RECAP: ALIKIBA ajifunze kwa DIAMOND kupitia RAYVANNY, Collabo yao ITATIKISA KIMATAIFA? KINGS HAIKUZI

  Рет қаралды 6,682

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 104
@sagatv4306
@sagatv4306 12 сағат бұрын
Content yako imesha teremka badili content huwezi mshusha king King always is king
@ShabanKatagila-gy8tk
@ShabanKatagila-gy8tk 23 сағат бұрын
sikuzote we jamaa noma nakubali sana
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x Күн бұрын
Merci beaucoup pour les informations nécessaires Mr Elmando 💥🇨🇩
@AhmedMohamed-cb2gc
@AhmedMohamed-cb2gc 16 сағат бұрын
Kwanza kuwa na akili alikiba angeenda kwa Rayvany ungesema ameishiwa but Rayvanny anamjuwa king thats why amekuja kwa kiba ndani ya studio ya king
@vincentmomanyi-pg1rv
@vincentmomanyi-pg1rv Күн бұрын
True 😁
@RemmyTizzo
@RemmyTizzo 12 сағат бұрын
Yani we jamaa alikiba kila anacho kifanya kwako kibaya
@christophergama2595
@christophergama2595 4 сағат бұрын
Unamshauri Alikiba au unatushauri wasikilizaji.
@LukasKagurane-ps6dt
@LukasKagurane-ps6dt 16 сағат бұрын
Kweli bwana mimi sijapenda caption uliyo andika kwenye video hii, vipi unajuwa alikiba ni mfame wetu wa music tz na Africa mashariki na Kati. Unasema ajifunze kwa watoto wadogo, mimi sijapenda kama huja mheshimu mfalme wa Tanzania 🇹🇿.
@ramayonline2281
@ramayonline2281 22 сағат бұрын
True say 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FranckKabamba-r2n
@FranckKabamba-r2n 12 сағат бұрын
Alikiba bado moi je suis congolais
@kalasingaleemjengoni
@kalasingaleemjengoni 14 сағат бұрын
Uwekezaji unaanzia kwenye ngOma Kali, Ila "VIDEO KALII" inampeleka mbaali zaidi piA Mwanamuziki so nikujitahidi Sana sana kwenye PROMO 👈
@AmaniNangerembe
@AmaniNangerembe 4 сағат бұрын
🎉🎉🎉
@hakizimanamoosa1157
@hakizimanamoosa1157 23 сағат бұрын
Ngoma itakuwa kubwa sana
@ImaniMsafi
@ImaniMsafi 15 сағат бұрын
Kwl kaka kiba ajifunze ila tunawaombea kwa mungu ili watuwe kazinzuri
@vanjay8685
@vanjay8685 15 сағат бұрын
Tuwe tu wakweli bila unafik Rayvanny sai ameshuka sana sio A list kwa sasa hata huyo kiba ila anajitahidi sio kama rayvanny
@NasoroOmary-tx5uo
@NasoroOmary-tx5uo 15 сағат бұрын
Jamaa acha kumuatak kiba kila siku akifanya kitu unamkosoa usifanye ivo kama ni tem mond baki huko huko acha uchale kiba ndo kiba atabaki kua yeye
@FabriceKadio
@FabriceKadio 23 сағат бұрын
Alikiba anani kwanza sana😢 rayvanny
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv 16 сағат бұрын
Alô mando acha uchaba na uchambuzi wakichamba alikiba nikiba
@AmourHaroub-lv8ll
@AmourHaroub-lv8ll 13 сағат бұрын
Wasio na akili hawatakuelewa ila upo sahihi baba
@AmourHaroub-lv8ll
@AmourHaroub-lv8ll 13 сағат бұрын
Unaongea point babaaaaa 😅😅😅
@MasterJay-vr6dc
@MasterJay-vr6dc 17 сағат бұрын
facts💯
@nestoryernesty8169
@nestoryernesty8169 3 сағат бұрын
Brooo alikiba anatakiwa kujifuza kwa diamond platnumz simba chibudega
@CleverMathew
@CleverMathew 15 сағат бұрын
Mzee wa fact
@Kaske-bleumartin
@Kaske-bleumartin 18 сағат бұрын
Nice from merekani
@lukaelia2280
@lukaelia2280 14 сағат бұрын
Mavi ww
@directortwicep3028
@directortwicep3028 11 сағат бұрын
Unaongea fact sanaaa Kaka nakubali
@LucasJeremia-n5r
@LucasJeremia-n5r 8 сағат бұрын
Wewe sisi mashabiki wa kiba ipo siku tutakuja kukufira, we endelea kumuongelea kiba vibaya
@Medicalstevo95th
@Medicalstevo95th 4 сағат бұрын
Kama umekunywa bege huwezi muelewa almando ila anaongea point
@HafashimanaJackson
@HafashimanaJackson 16 сағат бұрын
Una sema kweli bro
@hamisibakari342
@hamisibakari342 Күн бұрын
Wewe Fala Team MOND Unaongea nini WEWE,,,,mpaka majambo yatokee ndio UNASHOBOKA
@RemmyTizzo
@RemmyTizzo 12 сағат бұрын
Uyu jamaa nimsenge sana
@EmmanuelBayo-el5xl
@EmmanuelBayo-el5xl 23 сағат бұрын
Kuna watu wana ongea ujinga sana uyu mujinga aja juwa wimbo niwanani lakini ana aza sema maneno yaujinga sasa uyu bro ajichunge sana kwaku towa mapovu kwenye king kiba utalumia sunajuwa sisi tuta kuvunja vunja
@LeluuAlly-x9n
@LeluuAlly-x9n Сағат бұрын
Vani boy xax hiv hana kitu
@kajebweilunga2935
@kajebweilunga2935 14 сағат бұрын
Weye uko nani unasema alikiba ajifunze kwa diamond Kila mutu iko na njia yake
@MustafaNdayishimiye
@MustafaNdayishimiye 18 сағат бұрын
Reyvann ni mukubwa kushida Alli kiba kima taifa
@Laughter_man
@Laughter_man 15 сағат бұрын
Mataifa gani😅😅😂😂 au kisa show za njee ambazo hata king alijaza us na canada
@Oman-k4j
@Oman-k4j 13 сағат бұрын
We nawe onaongea pumba tu
@Oman-k4j
@Oman-k4j 13 сағат бұрын
Kamshida wapi au ana mafanikiwa gani kumzid alikiba muacheni mbona roho mbaya tu
@boyofYesterday-fn5rf
@boyofYesterday-fn5rf 10 сағат бұрын
Kweli bangi sio chai 😅angalia mziki vizuri sio ushabiki 😅
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate 11 сағат бұрын
Ndio maana me niliacha kufuatilia habari zao ngoja niage kabisa
@GeraldMakala
@GeraldMakala 4 сағат бұрын
Kwa sasa alikiba siyo msanii mkubwa ni wakawaida sana
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 10 сағат бұрын
ALIKIBA HAJAWI KUFANIKISHA PROJECT YEYOTE NI FAILER OF ALL TIME😂😂😂😂😂😂 BILA NGUVU YA DIAMOND HAMNA KITU PALE
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 11 сағат бұрын
Sawa adija koppa umeeleweka Kama anaela yakujifunzia mlipie ada
@HamisiMwazikeni
@HamisiMwazikeni 5 сағат бұрын
Acha unafikii ww almadoo mnafiki2 chawa wa diamond ww
@NuhuMabena-gh1wo
@NuhuMabena-gh1wo 11 сағат бұрын
Hamuna akili
@christinenere4696
@christinenere4696 6 сағат бұрын
Kwakweli umesema ukweli usio pingika Ali kiba ana uninafsi sana hapendi maendeleo ya wezake anapenda kua juu peke yake na ndo maana afiki ki mataifa kama ameshondwa kumtoa mdogo wake ndo atasaidia mtu mwingine
@SamuelOuma-uy2ci
@SamuelOuma-uy2ci 15 сағат бұрын
Diamond nikama anakulipa umuongee vibaya alikiba siku zote
@Kujason12
@Kujason12 13 сағат бұрын
Uyu ni mpumbavu sana
@hamisibakari342
@hamisibakari342 23 сағат бұрын
Wewe UMEMTENGENEZA nani Team MOND Fala weeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@CleverMathew
@CleverMathew 15 сағат бұрын
Acha bhn
@IamDream-s1g
@IamDream-s1g 10 сағат бұрын
Huyu Mando sjui yey mondi ashakua chawa wake Hana point zaid ya caption za kifala
@MalikAssumani
@MalikAssumani 21 сағат бұрын
Ach kuongeya mamb yasio eleweka tunajuw wew ni fan wa diamond akun siku king alishawai kusem anataman kufany colabo na rayvany pls stop that nonsense bro
@ShabanKapui
@ShabanKapui 9 сағат бұрын
We jamaa ipo siku utafirwa na wahuni na tutakupost to
@MoussaJeshi
@MoussaJeshi 15 сағат бұрын
Kaka uyo ndio ukweli mtupuuuu
@andrewmallya1704
@andrewmallya1704 10 сағат бұрын
Sasa we unachotaka ni kushindana?au unataka mziki mzuri?wacha sisi tuinjoy mziki mzur bhana😅
@SalmaLigeni
@SalmaLigeni 16 сағат бұрын
Kila sikunakwambia usiangalie nambaz ,watu wanaweka maloboti ivi juzi ujamsikia kiba kwenye crazy, au unajizima data
@mtotowamanka
@mtotowamanka 15 сағат бұрын
Xx hapo hoja Yako n nn? .... Kama maroboti means Hana management nzuri na kama vipi aka shtaki wa2 wanawekeza ww unasema maroboti bhc vanny asinge fika hapo alipo kakubali numbers 🔢
@AdamLameck-x5n
@AdamLameck-x5n 14 сағат бұрын
Wewe vp unampindea kiba
@Kujason12
@Kujason12 13 сағат бұрын
Huo upinzani niwako wewe kila mmoja anatafuta pesa kwa njia yake tatizo wewe una ushabiki wakijinga sana Ray van kwani katokea wapi kama sio Tiptop c
@SamuelOuma-uy2ci
@SamuelOuma-uy2ci 15 сағат бұрын
Mbona unachuki hivi au hukupenda rayvan kwenda kwa alikiba hata ukichukia mtu usiwe hivyo hata wewe ni mtangazaji ila Kuna wale wanakushinda Kila kitu
@Jesus-i-believ
@Jesus-i-believ 15 сағат бұрын
NINAIMANI IPO SIKU ISIYO NA JINA, UYU KIPELE TUTAKUJA KUONA CONNECTION YAKE AKIOMBA MAJI KWA WAHUNI WA 'BUZA LAND' MCHIZI SHOBO KISADO! NO BALANCE.
@BarakamussaBarakamussa-go7nv
@BarakamussaBarakamussa-go7nv Күн бұрын
Kiba ajawai kutamani kufanya kazi na mtu rayvani alimfata kiba kipindi kiche cha kizimkazi alivyo shuka aka mfata kwenye gari . Yy ndio kajipeleka kwa kiba na siyo kiba hivi unamjuwa kiba vizuri wewe, pili kiba ashindani na mtu na amesema ukitaka mashindano utaenda pekeyako sasa acha usenge, Kuna haja ya kiba akushitaki maana unamuandama sana kiba, kwasababu siyo muongeaji mbwa wewe
@hamisibakari342
@hamisibakari342 23 сағат бұрын
Yani HUYUJAMAA anaongea Upumbavu MTU Hana alijualo anaongea tu😮
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 23 сағат бұрын
Anaongea ili game iiende…tuna mziki mzuri sana ila uteam ndio umejaa…tukimix na ku interact tutafika mbali sana
@rasheedAlamri01
@rasheedAlamri01 23 сағат бұрын
Yeah it’s true achukuliwe hatua za kisheria kila time anamvunjia heshima Kiba Ushamba umezid
@jooepaullas791
@jooepaullas791 22 сағат бұрын
@@rasheedAlamri01hyu Atakuwa Anapumuliwa 😂
@mtotowamanka
@mtotowamanka 15 сағат бұрын
Ww fuatilia interview,siyo unafata hisia 2,unadhan hapo anaongea ana udhibitisho kbc tafuta
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 17 сағат бұрын
Kiba atanyoosha mikono moto wa Diamond hauwezi bora ata amelijuwa hilo ameona aimbe nazee wa ma Rmx kutoka Wcb 😂😂
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 17 сағат бұрын
Ila Alikiba hizo ndio levo zake na sio Diamond
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 15 сағат бұрын
kwel kabs ally kiba wasanii wake weng wap2 akun kaz
@Alaida4life
@Alaida4life 17 сағат бұрын
Sasa ni Shari? Si lazima king atengeneze watu watundu. Kila aliyopo kwa kingi ni kama chuo tu.
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r 16 сағат бұрын
Na mimi naamini hakuna nyimbo yoyote itakayo toka ambayo rayvanny ft ali kiba hiyo ni michongo mengine na wala sio ali kiba na rayvanny
@Muba-rf1eb
@Muba-rf1eb 22 сағат бұрын
Uyu jamaa ajui ata anaongea nin au Kuna siku ulitaka kiba akugonge akakukatalia ndo mana unamlilia Kila leo
@masudimabuga7005
@masudimabuga7005 9 сағат бұрын
Kwanini unamshambulia alikiba?
@BuraramaKwibe
@BuraramaKwibe Күн бұрын
Ivi nikuulize musani gani ambaye iko kings kwa muda murefu kama vile harmo na revany walivio kubali ku lelewa wasafi
@ramadhaniswami6152
@ramadhaniswami6152 22 сағат бұрын
tofautisha lugha naija wanatumia English sisi tunatumia swahili. na lugha ya kimataifa ni English acha ujinga
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 16 сағат бұрын
Na south Africa wanatumia nn
@JackSon-y2c5h
@JackSon-y2c5h 13 сағат бұрын
Oy we kuku maji na wewe siukuze wasanii wako tuone Kila siku umekaa sehem Moja kuongea
@swala_master
@swala_master 8 сағат бұрын
Wewe kama unaona wasanii wa kings music sio wakubwa wewe basi towa wasanii wako uwakuze tuone Acha maneno brother
@Juressepulga
@Juressepulga 17 сағат бұрын
Je me désabonne juu uyu jamaa ana mu koseyaka tuh Kiba adabu🇨🇩
@NtygaMuaney01
@NtygaMuaney01 23 сағат бұрын
💯%🫶🇲🇿🫶
@chibudangote0126
@chibudangote0126 17 сағат бұрын
ALI KIBA NI BAHILI NA HUO NFO UKWELI AMBAO WATU HAWAUSEMI HOW COME JINA AKO NALO LAKINI WASANII WAKE HAWAJULIKANI HATA KENYA MIAKA MINGAPI SAI TOMMY FLAVOUR YUKO KINGS MUSIC KASHINDWA NA ZUCHU KAJA JUZI SAI NI MSANII AMBAE AKIACHIA NGOMA ALI KIBA MWENYEWE HAMUINGII KWA NAMBAZ
@FranckKabamba-r2n
@FranckKabamba-r2n 12 сағат бұрын
Ata bafanye auta fika tetema
@OnlyRuky
@OnlyRuky 9 сағат бұрын
🚨🚨🚨🚨Kuwa na Adabu mbona umemkalia kooni hivyooo King?🚨🚨🚨inahusiana nini King kufanya kazi na Ray na lable? Who are you kila siju Alikiba alikibaaa unetumwaaa????? Ukweli gani sasa hapo umeongea? Kuwa na adabu na ku respect Legendary King especially unapotaja jina lake km Unalazimisha kuongelewa uwende mjini?? Haya ulioyo yaongea hapa yana usiana nini na ali kufanya kazi na Ray? Be humble man. Unajua kabis ngoma itakuwa kali unajisemesha ili uje sema ulisha sema. Wewee wa wapi????
@kinjekitilew
@kinjekitilew 16 сағат бұрын
Wewe jama unaongea sana
@chalinzeone6599
@chalinzeone6599 16 сағат бұрын
SWADAKTA.
@JeandamasceneDamascene
@JeandamasceneDamascene Күн бұрын
Toka pale Na wewe fanha pubaphu
@AmidoKasome
@AmidoKasome 17 сағат бұрын
Uko mavi mpumbafu
@Edger-fp4qc
@Edger-fp4qc 16 сағат бұрын
Wewe ni shabiki wa diamond kwenda uko kuku wewe
@mayahemede4841
@mayahemede4841 8 сағат бұрын
Esee gajo é muito burro, então quale o problema?
@isayamsisika6255
@isayamsisika6255 17 сағат бұрын
Fala wewe Almando, ajifunze nn unataka atoe matako kama Domo.. kila mtu apite njia zake ajifunze nn
@MustafaNdayishimiye
@MustafaNdayishimiye 10 сағат бұрын
Wafanz wa Alli kiba Kila siku tunajitaidi kuambia diamond 💎 na Alli kiba but diamond 💎 njo king 👑 wa muziki wa Tanzania tuanze kwanza Alli kiba ashaga tengeneza nani kimziki ila mond bigger Harmonize end Reyvann ona kama zuchu akuna ata mwana muziki wake mwenye anaweza kushidana zuchu but Kila siku munamdangayanga
@IssaIssa-h1d
@IssaIssa-h1d 16 сағат бұрын
Mnafki
@AhmedMohamed-cb2gc
@AhmedMohamed-cb2gc 16 сағат бұрын
Na mboso na Abdukiba?wacha usenge wewe
@gauchojulius6237
@gauchojulius6237 22 сағат бұрын
Huyu jamaa boya sana hajui anacho ongea
@MikiGermany210
@MikiGermany210 16 сағат бұрын
Ali kwenye promo hakuna kitu,
@DeoZabron
@DeoZabron 16 сағат бұрын
Tengeneza lebo na wewe
@DeoZabron
@DeoZabron 16 сағат бұрын
Fala wee alisema mond nyie wandishi wajinga
@christinenere4696
@christinenere4696 6 сағат бұрын
Tetema nayo imetumia mda kupata number hivyo isubilie come cava itafika na itakuwa kubwa
@christinenere4696
@christinenere4696 7 сағат бұрын
Kwakweli umesema ukweli usio pingika Ali kiba ana uninafsi sana hapendi maendeleo ya wezake anapenda kua juu peke yake na ndo maana afiki ki mataifa kama ameshondwa kumtoa mdogo wake ndo atasaidia mtu mwingine
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Cabashooyinka dhalinta maanta ||Madari Podcast
1:21:45
Madari Podcast
Рет қаралды 4,7 М.
SIMBA ULAYA KWA HASIRA AMVAA KAYOKO HATUTAKI MAREFA WA TANZANIA
9:09
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 30 М.
FID Q Atoa sababu ya DIAMOND kutokidhi Vigezo vya Tuzo za GRAMMY
8:46
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН