BOMOABOMOA DSM: Bibi kaongea 'Kiingereza' kusisitiza huzuni

  Рет қаралды 353,970

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 363
@florahthamson133
@florahthamson133 2 жыл бұрын
❤❤❤naiamin chanel hii tuuu❤❤❤❤❤
@harithwhite589
@harithwhite589 7 жыл бұрын
Asante milard ayo
@aminayasni9031
@aminayasni9031 7 жыл бұрын
Inauma jmn daah bibi japo nilikua nauzun ila ni😂😂😂😂 jaman yan kizungu kinapanda tu fresh khaa
@ajuxman9382
@ajuxman9382 7 жыл бұрын
Safi sana mahgufuli chapa kazi kura wamekupa wenyewe bakora wapigie wenyewe
@carrenkapia3921
@carrenkapia3921 7 жыл бұрын
Ajux Man haaah haaaaaah uwii!
@elpinarichard1884
@elpinarichard1884 5 жыл бұрын
😁😁
@georgemahenge4941
@georgemahenge4941 7 жыл бұрын
Namfahamu sana huyu bibi mwaka 1974 alikua anaishi na mzungu ostabei mm nilikua makenika natengeneza gari yake
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Hongera maisha nikama maua
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Jaman yaskitsha😥😥
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
jmn mumewe angekuwepo au mwanae,wala,asingekuwa,kwenye,hali hiyo bibi wa watu😭
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
alie muona afande,sele,anafurahia maik tujuane
@rebekadottomichael9340
@rebekadottomichael9340 3 жыл бұрын
Kamsaidie basi pls
@justin_bin_dezereremusic_l8652
@justin_bin_dezereremusic_l8652 7 жыл бұрын
Tume kupata naba and hongera sana kwa kutuzawadia app ya millan ayo ina turaisisha kupata video mpya mapema michezo hata taarifa ya habari
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 7 жыл бұрын
Amebaki huyu chizi😁😁😁😁 jamani bibi unafurahisha. Pole sn kwa misiba mizito, nenda kwa mjukuu akutunze bibi yangu. Hutakiwi kupigwa jua
@khamissaid7394
@khamissaid7394 3 жыл бұрын
Bibi noma
@franklawrence9512
@franklawrence9512 7 жыл бұрын
haya mambo ckia tu kwa jirani usiombe yakukute, poleni sana
@hemedslim2787
@hemedslim2787 7 жыл бұрын
kweli
@meshackmarwa9
@meshackmarwa9 5 жыл бұрын
Pole saleni sana ndugu zetu
@bahatidan4751
@bahatidan4751 7 жыл бұрын
where is humanity jamani?? huu ni uTanzania gani jamani,nimeumia sana
@aboutpius1415
@aboutpius1415 7 жыл бұрын
+Geofrey Benson kuma yako
@wendyeliezer6419
@wendyeliezer6419 7 жыл бұрын
Bibi anatia huruma duh
@edwardtrigga5701
@edwardtrigga5701 6 жыл бұрын
Elimu zenu haziwasaidii kitu serikali haiwaonei ata kidogo tatizo watu utoa rushwa mtu anauziwa sehemu ambayo siyo then wanatoa rushwa ili waachiwe eneo nakwambia kitu ninachokijuq
@kudrahalfan5767
@kudrahalfan5767 3 жыл бұрын
BIBI BANA AMENICHEKESHA SANA..
@danieldaniel-lb2on
@danieldaniel-lb2on 5 жыл бұрын
Hawa bibi zetu wanahitaji uangalizi wa hali ya juu sana, Viongozi wakilewa madaraka ya kulevya wanaweza kufanya taifa likapoteza mwelekeo kwa sababu ya hizi laana ndogondogo.
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 жыл бұрын
jamani huruma huyo bibi jamani hadi chozi lanitoka duuuu hakuna huruma wandugu inauma sana wallah.
@salummuhija4435
@salummuhija4435 7 жыл бұрын
kamchukue bibi msaidie jmn
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Magufuli ni raisi anaye jali wanyonge mungu mtie nguvu magu amsaidie huyu bibi
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
@@salummuhija4435 😂😂
@mamachris6811
@mamachris6811 6 жыл бұрын
Maisha, ni karata Unaramba dume, mchezo wa pili garasa Inasikitisha 😑😱😳
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@MrMtebwa
@MrMtebwa 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kweli bibi huyo mwanae chizi haha
@lucasroswe6544
@lucasroswe6544 6 жыл бұрын
Bibi aliposema mwanae chizi kumbe chizi kweli😂😂😂😂😂
@dulahstar5875
@dulahstar5875 3 жыл бұрын
Kwel uyu chizi
@heyumi2340
@heyumi2340 4 жыл бұрын
Subhanallah pole sana ndugu zangu mtihan ya kidunia
@deogratiusvalerin3750
@deogratiusvalerin3750 7 жыл бұрын
duh huyo kuku atakuwa muhenga...sherehe zote kasheherekea bila kupitiwa na kisu..toka 2010...😃😃
@steveagustino9368
@steveagustino9368 5 жыл бұрын
Mi nacheka tuu kwa kusoma comment
@mwajumamkali2457
@mwajumamkali2457 7 жыл бұрын
bibi yuko vizuri sana 😂😂😂bibi umenifurahisha sana keep it up my bibi ha ha haaaaaa
@yolakahmathews6913
@yolakahmathews6913 7 жыл бұрын
Aisee poleni sana.
@restymlale6003
@restymlale6003 6 жыл бұрын
Mategemeo yangu wamelipwa chochote jamani! Wataenda wapi? 😤
@shariffmtonya8945
@shariffmtonya8945 3 жыл бұрын
Sidhani maana hao ni wavamizi
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 жыл бұрын
Very said indeed 😭😭😭
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 7 жыл бұрын
hahahahha bibi amepiga na kimombo cha kufa mtu....wa kwanza kucomment
@tonnypambakalimbeyamwanjel9613
@tonnypambakalimbeyamwanjel9613 7 жыл бұрын
Julius URONU
@sofiarama9758
@sofiarama9758 7 жыл бұрын
Given Mwihanga jamani ssa nni lakukuchekesha aki wwe ukisema eti bibi kazungumza kizungu iyo dio kitu chakukuchekesha badala uwape pole
@josephstewart1905
@josephstewart1905 7 жыл бұрын
Julius URONU r
@kiliochetutvonline.6642
@kiliochetutvonline.6642 7 жыл бұрын
Julius URONU nouma
@avitusarchard3492
@avitusarchard3492 6 жыл бұрын
Hahahahaaaaa
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 7 жыл бұрын
Serikali hii mungu yupo jamanii
@yaaishbaybe9272
@yaaishbaybe9272 7 жыл бұрын
Astaghafirullah mbona kuku hajafaaaa tuhurumiane jamaniii 😢😢😢😢
@hosearwechungura7164
@hosearwechungura7164 7 жыл бұрын
Masikini pole bibi yetu!
@hudhud2022
@hudhud2022 7 жыл бұрын
hosea rwechungura Yaani bibi kama huyu machozi yana kutoka serikali gani hiyo makhabithi MMungu atawapa kisago na wao looo hata kama walivamia ni kwasababu wanyonge wengine hawamililiki bei za viwanja ahh2 tunaishiwa nguvu loooh
@hosearwechungura7164
@hosearwechungura7164 7 жыл бұрын
Rehana Elloffy Sister Rehana bhn!
@zawadiguchibanda4189
@zawadiguchibanda4189 6 жыл бұрын
hosea rwechungura q
@kudrahalfan5767
@kudrahalfan5767 3 жыл бұрын
Dah mtihani sana
@machimbenedicto9163
@machimbenedicto9163 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂et wote walikufa shauri ya gari, nipo na huyu chiz
@Athoben_tz
@Athoben_tz 7 жыл бұрын
Mwambietv nawapa pole wote mlio kumbwa na mkasa huo.
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 6 жыл бұрын
Maendeleo nayapenda sana ila wakati mwingine inahuzunisha sana, sasa kama huyu bibi ataenda wapi, mi naona waangalie utaratibu mwingine mzuri
@monicamonica4597
@monicamonica4597 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kuku Anamika kumi Daaa aiseee poleni lkn nacheka usione nnadharau nacheka kuku mbona ajafa toka 2010 🤣🤣🤣🤣
@othman8665
@othman8665 7 жыл бұрын
hahahahahaaa. mm nimekoshwa na huyo bw Afande Sele
@nellymollel4672
@nellymollel4672 7 жыл бұрын
ana bwebwe duu
@atusheatushe7038
@atusheatushe7038 6 жыл бұрын
Ple sana bb hao ndio watoto mulio waza shida tupu lakini musjali mungu smwanadamu yuko kumuandalia azabu
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Yani dahhh huonevu huo kubomoa ngumba za watu wataishi wapi
@tanzaniat7151
@tanzaniat7151 3 жыл бұрын
Waende wakaishi wapi?
@revixlixea3002
@revixlixea3002 7 жыл бұрын
Daaa... Tz yetu hii... Sjui wapi twaelekea.... Serikali mnawafukuza alafu hamuwapi pa kukaa huku nyie mkila kodi za hao hao mnawafukuza..... Daaaa....!!!!!
@emmanuelbellon2722
@emmanuelbellon2722 7 жыл бұрын
Revix Lixea hawa ni wale waliopewa viwanja mabati na cement na milioni1 mabwepande na kikwete wakauza vyote wakarudi tena Palepale, usiwaonee huruma hawa ni washenzi
@melkizedeckbashingwa97
@melkizedeckbashingwa97 7 жыл бұрын
Revix Lixea unafaham kuwa hao watu walishawahi kujaliwa na serikali wakarudi wenyewe?
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 7 жыл бұрын
Walishapewa wamerudi
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 7 жыл бұрын
Revix Lixea ,ndiohivyooo hatawatu waliochora muhimbili mmewasahaujamani
@tecnof1232
@tecnof1232 5 жыл бұрын
@@emmanuelbellon2722 una hakika, usifanye mambo rahisi rahisi tu hibi kwa mambo mazito, au hujafikwa na balaa ww, shukuru, usiombe!!!
@mathewshedrack603
@mathewshedrack603 7 жыл бұрын
du! inasikitisha sana kuona hao wanainchi kutoka hapo Kama huyo Mzee ataenda wapi tangu nyerer alipo kuwepo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Polen jaman😥
@ramamohammed4334
@ramamohammed4334 6 жыл бұрын
pole ndugu zangu tz
@shaabanramadhan5402
@shaabanramadhan5402 7 жыл бұрын
Inahuzunisha San bibi kanitoa chozi dah
@salmahussein2538
@salmahussein2538 7 жыл бұрын
Shaaban Ramadhan inauma sana daaa
@sofiarama9758
@sofiarama9758 7 жыл бұрын
Poleni sana mungu awaonekanie
@eddyempire9797
@eddyempire9797 2 жыл бұрын
Nilikuwa naitafuta hii interview yaan ...ili nimpate huyu bibi
@babycandy1153
@babycandy1153 6 жыл бұрын
Maskini Tz yasikitisha Sasa huyo bb ataenda wapi 😭😭
@juniorbayyo6540
@juniorbayyo6540 5 жыл бұрын
Baby Candy amka mbn umelala
@deogratiuskapulwa8874
@deogratiuskapulwa8874 5 жыл бұрын
bomoabomoa inanifanya nisijenge MJINI Pesa ya kubangaiza alafu unabomolewa
@jayjay4313
@jayjay4313 4 жыл бұрын
Da, kweli kabaki chizi, anaongea kinyamwezi tu, senkyu. 🤣
@omarymussa4815
@omarymussa4815 7 жыл бұрын
inauma sana sana kabisa,,,,Innalillah wainnaillahih rajiuuuun
@shedrackmwaipopo7253
@shedrackmwaipopo7253 4 жыл бұрын
Da inauma sana
@pendomollel5099
@pendomollel5099 7 жыл бұрын
vibaya San jamn wazee kam hawa waende wapi muwajengee ata kiroom kimoja😤😤😤
@goodlucklevokatus7513
@goodlucklevokatus7513 7 жыл бұрын
Aaaaaakh!!!! Tanzania ya viwanda...ama kweli
@tofikiissa1676
@tofikiissa1676 6 жыл бұрын
pole xana Dada angu ila hyo ndio siasa
@metalcombat4470
@metalcombat4470 7 жыл бұрын
Ebana Ayo TV, huyo jamaa mmemchomoa wodi fulani hapo Muhimbili, au?
@marympango925
@marympango925 7 жыл бұрын
mirlad umenifurahisha kweli...ilaaah!!daah bib hadi huruma jaman..
@rosemahengenicemcpilpil3327
@rosemahengenicemcpilpil3327 7 жыл бұрын
jaman huyu bbi mmemkosea sana sasa ataenda wapi jomooniii.
@jayjay4313
@jayjay4313 4 жыл бұрын
Lazima upewe Noksi, ya miezi mitatu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Kimombo bongo meli ya mgiriki imekwama kati kati ya bahari, lo mnaotuletea kimombo cha kupima msisahau kutuletea maelekezo jinsi ya kukitumia mazee. Tunaweza kulipuka mjue ohooo🤣🤣🤣🤣
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Serikali ya kipumbavu sanah
@dicksonmrema7584
@dicksonmrema7584 6 жыл бұрын
Hii ndio serikali iliopo si ndio kuisoma namba du poleni waanga
@rusiapatrik5674
@rusiapatrik5674 5 жыл бұрын
Dickson Mrema nitetee na flra
@Linkmycommunity
@Linkmycommunity 5 жыл бұрын
Ni bora kuwatoa au kuwaacha tuwe tunawachangia kila mafuriko ,,,,,
@ريهامالسريري-ل1ص
@ريهامالسريري-ل1ص 7 жыл бұрын
Bib c wa mchezo mchezo na kiingereza juu chezea wasomi wa dhamanii
@zuhuramunguakujariesabra7000
@zuhuramunguakujariesabra7000 7 жыл бұрын
magufuli oyee 2020 tens msichelewe kupiga kula ccm oyeeeeeeeeee
@joycegeorge3989
@joycegeorge3989 6 жыл бұрын
Uy bibi noma jaman duuuu ira wamemwonea awana uruma ukazan awan wazazi nao duuuuu
@zakariamaria9397
@zakariamaria9397 5 жыл бұрын
@@joycegeorge3989 siyo ira sema ila
@maleikamusa3207
@maleikamusa3207 6 жыл бұрын
They Really need help, this is so unfair..🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 So sad
@priscusshirima9977
@priscusshirima9977 7 жыл бұрын
bibi anamwaga un'genge balaa, big up bib wew mkali kuliko mkulu,
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 6 жыл бұрын
Duh! inauma sana
@nasalendsmlelwa967
@nasalendsmlelwa967 6 жыл бұрын
Khamis Daima bibi pole sana
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 7 жыл бұрын
Jamani poleni Sana
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 жыл бұрын
Pole sana bibi
@astantmwakisale9651
@astantmwakisale9651 7 жыл бұрын
Hataree ..
@maishayetunibahari
@maishayetunibahari 7 жыл бұрын
serekali inacho Fanya ni ujinga wange kuwa wastarabu hao mbwaaaa
@shaabanramadhan5402
@shaabanramadhan5402 7 жыл бұрын
Watu mpk wanechanganyikiwa wansingea km waropoka maskin
@walesanthony2396
@walesanthony2396 7 жыл бұрын
Mungu awanusuru tu na haya maisha magum ila tujifunze tu naman ya kuishi makazi yaliyo rasimi au kuteuliwa kuajili yabmakazi
@piyucfares
@piyucfares 6 жыл бұрын
Pole sana bibi angu
@agneserasto9806
@agneserasto9806 6 жыл бұрын
Bibi ni mwerewa sana waweze kumsahidia wampe kapesa kidogo abebewe na bajaji vyombo vyake kuperkewa kwa mjukuu wake
@sammabula7359
@sammabula7359 7 жыл бұрын
Dah ndugu yangu yangu maskini, sema english yake imenipunguzia mawazo
@kitabwana3584
@kitabwana3584 7 жыл бұрын
bibi pole sana
@lucygeorg4279
@lucygeorg4279 5 жыл бұрын
Sina chakuchangia zaid ya kusema polen maana uikwa muongeaji """ utafuatwa na pyu,pyu ,pyu
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 7 жыл бұрын
Uyo president wa Tanzania kwa nini anasubuwa wanaichi ivo. kweli machozi ya awa watu aita enda bure. Ana roho mbaya sana.. bina uma sana, angejiweka nafasi ya awa watu wake, sio kiongozi mwema hata kiloko...
@jacquelinejackson6124
@jacquelinejackson6124 7 жыл бұрын
Jamani huruma serikali tuwasaidie wazee najua mnafanya kazi nzuri but tutupie jicho kwa wazee kama hawa
@nuurinkluge8239
@nuurinkluge8239 7 жыл бұрын
Mbaya sana kufanyia hivyobinadam,,v
@daniellwiva4103
@daniellwiva4103 7 жыл бұрын
Inaskitisha Mungu atusaidie
@amosijuma9543
@amosijuma9543 6 жыл бұрын
Baadaye raisi asema msimbunguzie munaanza kupongeza
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
Eti chizi 😭😭
@ghuhenjasper8666
@ghuhenjasper8666 2 жыл бұрын
Yote ya yote'' ila binadamu hao walipwe fidia. Kwani muda woooote huo wakiishi hapo SEREKALI ilikuwa haiwaoni? Na kama ni operetion ya serekali kurudisha maeneo yaliovamiwa, basi zoezi hilo liwe la NCHI nzima kwani ni maeneo mengi ya SEREKALI yaliovamiwa.
@faridabakari8511
@faridabakari8511 7 жыл бұрын
😅😅😁kizunguu wooow ongeraaa
@mabulaleli9234
@mabulaleli9234 6 жыл бұрын
Pole sana bibi
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 7 жыл бұрын
Mmmmh uyo kuku muhenga uyo toka 2010 hahahah
@yohanamtunduru2388
@yohanamtunduru2388 3 жыл бұрын
Serikali ya hapa kazi tu tutafika
@jallygabriel5715
@jallygabriel5715 7 жыл бұрын
Mbona wale wa kipawa kupisha kwa ujenzi wa uwanja wa ndege Mh jakaya aliwalipa . Kwanini hawa wasilipwe na wameishi hapo tangia miaka ya 70+ Kweli ccm mbele kwa mbele Mnywe sumu ,mjinyonge wenyewe mbele kwa mbele 2
@Msonjo
@Msonjo 7 жыл бұрын
huyu mwanae kweli chizi ahhah wanamuita afande sele hhhh ni MTU mmoja wa hisia saana
@sammytz1540
@sammytz1540 7 жыл бұрын
hhahahhaahahahahahhhhh @m2 mmoja wa hisia sana
@yahyanaka1383
@yahyanaka1383 7 жыл бұрын
😂😂😂😂 eti wananiita Afande Sele kwel huy chiz aseee
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 7 жыл бұрын
pesa ngum nyumba zinabomolewaa duuu jamani
@tinalucas4009
@tinalucas4009 6 жыл бұрын
MK Tv hahaha kweli
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 6 жыл бұрын
Poleni bibi inatia huruma
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 жыл бұрын
Siku hizi maneno yameniishia nasubiri mungu afanye miujiza, Tanzania kosa lete mnasubiri watu wanajenga wanaishi miaka ndio mnawavunjia, vunjeni wakianza tu, wasingekuwepo hapo.
@mhonamisaomar7011
@mhonamisaomar7011 7 жыл бұрын
Poleni xana
@sumakusasa2789
@sumakusasa2789 6 жыл бұрын
Hjui bbi ni htali na inabidi afanyiwe mpango
@joshuaibrahim6691
@joshuaibrahim6691 5 жыл бұрын
Nchi hiiii!!!! Hatari sana
@saudafakir5421
@saudafakir5421 6 жыл бұрын
Kuku mbona hajafa kweli inakuja kuja hivi wanawatesa tu wananchi. Maskini na yule Bibi anahitaji msaada sana amezeeka na bado ana nguvu zake wawasaidie hawa watu serekali jamani
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Imeniuma sana jamani
@stevenmligo8734
@stevenmligo8734 7 жыл бұрын
Ccm mbele kwa mbeleeeee daaaaa kawimbo haka kananikumbusha mbali....mkome
@husseinally9146
@husseinally9146 7 жыл бұрын
Steven Mligo usifurah
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 7 жыл бұрын
Steven Mligo ,Nabado mnaichagua
@txbcamengdg7021
@txbcamengdg7021 7 жыл бұрын
Steven Mligo Ukome Mwenyewe mbwa wewe usiye jitambua mfyuuuuujuuu
@clementbankuwiha8877
@clementbankuwiha8877 6 жыл бұрын
Ccm inahusika vp hapo?
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 жыл бұрын
Usiingize siasa kwani wewe unauhakika kama hao wakazi ni watu wa ccm au chadema acha uchama wakati watu wanamatatizo ipo siku litakukuta wewe
@metalcombat4470
@metalcombat4470 7 жыл бұрын
Ila, Serikali yetu nayo haijielwei. Unapo kuwa na sheria tena usi isimamie, hiyo ni nia mbaya. Nakumbuka mliweka hapo Jangwani hata balozi wa nymba kumi(Mjumbe), Tanesco ambao ni shirika lenu wame waungia umeme, tena mka waacha raia waishi miaka kadhaa. Hamkujua plans zenu? Hamkujua kuwa hao walikuwa wanaishi eneo hatarishi nanyi mkiwa kama viongozi wema muwazuwie mapema ili wasije kuathirika na hatari iliyo tazamiwa(mafuriko)? Mkizinduliwa mlipo kosea mnaanza kuandama mzinduzi. Mnachosha!
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
Maskin daaa 😥😥 iv maguful haonagi hay matatizo Yan APA ndo anaponboag
@dadileonard2392
@dadileonard2392 7 жыл бұрын
Ni shida Hadi kasema Kimombo hizi n zaidi ya kifani...............................!
@lissamsalu2179
@lissamsalu2179 6 жыл бұрын
Jamani Tanzania rahisi makufuli unafanya tunaogopa kurudi Tanzania dar
@constanciomarcos5552
@constanciomarcos5552 7 жыл бұрын
Poleni sana
@allenstian3719
@allenstian3719 3 жыл бұрын
😅😅😅😅nimempenda bibi jmn
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 7 жыл бұрын
Kazi ipo kwakweli Mungu awasaidie
@danieljoseph6309
@danieljoseph6309 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 bibi kiboko
@mamamuu8217
@mamamuu8217 3 жыл бұрын
Wakati wengine tunajitakia wenyewe matatizo, nakumbuka zamani kama hiyo nisehemu ya serikali, tokea kikwete watu walihamishwa na wakapewa mabwepande na wengine hawakukupenda huko na wakarudi hapo hapo. Sasa alaumiwe Nani?
@gstarboy4844
@gstarboy4844 7 жыл бұрын
In short magufuli unaharibu
@kijanamatata7135
@kijanamatata7135 7 жыл бұрын
Gstar Boy ni zaidi ya kuharibu
@moseshaule7825
@moseshaule7825 6 жыл бұрын
Mlisema kikwete anaharibu Leo mmegeuka tena
@magdahdatiana3370
@magdahdatiana3370 6 жыл бұрын
Gstar Boy Nakusupport
@lucymwega784
@lucymwega784 6 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
A STORY THAT MADE THE CHURCH CRY | REJECTED MOTHER WITH SEVEN SONS.
22:22
New Life TV KENYA
Рет қаралды 1,9 МЛН
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 70 М.
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН