MFAUME MFAUME AMVAA MWAKINYO - "ROHO MBAYA TU, ANAOGOPA WENZAKE WAKICHEZA WATAMFUNIKA"

  Рет қаралды 24,013

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

Күн бұрын

Пікірлер: 148
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 4 ай бұрын
Yaani hayo maneno yake yoote anamlenga mtu mmoja tu na bondia mwakinyo ww mwakinyo kakuzidi hadi mazambi
@Zuberyothuman-k4l
@Zuberyothuman-k4l 4 ай бұрын
Huyo mfaume Hana hadh ya kuwa bondia
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 4 ай бұрын
Huyu bila ya kumtaja bondia mwakinyo hawezi kwenda mjini ili aingie mjini lazima amuongelee mwakinyo mbona mwenzake hana muda nae yy tu
@mosongatz4534
@mosongatz4534 3 ай бұрын
Champion Mfaume Mfaume miaka 100 ukweli umewauma machawa wa mdigo wewe ni balaa balaaa balaaaaa wasiokupenda kwenye comment hapa kimoyoni moyoni wanakukubali GO go GO go Champion NACCOZ baba lao haipingwi hiyo
@Francis-oq6tz
@Francis-oq6tz 4 ай бұрын
Nafasi ya mwakinyo bado ipo juuu sanaaaa wanaumia sana endelea mwakinyo tupo nyuma yako tanzania bondia ni mwakinyo pekeee
@ahmedimakope
@ahmedimakope 4 ай бұрын
Nyie ndio wafirwaji mikundu nyie!
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 4 ай бұрын
Mfaume Uwe Mkweli. Tafadhali Jitahidi kupambana Mwenzako kutoka Brbr za Namba na Makorora amejijengea Mvuto kwa Wapenda Ndondi. Tunakuamini na Jiamini.
@HassanKibindo-ti1nu
@HassanKibindo-ti1nu 4 ай бұрын
Hana jipya mfaume mawiv tu Champez bab kubwa ingeezeka uy jamaa apande na Mwakinyo anaimba sana by mpenda michezo
@khamisomary7428
@khamisomary7428 4 ай бұрын
Mfaume kaa kimya imebakia ww kuwa ni mama ntilie tu, unamiaka chungu nzima hujapambana, acha roho mbaya shenzi
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 4 ай бұрын
Mfaume angepigana na iddy pialali pambano lile lingekuwa zuri sanaaa na lingemrudisha vizuri sana kama angeshinda.
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 4 ай бұрын
Ushachoka saivi hauna kitu mfaume
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 4 ай бұрын
Hunajipya unaongea sanatu vyiwangovyenyewe vimeshukawweweeee
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 4 ай бұрын
Sasa hapo umehoji nn zaidi ya umbea tu na mwenzio mfaume
@MropeJr
@MropeJr 4 ай бұрын
sasa utambui lakini umemuita na jina
@ShabaniSadallah-uw5ey
@ShabaniSadallah-uw5ey 4 ай бұрын
Nakukubali kinoma
@iamminahsalim5008
@iamminahsalim5008 4 ай бұрын
Mwenetu vp asaiv umekua ms pialali tuu anakushinda 😅😅😅 kwedraaaa unalolote mshika ufunguo tuu wa jimu ata mimi unipji
@justiceshelukindo
@justiceshelukindo 4 ай бұрын
Boxing watz kuwa wakubwa Ni ngumu maana matamanio Yao Ni kupigana wenyewe Kwa wenyewe, aliye mkubwa ashushwe . Kupigana Ni ku risk maisha wanapaswa. Wawe na msimamo wapate Hela sio kutumiwa kama tissue
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 4 ай бұрын
Acha ushamba na roho mbaya Sikuzote duniani usitumie muda wako kumjadili mtu utafeli kila kitu Unatakiwa kuiga mfano wa mwakinyo anaangalia mambo yake tu
@mwinyihijajumaa3773
@mwinyihijajumaa3773 4 ай бұрын
Mfaume tafuta shughuli yakufanya Mwakinyo sio level yako na kofia yako iyo ya bukujero
@athumanbakari-hy7xb
@athumanbakari-hy7xb 4 ай бұрын
mtangazaji ufai kua mtangazaji mshamba sana
@abdallahyusuf7641
@abdallahyusuf7641 4 ай бұрын
Mfaume umeshuka na bila ya kumkandia mwakinyo jina litazidi kupotea
@HassaniRamso
@HassaniRamso 4 ай бұрын
Unanja huna lolote boya chuki anazo yeye
@AzizSultan-fc7rn
@AzizSultan-fc7rn 4 ай бұрын
Nazid kusoma comment wakuu
@IssaMollelMasaiBondia
@IssaMollelMasaiBondia 4 ай бұрын
Umeongea point kubwa sana broh mfaume
@sports007tv4
@sports007tv4 4 ай бұрын
Sheikh hamad kombo utangazaji huuwez nenda kavue kaka yan ww unamchochea mtu amseme mtu mwengine
@michanoboy8948
@michanoboy8948 4 ай бұрын
Nilikua namkubali sana uyo mbwa lkn maneno yake yakisenge nishamkataa zamani bondia kama khadija kopa bwan
@bamsimkwedez6623
@bamsimkwedez6623 4 ай бұрын
Nimesoma comment za watu humu hakina anaye kukibali bro jitafakari
@RajabuGoba
@RajabuGoba 4 ай бұрын
Hamuwezi mwakinyo hata kidogo
@DevidiCosmas
@DevidiCosmas 4 ай бұрын
Mfaume sio bondia Kila pambano anapigwa alafu anabebwa saizi muimba taalabu tu
@SuleymaniBashiru-rq5hb
@SuleymaniBashiru-rq5hb 4 ай бұрын
Acha usenge wew siuandaliwe pambano lako
@malkavoice2570
@malkavoice2570 4 ай бұрын
Mfaume mshamba sn lkn kama aliongea bila kujua amuombe radhi Mwakinyo,vinginevyo nitampuuza sana
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 4 ай бұрын
Huyu majigambo tu hana lolote mbuzi tu kwa bondia mwakinyo ww hata umseme vipi bondia mwakinyo huwezi kumshusha na huwezi kumfikia😂
@harissalum2887
@harissalum2887 4 ай бұрын
Acheni roho mbaya, mbona mnamshambulia sana Mfaume? Lipi alilowakosea? Acheni roho za korosho
@banzmozes8099
@banzmozes8099 4 ай бұрын
Hauwez hiyo Kaz na mmakonde fanyen mambo mengine
@johnmwanyika
@johnmwanyika 4 ай бұрын
Mfaume saiz yako n Mzee wa SUKUNYO
@joshuakeneth9538
@joshuakeneth9538 4 ай бұрын
Mfaume nakukubari mwambaa
@johnmwanyika
@johnmwanyika 4 ай бұрын
MFAUME TULIA NA UWE NA ADABU KWA KAKA YAKO MWAKINYO, HUYO NI WA LEVEL NYINGINE SIO SAIZI YAKO KABISA. YANI MWAKINYO MUONENI HIVYO HIVYO ILA HAKINA MTU MWENYE KIWANGO CHAKE BONGO. SIO KWAMBA ANAPIGANA TU ILA ANACHO KIPAJI CHA KUZALIWA.
@anosiata8242
@anosiata8242 4 ай бұрын
Kazeeka mfaume mfaume
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 4 ай бұрын
HUYU CHA MANENO IPO SIKU ATAUMIA ANACHONGA SANA. PUNGUZA MDOMO DOGO NINGEKUWA NA NAFASI NINGEOMBA PAMBANO NAE NAJUWA ANACHOJIVUNIA
@WinifridaJonathan-cq2nw
@WinifridaJonathan-cq2nw 4 ай бұрын
Bondia ni mmoja tu Mwakinyo zingine nibkelele tu😂😂😂
@BITEBOKHALID
@BITEBOKHALID 4 ай бұрын
Acheni kuzunguza Ushoga fungeni hizo habari
@iddibakari7565
@iddibakari7565 4 ай бұрын
Mabondia wadar munaroho mbya namunaftna nawatu watanga kutugombnisha wenyew kwawenyew
@hassanmagari8385
@hassanmagari8385 4 ай бұрын
Mfaume mfaume eti ushawahi kupigana kisa sahani ya ubwabwa?
@barakamwandiga2327
@barakamwandiga2327 4 ай бұрын
Team nakoz kaz kaz 💪
@RichiSamir-ff1rg
@RichiSamir-ff1rg 4 ай бұрын
Kwanz ukitak kumzungua mwakiny jua unazungumzia bondia bila Afrika na bunia
@abdallahtipuka1451
@abdallahtipuka1451 4 ай бұрын
Njaa hiyoo
@NgareJumaa-mu2fc
@NgareJumaa-mu2fc 4 ай бұрын
ktk watu ambao awajui ngumi ww mfaume nambamoja naukimongelea mwakinyo muongelee kwaheshima nay adabu
@StanleyMakunzo
@StanleyMakunzo 4 ай бұрын
Mmmh mfaume amebaki mipasho2
@abbasisudi6899
@abbasisudi6899 4 ай бұрын
Kwani we shida Yako nin na mwakinyo,mpigsne mwenzio apigani kwa ajili ya sifa ni biashara badiliken wabongo mnamwona alinga kwa kuwa anamaarifa kuliko nyingi km mngemwelewa nanyi mngebadilika wabongo mnapigana sifa sio biashara.promota zenu ndio wanyonyaji zenu in economics surplus goes to surplus not deficit labda bank lakin Kuna cost kubwa
@JumaSaid-d2o
@JumaSaid-d2o 4 ай бұрын
mbona uyo choko wenu wakitanga maneno mengi lkn amsemi nyie mnae msema mwnye ngumi zake hote wasenge tu! yani mfaume mfaume Chama chamabibo
@HamadNassor-fp6rl
@HamadNassor-fp6rl 4 ай бұрын
Mshamba wewe hujui ngumi .wanaojua ngumi wamekaa kimya.ngumi sio vita kaka Wala starehe ni kazi kama kazi nyengine...
@banzmozes8099
@banzmozes8099 4 ай бұрын
Mfaume hauwez champez ninamba nyingine
@UsambaraMombo
@UsambaraMombo 4 ай бұрын
Wewe choko wacha jealous ngumi hujui
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 4 ай бұрын
Acha majungu
@ahadjuma8356
@ahadjuma8356 4 ай бұрын
Mtangazi boya kama bondia wa hovyo ulikua una mhoji
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 4 ай бұрын
kila ukihojiwa mwakinyo ww fala
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 4 ай бұрын
semunyu ndo promoter pekeee TZ... ila ao wengne watapeli ty
@TaiwanOmeg
@TaiwanOmeg 4 ай бұрын
Hatariiii sana mwamba
@JohnMushi-p6w
@JohnMushi-p6w 4 ай бұрын
Mwandish ujui mchonganish
@ahadjuma8356
@ahadjuma8356 4 ай бұрын
ww hujui ngumi ww mdomo2 yupo pialali unamkimbia mwaka wangap huu
@IbrahimBode
@IbrahimBode 4 ай бұрын
Choko ww acha roo mbaya uskii raha bila kumta basha wako mwakinyo
@hamisikanjwele5703
@hamisikanjwele5703 4 ай бұрын
Kelele nyingi mapambano tele huna nyota hata 1 😂😂😂 mbaya Zaidi nibondia anaeongoza kupigwa nje ya nchi
@Allymzaki
@Allymzaki 4 ай бұрын
Hamna bondia hapa majungu na bangi tu.
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 4 ай бұрын
wazaramo na maneno yao
@allimohamed2688
@allimohamed2688 4 ай бұрын
Acha umbea
@alphoncejohn6308
@alphoncejohn6308 4 ай бұрын
Fara tu huyo
@patrickalfred3680
@patrickalfred3680 4 ай бұрын
Huna kitu bob.pita ivi.yaani wewe wamekufata ujiongelee unamuongelea mwakinyo.huo ni wivu kwenye misimamo ya mtu...na ndio unapotea hivo
@fadhilially7357
@fadhilially7357 4 ай бұрын
NA WE MTANGAZAJI MSENGE
@nekashash2190
@nekashash2190 4 ай бұрын
Mzee hujui ngumu.. huna elimu ..una majungu...mapeomota wanakuongelea vibaya Jana majungu..mabondia wa bei rahisi..eti bondia anataka kupigana Bure ili aonekane..
@CarolineWilsonLigungawe
@CarolineWilsonLigungawe 4 ай бұрын
Mfaume mfaume ni bondia bora sana Tanzania,uwezo wa mfaume wanaujua ngumi na kama ubishi bas endeleeni jamani
@SalimBilal-fo1uh
@SalimBilal-fo1uh 4 ай бұрын
Ww.ngumi.kubwa.maajabu.huna.muache baharia.hasani
@mohamedbedui9486
@mohamedbedui9486 4 ай бұрын
Mfaume husizungumze kuhusu boxing hatukutambui
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 4 ай бұрын
Acha chuki na makasiriko yasio na msingi kaka kwann tusimjue unaposema kuhusu boxing kwa tz wakati ata yy pia ni miongoni mwa mabondia wanaowakilisha taifa kwa kucheza na mabondia wa nchi nyingine
@AziziAlly-xc6nm
@AziziAlly-xc6nm 4 ай бұрын
Acheni chuki mfaume anajua sana
@papangomaitala7690
@papangomaitala7690 4 ай бұрын
Huwz,kumtambua maanaww,sio mwanamasumbi
@ursulinenyandindi3051
@ursulinenyandindi3051 4 ай бұрын
unamtaja jina kabisa halafu humtambui 😂😂😂
@ce-08
@ce-08 4 ай бұрын
​@@papangomaitala7690 kwel kabisa
@alexkinyasi9073
@alexkinyasi9073 4 ай бұрын
Weee ngumi kazi kama kazi nyingine. Unachezea nakozi halafu unabaki huna mbele wala nyuma...hao wengine njaaa tu
@ayubujumbe9954
@ayubujumbe9954 4 ай бұрын
ONGEA NA WANAUME UPATE KAZI SIYO MIPASHO. ACHA UMBEYA. KAZI YA UMBEA WENYEWE NIWANAWAKE.
@AslenBerdon
@AslenBerdon 4 ай бұрын
Yani mashabiki mnao sema hamna kitu sahivii mfaume...hamna akiliiiii
@ayubujumbe9954
@ayubujumbe9954 4 ай бұрын
KUMBE MFAUME ANAOMBA KAZI.
@DeogratiusHenry
@DeogratiusHenry 4 ай бұрын
Umamuongelea mtu ambae akuongelei fanya mamb Yako we mbona unapiga vichwa
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 4 ай бұрын
Nani anakutambua wewe mfaume funga mdomo
@ImmaMahogo
@ImmaMahogo 4 ай бұрын
Jamani huyu mfaume chizi anadata mwakinyo mme wako huna maajabu una unamdisi mwakinyo ww mdisi twaha au dula au chino mwakinyo ata kuuwa paka
@EmeraldZanzibar-i8l
@EmeraldZanzibar-i8l 4 ай бұрын
Bondia hajaanza kuhojiwa anaongea tuuuu,,halaf mjomba wee huna kitu kingine Cha kuzungumza zaiid ya Hasan tuuu huna kaz nyingine kaka ukafanya kaka maana ww Kila dei lazm umtaje champez
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 4 ай бұрын
Umebaki mipasho kama demu
@juliusmalecela2705
@juliusmalecela2705 4 ай бұрын
Mfaume ushamba unakusumbua unazidi kutupoteza mashabiki tulio kubwa tunakuelewa acha kutafuta kick Kwan champez
@fadhilially7357
@fadhilially7357 4 ай бұрын
HAMNA KITU HUMO KAZI YAKE MDOMO SIO KUPIGANA
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 4 ай бұрын
Na kwanini tangu mwakinyo alipompigavyule muingeleza nyanya kapigana pambano moja tu na kapigwa t k o ajawahi kutoka wala kupigana tena nje ya nchi championi gani huyo ni mwehu tuuu ana lolote
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 4 ай бұрын
Huyu jamaa hawezi kuhojiwa bila ya kupita na umepo wa bondia mwakinyo ili askike kama yupo basi lazima amtaje hassa😢 mwakinyo huyu ana wivu wa kimaendeleo huyu kapitwa na kila kitu na bondia mwakinyo
@allykayanda6930
@allykayanda6930 4 ай бұрын
Sijawai kuona mtangazaji fala na mshamba,na boya kama huyu jamaa,kwanza yaonekana hata form 4 hajafika huyu boya 😂😂😂
@MussaRasul
@MussaRasul 4 ай бұрын
Huyu nae bondia kumbe
@basumegheMbotwa
@basumegheMbotwa 4 ай бұрын
Mwakinyo umejuwa kuwakela wanafiki mfaume ulishapitwa nawakakati na bado hujasema mwakinyo anafanya kwa malengo🤣🤣🤣🤣 kkkk
@NasraWaziri-l9f
@NasraWaziri-l9f 4 ай бұрын
Mfaume hunalolote wivu umekujaa
@MahamuduIssaMbwana
@MahamuduIssaMbwana 3 ай бұрын
Wewe muandishi nimbea
@albanomgaya6122
@albanomgaya6122 4 ай бұрын
Ukiona haupati game ujue uwezo wako n mdogo
@AmourJr-er4ur
@AmourJr-er4ur 4 ай бұрын
Mwakiny nikama bab ako kweny box ko punguza mudomo
@shabanially4081
@shabanially4081 4 ай бұрын
Mtangazaji sijajua main point yako nini
@hamishatibu699
@hamishatibu699 4 ай бұрын
Muda wako umeisha kaka pumzika uza karanga tu,Hassani kawazidi kila kitu
@khamissymtonele6418
@khamissymtonele6418 4 ай бұрын
Leo nimeamini kweli wewe mshereheshaj na sio bundia auna unachokifanya kwenyengumi ni kheli ubaki kwenyeushereheshaj,kuhusu kuto kucheza na bondia mwengine ww ni muoga pialali mpka leou unamkimbiakimbia tu ww ndio muoga
@HassanKibindo-ti1nu
@HassanKibindo-ti1nu 4 ай бұрын
Mfaume unafaa kuimba taarab mapaf ya kuku pumu tup
@rashowshine7849
@rashowshine7849 4 ай бұрын
Ukishaona mtu ana jinadi ujue siyo nyota pesa wala ushawishi hana😂😂😂
@allimohamed2688
@allimohamed2688 4 ай бұрын
Na bado ushatemwa
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 4 ай бұрын
We unataka acheze kikuku hacha asimamie anachokiamini.
@AzizAbdallah-nf6pd
@AzizAbdallah-nf6pd 4 ай бұрын
Mfaume huyo hata mimi najipigia tu hana lolote
@JosephTibu
@JosephTibu 4 ай бұрын
MFAUME MFAUME BOXING IN MABIBO NACOZ😂😂😂😂
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 4 ай бұрын
Ngumi mansese siyo mabibo
@JuliusMlengeswa
@JuliusMlengeswa 4 ай бұрын
Kama ni wa uzito wake huyo anayesemwa; promota mpangieni mechi
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 53 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 24 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 17 МЛН
Mfaume Mfaume  amwangukia Bakhresa awanusuru
4:21
G23 Online
Рет қаралды 971
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
YahStoneTown
Рет қаралды 260 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 53 МЛН