SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@mosesndimgwanko1079 Жыл бұрын
Asanteni viongoz kwa kuliona hilo,hayo majumba naona tu yafungwe.Tunatengeneza kizazi cha uharibifu xana.
@jothamekisouke2326 Жыл бұрын
Daaaah uyo chapombe msemaji wa kwanza ameongea vzuri sana,hao wadada wanaharbu Sana jamniii iliyowaznguka!! Lkini viongozi wanapata manufaa Sana na hao wadada wanaojiuza hapo,haiwezkani wawaache tu wafnye uchfu wao
@danieldavid4733 Жыл бұрын
Vita hii ni Kali na Ngumu Mheshimiwa Mwenyezi Mungu akutie Nguvu
@fatmabhai2812 Жыл бұрын
Wallahy mtihani c mdg dah! ???? Mwenyezmungu tuswameh waja wko. Vikuze vizazi vyetu kwenye maadili mema.
@evaemil8568 ай бұрын
Huyu mayor anatumia haki za binadamu, maadili na sheria Ya nchi. Safi Sana.
@rajabukhamis467 Жыл бұрын
Asanteni sana viongozi wetu kwa msimamo wenu maana nishida unakuta mtoto mdogo mwenye miaka 15 anaenda kufanya mapenzi namtu mkubwa pesa ndogo tena wengi wanafunzi nandio maana wanafunzi wengi shuleni wanakua vicho box baadae tunawalaumu walim kumbe wanashindwa kufanya vizuri kumbe wameanza kufanya ngono zembe mapema
@caswaralbadry8481 Жыл бұрын
Laana hii itaisha lini ni jukumu kwa kila mtanzania wasione wengine mungu atawaacha hapana ukiwa na uwezo wa kukemea au kuzuia na ukakaa kimya kulizuia hili basi na ww unahusika kuadhibiwa na mungu moto mkali ,
@samwelkalinjuna9739 Жыл бұрын
HONGERA sana mh stahiki mayor songoro kwa jambo hili kwakweri hali si hali ndani ya jiji hili la dar es salaam na si hapo tu hili zoezi Liwe la jiji zima maadili ya momonyoka
@jumamasasi4424 Жыл бұрын
Wana habar kweli mnakazi hatal
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Atuwezi fanya kazi aina moja waacheni wanasaidia watu mmesha halibu maisha toga juuu
@hamadimuya4303 Жыл бұрын
Una uhakika una muogopa mungu
@benedictmhina4819 Жыл бұрын
Mdau
@starmakervideos1984 Жыл бұрын
sio sawa maisha magumu dada zetu wafnyaje yaan. acheni usengne viongoz mnakurupuka sana. hamtoi suluhisho nyie mnajua kukataza tu.
@lionking3015 Жыл бұрын
Mm nadhani hata hoteli kubwa kubwa wanazoenda kina Kajala na irene uwoya pia ni danguro tu..utofauti ni mazingira tu..hata mtandao wa Instagram na tiktok ni danguro mana madada wengi wanazitumia kujiuza mitandaoni na kujiadvertise kama kina gigy..nadhani ni bora sheria iwe msumeno sio kwa wanyonge tu
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
SubhanaAllah 😭😭😭 ndiyomaana mvua hainyeshi mazao yamekauka Wallah huu mtihani
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
Allah atanusr sis na vizaz vyet
@Mimi-wf7mb Жыл бұрын
Kabisa @ Zainab
@zamdakimaro8040 Жыл бұрын
HONGERA MH WANAWAKE WAMEKUWA NA MABALAA NA WAMESAHAU KAMA KUNAMUNGU
@fikiriselemani100 Жыл бұрын
Halafu vjumba vyenyewe vbovu vnachafua hadhi ya Jiji letu ,Bora vivunjwe ,
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Makahaba DAR wapo wengi sana kila mahali ukienda manzese,kimara,temeke,buguruni yani wapo kibao na walio wengi wanatoka mikoani
@loner_wolf Жыл бұрын
Tafakari..... Wapo wa mkoa na wapo wa hapa hapa......
@sarahomary3615 Жыл бұрын
@@loner_wolf Hapana nakataa WA dar wamezoea mji ila WA mikoani wengi wanavamia mji Wanakuja na ulimbukeni na wengi wanaambiwa Kuna kazi za ndani wakiona maisha hayapo Sawa ndiyo hivyo wanaanza kujiuza
@ahz6907 Жыл бұрын
@@sarahomary3615 Wote hata wa dar wanayafanya hayo.
@christianchando7041 Жыл бұрын
Hii ndio faida ya kuwachagua viongozi wanaomcha Mungu
@christianchando7041 Жыл бұрын
@WAASINASTYCRAZY2023 Mikopo ya akina mama, vijana na walemavu, ni 10% ya mapato yote ya Halmashauri kwa mwaka. Mfano Halmashauri ya Kinondoni asilimia 10 huwa ni bilioni 2 mpaka tatu. HIZO WANAKOPESHWA BILA RIBA WALA DHAMANA YOYOTE
@sylasmusic6773 Жыл бұрын
Wafanye nini wakati hata biashara ni shida tu acheni hizo dada huduma. zenu ni nzuri
@bongelabwana1940 Жыл бұрын
Tunahtaji Viongoz wenye Mitazamo na hofu na Mungu,Namuona atafika mbali
@feisalmwinyi2429 Жыл бұрын
Hongera Sanaa Mh Songoro kwa hekima yk na busara zakoo Allah akujaze nguvu ya uongozi wk
@hamdaniamli-mj3zp Жыл бұрын
Ahsante meya umesomeka
@Jaz_bey Жыл бұрын
Umeongea kwel angekuwepo magufuli hapo tunge bomoa kabsa maana laana tupu
@hadijaalpha7547 Жыл бұрын
Mtihani!mvua hazinyeshi!maisha magumu!matendo yetu!hizi sio asili yetu!nyakati za mwisho!mungu tusamehe tuongoze!
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Safi sana Mstahiki Meya. Lkn itakapotokea hapo acha watu wako kimya kimya wasiojulikana kwa wenyeji ili iwe rahisi kusafisha wachafuzi wa jamii. Maana hao viongozi wenyeji usiwategemee watakudanganya.
@ahz6907 Жыл бұрын
Kabisa na watakuwa wanapata fungu
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Safi sana mstahiki mayor umeongea vizuri sana.. kazi iendelee
@ramadhanmustafa1941 Жыл бұрын
Fukuzilia hao wote wanatuharibia ndugu zetu
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Hatari sana!! Hongera sana Meya Kwa kujitoa muhanga!!
@saebajoma8419 Жыл бұрын
Kwahiyo ndugu yangu kuuza mwili nikazi mbona kazi zipo nyingi tuu ukiamua @WAASINASTYCRAZY2023
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@Waasi Nasty Crazy Afya yako ya akili haiko Sawa,,,
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@Waasi Nasty Crazy Hahahaha,,,,,kama Una elimu basi ni ya kimchongomchongo, haiwezekani mtu msomi kutoa hoja ya kipumbavu kabisa, ,,,, there are so many Hustlers in this country who are struggling legally to earning their lives!!! We unatuambia eti Kwa kuwa hawana kazi basi wakauze miili Yao! Mjinga sana wewe, tena usirudie tena kudai usomi Kwa Hoja za kijinga, maana unaiangusha tasnia ya kisomi
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Mtihani dah😢😢😢😢
@Saidkhel Жыл бұрын
Wanunuzi wanalalamika kwenye comment bongo bhana
@bahatisaimon6019 Жыл бұрын
Ili jambo liishe mpaka Mama asemee au bunge liseme maana ndoa nyingi leo zinazofungwa zimekufa kwasababu hiyo
@othmanhussein-ed7mj Жыл бұрын
Duh innaa lilaahi wainnaa ilayhi raajiuun
@abbassalum6824 Жыл бұрын
Anaefanya ivyo sio kama anapenda kazidiwa na maisha magumu
@naimasuleiman6489 Жыл бұрын
Na hivo vyumba vimejengwa kwa hivo tu au subhnaAllah
@jonamnyone80148 ай бұрын
Mh. Diwani Kata ya Makunusho Mohd. mwogope Mungu. Hela yangu uliyonitapeli wakati unatoa gari langu Bandarini uliahidi utanilipa kwanini hunilipi???? Wewe sasa ni kiongozi je unafuraha kudhulumu.
@mussakadelia5681 Жыл бұрын
mheshimiwa meya, kutoa mikopo siyo vibaya ila changamoto ni kwamba hao watu wanaenda kufanya biashara gani, na wamejiandaa vipi kuwapa elimu ya ujasiriamali kabla ya kuwapa mikopo, hii issue ni ngumu sana na haiwezi kuleta matokeo chanya, watakula hiyo mikopo na kurudi kwenye madanguro tena
@talhiyaibrahim1074 Жыл бұрын
Yaan mashallah hongera sana
@emanuelpallangyo3698 Жыл бұрын
Toeni kwanza elimu kwao then mfanye mpango wakuwapa mikopo kwa ajili ya biashara kwa ataye hitaji
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kweli
@shafiimusa6572 Жыл бұрын
Ongera sana meya wa kinondoni
@shijandobehe4953 Жыл бұрын
acheni wafanye kazi yao wanasaidia jamii makahaba walikuwepo kabla na baada ya kuzaliwa Kwa yesu
@DIO-jd8xs Жыл бұрын
Situnataka haki sawa
@josephshelukindo2269 Жыл бұрын
Hata kama Wana maisha magumu..waangalie Kaz za kufanya sio hiyo..
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
ni hatari sana si ukimwi tu kuna hepatitis B ni mbaya kuliko ukimwi
@victorbugobola2276 Жыл бұрын
Hiiiiiiiiii Nchi tamu sana
@abbiecox1 Жыл бұрын
si vyema kuwafukuza wanatoa huduma kwa watu ambao hawawezi kupata huduma hiyo hasa vijana wasio na ndoa muhim wapimwe afya ili wasiwe chanzo cha maradhi kwa jamii. pia kama inawezekana wawezeshwe mwanamke akiwezeshwa basi jamii imewezeshwa
@salmamlokela1987 Жыл бұрын
Mmmh..wewe
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Mola awasimamie mpaka, biashara hii ikome, inshaallah safi sana meya.
@hallin9561 Жыл бұрын
hii biashara haitokaa ifutike kaka, iwe saudia, dubai, Vatican, itali, American na kwingine kote, ni vile zinafanyika kwa siri sana, niliwahi kupelekwa kwenye dangulo moja Zanzibar kama wew ni mgeni haujui. wenyeji wanapajua
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Jambo zuri sana hilo,chukueni hatua yasibaki maneno tu. Wengine wenu ni wateja🤔
@thamani5842 Жыл бұрын
Innalillah waina ilayhi raj un
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Mkuu Wa Mkoa Sijui Anapambana Nanini Ndani Ya Dar .Uchafu Kila Kona Mbona Wakati Wa Makonda Mengi Yalikua Kwenye Kupotea Viongozi Wenye Kupokea Pesa Kamata Ndani Sasaivi Mpaka Wazazi Awaley Watoto Wa Kike Kwasababu Wanajua Unalea Malaya Kumbe Watoto Halisi
@musampanda3643 Жыл бұрын
Ao ao wenyewe watoa maoni ndio wateja wakuu jioni
@ayububakari9942 Жыл бұрын
wamechoka na hiyo tabia
@stephenemuya8575 Жыл бұрын
Hii ni siasa tu amna kitu hapo waishapita viongozi wengi ilo eneo amna kitu wanafanya amna solution wanoyokuja nayo Amna Kitu Hapo
@@nassorsalum Acha ujinga wewe, kwahiyo kuuza mwili wako ndio suluhisho la matatizo yako
@zuwenaally6403 Жыл бұрын
Subuhaanah lahu kama badae ya kuku jomani 😢😢😢😢😢
@ahmedyhassan4059 Жыл бұрын
Wanafanya ukimwi uzid vijana watt zetu sijui k watapona badae uko,,Allah tupo mwisho mwema
@evaemil8568 ай бұрын
Serikali ingebomoa haya maeneo na kuwajengea wananchi nyumba Safi za bei nafuu na mazingira bora. Wangejenga ghorofa kadhaa za vyumba viwili mpaka viatu au vinne. Mpango mji, na kupawekuea hadhi hizo biashara za ovyo zingeisha. Maadili yazingatiwe.
@jothamekisouke2326 Жыл бұрын
Duuuh hiyo milango Sasa ilivyo!! Bei ya elfu 2 Ni ukimwi,Na Magonjwa mengi
@ivanminja7954 Жыл бұрын
Ni zaidi ya miaka 40 hizo nyumba zipo, kazi ipo.
@lusakulazephania32 Жыл бұрын
Wanatusaidia sana hawa madada
@happymchomvu6766 Жыл бұрын
🙄🤨
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Heeeee mtihani
@saidimohamedimgotomgoto979 Жыл бұрын
Kwa hili hupo sawa mahadili hakuna
@oliverjason4335 Жыл бұрын
Sitetei ukahaba Ila iyo mikopo ni ubabaifu wengi hupati iyo pesa kwa haraka Kona nyingi mpk unakata tamaa unaamua kuacha
@mohddelo Жыл бұрын
Safi mkuu
@mchwikesenior4221 Жыл бұрын
Natamani huyu awe waziri ili maono yake yafanye kazi nchi nzima. Big up bro💪
@stephenemuya8575 Жыл бұрын
SIASA TU HIZI MKUU MWAKANI ATAENDA MWINGINE YOUR JUST AN NPC IN TANZANIA
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Mmh🤣🤣
@fainajaffary4070 Жыл бұрын
@Waasi Nasty Crazy 😁😁😁😁🤣🤣kunywa soda bby😍
@omarylukindo5306 Жыл бұрын
Hapo ni karibu kabisa na hospital ya mwananyamala,,Yan utakuta Bango kabisa linakuelekeza hapo limeandikwa BIASHARA YA MAJENEZA,ila biashara ni watu Wala huon hayo majeneza
@abdallahkassim318 Жыл бұрын
Wapewe million 40 pia
@hallin9561 Жыл бұрын
muwaache wadada wafanye biashara zao kwa amani, nyinyi ni wauzaji wa mihadarati lakin wananchi wametulia
@barakamarandu6163 Жыл бұрын
Sema lkn ukiangalia kwa upande mwingine izo pis zina tu save sana maana nikiwa na arosto naruka hapo chap na buku mbili
@Mina.15 Жыл бұрын
Utakufa na magonjwa
@barakamarandu6163 Жыл бұрын
@@Mina.15 Hamna magonjwa mama nachumvini nazama fresh to nawaungisha to jmn Kwan kuna baya
@Swahili14 Жыл бұрын
@@barakamarandu6163 Hello bro 😂
@queenlinda255 Жыл бұрын
Safi
@othumansaidy2626 Жыл бұрын
Jaman ndio biashara sio mzuri ila wanasaidia kupunguza nyeto megeton.😂😂
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Safi sana mkuu
@Jaz_bey Жыл бұрын
Mama ntilie wanafanya kaz afu Wana kamatwa na site afu kuna ombaomba wa naitwa wagogo wazima hawana tatizo wanaombaomba hapa mjini kwann serkal isiwakamate iwapeleke maporin wana fanya nn hapa mjin wamechanganyana na vilema kilema aombe nawaoo wambe
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Mkitaka Kumaliza Tatizo Tanzania Hi Kwenye Mambo Ayo Hiundwe Shelia Ikitokea Nyumba Inatumika Kwenye Biashara Iyo Basi Nyumba Itaifishwe Mala Moja Likiwa Agizo Nchi Nzima Basi Tutaludisha Eshima Kuanzia Kwenye Ndoa Na Wananchi Watafanya Kazi Kumaliza Tatizo Ilo Nyumba Zibinausishwe Sasa Mtaenda Mpaka Lini Kwenda Apo Akumalizi Tatizo
@yhasintakalenyula970 Жыл бұрын
Hao wanaojiuza,maana yake wana wateja.Wateja wao ni wanaume...Hivyo nawaomba,muwaambie wanaume.Kama wanaume hawataenda kwa hao wadada,hao wadada hawatapata wateja itakuwa ni rahisi kutafuta kazi zingine za halali.
@rose_Winchester86 Жыл бұрын
Hiyo haiwezi kutokea
@bongelabwana1940 Жыл бұрын
I think you are a member
@emanuelleopod3949 Жыл бұрын
Sasa dada angu nyie mnataka pesa ndefu mara ya kusukia mara hujala mambo kibao ila nikienda kwa hao madada poa napata kwa buku tatu tu aisee
@dinnambogoye9582 Жыл бұрын
@@emanuelleopod3949 kweli broo , pia madem wengine wanajikuta wanaliinga Sana
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
@@emanuelleopod3949 tumia kinga kwa umakini kabisa
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Mhh hatari ila hii hapana nimezunguka Arusha sijawahi ona huu ujenzi vyumba utadhani mabanda ya kuku😭🙆🏽♂️🙆🏽♂️
@stephanomayunga5540 Жыл бұрын
Sasa wew umeona Arusha napo ni mji?
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Labda ni kitongoji vipi hapo umeridhika ama bado😏😏
@ahz6907 Жыл бұрын
Matejoo huko zipo
@filbertabdallahmdee2676 Жыл бұрын
Kwel jaman jamii inaangamia embu serikali iingilie kati na ikiwezekana sheria ziwe Kali kuhusu wanawake wanaojiuza
@NANCYWARD488 Жыл бұрын
wateja waache kwenda kununua hizo ngono tuone kama watakuwepo. shida si hao bali ni wateja, pia hizo pesa za mikopo mkakopeshe watu waliozoea kupata pesa kwa kufanya ngono mnautani kweli aisee, hakuna atakaefanya biashara hapo ya kupigwa na jua siku nzima wakati alizoea kukaa kivulini na kupata pesa, watafutieni Kazi viandani huko mkawapeleke, mikopo ni kuchezea tu pesa kodi zetu.
@issasulleman8573 Жыл бұрын
sasa wateje tukiacha kwenda kununua ! mnataka tuanze kubaka au! na nyinyi mnatulingia, mkitongozwa tu mnaanza kutupatia majukumu makubwa kama wazazi wenu sasa si bola nikanunue alfu 3
@gockoomzawa226 Жыл бұрын
Mkitongozwa si mnakataa
@NANCYWARD488 Жыл бұрын
@@gockoomzawa226 na nyie mnaogoa majukumu ndio maana mnaenda kununua vya harakaharaka na bei nafuu
@gockoomzawa226 Жыл бұрын
@@NANCYWARD488 tena huko akuna ata kuumizwa moyo
@NANCYWARD488 Жыл бұрын
@@issasulleman8573 ndio wawaache sasa ili nyie msiotaka majukumu mpate pakwenda
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
daaah allha anusuru vizazi vyetu lnshallha na haya mambo maana hao wanao jiuza wapo sehemu ya jamii kabisa mtt akitumwa dukani hapo ndo njia na temeke pia maeneo ya dabo kibini kwa chacha pale na maeneo ya wailes masangati kwa nyuma yamejaa kama yote😭
@ahz6907 Жыл бұрын
Inawezekana kukemea na yasiendelee kama hivyo ni sisi majirani tunapuuzia ndio hivyo yanaonekana kawaida tu.TUBADILIKE
@modycombo7421 Жыл бұрын
Navijumba vyao vinakuwahivyo hivyo vya mstar
@modycombo7421 Жыл бұрын
Navijumba vyao vinakuwahivyo hivyo vya mstar
@edwardnjile5621 Жыл бұрын
serikali ianze na wamiliki wa hayo madangulo wapewe onyo kuhusu ufanyikaji wa biashara hiyo katika nyumba zao kwa sababu wao ndo wanaweza kuwafukuza wapangaji wao na kutoa taarifa katika vyombo husika wasipo fanya hivyo viwanja hivyo vitaifishwe🇹🇿
@SamsonMwanosa-km6xc Жыл бұрын
Selikali fanyeni mpango wa kuzuia ushoga hawa wahaya walikua wanatutoa baridi kwenye mvua hii
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Kwani uchaguzi lini tz Maana huyu jamaa alikua akiishi jirani na hilo eneo kabla ya kua diwani hadi leo ni meya Na hakuwahi kukemea tatizo la tz viongozi hufanya kazi kwa mihemko Kikubwa tuone utekelezaji Maana waandishi wa habari washawahoji sana na hakuna khatua yoyote
@suleimayahya2099 Жыл бұрын
Biashara itakua inawalipa vizuri coz mademu wa mitandaoni bei zao juu
@biddii1972 Жыл бұрын
Dawa ni ajira
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Hiyo sehemu kongwe
@stamalamkulungwa8708 Жыл бұрын
Jamani sasa wanawake mtaani wanatulingia Huko watu walikuwa wanapunguza haja zao sasa ukiwatoa itakuwaje
@leokamil6284 Жыл бұрын
Na pia itaondoa kubakana
@yassinshaban6241 Жыл бұрын
Hii kitu kwa kiongozi uyu haiwez bora afanye mambo mengne tu maana majibu ya maswali hatakayoulizwa ana
@jumarajab5316 Жыл бұрын
wanasiasa bwana eti mwenye nyumba asipojitokeza tutavunja tuweke kituo cha afya hiyo kesi yake utakimbia familia hawa ma meya si ndo wanatokana na madiwani sasa kuna diwani gani mwenye akili timamu
@mkundukunuks Жыл бұрын
Kama Yule wa vingunguti kumbi la Moto Hana hata akili moja
@kisoso890 Жыл бұрын
Haha machoko Hao wananunua vibint vya insta na tiktok na Twitter wanajifanya kutumia mtandao wa Twitter kama vile sehemu special kumbe kule Twitter Kuna laana kufuru utamkuta eti account yangu ya Twitter kumbe ni bora anaetumia Facebook yupo OK kuliko huko Twitter Kaka meya kafanye kazi maji shida barabara shida unakuja kataka kuharibu raha zetu mbwa wew
@abdallahrenatus6677 Жыл бұрын
Bodhaa kama haipo mteja atatoka wapi?
@muddybreezy4595 Жыл бұрын
Saf sana Meya Kama mulifungia mitandao ya x vipi hawa panya
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Eeh! Wanashindwa nn kuwafungia kama X waliweza kuwafungia watu wasione??
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Viongozi wa mitaa hiyo wanapokea pesa kwa kuchangiwa kwa mwezi 🏃♂️
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Msiba mkubwa . Allah tunusuru na huu mtihani Watu wanaangamia
@Awatee Жыл бұрын
🤲🤲
@lucaspaulo5371 Жыл бұрын
Harafu msiseme makahaba tu na wanunuzi pia je mnawafahamu maana ni wengi kuliko wanaouza kama mmoja anaweza kuuza watano hadi kumi wako mia sasa zidisha mara hiyo ni ngapi? Halafu wateja wengi ni hao wa serikalini ndio wanaopandisha na bei 10000 harafu kahaba akisha kuwa staa wananunua wafanya biashara na wakubwa kuanzia 50000 mpaka ...… Mi naboeka na serikali yetu wala siwalaumu makahaba chanzo ni nini mpaka mtu akawe kahaba hamjiulizi?
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Jamani kinadada taire! "Unameng'enywa" kwa pesa, tena Shilingi elfu mbili ya Tanzania? elfu mbili?
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Meya uwamzi wako ni mzuri sana na tena hivyo viwanja vya hizo nyumba ni kiolela hazina hata hati za sehemu hiyo ni wavamizi walio jenga maeneo hayo
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
@Waasi Nasty Crazy wwe kweli hamnazo wewe unapenda ujinga wanao fanya kuuza uchi ni kazi watoto watajifunza nini badae.wanaka mikoa na vijijini kuja kuza miili wanawacha mashamba kulima hata ni mtanzania ndio ufanye maovu ndani ya nchi
@deusdeodavid5360 Жыл бұрын
Hakuna ajira ndio maana yanatokea hayo
@fatmaahamad633 Жыл бұрын
Baba ukilimaliza hili unapepo yako kwa allah
@hasanadamhasanadamally Жыл бұрын
Hakika
@geraldalfred1781 Жыл бұрын
Hili zoezi liliishia wapi mbona mambo yanaendelea kama kawaida
@crisndembwele4016 Жыл бұрын
Mnaanzaga vizuri ila mwisho huwa mbiyo za sakafuni. Hao hata kwenye vitabu vyadini wapo kuzuiya ni ngumu maana watatafta njia yoyote kaziyao iendelee mtumie akili na lisiwe zoezi la skumoja araf mnapoa
@princekarani7836 Жыл бұрын
Mzee kuishinda ihi biashara ni ngumu kuliko kitu chochote dunia ihi,biashara ambazo huwezi kuzitokomeza dunia ihi ni madawa ya kulevya,umalaya,(kuuza mwili),kuuza viungo vya binadamu,uwezi zuia ata siku moja,kingine kilichoikumba dunia ni ush..ga
@karimjuma4019 Жыл бұрын
maisha magum wache ichi imewashinda kuna vitu kedekede vya maana havion umeoma kww madada poa tu wache watu wajipatie ridhik na wangne wakate kiu kwa wepes bila vikwazo
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
Innaalillah wainnaailayhi rajiun Allah Akusamehe na Akuongoze katika haqi
@mchumiajuani1993 Жыл бұрын
Hata kama kazi ya ukahaba upo basi usiwe wazi namna hii, yani hawa wanafanya kaz km duka......
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Ndio hivyo naona kama maduka mtihani
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
hatariiii kubwa Mungu aokoe vizazi vyetu
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Wasty nasty umesema uzuri hata ukiwatimua si suluhisho.Suluhisho muanzishe miradi muwapange kwenye vikundi wawezeshwe.Kuwatimua si solution kbsaa hapo.Kuna mzungu mmoja aliwahi kuniuliza swali kuwa hata hao wakitimuliwa ndio mmewasaidia vipi.Papangwe mipango kabambe wawezeshwe
@issapaschal-pm1ec Жыл бұрын
Mnashindwa kutimua mashoga
@tonybrighter3878 Жыл бұрын
Mnaacha kupambana na Maji na Vyoo Mashuleni mna pambana na Vitu vya Ajabu