NDUGU ZANGU NAOMBA RADHI NA SAPOTI KWENYE UHUSIKA WA MKE WA BAISA TUME MUWEKA MWINGINE KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WANGU ,HII KAZI INA CHANGAMOTO SANA NAOMBA MTUSAPOTI KATIKA NDOA
@KacimbazАй бұрын
Hapo saw ungesema saas boss
@dtv6734Ай бұрын
Safi tU, , , Huyu nae anaonekana ana kitU🎉
@OfficialKibumundaАй бұрын
Kwann
@DeboraMwabezaАй бұрын
Sa
@DeboraMwabezaАй бұрын
Sawa from malaw
@RidiamsumenoАй бұрын
Jaman timu kobero tujuane hapa kwa like
@LizenMakerАй бұрын
Mbona mmebadilisha mke wa bysa, Sijapenda.
@gracekayumba-z9lАй бұрын
Kwani hujasoma tangazo
@KobelowakijijiАй бұрын
MASHABIKI ZETU CHUMA KINAZIDI KUWA CHAMOTO NAOMBA MZIDI KUTUFATILIA..
@AsaphYegonАй бұрын
Best of all time
@KobelowakijijiАй бұрын
@@AsaphYegon 🙏🙏🙏
@AsaphYegonАй бұрын
@Kobelowakijiji wmebdekea hivo mungu atazidi kukupanulia mipaka bro
@tambatambamangalaАй бұрын
Kobelo rose yuko wapi?
@MgangaBayserАй бұрын
CHUMA IMETOKA TUNAOMBA MUIPELEKE TRENDING MGANGA BAYSER APA
@emilywilly2306Ай бұрын
@@MgangaBayser nakukubali kwanza kwa mgeni wa kijiji aty nawapea dawa ya kunywa nawapea wakaoge dawa ya kuoga nawapea wanywe🤣🤣
@SAFANdaykanzaАй бұрын
Asaramwaraikum bwana yesu asifiwe mwaka kesho nitaceza na ruta 🇧🇮🇧🇮❤️🇸🇦
@mariyamhappyАй бұрын
Mkiambia wake za watu sumu amskiii 😅😅 ona sasa kinachokukuta gubwaaa😅😅
@Fatumabeuty-bx1qoАй бұрын
𝐆𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐥𝐚𝐲𝐚 𝐚𝐬𝐰𝐚
@DannysWambiАй бұрын
Watu wa Congo 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 tukutane hapa sawa
@MwanalimaMwalimu-c4mАй бұрын
Ruta boy leo umenipunga mua yako chukua🎉🎉🎉🎉❤❤❤from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@ZainabAlly-n5kАй бұрын
Safiiiii rutaman kazi nzurii
@jamescharo5896Ай бұрын
Kobero analewa kumbe😂😂😂😂😂
@ZeynahKassitahАй бұрын
Jamn kobole kwa mar ya kwanz anakubaliw😅😅😅
@MarieMariebelleАй бұрын
Mumurudishe mkee wa baisa mmekosea sana sana 😢😢
@jamescharo5896Ай бұрын
Umebarikiwa komwe kuliko komwe zote duniani😂😂😂
@KidumeRashidАй бұрын
Latifa unapotaka lako unatakiwa utafute mbinu nyengine na sio kuvunja urafiki wa mwanamke mwenzako Na wewe kipepeo mume wako ameshikwa na mke wa mtu huko
@DuduBoysSilvesterАй бұрын
Kaka Unajua Luta Mpe Adhabu Choko Huyo
@JosephKitsao-e3tАй бұрын
Mwendelezo wa haraka basi. Napenda kazi yako kaka
@MajidRajabu-j3dАй бұрын
Okay kaka luta man kazi ina changamoto nyingi pole sana
@bertha57Ай бұрын
Kobelo namupenda sana😂
@ManuhInsalahАй бұрын
Very much talented ruta man always my favorite movies zako ukua na mafunzo mengi ki maisha what happened to kicheche man next episode awe pia muusika kindly kazi zuri sana bro 👊👊
@IbrahimIbrahim-r2xАй бұрын
❤move nzuri sana ila mnachelewa kutupa mwenderezo et
@MJmusictz23 күн бұрын
Pia me naona mke wa baisa mpya amependezana na picha itamfaa sana anaweza vizuri nice
@JizzoSimbaАй бұрын
Jaman ruta leo umetish zakwang chukuw kutok🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@RafhaelMuthaАй бұрын
Huyu dada aliyeigiza kama mke wa baisa anajua hata kuliko mwajuma komwe😢🎉🎉🎉🎉
@Fatumabeuty-bx1qoАй бұрын
𝐊𝐰𝐧 𝐬𝐢 𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐦𝐰𝐚𝐣𝐮𝐦𝐚 𝐤𝐨𝐦𝐰𝐞
@RafhaelMuthaАй бұрын
@Fatumabeuty-bx1qo hapana
@saidiabdalahshabani9414 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RamadhanAndason27 күн бұрын
Unaambiwa mke wa mtu sum gumbwaa kula chuma hichoooo 😂😂😂😂😂😂😂
@EpangoMwana-rq2cbАй бұрын
Kumbe wewe Noma bwana 😂😂😂❤
@aishamwachi7854Ай бұрын
Movie nzuri na ina mafundsho
@Asma-hn1jkАй бұрын
Ruta tandika umbwa hao wasio kua n haya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimependa
@Sophihenry-s4d17 күн бұрын
Safi kwa kwa kipigo wote wanaotembea na wanawake za watu wakome
@AsmaAsma-og6ulАй бұрын
❤❤❤❤❤ kwel we kobelo dish lako dogo😂😂😂😂😂😂😂 et mi napenda wanawake wenye mikomwe 😂😂😂😂
Kazi nzuri ndugu zetu Rwanda 🇷🇼 Tunawapenda sana ndugu zetu kutoka East
@SelinaDorcasАй бұрын
Kobero weee utaniuwa
@AsifiweBoniphaceАй бұрын
Kazi nzuri na inafundisha! Ndoa heshima kwako!
@Kidumerashid-b9jАй бұрын
Gumbwa hayo ndio malipo ya kutembea na mke wa mtu Tena nyumbani kwake
@SevidaEmmanuelАй бұрын
Daaaah umbeya wa Ratiffa mmmh sio pw
@Tumwaminifute123Ай бұрын
Tiffa bana na nguo zake
@ExcitedGlassRose-nz1kuАй бұрын
Mbona mume badilisha mke wa baisa sjapenda mlete yule wamwanzo
@FatmaAli-wr7mmАй бұрын
Mbn amevaa uusika vzl2 jmn
@JoiceInganjiАй бұрын
Mbona mnatujanganya sana sas sipendi izi movies zenu tena amueleweki ata kidogo😮😮
@TightnotChome-fn2jyАй бұрын
Huyu sapna nijeuri kabisa kihalisia anaonekana ni jeuri😂😂😂😂mpeni maua yake🎉🎉🎉
@gracekayumba-z9lАй бұрын
Nyie mnaolalamika qeen kutoka tanazo amjaliona
@EliaMwampamba-h3nАй бұрын
Imbombo nyinza🎉🎉🎉🎉🎉
@lutfiasuleimanАй бұрын
Shoga wa aina ya tifaa sio shoga kwa kwel 😅anatia uchunguu kwa kwel
@mariyamhappyАй бұрын
Mshaharibu movies kama mshamtoa queen ambae alikuwa mke wa baisa 😏😏😏😏
@NiyokwizigiraOnesime-b4e2 күн бұрын
Yani wameniboa sana kbs
@Shantie.tz20006Ай бұрын
Much love ❤️ from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@mavunofamily1993-bt3tmАй бұрын
Kwa mara ya kwanza nacomment sasa tuwapereke mbere zaidi
@teddysanangaАй бұрын
Tiffa fanya kazi, umbea utakuua😂😂
@KacimbazАй бұрын
Mbn sielew wahusika hapo mwajuma komwe kaenda wapi na huyu mke WA baisa mbn hatumjui
@gracekayumba-z9lАй бұрын
Jamani tangazo ulion
@RubazaReuben29 күн бұрын
Mke wa mtu kituo cha police 😅😅
@Raphaboy-ve8boАй бұрын
Natamani ni comment lakini nawaza hapa mtaani kwetu kuna binti kamaliza la saba juzi tu ana miaka 13 amegundulika ana uja uzito sasa wazazi wake kila siku wana mpiga wanamwambia ataje alie mpa ujauzito..hapa nasubiri giza liingie nibebe kila kitu changu niondoke hapa maana hiki kitoto kiongo sana.
@hamisuuhamadi1663Ай бұрын
😂😂😂😂😂mara akutaja
@sylvanjosam3402Ай бұрын
Hahahahah nishajuw aliempa mimba lakn sisemi😅😅😅
@ThimaDafazzАй бұрын
Unahusikaee😂🤣🤣
@AsmaAsma-og6ulАй бұрын
😂😂😂😂 kka mtot wako ata ukikimbia
@Sophihenry-s4d17 күн бұрын
Unakimbia nn sasa ww au unahusika
@NasraNgodaАй бұрын
Pore kaka baisa❤❤🎉🎉
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6dsАй бұрын
Jamani mimi leo wakwanza nipeni lake😂😂
@ElishaAbdon12 күн бұрын
Mbona uyu mzur pia
@MadamOridaАй бұрын
Queen tunamtaka😢 mleteni 😊
@SalamaTauraАй бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RizikiZikiАй бұрын
Latifa sio powa ivo kugombanisha wenziyo ,Gumbwa mukuki kwa nguruwe binaadamu mucungu mke wanziyo ulikua unaona raha kwako unaona ucungu
@prosperbirorimana59828 күн бұрын
Man urahana wangu mukubite
@Azzzz22Ай бұрын
Namba 5 kaka
@PatrickNdayikengurukiye-u9pАй бұрын
Kazi nzuri ongera ruta
@JuliusJembelayexu-dh5mmАй бұрын
Jamani gumbwaa kayaganyaga
@JamilaNtandu-d6rАй бұрын
Kaz nzuri wifi tunae ppote ulipo nipo.....ila sasa mtuongozee vipande hat kwa cku 3
@BoscoMzurАй бұрын
Mume badili mwanamke kwa baisa sio Queen tena
@josephmwambu6541Ай бұрын
Yaani nachukia umbea uyo mama anakombanisha watu
@musicmania-t4dАй бұрын
oya mke wa mtu sumu sasa nime jua ruta siyo boya
@JuliusMadiza-d5l9 күн бұрын
Ndo maana me kutoa mahali kwa mtt wa mtu nasbr kwanza mwaka upinduke
@tambatambamangalaАй бұрын
Pole sana,nilitaka kukulaumu jana ila network ikanivunja nguvu
@AmaniBwireАй бұрын
Wa 5 Leo naombeni like zenu kwangu
@AmryMhinaАй бұрын
Mwajuma yuko wap
@MajaliwaHussen-q7j19 күн бұрын
Jamani ila yule dada ndoalikuwa anaweza ila poatu
@FestusJuvinaryАй бұрын
Tunao amini kuwa mke wa BAISA ni mke mwenye kujenga anaye jua changamoto za maisha
@BoscoMzurАй бұрын
Hii ni funzo tusihishi kwako mwanamke kunamanyanyaso kuna masimago na kudharauliwa Pia tujichunge sn wanaume tunaoishi kwao mwanamke
@helinasubila987Ай бұрын
Luta tesa kabisa ikutoke
@RamadhaniJumanne-h2bАй бұрын
Baisa pamoja sana
@roudhamahmoud763Ай бұрын
Nimependa masuala yako kwa gumba kaka masuala mazito na ya uchungu😢😢wanandowa tujifunze
@dullysparkleАй бұрын
Japo kuwa uhusika umebadilika but baisa still the best tu