BABA LEVO ALICHOMSHAURI MANARA, AACHANE NA HUYU MWANAMKE, DIAMOND AMECHUKIZWA NA MARIOO,RAYVANNY

  Рет қаралды 61,385

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 60
@benjaminmartin4548
@benjaminmartin4548 2 жыл бұрын
More interviews for baba Levo please we love him.
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 жыл бұрын
Masha'allah Baba levo.. umependeza Sana ❤️
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 2 жыл бұрын
From 254,baba levo
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Baba Levo kapendeza 2023 ..mpaka kawa handsome😃🏃‍♀️
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 2 жыл бұрын
Kushamtaman nn🤣🤣🤣
@felixbenos6365
@felixbenos6365 2 жыл бұрын
😀😀🤣🤣🤣Ety cna ela zakuwalipa watalipwa na Mungu.
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 2 жыл бұрын
Usikute baba levo amesoma sana ila huwa anazuga tu🤣🤣 lina fact sana
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣😍🤣🤣
@abdulrahmanabdallah132
@abdulrahmanabdallah132 2 жыл бұрын
Elim haijifichi kaka, 😁😁😁
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Hamna kuna watu wanazaliwa hivyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@edwinekatundu6844
@edwinekatundu6844 2 жыл бұрын
Kipaj tu
@husseinseif146
@husseinseif146 2 жыл бұрын
Yey mbon wake alimkimbia akusema
@Nikita_8017
@Nikita_8017 2 жыл бұрын
Kweli kabisaaaaa Diamond ana roho safi
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Baba levo anaakili nyingi sana
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Baba Levo👍👍👍👍
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 жыл бұрын
Baba Levo fact unazo, big up!!!!
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Baba levo akili mingi sana,,,,,Napenda Interview zake
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Huyu Baba levo 🤣🤣🤣🤣
@mjungatv8172
@mjungatv8172 2 жыл бұрын
B levo Bah🔥🔥🙌
@sampatrick308
@sampatrick308 2 жыл бұрын
Babu levo Yes,Yes,nyingiiii
@ayoub1906
@ayoub1906 2 жыл бұрын
Nakubali sn spider 🕷️
@Bahatimindset
@Bahatimindset 2 жыл бұрын
This man is very smart
@ashabakke4733
@ashabakke4733 2 жыл бұрын
Ukimsikia baba L. Lazima ucheke hata km una stress zako. Kula bure pa kulala ndio shughuli kweli kabisa
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 2 жыл бұрын
Mungu umpa kila mjaha wake kwa wakat wake
@mghazale3046
@mghazale3046 2 жыл бұрын
Babalevo nakukumbali sanaa..
@hamisigege5946
@hamisigege5946 2 жыл бұрын
Baba Levo anajua sana
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 жыл бұрын
Kwa wewe Baba Levo 😁😁😁 nimeweka bando
@chilamboxhila2716
@chilamboxhila2716 2 жыл бұрын
dihfs
@musangwajordan3635
@musangwajordan3635 2 жыл бұрын
Umekubalika mpaka unakera👌👋🤣👊
@manuelsaramba2138
@manuelsaramba2138 2 жыл бұрын
Baba levo nimetu mkubwa sana ata akigombea chochote atapata maana tunamkubari sana💯
@ayoub1906
@ayoub1906 2 жыл бұрын
Safi levo b
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 2 жыл бұрын
Baba levo
@john_1trader
@john_1trader 2 жыл бұрын
Waah si kolabo na ry
@ashajuma2478
@ashajuma2478 2 жыл бұрын
Baba levo ni Saratoga kiboko ya mashoga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Doctor_micky072
@Doctor_micky072 2 жыл бұрын
B levo mtaalam majumba, very smart kuongea fact
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 жыл бұрын
Mtangazaji afanana na Abdul kiba
@nasrajama275
@nasrajama275 2 жыл бұрын
Jicho lako gonjwa
@nelsonlyack496
@nelsonlyack496 2 жыл бұрын
Eti njia pekeee ya kuachana na mwanamk😅😅😅😅😅😅
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
B levo baa fundi majumba😂😂😂😂
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 жыл бұрын
B Levo hua ni mkweri aisee uzuri anakubari kua yote hayo ni Mungu anatenda
@nordinebaraca4635
@nordinebaraca4635 2 жыл бұрын
Munziki haupo ila feza ndio mnao.
@Sancho2721
@Sancho2721 2 жыл бұрын
Baba levo kasema lakini anatuzuga
@BabaRikodi
@BabaRikodi 2 жыл бұрын
Zito ajapokea simu miaka mitatu 😂😂😂
@BenBen-it3ie
@BenBen-it3ie 2 жыл бұрын
😃😃😃
@zeinjr1505
@zeinjr1505 2 жыл бұрын
Atalipwa na Mungu
@agonysmartboy9775
@agonysmartboy9775 2 жыл бұрын
Jibu shwali ngoma gani ameimba mwenyewe ina views 100
@malianonicass7029
@malianonicass7029 2 жыл бұрын
Kwani hao ambao hawana hizo views nyimbo zote wameimba peke yao
@lucaskituli1846
@lucaskituli1846 2 жыл бұрын
daah uyu jamaa linajua kuongea fact huku linachekesha halaf halitukan matus litafika mbali.
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 жыл бұрын
Yaan kazi ya uchawa bwana shida kwer kwer mwanaume kumsujudia mwanaume mwenzie kwer🤔🤔
@saulielisha9729
@saulielisha9729 2 жыл бұрын
Uingereza mwanamke ndo anatoa taraka mwanaume unaondoka ,coz mwanaume unaweza kutafuta na ukapata tena mtu ambae ameacha na mke wake ambae amemzalia watoto bila sabb yeyte ujue kunatatzo.
@alouisejohn7752
@alouisejohn7752 2 жыл бұрын
Mama levo hana lolote aendelee kuwa chawa wa domoooo nyange but mzeeee abdul he is his father
@mwasity2348
@mwasity2348 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@migoboy569
@migoboy569 2 жыл бұрын
Kuwa chawa ni dili???????????
@yvanyassintuyikeze367
@yvanyassintuyikeze367 2 жыл бұрын
Huu jmaa b levo ba haishagi utamu
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 2 жыл бұрын
kiukweli mkirud kwenye mziki mtafanya la mana kwan tutaenda sawa na wanaijeria.mana tulipo kua tunaelekea mara majim mara madem mapenzii tuu.mwisho wasiku wana muziki wetu wanao jali mapenz wange angukia mikononi mwa kigos au kwa J.B.tungewaona ktk mafilam c mziki tena
@samwelmoronya602
@samwelmoronya602 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👊👊👊👊👊
@fadhilisalmu723
@fadhilisalmu723 2 жыл бұрын
Anaongea facts hata in term of jokes
@alfansalim5443
@alfansalim5443 2 жыл бұрын
Kidogo sai umepunguza makelele
@BenBen-it3ie
@BenBen-it3ie 2 жыл бұрын
🇧🇮🇨🇩
@ayoub1906
@ayoub1906 2 жыл бұрын
Safi levo b
IN SMARTBUY S01EP11 | KODTECH
5:56
Wanyabi
Рет қаралды 111 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
MC Eliud Samwel akiwavunja watu mbavu kwenye mkesha wa THE ICON 2023 | CCC UPANGA
21:43
Saba inaisha lini? 😆🙌| Kombolela SE02 EP 27
3:01
Sinema Zetu HD
Рет қаралды 2,3 М.
Speech to Mo Scholars, Mo Dewji Foundation
18:11
Mohammed Dewji
Рет қаралды 6 М.
Kardeşlerim 62. Bölüm @atv
2:13:03
KARDEŞLERİM
Рет қаралды 4,6 МЛН
Boss әйел | Босс айел | 8 СЕРИЯ
25:47
Седьмой канал - 7 канал Казахстан
Рет қаралды 165 М.
Анаконда келін 2 | Шешімі бар
45:55
Телеканал Алматы / Almaty TV
Рет қаралды 234 М.
ФИНАЛ / 4х4 ЖҰЛДЫЗДАР ШАЙҚАСЫ
5:3:21
DOSYMZHAN
Рет қаралды 93 М.