JAMANI HIVI KARIBUNI NINAWALETEA SERIES MPYA KABISA KAMA WEWE NIMWANAFAMILIA WA BABA JOAN UNAPENDA NINACHOKIFANYA SUBSCRIBE SASA PIA MAWASILIANO YANGU NI +255768861318 kwa matangazo na biashara zingine nicheck whatsapp
@samsontweve7268 Жыл бұрын
Tuletee Season 2
@zacdere9097 Жыл бұрын
Hatulali tukiongoja
@maxmiliankadawiibalaja2198 Жыл бұрын
Kiongozi wangu habar za leo
@NelcyAfrica Жыл бұрын
Naingija sana baba Joan
@AminaHamissi Жыл бұрын
Usijali kipez chetu
@imanimulumbilwa6056 Жыл бұрын
Pole sana mwalimu Mugeni,hizo changamoto zinasumbua sana sehemu mbalimbali. Hata ndani ya makampuni.
@celineerick7740 Жыл бұрын
Tuletee mwalimu mgeni part 2 baba Joan move zako nazipenda mfano ukiingalia hii move kw jicho la 3 utagundua vitu vingi vinavyoelimisha nidhamu ya wanafunzi , ubunifu wa ufundishaji mashuleni kuibua vipaji , nidhamu Kwa walimu Katika suala la mavazi, Kuna vingi sana nimejifunza kupitia hii move mungu awe nawe akuzidishie zaidi na zaidi
@NakhleTelecom-qw7nn Жыл бұрын
Aki nakwambia
@نيجي-ن1د Жыл бұрын
Kabisa hii filamu is very educative sana kuna mambo mengi sana ya kujifunza
@Jaydannychawaboy. Жыл бұрын
Wewe tuseme hivi shule ndio ilikuchelewesha kabisa ila hakuna ubaya wowote maana hapo ndipo ulipoongezeka kipaji mno ndio maana filamu zako ziko tofauti na zingine 😢😢😢😢😢😢😢 nakubali sana babajoan ❤❤❤❤😢😢😢😢😢
@ClamComedian Жыл бұрын
Ilete chap tukodoe
@TitusWekesa-do7hb Жыл бұрын
Baba Joan uko creative sana ila naomba Mungu akupe knowledge and wisdom tunataka filamu nyingi kutoka kwangu.Asante
@OmaryEagle Жыл бұрын
Jaman mm nimependa Sana my school na wanafunzi wenzangu hongera Sana pratonize mungu akubless utoboe dogo langu mi tausi
@sinomiles Жыл бұрын
Hii ndio movie nimeianza kuifwatilia harafu nika tizama never give up, BabaJoan unaigiza vivuri pamoja na timu yako. ila nimependa jinsi unapenda vipaji ( Talent) na walimu wote wawe na connection na wanafunzi. Movie nzuri. From Sino Miles , East africa nyumbani.
@dominikedomicien38333 ай бұрын
movie yenye kuelimisha ingawa inahuzunisha
@RehemaGayo Жыл бұрын
Yaan mwalimu mgeni ww na wanafunzi wako wavipaji haki mnanifanya hadi mm napiga makofi kaambee nko na nyinyi hapo darasan,I sei nawapenda bure ❤ n rahma kutoka kenya 🇰🇪 kwakwel mmeweza😊💓😘🥰😘
@JOSEPHOMUKATU Жыл бұрын
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪ni Hongera kwa mtunzi ,,mwelekezi pamoja na wahusika wote🎉🎉yaani kipindi kina ubunifu wa kutosha.
@paaboytz58558 ай бұрын
Daaah Leo ndo nakuona wewe jamaa unajua sanaa mbona upo wapi na Mimi ninakipaji nichukue
@jamesmusungu4003 Жыл бұрын
Eeh! Hii kali mno, Inasisimua kweli kweli na mafunzo kibao. Vile vile Ina taaswira kamili ya maisha. Hongera baba Joan Kwa kazi njema. Hasta na wewe pia unoyo kipaji. Kutoka Kenya
@a.p.monlinetv35618 ай бұрын
Pongezi kwakwe @mwalimumgeni 💪💪
@ENOCKSAM1015 Жыл бұрын
Wanjala kutoka Kenya,filamu safi kabisa nimeipenda sana ❤❤❤❤❤nasubiria season 2 mwalimu mgeni, all the best my good actors,big up 💪💪💪
Am from Kenya,the film is very educative apart from being more inspirational.Tanzanianian we love you more.
@FamousFelix1 Жыл бұрын
Kukosekana kwa mwalimu mkuu shuleni basi nilitarajia mwalimu mgeni kuongezwa mamlaka hadi mkuu wa shule. Ameleta mabadiliko shuleni kwa kiasi kikubwa sana alafu Patronize anafaa ashughulikiwe na hicho kipaji chake, naomba aweze kupata mfadhili kabla ya mwaka
@InnocentRajah3 ай бұрын
Niko Burundi, nimeitazama cinéma yote Léo, nimekupenda saaaaaaana tena sana Baba Joan. Mungu akujalie uendelee vizuri. Asante kwa movies zako
@LolimoLialo Жыл бұрын
Mimi naitwa lolimo Niko pwani mimi nimependa mwalimu mgeni namna anavofundisha na kuwajali wanafunzi. Pia waalimu wamwige kwa sio kuwajaza wanafunzi manotice Bali kuwafanya wafurahi . ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mwalimu mgeni nimejifunza kutoka kwake
@AloysNdayishimiye-ed8mj Жыл бұрын
Kazinzuli jamani hongeleni, naomba mungu awasaidie kazizenu
@Rytchie6 ай бұрын
Asane sana Baba Joan kwa kuitoa filamu hii, naipenda sana kwa jinsi inavyoelimisha na kutoa ujumbe wenye uzito mkumbwa. Mungu akubariki 🙏
@a.p.monlinetv35618 ай бұрын
Hii movie natamani sana ingeruka TV zote Tanzania visiwani na Tanzania bara ili tujifunze mengi zaidi Pongezi kwakwe #babajoani
@KaimuMpepo Жыл бұрын
Kazi nzur sana na hivi ndivyo misingi ya kazi ya fasihi inavyotaka lazma iwe na ujumbe kwa jamii husika hivyo mimi binafsi sina budi kusema hongeren sana wahusika kwa uhusika wenu, ahsante
@JaelBakari6 ай бұрын
Mamboz
@JaelBakari6 ай бұрын
Mambo 😊
@KaimuMpepo6 ай бұрын
@@JaelBakari pow vp mzma
@KaimuMpepo6 ай бұрын
@@JaelBakari poa vp mzma
@zacdere9097 Жыл бұрын
Baba Joan kweli ninyi Na clam Vevo mkikaa chini kweli tunasinama kuingia KZbin naomba ulete season ingine
@AsmaAbdi-el4rv8 ай бұрын
Baba Joan uko fit hata family yangu yapenda sana movie zako naomba God bless
@SlavenMwakapimba11 ай бұрын
naitwa mwl.mwakapimba toka busokelo mbeya Nimependa Sana hii muvi mungu akubariki ufike mbali
@MilyhuruАй бұрын
Napenda sana movie zake baba joan. Kwa kweli unakipaji....ubarikiwe sana ndugu
@NoelJackson-u2g Жыл бұрын
Naitwa noel kutoka kenya kweri munaweza congratulation juu
@BintHassan-o1y11 ай бұрын
Yni hyu mwalim mgeni paka kaniliza maskini😢😢😢anayo fanyiwa...mtu mmoja aeza kukuaribia maisha yko yote😢😢
@NaftalLucas-s8q Жыл бұрын
Filamu nzuri sana hii inafundisha mambo mengi
@vitaliswanyama4964 Жыл бұрын
Mimi naitwa Vitalis kutoka Kenya,ukweli hii filamu ya mwalimu mgeni iliweza kabisa. Nilitamani iweze kuendelea, hongera sana baba Joan. Natarajia season 2.
@roberttryphone2400 Жыл бұрын
hii nikiboko hakunafilamu nzuri kama hii kumbe watoa tozo muwapatie tunzo zao.
@roberttryphone2400 Жыл бұрын
baba joan hii hata hatakama ukiachakuiza ukawa mchungaji watu wamungu wataokoka.
@TitusWekesa-do7hb Жыл бұрын
Baba Joan filamu yako inaweza kabisa Mungu akupe ubunivu saidi
@sikudhanimohammad7692 Жыл бұрын
Mwl Magesa ameigiza kama ana roho mbaya kweli.
@dorcasjoseph1892 Жыл бұрын
kenda bila
@MaimunaMumboАй бұрын
Hii movie iko poa sana nimeipenda mashaallah
@111dudi4 ай бұрын
Mchezo mzuri sana,una hisia na unagusa moyo. Mungu awabariki na awaongee maarifa mfanye zaidi
@GirukwishakaDamas-ey5uu5 ай бұрын
Munatufunfisha kwel nawapenda sana nipo Burundi baba Joan asante
@kibokomuruta3695 Жыл бұрын
Movie nzuri sana imenikumbusha mbali sana
@JohnMedard-ne3ev Жыл бұрын
Napenda saaana kazi yako baba joan mwl msitaalabu jaman tuwapateni basi , ❤❤❤❤ pia watoto wa kike tujifunze kitu kupitia feti maua yako kwa Mr and m Mrs john🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NelcyAfrica Жыл бұрын
Mungu wetu alive juu aibaliki kazi ya mikono yako baba Joan ❤❤❤
@danielmwenda441310 ай бұрын
Kusema kweli mimi ujipata nadodokwa na majozi.ata nasahau ni filamu to.nawapenda sana na Hogera kwa kazi njema .🎉
@MetreneAngacha8 ай бұрын
@metrine angacha baba Joan nime jifusa kitu kutoka kwako,😢😢❤❤
@ilakozeathuman10 ай бұрын
Kuna wasanii wametoboa ila sio waqal Kama patronize❤❤😮
@MalkiaLuvuno8 ай бұрын
❤ kabisa
@mohammedkidody56186 ай бұрын
Yn anajw sana❤
@SikiolaJamii Жыл бұрын
Aiseee sir mgeni mung akubariki na akutangulie katka kazi ya mikono yako god bless you tunasubir sizon ya2
@GraceMwende-x8w Жыл бұрын
Baba Joan congratulations. Napenda sana filamu zako
@asfatmuhammad Жыл бұрын
Mimi nimeipenda Sana hiifilamu ya Mwalimu mgeni natarajia season 2 😊😊😊😊
@DicksonMuema-c4x2 ай бұрын
Napenda hii filamu mwalimu mngeni sana inawesa ikona mafundisho mengi sana kwa madui wako
@izaimlanga-uq8bb Жыл бұрын
Huho wimbo unahitwaje mwalimu mgeni i like it
@MagrethJuma-x1c5 ай бұрын
🎉🎉 nimependa san hii move mwln mgeni mungu akubariki pamoja na patronice ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ waaaaaaaaa!
@justinshabishimbo2634 Жыл бұрын
Asante Sana jamani, historia hii imenipa uchunge Sana, maana nimeisha hali hii kazini mwangu myaka mingi, mwenziwe kukuchukia bure bila hatia, wivutu. Mungu awabariki Sana.
@AtuSanga-z3p9 ай бұрын
Mm kama. mm. Kama Mimi mwalimu mgeni I ❤❤❤❤
@AyubuSagaya Жыл бұрын
Mwalimu mgeni umetisha mzeee hongera Sanaa dingiiiiii
@evenlinykanzokatana7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ baba Joan ww nirabo unakanzi zuri
@mohammedkidody56186 ай бұрын
Kazi nzuri sana hii hongera sana baba joan❤🎉😊
@kimpalambapj9 ай бұрын
Mwl mgeni, hii ipo next level
@clovisashuza19768 ай бұрын
Hongera sana, kazi nzuri kiukweli
@محمدالعطوي-ش5ه Жыл бұрын
Mm napenda uyo mwalimu mgeni aki😢na pole kwakuonewa❤🇰🇪
@ErickaAlyoceАй бұрын
❤❤jJamani Hadi rahaa kweliwalimu mgeni unajua😊😊😊
@BenjaminEyapan11 ай бұрын
Am benjamin 4rm kenya.the movie is very educative and interesting.congratulations tz actors.
@rodahmusungu1179 ай бұрын
Mimi ni rodah from Kenya i like the show very much
@odemarysilas57311 ай бұрын
Kwa njia hii vijana wetu na wanafunzi watafika mbali, asantee kaka kwa kipaji hikii💥💥💥👆👆
@Frank-r5o8t Жыл бұрын
Hakika mwalim mgeni Iko vizuri sana
@WeroMasop Жыл бұрын
Mimi naitwa mike kutoka kenya ..enyewe hii movie mwalimu mgeni ina funzo nzuri sana asanteni 🙏
@IbrahimAlly001 Жыл бұрын
Unatufunza saaaana katika vipindi vyako na pia unakuza vipaji saaana ningepende niwe kwa vipindi vyako lkn mm niko Kenya..
@danielmwenda441310 ай бұрын
Huo wimbo mwenyewe nani Jamani.
@MagrethJuma-x1c5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉❤🎉❤waaooooooo! Move nzuri san ina kitu ndani yake
@teddyanalubowa8188 Жыл бұрын
Thank u guys much 💓 from 🇺🇬
@juliusgatimu82383 ай бұрын
Eagerly waiting for season 2. Good art Baba Joan. God bless u as u prepare the next movies.
@Officialsteve002 Жыл бұрын
Binge Moja la movie,, hongereni
@KingiKellyKithikingi-ri3xc11 ай бұрын
Am moved really,,, big up baba Joan
@Tutwe11911 ай бұрын
HONGERA SANA NI KAZI NZURI SAANA SANASANAAA BUT (HII MOVIE BAADO HAIJAISHA BABAJOANI. NAOMBA MOVIE IENDDELEE COZ KUNA MATUKIO MENGI BADO TUNARATAJIA KUYAONA)🎉
@MerryDocta10 ай бұрын
Jamani mwalimu mgeni Ana teseka
@sarahnyariancha1566 ай бұрын
Mwalimu mgeni hongera kwa kazi nzuri
@Tracytrish Жыл бұрын
Wow I loved this movie its true this is what in life and God fights for us
@JedidahKanash Жыл бұрын
Kweli mwalimu watoto wanayesa kweli ❤
@hamisisalum97410 ай бұрын
Dogo mwimbaj anajuaaa sait nzur pia, ila teacher mgen umeua sana movie hiii
@SharifaJuma-j3g Жыл бұрын
Move zako ni pendwa hakika zinaujumbe tosha Mungu akubariki❤️🙏
@jackiemitonyargodeno499211 ай бұрын
Congratulations to Tz actors,the movie was full of teachings keep it up 👏👏👏🎉🎉am from Kenya ❤
@freshg10005 ай бұрын
❤❤mwalimu. mgeni nakupenda ❤❤❤❤❤ l love 😍 you
@PeterAmos-hp6zv11 ай бұрын
Mimi naitwa Peter Amos nimeipenda mwalimu mgen
@AishaJuma-yu6yq5 ай бұрын
Movie n nzur sana ..ina matunzo mazur❤❤❤❤❤❤❤
@jackyatieno8225 Жыл бұрын
More ❤❤❤ kwa mwalimu mgeni
@freshg10005 ай бұрын
❤🎉😅ndio mwalimu mgeni ninakupenda sana
@misaidimwinyihaji Жыл бұрын
Jamani ftina yashinda uchawi ni kweli, magesa naomba iwe nimchezo wakuigiza pekee na isiwe ndiyo tabia 😭😭
@rukiahassan70015 ай бұрын
Jisura baya hivi inaonyesha ni tabia yake
@BarakaMagembe-em7rp7 ай бұрын
Namie naipenda
@ChristopherMberia8 ай бұрын
Inapendeza❤
@kelvinwanyambura9456Ай бұрын
Am Tr Kelvin from Kenya. This video is very real.Am going through what Mwalimu Mgeni is going through. Students love me and some teachers are jealous of it
@ThéogeneNshimiye3 ай бұрын
Vraiment un vrai pédagogue doivent utiliser la méthode qui Va attendre l'objectif mwalimu mugeni nimzuri.
@sikudhanimohammad7692 Жыл бұрын
Mwl Magesa ameigiza kama ana roho mbaya kweli
@PRO.antelmachristopher9 ай бұрын
INAFUNDISHA, INALIZA NA KUFURAHISHA PIA
@SpencerBariwot9 ай бұрын
I think this is my best movie than ever
@ruthmlyuka64 Жыл бұрын
Daah, hii movie imeniliza sana. Hongera kwa kazi nzuri.
@AmeenaTanzania Жыл бұрын
❤❤❤❤😂😂😂😂Ongeren sana kazi nzuri kucheka nimecheka kuuzunka nimeuzunika napya nimejifunza
@halimamzungu6785 Жыл бұрын
Aki nimependa ii movie walai🎉
@introviouratieno6990 Жыл бұрын
Hii movie imeniliza nakunifurahisha, nimelia kwasababu mwalimu mgeni kanikumbusha mwalimu wangu wa Kiswahili nikiwa kidato cha kwanza na pili, maskini vyema havidumu alifariki kwenye ajali na hadi waleo sijaiamini kama hayupo hii dunia😢. Huyo mwalimu alipendwa na wanafunzi sana tu nakumbuka alipopewa transfer alikuja kutupa kwaheri tukiwa assembly tulilia karibia skuli nzima😢, mungu amlaze pema😢
@mohammedkidody56186 ай бұрын
Amin😢
@SelemanSweke-ip9lq11 ай бұрын
Kiukweli hii mo vie inatisha kongore sana by sweke
@TuyishimeHonore-c9d4 ай бұрын
Mwalimu mgeni Kiukweli we ni mwalimu mfano na mwanaume mpole mno waalimu wenzio waige somo we ni kama nyuki wakikufuta watakula asali
@YusufmwamleuMwamleu5 ай бұрын
Hizi movia zake ni nzuri zik n mafunzo mengi
@KasiteDominic-bz7rn11 ай бұрын
Duniani Kuna mambo
@AlfredSimiyu-vr4xr Жыл бұрын
Napenda kazi unazosifanya br, love you more❤❤❤❤Alfred from Kenya
@WilberforceWilber Жыл бұрын
For students to get what you teach them make sure they're happy😊
@zulachama1067 Жыл бұрын
😂😂😂eti tumefeli wanafunzi kwa sababu za msingi mwalimu wa biology ndio chanzo ana neema za allah😂😂😂duuuh,mwalimu vicky nae kweli ana neema kajaliwa.