MWAKINYO ASIMULIA ALIVYOSIKIA WATU WAKIOMBA MSAADA CHINI ya JENGO, AELEZEA UGUMU wa UOKOAJI....

  Рет қаралды 5,897

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@saiddgsmg
@saiddgsmg 14 минут бұрын
Mwakinyo jeshi kubwa,,,nakukubali sana nakupenda sana mungu akuzidishie inshallah.❤❤❤❤
@FadhiliRajabu-ft1dw
@FadhiliRajabu-ft1dw 9 сағат бұрын
Hassan, you understand yourself brother, you have also been given the opportunity to answer clearly what you are asked, may God guide you brother
@GodyKaywanga
@GodyKaywanga 45 минут бұрын
Kweli bro
@MansabSalum
@MansabSalum 5 сағат бұрын
Hongera sana champez mungu akulipe akusimamie kwenye kila jambo lako in sha allah
@AbuuMichelin
@AbuuMichelin 8 сағат бұрын
Big up champez safi sana huu ndio ubinaadamu wa kwel umejitolea kwa ajili ya ndugu zako mungu akuzidishie ndugu yangu hom boy kinyo time
@kb_musictz
@kb_musictz 8 сағат бұрын
Home boy anaongea point sana Allah akujalie mwisho mwema Hassan mwakinyojr
@JohnClemence-w9b
@JohnClemence-w9b 11 минут бұрын
Umeonyesha kitu kipya katika maisha ya kawaida. Hongera sana
@irenekenedy7889
@irenekenedy7889 Сағат бұрын
Kaka wwe ni kio ❤❤❤ unyenyekevu wako furaha yetu . mungu azidi kukuinua .endelea hivihiv
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 7 сағат бұрын
Hassan Mwakinyo hongera sana❤❤❤❤❤❤❤sikutegemea 🎉MUNGU akubariki
@SaidiAbdallah-q9e
@SaidiAbdallah-q9e 8 сағат бұрын
Daa safi sana kaka mungu atakulipa kwaushilikiano wako akika ww niwakuingwa
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 4 сағат бұрын
Watu wapendane RIP zimekua nyingi kuliko Ilove you.Hongera champion kwa kuonyesha Utu na hisia kwa janga hili zito la kibinadamu lililoigusa nchi yetu
@HamdanAmli
@HamdanAmli 9 сағат бұрын
Kazi nzuri mpambanaji tukopamoja sana
@yasirsaid8464
@yasirsaid8464 9 сағат бұрын
Safi champez one time.. ALLAH Akubariki
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w 17 минут бұрын
Uyu Mwamba MUNGU ampe maisha Marefu. Pia wote waliojitolea kusaidia kivyovyote katkat janga hili
@sajidseleman6641
@sajidseleman6641 9 сағат бұрын
Allah akujali kwa hili la kujitolea InshaAllah
@IsayaZablon
@IsayaZablon 6 сағат бұрын
Mungu akupe.maisha marefu
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 9 сағат бұрын
Mabondia wote mjifunze kwa mwakinyo tumieni nguvu zenu maeneo kama haya kuwasaidia waliokwama
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 9 сағат бұрын
Safi kabisa tunashukuru huu ndio uzalendo umefanya vyema umetumia nguvu zako kuokoa wahanga walioangukiwa na ghoroga
@PeterWatson-z6q
@PeterWatson-z6q 12 минут бұрын
❤❤❤❤❤
@planbmauwezo4853
@planbmauwezo4853 8 сағат бұрын
Gud san mwakinyo
@AbdallahYanga
@AbdallahYanga 9 сағат бұрын
Mwakinyo anajielewa
@TuntuHassan-x1w
@TuntuHassan-x1w 8 сағат бұрын
Mwakinyo umefanya jambo jema sana mastar wengine kaz yao nikukesha insta
@SaidSaid-np4jv
@SaidSaid-np4jv 8 сағат бұрын
Champez one time
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 3 сағат бұрын
Huu ndo uzalendo halisi hongera champez
@AllyHamran
@AllyHamran 4 сағат бұрын
Tuache utani sisi bado hatujaekeza kwenye uokoaji na zima moto.Kinachokosekana hapa ni ufanisi na vifaaa bora.Akili inayonadiwa kuwa inatumika ni miyayusho.
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 Сағат бұрын
Uyu jamaa anastahili tunzo ya heshima
@kusinimediatz6747
@kusinimediatz6747 54 минут бұрын
Nimekua shabiki wako kuanzia hivi sasa saa 6:44 asubuhi ya tarehe 19/11/024
@SalmanFarhad-j2h
@SalmanFarhad-j2h 9 сағат бұрын
Saf san
@JumaSaid-g5u
@JumaSaid-g5u 5 сағат бұрын
Where is steve nyerere anaongea misibani tu
@EliasMwita-q3x
@EliasMwita-q3x 9 сағат бұрын
Safi Champenz
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 2,7 МЛН
Walking on LEGO Be Like... #shorts #mingweirocks
00:41
mingweirocks
Рет қаралды 7 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 27 МЛН
KUNA VITA YA KUMUANGUSHA MWAKINYO?, PROMOTA JAY MSANGI AFICHUA MAZITO...
7:09
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 2,7 МЛН