Ni wangapi wamefurahi kumuona baisa kuwa ni security wekeni likes hapa
@MgangaBayser9 ай бұрын
abaki ivyo ivyo
@KisemboMoise9 ай бұрын
Tuna subiri na hamu lakini usisahau mgeni wa Kijiji mimi kutoka Congo 🇨🇩 nipeni likes zangu
@BarakabalumeJean9 ай бұрын
Noma kabisa, kobelo na rose wasikose kwenye iyi movie
@EmilyRehema-p1e9 ай бұрын
Ni wangapi wamefurahi kumuona mama mwenye kiti amengara wekeni likes zenu hapa 😂😂
@BahatiKadenge-n5r9 ай бұрын
Nimeipenda sana hii move yan zimeshinda zote hii kali sana endelea na moyo huo huo ❤❤❤
@RaimamomedSaidi-wz1yu9 ай бұрын
Wamezowea uchawi na uganga 😂😂😂leo wapo tofaut kabisa🎉like zenu nyote
@MgangaBayser9 ай бұрын
asnte
@HassanMacko7 ай бұрын
Nilichokiona mm labda kufuru ndio nyingi Binaadam wanaitana mungu astaghafiru Allah
@LovelyDandelion-dv5ht9 ай бұрын
Wangapi wamegundua kwamba baisa n handsome kama hajavaa nguo za uganga 😂😂😂gongeni likes hapa
@MgangaBayser9 ай бұрын
asante
@RachelMalekela9 ай бұрын
Hii movie labda ujalibu mbele huko lakini umecheza vitu vyakweli nabii niwatu wanao teseka sana kua nabii nikaz ngumu sana hii nimeipenda
@EmilyRehema-p1e9 ай бұрын
Mutumishi na mchungaji boncena big love from Saudi to kenya
@chrisvada-fu4yp9 ай бұрын
Ila Jamaa angeweka lile Neno Man mwisho ingenoga😂😂😂
@DivineKwizera-u3h9 ай бұрын
Jamni inikizani mimi ndowakwaza naombeni lik hata 5 nafurahi kuona baisa kuwa mlinz nasi muganga ten hiii film ninzuri niwangap wameipenda mimi 1❤️❤️❤️❤️
@Nyanchama-c1n9 ай бұрын
Wow tumekutana tena nmekua nanyi kwa mgeni wa kijiji ❤watching from kenya nawapenda
@michaelykibano43129 ай бұрын
Jamaaa una talent kubwa sana mm nimfuas wako na imanhii itashinda mgen wa kijiji 2kopamoja man
@BarakabalumeJean9 ай бұрын
Boncena tusaidie kobelo na rose wasikose ndani ya iyi movie kobelo awe chawa wako tena 🙏🙏🙏😂😂
@DanielObara-cv4bi9 ай бұрын
Leo mie huyu kutoka Kenya 🔥🔥🔥
@EdimaraPius9 ай бұрын
Boncena hahaha hahaha 😂😂😂😂😂
@JohariAgustino-t6f9 ай бұрын
Ya moto sana hongela kwako bon na tim yako👏👏 nasubil ya pil kwa ham
@FredyMakoi9 ай бұрын
Mwendelezo uwe unatoa mapema boncena move nzuri sana
@Emmaibra238 ай бұрын
Mbona inafanana na movie nyengine niliona yaki Nigeria
@hollyboyMW5 ай бұрын
True nliiona pia
@JeanNoelArakaza9 ай бұрын
Leo WA Kwanza nipe hata like moja
@Sharifahemedi-j2o9 ай бұрын
😂
@RUTAMANTZ9 ай бұрын
JAMAA RUTA MAN UNA JUA AISEE DAAA MOVIE KALIMAN
@nahimanabella24789 ай бұрын
Mama mwenye kitu muzuri jameniiiiiii yooooooo
@philohmutua29689 ай бұрын
Boncena kazi zuri😂 sana
@lidiamsumeno18159 ай бұрын
😂😂 Ruta Nabiii 😂😂😂😂🎉🎉🎉
@SalamaFrancis-yg7sr9 ай бұрын
Nabii WA mchongo 😂😂 malaika amevaa uniform
@lidiamsumeno18159 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@vacco24819 ай бұрын
Bonge la movee 🙌🙌🙌🙌
@Lili-z6s3v9 ай бұрын
Mm nahitaji muendelezo wa unyago boncena aka Ruta man unafeli wap
@Karembo-yx5ut9 ай бұрын
Leo nmefunga chapter 😂😂😂❤❤❤
@ManenoCheche9 ай бұрын
Nimeipenda sana iyo movie nakubali xana kutoka kwa mgeni wa kijiji mpaka hapo mlipo
@JoanMponda9 ай бұрын
Hii nzuri sio kila siku mauchawi
@roseemmanuel52569 ай бұрын
Watching 👀 from 🇰🇪 likes naomba jameni😊
@blackmediatvonline36419 ай бұрын
RUTA MAN WEWE UNA JUA SANA YAANI UNA BADILIKA KAMA KINYONGA WEWE MOVIE ZAKO HAZI BOI HATA KIDOGO KAKA
@nahimanabella24789 ай бұрын
Toka pale acaa wivuu Bencena songa mbele bro we are here for you
@winrosemzani9 ай бұрын
Thank you for translating this Nigerian movie😂
@AnnahJulius9 ай бұрын
It's so sad 😂
@abakkukmutabwe53839 ай бұрын
😂 Can you please tell me the name of that Nigerian movie? I really like it 😂🙏🏿
@winrosemzani9 ай бұрын
@@abakkukmutabwe5383 Abido shaker
@felicianfrancis98958 ай бұрын
😂😂😂 name of movie plz
@FrancyYona8 ай бұрын
Name plz
@HadijaZabroni-pu1lt9 ай бұрын
Hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣🤣 ukiwa uko utakiwi kuwa na tamaaa😂😂😂😂
@ArtaMumbere-ge5gy9 ай бұрын
Ss hi ndo yenyewee yenye mafunzo kiroho hongera sana 🎉
@fridahkaari43739 ай бұрын
Movie tamu sana😊😊
@kaylaminani52968 ай бұрын
Ni copy ya movie ya Nigeria
@محمدالعطوي-ش5ه9 ай бұрын
Mtu na chawa wake😂mwanangu patruck🥰🥰❤🎉much love you baba
@MgangaBayser9 ай бұрын
asnte
@ZacariasClementeMangule9 ай бұрын
Love Mocambique
@NeemaKombe9 ай бұрын
😂😂😂😂😂Nigeria oyeee to TZ
@mohammedkidody56189 ай бұрын
Wow nimekuwa wa kwanza alaf ajitokeze mtu aseme yy wa kwnz nasoma comment
@JoyceWazir9 ай бұрын
Hii ndio movie tunaz tak fumbo ata aielewek
@JohnMega-em6fv9 ай бұрын
Hii ngoma ni ya moto kuliko mgeni wa kijiji
@AdamZainab-mb7qj6 ай бұрын
Eeeh jamn kumbe kuna rutaman embu ngoja nikae vizur kwanza 🤫 japokuw ruta nae kupend kuaza kazi tu kumalza aahh
@AnnahJulius9 ай бұрын
Malizia mgeni wa Kijiji hii risky umeikopi kwenye mv ya Nigeria ya ZUBE MICHAEL Sjapenda yaani umeikopi kama ilivyo kasoro Lugha tu😢😢
@EmmyMo9 ай бұрын
We kumbee😕
@godfreyonderi53389 ай бұрын
Kumbe hata wewe umesawatch Zubby Michael 😢😂😂😂😂 huyu amecopy kila kitu😅😅
@isacknzilu77168 ай бұрын
Khakhakhaaaa fungu la kumi na moja
@sarahkararinyakinyua36189 ай бұрын
Aki bona boncena anateseka na maisha magumu jameni anahurumisha
@rehemamgata2249 ай бұрын
Wewe unajua uhalisia wake!
@sarahkararinyakinyua36189 ай бұрын
@@rehemamgata224 aki si angeacha ata atumie hela kiasi jameni ananyanyasika Sana lakini best film
@tambatambamangala9 ай бұрын
Ongera sana Ila uyo binti ambaye yuko nakutokeya wamengemutengeneza kama malaika
@SalamaFrancis-yg7sr9 ай бұрын
Kweli kabsa 😂😂malaika amevaa uniform
@StarBwoiyz9 ай бұрын
Fireeeeeeeeeeeeeeee 🔥 🔥 🔥 🔥
@sarikokiagape76852 ай бұрын
hahaah rutaman huku umeigiza nabii sitegemei kusikia zile man man zako, walau nitapumua sasa😂😂😂
@CastoMwinuka-k3j9 ай бұрын
Bon nakuelewa san toa hikokidude shingoni ndio italia po njombe hapaaaa❤❤❤❤❤❤❤
@JumaaKombo-fm1fz9 ай бұрын
Ila bwana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@mememe56899 ай бұрын
😂😂😂😂😂nabii. Umetishaaaa 🔥🔥
@SalimLewa-lo2ut9 ай бұрын
Nice movie, keep it up man
@IRENEIRENE8719 ай бұрын
Wacha wee pastor 😂😂😂😂
@jivankulikwa249 ай бұрын
Waaaoooo!!!! Hii movie kalii sanaaa
@mohammedkidody56188 ай бұрын
Ruta man unajw mpk unajw tn hongera sana❤❤❤🎉🎉🎉
@RaimamomedSaidi-wz1yu9 ай бұрын
Kazi zinafanya watu wachukuwe dini yoyote?kwani huyu mama mwenye kiti ni mkristo?kwanini mnaikuza dini yawatu nasio dini yenu?😢😢😢
@SalamaFrancis-yg7sr9 ай бұрын
Kwan akiwa mkristo kuna shida ? 🙄🙄🙄
@paschaltarimo17609 ай бұрын
Ni nzur sana kwel bon we ni atar umetishaaa utunz mkal san
@SalamaFrancis-yg7sr9 ай бұрын
Baiser 😂😂ni handsome
@lidiamsumeno18159 ай бұрын
Rutha Mungu alimwaga damu yake au dam yetu 😂😂😂😂😂😂😂
@blackmediatvonline36419 ай бұрын
HAPO KATU PIGA MAN HAHAHAHHAHAHHA
@jacobmbaru79099 ай бұрын
😂😂😂😂
@JumaFesto-b6l8 ай бұрын
hahahah kumbe ulimckia rutha*hahahhaaa
@RenadoEduardo9 ай бұрын
Safiii Sana nimeipenda ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@safarikanigibertin98129 ай бұрын
Zubby micheal nigerian transleted by boncena
@Mzalendo-n8q9 ай бұрын
M napenda vile huyu baisa Kila utakapi muweka ye Ako sawa...sio Kwa uganga Wala sio Kwa askari...ye amefiti tu sana
@MgangaBayser9 ай бұрын
asnteee
@franknyaganya14539 ай бұрын
Good job hii inaweza kua Kali kuliko zote
@aminareila71369 ай бұрын
Nabii Boniface 🤝
@hghh60569 ай бұрын
Aki hii Kali 😂😂😂😂😂 💞💞💞💞💞hongera saana
@GeraldLadislaus-o3s9 ай бұрын
Unyama xana
@MupendaKevin-ps1ro9 ай бұрын
Na kukubali sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@KhadijaKhadija-i3h9 ай бұрын
Hogera sana❤❤❤
@Don_Will.i.am079 ай бұрын
Chuma juu ya chuma brother.. ila next time usikunje cheque
@sumailsumail97899 ай бұрын
Kiukweli huu moto ni mkari sana usicheleweshe ya 02
@DianaMkembelwa9 ай бұрын
44 daaa movie nzuri sana maua kwenu❤❤❤❤
@blackmediatvonline36419 ай бұрын
KWANZA IME TULIA KUANZIA PICHA SAUTI STORYY YAANI JAMA ANA JITAHIDI
@shidashida60609 ай бұрын
Baisa ngwanda limempendeza sana 😊
@MgangaBayser9 ай бұрын
asante
@BabyMatifa732-n3t9 ай бұрын
❤ Big up sana bro
@Msaniitz9 ай бұрын
Akh bayser Ivi umeoa? Wee n handsome saaana
@MgangaBayser9 ай бұрын
bado
@finegatwiri25979 ай бұрын
Waaaa kali sana tunagoja nest
@aminahaule18069 ай бұрын
Much love boncena keep it up nice work
@ElizabethLaston-sw5fs9 ай бұрын
Baisaa Handsome Sana'a jamani
@MgangaBayser9 ай бұрын
asante
@ElizabethLaston-sw5fs9 ай бұрын
@@MgangaBayser umeoa???
@FayeezAlbahassaney9 ай бұрын
Eliza nkpnd
@MakoriHazael9 ай бұрын
Iko safi sana kama mageni wa Kijiji ❤
@KhadijaSaid-vj9kh9 ай бұрын
Kaz nzr tupo tnaendelea
@JkyYamabwe9 ай бұрын
Good story, plaise next
@ChrivansonIlomo9 ай бұрын
Bonge la move daah
@andratheophile77489 ай бұрын
Iyi kazi❤🇨🇩 Like zetu...
@JenniferMbulage-jy6br9 ай бұрын
Kumbe baisa mzur ivo
@MgangaBayser9 ай бұрын
asante
@SalamaFrancis-yg7sr9 ай бұрын
Malaika amevaa uniform 😂😂
@aishaomar22878 ай бұрын
Yani wabongo bana😂😂😂
@everdhekay49249 ай бұрын
VIP man, kazi zuri 🔥🔥🔥 man
@KoreanDramaMoviesKiswahili9 ай бұрын
❤❤❤
@apostlealexyusuf24169 ай бұрын
Hapo sasa inashika kabisa na usisahàu kuendelea na mgeni wa Kijiji be blessed bro bon
@Niyonsabasauda7 ай бұрын
Nzul sana tena sana hongel sana ni movie nzul tena sana
@maeshjuma79629 ай бұрын
😂😂😂😂😂nabii mbona kilio tena ama wewe ninabii wa mchongo maana sikwakulia huko😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉
@SalamaFrancis-yg7sr9 ай бұрын
Ni wa mchongo😂😂
@PhilipoLeonard-q5w8 ай бұрын
Tatizo la hawa jamaa sijui nn huwa HAMALIZAGI movie zao
@lawrence-ye4hu9 ай бұрын
from kenya kwa mpigo mwanangu😂😂 we😂
@qaltumsaid30959 ай бұрын
Wale tunaochelewa kuangalia huku tukisoma comment tujuane Kwa like ili tuende sawa 😊😊
@mdmtanzania9 ай бұрын
BONGE LA DUDU NIME IPENDA
@Fevouredjussey9 ай бұрын
Waaa 😢 inakaa Kali..much love ❤❤❤from Kenya ila usisahau mgeni wa kijiji
@HoseaChanga9 ай бұрын
❤❤bwana yesu asifiwe man
@HamisMatumiz9 ай бұрын
Hii move umefeli Sana tena Sana unapewa habar na uye msichanq kisha unasema umepewa taarifa na mungu ...bro don't jock with god
@jeremiahmashaka9639 ай бұрын
Kaka usichukulie real huyu ni mwigizaji kwà hyo kama unatafakari utaelewa lakini kama umepokea kwà upande huwezi elewa
@luganomwanjotile75759 ай бұрын
ilitakiwa Amtumie Mwanaume hatunaga malaika wa kike
@DamOfficial-kn6bc9 ай бұрын
Haya maisha ukijifanya uko serious sana utateseka mnooooo aise. Hii ni movie tu (unrealistic) kwani wewe mungu unamjua
@TatuBaya-jy8jl9 ай бұрын
Safii mnaweza nwapenda 🎉🎉🎉🎉🎉 hii 🔥🔥🔥🔥
@godsfavour56659 ай бұрын
😂😂😂😂😂mama mwenye kiti amejiremba kweli kweli
@CharlotteMuyenga9 ай бұрын
Next kaka ❤❤
@SaleheDavid9 ай бұрын
Mbona kama iyo movie tiari wanaija wameicheza zamani