DULLAH MBABE 🆚️ KULWA BUSHIRI: RAUNDI 2 za MZARAMO Kufanya UBAYA UBWELA, TKO ya MAPEMA TU..

  Рет қаралды 16,145

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 7 күн бұрын
Dullah skuhizi ana nguminzur asante kocha kinyongor🎉🎉🎉❤❤❤
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 7 күн бұрын
Ana ngumi nzuri kwa Wachovu wenzie,ajichanganye kwa kiduku uone kama utaziona hizo ngumi zake
@MhabeshiMaluja
@MhabeshiMaluja 6 күн бұрын
Mabondia wa kibongo bado mikono Yao mizito sanaaa kidogo mwakinyo ngumi zake zimenyooka lakini Hawa wengine ni kama mandonga tuh
@salumdigaga542
@salumdigaga542 5 күн бұрын
Iv mwakinyo anangumi ilonyooka kushinda said chino au nawewe msambaa
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 20 сағат бұрын
Angalia vzur hzo ngumi zilishapangwa matokeo yaan hawajacheza kwa kiwango na ata km Dulaney sio mzur kwenye defence lkn huwa anajulikana kwa kupiga ngumi nzito lkn hapo mpizani wake anaonekana kabsa kujaa kwenye mfumo wa dulah lkn dula hajaonekana kupiga zile ngumi zake nzito Bali anamparua tyu na ngumi za kawaida, hebu rudieni kuangalia mapambano ya dula mtagundua nnachokisema lkn kwa hili pambano wamecheza km sehem ya SPARRING tu na sio km pambano halisi wametuzuga ,mpizan wa dula sio wa level yake ndo maana alikuwa anamlea lea
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 6 күн бұрын
Mikono mizito ila Dullah ame improve sana
@Rajabadam-zf4pu
@Rajabadam-zf4pu 6 күн бұрын
Uyu bondia alikuwa vzr sema alikata upepo na aliachia mbavu sana
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa 7 күн бұрын
Jab Ya Dulla IPO Vizur.
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 5 күн бұрын
Dulla hamna kitu,anapiga ngumi za tumbo tuu,tz bondia ni Mwakinyo tuu...hawa wengine hawana tofauti na mm
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 7 күн бұрын
Ngumi sio mchezo wakueka kitambi.Wewe ni Bondia mzuri fanya mazoezi
@DooPesa
@DooPesa 5 күн бұрын
Kwakweli dula ngumi hajui ndo mmaana mwakinyo anawabuluza sanaaaa
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 6 күн бұрын
Hata hivyo Dulla Mbabe ulaji kwisha.
@AziziAlly-xc6nm
@AziziAlly-xc6nm 5 күн бұрын
Uyo mpinzani kweli ni bondia uyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mussakinyafu384
@mussakinyafu384 7 күн бұрын
Ni muda wakurudisha heshima champion
@muhseenmakpel5043
@muhseenmakpel5043 7 күн бұрын
Pambano LA anuary mlawa na amiri matumla
@ShebbyFlavour
@ShebbyFlavour 4 күн бұрын
Awo wote wako gym moja miyayusho tuuu
@Kevworx
@Kevworx 7 күн бұрын
Hahahaha😂😂😂😂 dah Kulwa na Dulla wanakula na kukaa pamoja kwahiyo sisi tunaelewa nini kimeendelea hapo
@PUGBFORBEGGINERS
@PUGBFORBEGGINERS 6 күн бұрын
Wamegawana tano tano
@jumambuma1101
@jumambuma1101 6 күн бұрын
Hakuna bondia hapo kwa Bushiri
@BonfaceCharles-n8h
@BonfaceCharles-n8h 6 күн бұрын
Huyu bondia mbona kiande sana
@CatherineLekule-l7z
@CatherineLekule-l7z 7 күн бұрын
Hapana bhana sio knockout kapiga faulu(kwenye ndoa kabisa)
@AlimuIddi
@AlimuIddi 6 күн бұрын
Dulla unataka kumtoa kizazi
@OMARYJUMANNEMWINYIHERI
@OMARYJUMANNEMWINYIHERI 4 күн бұрын
Ila huyu mpinzani wamemuonea2 iyo ni taipu ya mandonga
@AlYasri-s3t
@AlYasri-s3t 7 күн бұрын
Dulla jitaid saana kueshim gadi uso uko waz saana unamakosa yale yale ulipigwa na kapompa afu kaka jitaid kuwa fasta fastaa kulusha ngumi mana unajiandaa kwa wapiganaji wa Bongo utapga saana ila kutoka nje mchezo uwo utasumbuana nao kaka ilaaa umekuwa vzur huna mapepe katk mamuzi au mchezo
@henrysangiwa1731
@henrysangiwa1731 6 күн бұрын
Amepigwa low blow
@justinekamala9703
@justinekamala9703 7 күн бұрын
Maigizo fc
@mollelyally5213
@mollelyally5213 6 күн бұрын
Na wee ingia ulingoni tukuone hiyo mikono yako mepesi
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 7 күн бұрын
Mpk nasikiaa haahaaaaa
@JumaIddi-o6f
@JumaIddi-o6f 7 күн бұрын
Saf mZalamo
@RAMADHANHASSANI-i2t
@RAMADHANHASSANI-i2t 7 күн бұрын
Mipango
@MaragiroAdamBandora
@MaragiroAdamBandora 6 күн бұрын
Shenzi kabisa
FULL FIGHT: FRANK SHAGEMBE VS ASEMAHLE WELLEM
26:05
MafiaOnlineTv
Рет қаралды 59 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
MCHAMBUZI GEOFF LEA ATHIBITISHA FEI TOTO AMESAINI SIMBA SC
13:03
TOP 10 TV TZ
Рет қаралды 6 М.