PIUS MPENDA ASEMA SIO BONDIA WA NACOZ. HIKI NDIO KILICHOMFANYA ASIPIGANE NA ASEHMALE WELLEM

  Рет қаралды 4,727

UKC TV

UKC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@AbdallahMchaga-e5q
@AbdallahMchaga-e5q 4 күн бұрын
Mh respect mwakinyo uliona mbali sasaivi washaanza kujitambua
@SilaMogera
@SilaMogera 4 күн бұрын
Umekua kwass unatambua ngumi nibiashara nfano ulaya bondia ndomwenye sauti kuliko walewaliomzunguka bg up
@Q_lax255
@Q_lax255 4 күн бұрын
Unazingua mwamba kumbe ni bondia ambao haupo na misingi endelevu
@papangomaitala7690
@papangomaitala7690 3 күн бұрын
Ww,unamatatizo,mara nakoz sio menejiment yangu mara,nakoz nijim tuu,nilifanyapale mara,nilikuwepo nakoz lkn Sasa siponakoz,
@abdulrahmanramadhan8285
@abdulrahmanramadhan8285 3 күн бұрын
Tatizo wewe pius na mfaume mna mdomo sana wa kumsema mwakinyo sasa Mtulie kama vile mpo kwenye pipa
@Q_lax255
@Q_lax255 4 күн бұрын
Bila menejimenti wew ni bondia gani ss
@kenedysamwel9863
@kenedysamwel9863 4 күн бұрын
Ni mabondia wanvapi kibongo unaowajua ambao wana menejiment kumsimamia mtu inahitaji kuwekeza pesa siyo maneno ww
@AdinaniNdyengu
@AdinaniNdyengu 4 күн бұрын
Wewe Pius Mpenda, na Mfaume mulisema vibaya sana kumsema Mwakinyo wakati anapitia changamoto sasa zamu yenu hakuna kulia vumilieni tu hamkujua Leo kwa mwenzio Kesho kwako na bado mpaka mjue hii ndio Dunia
@Aminimalewa
@Aminimalewa 4 күн бұрын
Anatoa sifa kibao kwa mafia, acha mbwembwe sema tafadhali mafia naomba mnipokee sina kimbilio watakuelewa
@SamataOmary
@SamataOmary 4 күн бұрын
Huyu jamaaa si Anabeba mizigo Sokoni?
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 4 күн бұрын
Unataka nawe Mafia wakutengezee mazingira ya ushindi wa mezani Kama walivyotengezewa wenzako juzi😂😂
@sashaman3862
@sashaman3862 4 күн бұрын
Champion gan muoga .anatakiwa aseme ukweli asiogope kusema
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 4 күн бұрын
Kumbe unajua kua boxing Ni biashara kati ya bondia na promota mbona Mwakinyo alipokataa kupigana kwasababu promota amekiuka makubaliano mlimsakama Sana Sasa vipi leo imekuaje kwako? Acheni wivu na roho mbaya kwa Mwakinyo, tulieni awaoneshe njia msioijua
@MussacharlesSongo
@MussacharlesSongo 4 күн бұрын
Bingwa wa dunia .alivopauka!!!!
@UKCTV
@UKCTV 4 күн бұрын
Sasa ndugu yangu unataka ajirembe ameremete alafu ili iweje,? Au unataka apake mafuta na kusuka nywele kama yule bondia wa Tanga? Kuna watu wanaendana na asili zao halisi kama mwanaume kamili, maswala ya kumeremeta na kusuka tuwaachie dada zetu
@halfaniabdallah2131
@halfaniabdallah2131 4 күн бұрын
Ukctv akili huna na inaonekana elimu huna kupauka alikoongelea ni kwamba hana kitu
@tonnyelias9454
@tonnyelias9454 4 күн бұрын
Kwhy wewe unamtambua mwenye kitu kisa anang'aa tu 😂😂😂​@@halfaniabdallah2131
@DavidLihundi-to5ri
@DavidLihundi-to5ri 4 күн бұрын
@@UKCTVwe kuma kwel senge kweli Mbn una mu attack champenz Alafu mwanangu iyo sound yako wakati wa interview ni ya kisenge 🚮
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 4 күн бұрын
Pius Rudi ncoz ww
@MohamedHussein-bo2ub
@MohamedHussein-bo2ub 4 күн бұрын
Maji na Mafuta yameshaanza kujitenga ,,Ukweli utajulikana tu SOON! Alf hizi interview zenu bila kutaja jina la CHAMPEZ haziendi mbali??kuweni wabunifu msituaminishe uzuri wa mabondia kwa mnaowapendekeza nyinyi...JAMBO ZURI LINAONEKANA ...BADILIKENI
@Mohamedi-y1j
@Mohamedi-y1j 4 күн бұрын
Mkanda wa dunia uwenao wewe ?? Acha kujigamba kwanza hakuna mkanda wa WBC Africa . Acheni kutudanganya hapa . Africa iko dunia yangali naulaya iwe. Dunia gani acheni kutuzingua nyie
@maalimseifk-gumuadui123
@maalimseifk-gumuadui123 4 күн бұрын
😂😂😂
@BUZAFILAM
@BUZAFILAM 4 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/kH_MiHmAa7mfbKM
@SamataOmary
@SamataOmary 4 күн бұрын
Huyu si Anabeba mizigo Sokoni?
FULL FIGHT: FRANK SHAGEMBE VS ASEMAHLE WELLEM
26:05
MafiaOnlineTv
Рет қаралды 56 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
WALI WALETA GUMZO NIT/MAKASIRIKO NI MENGI
6:28
student connect Tz
Рет қаралды 98
MWAKINYO AOMBA KUMSAIDIA TWAHA KIDUKU NA DULLAH MBABE
3:40
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН