungu wako hai,unashikwa na hakuna chenye umefanya ulaaaniwe wewe Rais
@joshuamotanya8408
@joshuamotanya8408 Ай бұрын
We will be mad if we do so
@tinasanta9920
@tinasanta9920 Ай бұрын
Hutaki kurudisha mtu yetu kwa uongozi
@joshuamotanya8408
@joshuamotanya8408 Ай бұрын
@@tinasanta9920 Hata kwa ndoto ama mfano
@galtina
@galtina Ай бұрын
Ruto hatumtaki but vitu anatumia kujiweka kwa uongozi ndio sijui ni nn acha tuombe tu Mungu asaidie Kenya yetu
@HEADLAMJOMBO
@HEADLAMJOMBO Ай бұрын
It's very fortunate
@nyaozilnyao8849
@nyaozilnyao8849 Ай бұрын
Kazi ya masengeli hiyo
@georgesagwe6703
@georgesagwe6703 Ай бұрын
The whole thing is working against Ruto.let him stop these abductions
@anitarafa
@anitarafa Ай бұрын
Ruto unaumiza wakenya..wengine wakipoteza maisha
@puritynyamu8798
@puritynyamu8798 Ай бұрын
Thank you God! Your mercies never ends....
@galtina
@galtina Ай бұрын
After Gilbert masengel kuhukumiwa then boom wamepatikana is this a considense?????
@mariamkamburi890
@mariamkamburi890 Ай бұрын
Too many coincidences....the police knew where they were
@anantbhatta4765
@anantbhatta4765 Ай бұрын
Hello Kenya iam anant from India I love Kenya ❤
@geoffreymbogo5881
@geoffreymbogo5881 Ай бұрын
Wina mbeca kana no muhahi
@marymutero7212
@marymutero7212 Ай бұрын
Thank you, greeting and.. I love lndia too.
@Stargate234
@Stargate234 Ай бұрын
Love kenya at your own risk, krnya is a crime scene and banditry society it's not a country.
@josephsimba830
@josephsimba830 Ай бұрын
After such an episode you dare say you live Kenya?
@anantbhatta4765
@anantbhatta4765 Ай бұрын
@@marymutero7212 thnq so Much kenya citizen
@estheranneclea4064
@estheranneclea4064 Ай бұрын
What l can say Glory be to God Almighty.
@b.9811
@b.9811 Ай бұрын
If masengali could not have been given pressure wange😢enda
@washingtonmbiti9348
@washingtonmbiti9348 Ай бұрын
Ruto na regime yoote pamoja ig.wafunguliwe mashtaka.
@mohamedgathu2676
@mohamedgathu2676 Ай бұрын
Kwa bahati mbaya uskie Ndege ya prezo imeanguka, 😂😂 ile sherehe itafanyika duh... Sijasema prezo wa Kenya 😂😂
@ThomasOrocho
@ThomasOrocho Ай бұрын
Kwani unaficha Nini ...Mimi nili votia Ruto but nikisikia ndenge imefinya mtu na loyalists kumbafu kama kimani ichungwa atc nitasema Mungu Ako na mipango zake
@mayamaxextra
@mayamaxextra Ай бұрын
Apa ni sherehe hadi chee😂😂
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 Ай бұрын
ruto na maiti hakuna tofauti bure kabisa 😢😢
@irenewairimu4217
@irenewairimu4217 Ай бұрын
😂😅😂😂😂Bora ni prezo party after party 🥳🎉
@mayamaxextra
@mayamaxextra Ай бұрын
@@irenewairimu4217 😂😂😂
@georgekamau9855
@georgekamau9855 Ай бұрын
Poleni sana na Mungu a wabariki. Our Mau Mau freedom Fighters went through hard time and they never got what they wanted. 2nd liberation heroes also suffered a lot.
@veronicakilonzo788
@veronicakilonzo788 Ай бұрын
Thank You Lord
@Rb.844
@Rb.844 Ай бұрын
What about mwenda mbijiwe pia naye tunataka kujua ako wapi.
@alimohamed6270
@alimohamed6270 Ай бұрын
Alhamdullilahi
@anantbhatta4765
@anantbhatta4765 Ай бұрын
@@alimohamed6270 hello brother iam anant from India
@alimohamed6270
@alimohamed6270 Ай бұрын
@@anantbhatta4765 I'm from Kenya 🇰🇪brother
@naomimoraa1493
@naomimoraa1493 Ай бұрын
Hii mbwa inaitwa masengere ifungwe maisha😢
@TalismanSarkozy9814
@TalismanSarkozy9814 Ай бұрын
😂 ati mase what?
@faithpius6401
@faithpius6401 Ай бұрын
God is good all the time🙏🙏
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 Ай бұрын
Amen 🙏
@franciskiarie3396
@franciskiarie3396 Ай бұрын
Kamau the activists has done it
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Ай бұрын
Alhamdulillah
@dafinesmailo1984
@dafinesmailo1984 Ай бұрын
Ruto ulaaniwe na familia yako yote
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 Ай бұрын
Thank You Lord Jesus Christ
@suzy1926
@suzy1926 Ай бұрын
Lord thankyou that they are safe........vengeance belongs to God
@stellamaricsmutisya7489
@stellamaricsmutisya7489 Ай бұрын
God is Good all the time😊
@JamesIkiugu
@JamesIkiugu Ай бұрын
Kama sio mah Kama si mahakama hawangepatikana
@mercilinewanjala9905
@mercilinewanjala9905 Ай бұрын
1day after police kusema they know nothing about their whereabouts , kweli hii ni Kenya glory to God for his protection
@jenifferwanjira6124
@jenifferwanjira6124 Ай бұрын
Sad😢
@EmmanuelMwenda-cn6ps
@EmmanuelMwenda-cn6ps Ай бұрын
The worse regime ever
@goldenbazaars
@goldenbazaars Ай бұрын
Kila mtu akishikwa Kenyans tupige duru kabisa mpaka wanaachiliwa,hawa ni Ruto's goons, police commissioner is a criminal, he need to go, he's the man behind all this goons murdering GenZ. And other people.
@BethBeth-d3e
@BethBeth-d3e Ай бұрын
Glory to GOD
@emmanuelmutuku3456
@emmanuelmutuku3456 Ай бұрын
Ruto, Ruto, Ruto 😢😢😢😮
@miriamwangui1714
@miriamwangui1714 Ай бұрын
To God be the glory
@estherkirigo8427
@estherkirigo8427 Ай бұрын
Some people think they will live forever, they can frustrate others the way they want. Useless!!!!!
@wilfredlosuru3511
@wilfredlosuru3511 Ай бұрын
Watu wanakimbizana na pesa usicheze na wao
@mr.innovator3470
@mr.innovator3470 Ай бұрын
Kami si God na media, they could be dead now
@susannyambura3759
@susannyambura3759 Ай бұрын
Hapo hata wana biashara wanaweza cordinate na police wee hii kenya🙄🙄🙄
@mathekarichard1382
@mathekarichard1382 Ай бұрын
A human being doing this to another human being.....Mungu tusamehe tu... humanity is out of us but again the Almighty God punish this ideots who are hurting the fellow human..... please reaveal this ideots who are hurting fellow human
@GabrielbarakaThoua-fh8ow
@GabrielbarakaThoua-fh8ow Ай бұрын
Masengeli anajua . Si ndie mlinzi wetu wa hicho kipindi? Mbone cku afika mahakamani nao waonekana? Cid wetu hawajui job yao? Mbone hawakushuhulika? Zakayo tupee nafasi
@stellamaricsmutisya7489
@stellamaricsmutisya7489 Ай бұрын
Ruto you are not a leader actually
@charlesopudo7192
@charlesopudo7192 Ай бұрын
A police state.
@ElinaOneya
@ElinaOneya Ай бұрын
Takataka hao
@TobiasWhale-r1y
@TobiasWhale-r1y Ай бұрын
In forensic investigations, it's possible to recover fingerprints from cash money/ bank notes. this can help track down the conspirators too if they were careless giving away the cash
@antonyngugi9887
@antonyngugi9887 Ай бұрын
Wame ona nku Noma sai mmmm
@cateciru7325
@cateciru7325 Ай бұрын
Kenyans never learn the writing was on the wall. But they still went ahead so dont be surprised
@sammymunyambu7666
@sammymunyambu7666 Ай бұрын
The National police service Is Shame institution to Our Country,,,,Huwa Wanafikiria Wataishi duniani Milele,,,,Si Bure Wengi Wao Wakistaafu Huwa Na Mahangaiko
@victorosindi3762
@victorosindi3762 Ай бұрын
Kenya should remind them police officer that we are not under colonial error,, those police who are abducting Kenyans to killed your days are counted na hamta penda
@perisnekesa8117
@perisnekesa8117 Ай бұрын
Ruto 😈👿👿👿👿👿👿👹👹👹🕊️
@bluehostingkenya6314
@bluehostingkenya6314 Ай бұрын
Someone is playing us here, if the inspector was involved he wouldn't want them recovered not at least at this time but someone wants us to think so
@margaretkirimania1220
@margaretkirimania1220 Ай бұрын
This gov,t is a joke
@Spectre-Turner20
@Spectre-Turner20 Ай бұрын
Alshabaab
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Ай бұрын
Wake up
@stevemuema9206
@stevemuema9206 Ай бұрын
Don't be stupid
@ericknyamwaro
@ericknyamwaro Ай бұрын
𝑴𝒂𝒔𝒆𝒏𝒈𝒆𝒍𝒊 😢😢😢
@user1873anon5
@user1873anon5 Ай бұрын
Alhamdulillah
Rigathi Gachagua asema rais Ruto ni mtu asiyeweza kuaminika
2:43
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,2 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 8 МЛН
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 79 МЛН
The Singing Challenge #joker #Harriet Quinn
00:35
佐助与鸣人
Рет қаралды 29 МЛН
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 59 МЛН
Mwanamke mwenye asili ya Brazil ameishi nchini kwa zaidi ya miaka 40
6:01
KTN News Kenya
Рет қаралды 1,2 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 27 М.
Rais Ruto awataka wanasiasa kuhubiri amani na kukomesha siasa
3:15
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 349
The exact moment Trump won the election | About That
8:50
CBC News
Рет қаралды 1,1 МЛН
Jews Attacked in Amsterdam | CBN News
14:55
CBN News
Рет қаралды 120 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 8 МЛН