Hongereni Sana! Ndugu waigizaji filamu yenu inafundisha
@raytonnysteven343 Жыл бұрын
Nzur San hongereni good work
@ludobudege1662 Жыл бұрын
Kilonzo au mr.ben sinema yenu nimeipenda kichwani kumeingia mambo frani
@ShamirathOmary6 ай бұрын
Mh tujifunze kutoka hp👍👍👍👍👍
@suleimanmbarouk65011 ай бұрын
Filamu nzr mziki uko juu kuliko maongezi hapo mumefeli kiukweli
@jothamekisouke2326 Жыл бұрын
Ttzo lililopo Ni kwamba Askari aliyechukua mkoba/bag lenye madawa alifnya kosa kubwa Sana kuuwai ule mkoba,Aidha baada ya mtuhumiwa baada ya kufika kwwnye chumba Cha upelelezi alikua hatoi ushirikiano kwa kuwa wapelelezi wlishndwa kuwa wakali dhidi Yake, Filamu imeisha lakin hatma ya watuhumiwa haijajulikana!!! Vinginevyo film Ni nzuri,kilonzo(David) alicheza vzuri akiwa na yule mdada pmja nae
@EmmanuelKiamba-o9b10 ай бұрын
Hii muve Kali sana ila mim kwenye maoni yangu kilonzo kuigiza kipofu kafanya vema ila kwenye mavazi sio lafiki ametumia mavazi ya bei kubwa tofauti na uhalisia
@loveCatholic254 Жыл бұрын
Napenda nikiona filamu Tamu. Asanteni Sana Kwa kusimama na mwelekeo wa Bingwa Steve Kanumba. Mnapotengeza filamu hizi naamini pale mbinguni anafurahia Sana KAZI nzuri aliyowaachia. Napenda Sana Tanzania 🇹🇿
@eliadaniel21618 күн бұрын
Senk you bro ❤❤
@HadijaKenyaАй бұрын
Tupeni sehemu ya pili❤❤❤
@lydiamuli33289 ай бұрын
Hongereni wahusika nimejifunza mengi
@Madkidd-r8u Жыл бұрын
Hongereni jamani mko vzr sana
@MagrethJoseph-vg6qb10 ай бұрын
Binadamu Muna loho mbaya eti nguvu mbaya wacheze ya kwako kiukweli ipo noma sana
@HalimaHalima-rw5os Жыл бұрын
Mashallah movie Zur San❤❤❤
@ChristineNeema-u5j Жыл бұрын
Filamu nzuri sana nimependa❤❤❤❤
@DativaKimaro-by2hg10 ай бұрын
Nzur mnooo
@BeatriceRisasi4 ай бұрын
Punguzeni kelele ya mziki jaman muvi inabowa bwan
@niitetuma5258 Жыл бұрын
Mashallah nimeipenda sana
@MerlinamerlinasPhalikia Жыл бұрын
Much love from kenya
@JuliusMnkondo-fk9kv8 ай бұрын
Movie nzr Sana ila maudhui na wahusika hawana mchangamfu kama dada marikia
@NoelMalewo11 ай бұрын
❤❤❤❤ upendo utawale sana
@rechojosephu951611 ай бұрын
Filamu no nzuri nime ipenda sana
@Jasons_tv11 ай бұрын
Asante sana
@LinetKarisa-y1u Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@salumhamisi1002 Жыл бұрын
Kaz nzur sana daar ❤❤❤❤
@yasinthagonde20662 жыл бұрын
Mko vizur nimeipenda kweli usimdharau usie mjua
@jothamekisouke2326 Жыл бұрын
Iko safi
@saidialiy Жыл бұрын
Safi
@hassanfurey49598 ай бұрын
Sijaipenda mno
@yvesninezereza11 ай бұрын
mmetisha sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AlphaAlphansafari5 ай бұрын
Apo sawa kabisa
@NoorEesa11 ай бұрын
Nzuri sana❤❤❤
@LivinusRukwaijo-u6l Жыл бұрын
Good job❤❤❤❤❤❤
@haleemahhamisi2534 Жыл бұрын
Nawoch nikiwa🇸🇦 movie tamu❤
@imanimulumbilwa6056 Жыл бұрын
Ongerani,mulijitaidi.ila mufikirie kucheza yengine kama hii,mukajipange vizuri
@JosephKambanyuma Жыл бұрын
Like it❤❤❤❤❤❤❤
@justinemwavuo6873 Жыл бұрын
Cjaeleza kitu, inaboesha kinoma sana. Mshakula bundles zangu tu
@elizabethanitah73798 ай бұрын
Lakini akuna mtu alimtuma kuiwatch
@AbduliAli-cg8hm8 ай бұрын
Punguzini music 🎶🎶🎶🎶 keleli tipu
@Romana-r2x Жыл бұрын
Good work
@SalmaHassan-o3b5 ай бұрын
Tujifunze hapa
@AbduliAli-cg8hm8 ай бұрын
Music 🎶🎶🎶🎶 kelel
@AbduliAli-cg8hm8 ай бұрын
Music 🎶🎶🎶🎶 keleli tipu
@AsiaIsmailmkoko Жыл бұрын
Mashallah ❤❤
@mariammsumule60458 ай бұрын
Duuuh hatar
@yvesndayishimiye8257 Жыл бұрын
The girl is very beautiful
@DannChafuaa11 ай бұрын
Nimependa maneno ya kilonzo ni matamu kweli
@eliadaniel21618 күн бұрын
Asanteni ❤❤
@نامكو11 ай бұрын
Kwn hii filam mlirecord na cm ya infinix maan hta haionyesh clear
@ImranHussen-l6k9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BakariZando6 ай бұрын
Jackrin wolopa
@aishaallyaishaally3220 Жыл бұрын
Mashaallah 😂❤❤❤❤
@YusuphZivi-q7q Жыл бұрын
ukovizuli sana😂😅
@MohammedMpande Жыл бұрын
Thanks❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Jasons_tv Жыл бұрын
You're welcome 😊
@ZuwenaJuma-yo9qp Жыл бұрын
❤❤❤
@petertobias89832 жыл бұрын
Dada msupu ka mkamba eti..😜🤣🤣🤣
@ZainabAli-gw7fm Жыл бұрын
Mkamba awe mzuri mijikenda wasemeje
@derrickherrick6598 Жыл бұрын
Anakaa hyo
@victoriamumbua8747 Жыл бұрын
Sisi ndio tuko 🥂
@salmasalome7432 Жыл бұрын
@@ZainabAli-gw7fmizo kabila zote mbili zaongoza kwa urembo wakamba warembo mijikenda pia warembo na ilo lipo wazi watu wanajua😊
@anithabahimana-hp8en Жыл бұрын
Nzuri sana
@JosephKambanyuma Жыл бұрын
Thanks
@susanjacinta87132 жыл бұрын
Nimengoja Siri za familia msimu wa name naw shukuru sana
@khalidially4751 Жыл бұрын
Kipof mwambie ukweli dada malikia
@khalidially4751 Жыл бұрын
Duuuu jeuli ya pesa hiy
@khalidially4751 Жыл бұрын
Duuuu hiy kilonz anaona au maan anakat chikis kubwa